Najua atujuani ila popote ulipo katika dunia hii mungu akubariki na pia akufanyie wepesi kaktika kila jambo nawapenda ❤❤❤❤❤
@Reagan-r2h3 ай бұрын
Amen
@SarapiaMfoi-o2x3 ай бұрын
Amina
@Jazziumumeme3 ай бұрын
Amina, na iwe kwako pia
@jeticwangira348913 күн бұрын
AMEN
@fawziyahassan57142 ай бұрын
Asante sana Kaka Jamal kwa Story nzuri... Kila mtu atachambua stori hii kutokana na Imani yake ya Dini. NAOMBA UTULETEE STORI YA MUHAMMAD (AMANI IWE JUU YEKE) KWENDA MBINGUNI. KISA CHA ISRAA NA MIRAJI. ASANTE.
@ndayikengurukiyemandalene70274 ай бұрын
Wewe kijana nimekuombea baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu maana haunaubaguzi wowote kuhusu dini wewe nimtu wa Mungu kabisa.Mungu azidi kukulinda nakukuongezea ufahamu zaidi from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮and 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@AntonyMwangiWairimu4 ай бұрын
Safi sana
@lumiedallas70322 ай бұрын
Thanks May God bless
@ShukuraniSanga2 ай бұрын
Asante mungu atusaidie
@GambaYohana2 ай бұрын
Amin
@boniphaceassenga368321 күн бұрын
Pp Ppp Pp
@davidpeter80993 ай бұрын
Yaani sjui ni zambi gani kubwa iliyotuondolea hofu ya MUNGU kwetu wanadamu na kumfanya MUNGU awe mbali na mwanadamu. EEEEH MUNGU me nimwe zambi nyingi ila unikumbuke me na kuniweka kwenye himaya yako kabla ya umauti wangu maana naamini katika wewe na wewe ni jana ,leo, na hata milele 😭😭😭🤲🙏
@StaceyNyambura-ks7wr3 ай бұрын
Who is here in 2024? Don't pass without a like. We thank God for life and everything he has done for us...be blessed 🙏🙏🙏
@ishaqally4444 ай бұрын
Kitabu cha Enoch, kilitolewa miongoni mwa vitabu vya biblia kwa sababu kinazungumzia viumbe vinavyoishi sayari zingine waitwao Annunaki na ndio waliomchukua kwenda kumfunza teknolojia na sayansi yote unayoiona katika dunia hii, Kanisa la Roman waliokua watawala kipindi hicho hawakutaka elimu hiyo itoke kwani itashindwa kukita utawala wake wa kuitawala dunia, na ndio maan kwenye biblia ya Wethiopia baadhi ya kurasa ya kitabu hicho bado kipo, Waromani ili kupotosha taarifa hizo waliamua kuita hivyo viumbe malaika ila uwepo wa viumbe nje ya dunia waishio safari zingine zipo na ndio huitwa Aliens. Na wakaamua vitavu vipi viwepo na vipi visiwepo.Teknolojia inayotumika sasa elimu yake inatolewa katika vitabu hivi na mataifa yanayotawala wanaficha na ndio maana nchi kadhaa ndio wanaoongoza katika ulimwengu wa sayansi.
@jumamaganga50644 ай бұрын
ukitaka kukipata hiki kitabu unakipataje mfano......
@HamidSimu4 ай бұрын
Umemaliza kiongozi
@pilladtradersupdates65684 ай бұрын
Bright man👏👏👏
@KemmyPrince-r4l4 ай бұрын
@@HamidSimu kamaliza bado we 😅 elezaaaaa kwa upanaaaaaaaaaaaaa
@AgaMatumla4 ай бұрын
👏👏
@amanmalima9404 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@mawazoismailli64314 ай бұрын
Hapa ni comment kuhusu story book sio kuhubiri 😄😄😄
@CharlesMwanyika3 ай бұрын
Kiukwel kaka unatujuza mengi sana kwa ss tunaopenda history ya kujua mambo mengi .god bless you
@amanmalima9404 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@mawazoismailli64314 ай бұрын
Kumbuka usipofanya dhambi maana yake yesu alikufa bila sababu
@BillyElia-nc8enАй бұрын
@@mawazoismailli6431usihalalish dhambi then kumbuka ukifany dhambi makusudi ni kama unamrudish Yesu msalabani 😢
@VictorMsuya4 ай бұрын
kaka nashukuru sana ombi langu umelitimiza🎉
@funzone57954 ай бұрын
I have Being a great follower for Jamal and listened to many stories from the story book bt for today was fantastic, am even now motivated to search for the book of Enoch and read it all.
