asent sana maisha max nashukuru kwa kaz unayo fanya nakuomba ufundishi jinsi ya kuwa mtu mwenye maamuzi thabiti au kuwa na maamzi magumu napashida kwenye kuamua kwenye maisha yangu
@maishamax7 ай бұрын
Sawa, nimepokea ombi hili na kwa kuwa tupo pamoja hapa basi hivi karibuni kutakuwa na video ambayo itazungumzia exactly hilo. Stay tuned 👍