@JacksonMaro-y6q3 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe kwa neno lenye mafunuo tunabrikiwa na kuguswa pia❤😊🙌🙌🙌🙌🙏🙏
@EzekiaSanga-d7o4 ай бұрын
I wish umpokee yesu awe BWANA na mwokozi WA maisha yako Jamal.. kwakuwa unaukweli wote kuhusu habari za Mungu wetu tunaemtumikia
@Habasramadha24 күн бұрын
Mungu kwanza halafu yesu
@DexterPlaysTZ4 ай бұрын
Nimeisubiria hii since last year....finally 🔥🔥
@EfraziaNtinda-fd4rg4 ай бұрын
Ukuu wa MUNGU n wa milele jamn, Ee bwana yesu naomb unipe Ujasiri kama mtumish wako HENOKO, AMEN,,🙏🙏
@gmmacharia-i4y3 ай бұрын
Yeah tena😂
@B.whaite4 ай бұрын
From Burundi 🇧🇮 nipeni like zangu
@silverworld45714 ай бұрын
mambo vipo
@silverworld45714 ай бұрын
Burundi sehemu gani ndugu
@personpeter22214 ай бұрын
@@silverworld4571Nko mtaa wa nkulunzinza
@B.whaite4 ай бұрын
Ngozi
@MgendiTumeka-e4q3 ай бұрын
How are you doing
@Alexismadimo4 ай бұрын
Biblia ni primary source ya taarifa na mafundisho yote ya Mungu na dini ya kikristo Ambayo hayapo n wasomi wa dini wanajarbu kuwa na akili zaid lkn uwezo wa Mungu n mkubwa zaidi yao
@davidshinje63794 ай бұрын
Hakika barakiwa sana Mtu wa Mungu.
@azormatthew78134 ай бұрын
Uthibitisho?
@Alexismadimo4 ай бұрын
@@azormatthew7813 uthibitisho wa nn
@gildasnyaki38124 ай бұрын
Biblia ina vitabu vingi ambavyo vingetakiwa viwepo humo lkn vimeondolewa ikiwemo kitabu cha enoko, vyote vipo kwenye library kubwa zaidi duniani pale vatican. Chunguza mambo
Ooh Leo angalahu nime comment 180 toka nianze fatilia wasafi sijawahi kupata ata like moja😢😢😢
@MackdonaldAudifas4 ай бұрын
Asa ukishapata izo like unalienable au😢
@NashonMakazi4 ай бұрын
@@MackdonaldAudifas bro fata yesu niongo huyojamaa muongo paka akubali yesu ndio nitamskia
@AfricanBae-nm9yp4 ай бұрын
😂😂😂
@ilovejesus6664 ай бұрын
Kumbe auna akili 😂
@NashonMakazi4 ай бұрын
@@ilovejesus666 ilovejesus666 oya rada ya namba
@PatrickFrenkMbogo4 ай бұрын
Heri walio mwamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wao! Atatuongoza kwenye uzima wa milele
@TitusSarkai-hg5uk4 ай бұрын
Amen amen ❤
@fasterwalker14644 ай бұрын
Jidanganye tu 😂😂😂😂
@RizikiQueen4 ай бұрын
Jmn 😂😂@@fasterwalker1464
@RizikiQueen4 ай бұрын
Jmn 😂😂@@fasterwalker1464
@yustomwaisomania25873 ай бұрын
@@fasterwalker1464ukute wewe ndo unajidanganya be prepared for the second coming of Jesus be care
@djumasheby35494 ай бұрын
{Siku ambayo kipofu ataona basi chakwanza kabisa ataanza kutupa fimbo yake iliokua ikimuongoza } Daaah bonge la fact bro tunahitaji ufafauzi zaidi kwa hilo
@markmacharia77144 ай бұрын
Hapo nayo ni ukweli
@givenmgaya88894 ай бұрын
Siku watu watakapojua siri za dini kwamba zilianzishwa tu na binadamu kwaajili ya kuwaongoza watu ndipo watakapoziacha izo dini na kuenenda na njia zao
@graxsamemmanuel30443 ай бұрын
Kama wanayofundisha ni mazuri basi yafuate na kama yanayofundishwa ni mabaya basi fuata njia zako@@givenmgaya8889
@josephkamau2423Ай бұрын
Kama vile umesema kwely@@givenmgaya8889
@Merrysp8tt6 күн бұрын
Kwakel ni Mungu tu atuongoze👏👏
@bosirebosire56203 ай бұрын
Napenda jinsi unajizatiti sana kwa utafuti wa mambo na nadharia mbali mbali
@elviceshabani68752 ай бұрын
Drc Congo mungu akuzidishiye kwenye ume pungukiwa
@kennedyprime36304 ай бұрын
This is forbidden knowledge, Thank you,. I was afraid to go there alone. Big up Prof
@selestinfrancis59044 ай бұрын
Safi sana mtumishi kwa kuendelea kutujuza habari njema,nafurahia sana story book
@salumukatani03-u8b4 ай бұрын
Uchambuzi yakinifu kabisa 👍
@StanslausWakazi4 ай бұрын
Nime.ielewa sana hyo kauli ya kipofu na ndio maana saiv watu wame amka Sanaa kuhusu mambo ya din na me nasema endapo kizazi Cha mwaka 1900 kikiishaa na kupoteaa bas hakuna mtu ambaee atA ijua dini tenaa wana iacha na kuishi kivyaoo na ndio Yale walio yasema mpga kristo yata tumiaa kwasababuu ya muamko
@kingrhino94723 ай бұрын
Ni kweli kizazi cha 90 kikiisha Dunia itakuwa na Shida sana
@KassimKhamisi4 ай бұрын
Respect broo tunamxhukulu Kwa kutufahamixha Kwa tuxiyoyajua broo. kalibu BAGAMOYO 🎉🎉
@mawazoismailli64314 ай бұрын
Why x instead of S
@stanslausmajalla88962 ай бұрын
Namwomba Mwenyezi Mungu nisionje mauti kama Henoki na Elia
@THEATER0084 ай бұрын
Hey guys... I like your narration Jamal... Love from kenya 🇰🇪
@Africasafarichannel4 ай бұрын
Hahahahhahaha
@NajimaJuma4 ай бұрын
Wasafi never die Aisee hii elimu nikubwa sana Gonga like kama waamini umekuwa msomi kupitia hapa kwa professor jamal❤❤❤🎉
@eliudminga60853 ай бұрын
Habar vijana wenzangu Naomba kutumia nafasi hii kuwavuta kwenye fursa kama wewe ni mhitimu wa elimu ya ufund veta kwa fani ya fund bomba, umeme na umeme wa magari tafadhar chukua Mawasiliano Yangu hapo chini na kama wewe pia unamoyo wa kusaidia wengine gonga like zako hapa
@bekayomashango7054Ай бұрын
Kaka Habar yako naomba mawasiliano yako mm fundi bomba
@bekayomashango7054Ай бұрын
Mm ni mtanzania ila npo burund kidgo namba tuwasiliane kaka
@Moses-Modekai4 ай бұрын
Nategea from Kenya 🇰🇪 NAOMBENI LIKES
@robertlangat69344 ай бұрын
Kenya tupo site.
@mawazoismailli64314 ай бұрын
Enda uandamane
@Moses-Modekai4 ай бұрын
@@mawazoismailli6431 audio🏹⚔️⚒️🗡️🛠️🤝
@JuniorKatukuruАй бұрын
Acha kuomba like kwo kama upokenya🤺🤺🤺
@EmanuelBoge13 күн бұрын
Nakubali sana brother unanifunza kuoitia oage zako usije ukaacha brother
@delacruzito3604 ай бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kukujalia uhai ili na sisi tuweze kupata elimu ya kujua mafundisho ya yake
@rasoomwatela42814 ай бұрын
Nilikua nimesubiria hii sana kutoka kwa Jamali April mwenyewe ❤❤❤
@JuxvatonOmmari4 ай бұрын
dah lahaaa sanajamani izi story naomba muniwekehe urumakidigo jamaleo naombeni like atamoja nitashukuru...................😭😭😭
@georgemassebu20834 ай бұрын
Umeandika vitu gani hapa wewe ndugu? Dah aisee
@denzaille4 ай бұрын
Kachukue chenji kutoka kwa mwalimu wako wa kiswahili... tutakupa like za kutosha
@happykhamsini13164 ай бұрын
😅😅😅😅ameandika nn huyu
@WinifridaGregory2 ай бұрын
Makubwa haya 😂😂
@BrianPrudenceOngera4 ай бұрын
This story book it's real facts God bless you 🙏🙏 Jamal April mustapha professor. Amen
@Godfreymukiri2 ай бұрын
talented professor 💌💌💌💌
@freystar26844 ай бұрын
"siku ambayo kipofu ataona chakwanza kufanya nikutupa fimbo iliyokuwa ikimuongoza kwenye upofu wake" hii ni lugha yafumbo yenye maan kubwa zaidi kuja kuwahi tokea🙌
@josephfrank7344 ай бұрын
Fumbo kubwa
@geofreyhayagaseleph87824 ай бұрын
U barikiwa
@dollardavid9554 ай бұрын
Hebu tuambie basi maana yake
@irenebosco7634 ай бұрын
Yes
@robjigger97913 ай бұрын
Professor jamal salute kwako
@WycliffeAlango4 ай бұрын
Asante Sana Jamal mwenye maskiyo askiye🙏
@SafariNkana3 ай бұрын
Unatishaaa sanaaaaa🎉🎉🎉🎉
@ayubukedimundi32214 ай бұрын
Story book ipo njema kiongozi Nafurai sana
@JohnMuhoza-sf5xg2 ай бұрын
😂
@sophsoph47404 ай бұрын
Mr jamal ndo mkali wa hiz kaz mashallah Mashallah Mashallah Mashallah mungu hazidi kukupigania kaka unatujuza mengi sana kwakwer❤🎉
@OmolloCyprian4 ай бұрын
Nimetimia 😂 nipeni like pia Mimi jameni❤ naipenda sana storybook. Kutoka kenya
@michaelhaule-fb2vs4 ай бұрын
zinakusaidia nini izo like mjinga wewe😅
@mustafamasudi80934 ай бұрын
Kenya nyie wajinga sana hizo like zinakusaidia nn Kama c ujinga tu
@OmolloCyprian4 ай бұрын
@@mustafamasudi8093 yakuuma Nini wewe ngeuzi kula la kwako Wacha mambo ya wivu. Masikini wewe
@ZablonLuttah4 ай бұрын
Kenya sisi sio wajinga kama nchi zingine, juzi kule Olympic Kuna majirani zetu walitoka huko bila medali yotote, kazi yao ni kusikiliza tu story book
@markmacharia77144 ай бұрын
Matusi haikufaidi kitu sisi wote ni wapenzi wa story book.yani storybook family @@mustafamasudi8093
@EmmanuelPetro-i8m3 ай бұрын
Mungu kakupa kipaji na sauti ya usimulizi isiyochosha masikioni,
@ulayanapinda78084 ай бұрын
Daah naipenda sana sauti yake wanaoungana na mimi like comment
Ubarikiwe sana kijana si kwa uwezo wako bali roho mtakatifu ame kufunza kama Enoch.
@carinahishimwe95813 ай бұрын
Love from burundi 🇧🇮
@EdwardSamson-uf1ee4 ай бұрын
Ngoma imeanza kwa kishindo cha clip kutoka "Jack the Giant Slayer" Twende kazi Professor
@kilanjatv4 ай бұрын
😂😂😂
@IrengeDavid2 ай бұрын
Asante sana kutuambia u kweli ongera sana
@geoffreychurchkayora12304 ай бұрын
Umeelezea kwa umakini sana
@PatriciaSidi-c4wАй бұрын
Bibilia inasumulia kuna watu watainja mauti na kuna wengine hawataonja mauti, ukitenda mema siku zote na usipo muwazia Mungu uchafu, matendo yko yakiwa mema mungu atakuchangua ww na hautaoja mauti ukiwa mcha Mungu kisawa,sawa, kufumba na kufumbua utamuona mwana wa Adam, Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana sana kwa kutufundisha siri za Mungu, endelea kutulisha hilo neno la uzito pia sisi tuzidi kujua zaidi
@Jacklinejohn74 ай бұрын
Napenda sana the story book ❤🎉🎉🎉 always ili ni lale lazima nisikilize mpaka na lala❤
@princemushi95934 ай бұрын
Jambo zuri ❤
@AbrahamIsingo4 ай бұрын
Kkkk
@HasanatyHasanatyyusuf4 ай бұрын
Naipenda Sana story book na sauti ya Jamal inanikoshaga acha2 🙂🙂
@vicentedgarchipasula23934 ай бұрын
Mim nmekua mlevi wa story book cwezi kulala bila kusikiliza huwa narudia had za nyuma
@Jacklinejohn74 ай бұрын
@@vicentedgarchipasula2393 inatokana na hadisi tulizo kuwa tuna hadisiwa utotoni mpaka tunalala me niko ivo mpaka leo
@EmmanuelMwakalinga-o1x3 ай бұрын
Mungu awaongezee maalifa watoa stoli
@fanikiwamtanzania68224 ай бұрын
Hakika siri za haya maisha zimo katika vitabu. Tupende kusoma vitabu.
@kingrhino94723 ай бұрын
Ni sahihi watu tusome vitabu tuujue ukweli sio kusimuliwa na watu au viongozi wa dini
@BeatriceJoram-h3yКүн бұрын
Ukiywsoma haya lazima udate
@thedanielpodcast14 ай бұрын
Leo namimi nimewahi mapema sana, aya tunaopenda story book naombeni likes zenu namm
@AbdulMtausi-qi3en3 ай бұрын
Elimu kubwa sana kuliko akili ya wasikilizaji wako,wengi wameishia tu kupenda sauti yako kuliko kuelewa,ahsante kwa elimu kubwa sana ila nitahitahidi kusoma zaidi ili nielewe,ila ni kweli kabisa kitu cha kwanza kabisa kipofu siku akifanikiwa kuona basi itakuwa ni kuitupa fimbo yake iliyokuwa ikimuongoza
@grayvanny84464 ай бұрын
Ukiacha jack the giant nisaidien hyo muv nyingne za kwenye vipande alivyoweka humo 🙏🙏🙏🙏🙏
@saidyande3 ай бұрын
Sawa
@xmaramoja3622 ай бұрын
Tafuta movie inaitwa B. F. G
@cosmaskioko36464 ай бұрын
This man is one of the biggest investigator ❤
@AyubuAlly-p9m29 күн бұрын
MUNGU azidi kutupa Imani soto tuzid kumu amini
@jamesmurigi33913 ай бұрын
Excellent narration..
@mckobatz58614 ай бұрын
Mafundi wa kuandika wamenogeshwa na fundi wa kusimulia Jamal!! Such a beautiful story
@ComboLee0074 ай бұрын
Daaa ebu tunaomkubali jamal wote gongeni like hapA
@AlexTilax4 ай бұрын
Jamar Apr kazii nzuri kak blessing..🙌🙌
@MrProsper_king2 ай бұрын
Sijawahi pata like daah 🥺
@jacksonmsongor98224 ай бұрын
This is wht we need u ar great
@LEONARDTUMWET-jx3qf3 ай бұрын
Nakuomba Ewe mwenyezi Mungu nipe macho ili Niweze kuyaelewa maandiko,Shallom.
@LEONARDTUMWET-jx3qf3 ай бұрын
Kilicho nifikisha hapa sikijui inshaala
@ntezealoyce70434 ай бұрын
Pamoja sana kutujuza
@MedsonRugaimukamu4 ай бұрын
Kwadalili hzi Kuna story Kali zinakuja ❤
@josephvenus32594 ай бұрын
Huku ni raha Sana 🔥🔥🔥
@Takithegrëãt-u8l4 ай бұрын
Jml 👏 nakuk bali kinoooma sn 💯 Allh akupe maish marefu yalio kuw bora kwako ........🇧🇮
@AlexMbangwa4 ай бұрын
Congrats Jamal
@EstraEmily3 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana
@Eagle_Sound4 ай бұрын
❤❤ ndo mana hili pangwa the story book 📕 jmn ina mahana yake🎉
Acha upumbavu, huo muda unaotumia kushinda mtandaoni si ungeutumia kujifunza kuandika!? Mahana ndo nini!? Uandishi wako unaonesha namna ulivyo mjinga kichwani.
@RamadanPaul4 ай бұрын
@@Eagle_Sound 😂😂😂
@bright.d_0903 ай бұрын
🙆♂️🙆♂️🙆♂️
@mirzaismail55793 ай бұрын
THE GENIUS MAN IN THE HIDEN PLACE.. JAMAL I SEE YOU FURTHER
@idinado-wk3lx4 ай бұрын
Kusema ukweli mimi siitaji kuipinga dini yoyote wala mtu yoyote ila kwa uelewa Wangu,kifupi tu kwenda kwake mbinguni lazima kunaushuda Mbali Mbali aliyo shudia uyo enoki inamanisha yangetakiwa yawepo mpaka leo hii ili tupate kujuwa na kujifunza na kuemika maana mtu awezi kwenda mbinguni afu kusiwe na lolote ata linalohusu kule mbinguni liwe ni mbaya au nzuli kikubwa alikwenda na kujuwa yaliyopo uko kifupi kitabu chake au ushuuda wake aliyo uwacha apa duniani kuusu kwenda kwake tulitakiwa leo hiia kuwepo Katika dini zote maana uyu enoki anakitu ambacho tungetakiwa tukijuwe ila tu watu wa shetani wameficha ili tusielimike na kujifunza ili ujuwe chema na kibaya lazima ujuwe vyote ndipo sisi tungejuwa kitabu chake nibola au siyo bola sasa tutajuaje pasipo ivyo jamani sijapenda kwakweli 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@Samsumah4 ай бұрын
Upo sahihi ndugu mim ni muislam huwa napenda kuangaza nipate kujua dini yangu na dunia yangu na hata wanacho amini wasio wa dini yangu , sio kwa ubaya nimekuwa nikifatilia mafunzo ya biblia kwa uchache nimegundua kuna gap nyingi na hakuna details zote ni kama wanafichaficha baadhi ya vitu watu wasijue wakati tunahaki zote za kumjua mungu kwa upana na vile alivo taka yeye tuvijue , kama ikiwa mwanadamu amejua kitu kumuhusu mungu basi sio siri tena ya mungu ametupa funguo ya elimu juu ya hicho kitu ,
@ZakaliaMlelwa2 ай бұрын
Hivi tumjue mungu jamani🎉🎉🎉
@GideonNzige-k7i2 ай бұрын
Mungu akubariki endelea kutoa Elihu bila kumkosea Mungu
@DasilverDNG3 ай бұрын
Utupe story ya Enki na Enlil (yehova na yahwe)
@Deadskytz4 ай бұрын
Mmh!!! Matrix wanajua kutuendesha , anyway za kuambiwa ongeza na zako Asante Jamal
@ibrahmuya35284 ай бұрын
Jamali hapo nimekuelewa inawezekana kitabu cha enock kiliondolewa ili tusijue ukweli wa mungu wanataka kutuaminisha ya kwao ili kuendelea kututawala awakutaka tumjue mungu wa kweli
@Aridjaassani3 ай бұрын
Akuna anaedjuwa siri ya mungu ila yeye mwenyewe☝️
@kakamkuu-n6c4 ай бұрын
Habari kaka ninaswali hapa
@AtanasMnkondya-qq7vh2 ай бұрын
Dhaa asante kwa kutupa elim yako nasadiki leo na kumupokea mwana nakuwa mokozi wangu
@MO12-b1q4 ай бұрын
Siku zote nakosaga kufikisha Like 100 jamani sijui nimekosa nini kwenye THE STORY BOOK
@fitnessmadness91933 ай бұрын
Likes zina saidiaga nini surely?
@neemaemanuel77154 ай бұрын
Hongera wewe Mh Jamal na ahongereke mwanamke aliekuzaa maana leo unatupatia elimu bila kubagua dini shukrani
@GeorgeSonsi-q7k4 ай бұрын
Kama mna mkubari uyu jamaa like app👍👍👉👉
@gayabingporus4 ай бұрын
Ewee jamaal kulingana na elimu yanguu na sayansii ya uchunguzi wangu tofauti tofauti dunia ni duara wala sio katika umbo la mpira
@nellyjr3962 ай бұрын
We ushawah kuona mpira ambao sio duara? Au tukisema Dunia inaumbo la tufe huelew pia mpk itajwe duara?c
@mkarawizemtasher48974 ай бұрын
Baada ya kuimaliza safairi ya enock, tuandalie na kisa cha safari ya mtume Muhammad kwenda miraaj, mbinguni
@Alexismadimo4 ай бұрын
Yeah kweli kbsa atupe somo la mtume mohamed tunaisubr kwa hamu
@lucasathanas95544 ай бұрын
achana nae hatuhitaji
@mkarawizemtasher48974 ай бұрын
@@lucasathanas9554 ni kweli mwisho wasioiamini habari hii kama wewe wakatuchukiza bure. Ishu ni kujifunza tu punguza wivu mlokole mtiifu.
@ce-084 ай бұрын
@@mkarawizemtasher4897 shida akisimulia story zinazohusu uislam wengi humpinga na kumtishia Hadi kwenye Simu pindi akizungumzia kitu ambacho wengine hakiwafraish alishawahi kusema mbona Kuna story moja ya Osama alizungumziaga
@Davio1234 ай бұрын
Mohammed yupo kaburin,mbinguni kaenda Lin c ndo mnaenda kutambika kule maka😂😂
@FranceWerner-470427 күн бұрын
Thanks much bro 🙏
@oliviernibogorani-o21924 ай бұрын
Nimesikiliza hadi nikasinzia ,, hebu gongeni like niamke
@nyamarasapeter43022 ай бұрын
Huyo ni mimi
@RamadanPaul4 ай бұрын
Kaka njoo na historia ya mtanzania mwanamalundi, muafrika alietembea juu ya maji kama yesu. Mtanzania aliepiga fimbo baharini ikagawanyika na kupatikana njia kama nabii Musa.❤❤❤❤
@macdemaxsamuel39874 ай бұрын
Bahari gani wewe msukuma kuna bahari huko kwenu acha ukichaa😂😂😂😂 hizo ni ndoto
@RamadanPaul4 ай бұрын
@macdemaxsamuel3987 haina shida, ila ningesema aje na historia ya carl peter, Alexander the Great, usingetusi na kukebei mtumwa wewe😂😂😂. Mimi ni mwana falsafa, nasoma vitabu vya historia ya afrika na waafrika, ni wajibu wangu kupenda na kujua historia ya afrika.
@RamadanPaul4 ай бұрын
@macdemaxsamuel3987 haina shida, ila ningesema aje na historia ya carl peter, Alexander the Great, usingetusi na kukebei 😂😂 mtumwa wa ngozi nyeusi wewe, ila sababu umesikia mwana malundi ndo maana umeghazabika😁😁. Mimi ni mwana falsafa, nasoma vitabu vya historia ya afrika na waafrika, ni wajibu wangu kupenda na kujua historia ya afrika.
@Nurjan8474 ай бұрын
@@RamadanPaulkweli kabisa
@DavidHabamungu-j4b4 ай бұрын
Napenda sana unapo ileza mambo ya biblia ❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MohamedHalake-cy8bh3 ай бұрын
Mola akulinde proffersor
@AnnieProsper4 ай бұрын
Nakubali sana unqvyosimulia broo n amazing sana 🥰🥰🥰❤️
@AishaTabi-e2z4 ай бұрын
Mashalla mwenyezi Mungu akuongoze ❤
@Khalfan-wp8wm4 ай бұрын
Professor jamal april tunaomba hizi stry book iwekwe option ya kudownload wengine tunataka kusikiliza kwenye bufaaa
@chichasam90323 ай бұрын
Mzeeeee mgen youtube eee
@PhilipoMabula-ky9vsАй бұрын
Haya ni madini sanaa kaka hongera sanaa jamal #wasafitv
@lucycamelousmtui68514 ай бұрын
naskiliza nikiwa USA ,aisee unatuvutia sana mashallah