Bahati ipo hila bahati pekee bila juhudi za kuvuja damu kujituma ni uongo
@mawebumawebu64615 ай бұрын
Watu wote wanao amini bahati sio watu wa kujituma kabisa.
@maishamax5 ай бұрын
Lakini pia kuna mtazamo wa kwamba vyote vinachangia, kujituma pamoja na bahati na kwamba bahati inaweza kuletwa na kujituma ama bidii ya mtu
@mawebumawebu64615 ай бұрын
Bahati ni neno linalofungamana na mfumo wa Imani au dini/ hii bahati inapunguza bidii ya kuforcus mambo makubwa na kuamini bahati. Wanao Pinga bahati wapi sahihi Chunguza hao Wanao SEMA bahati ipo bac mioyo Yao Ina Imani kuliko bidiii
@mawebumawebu64615 ай бұрын
Good topic boss
@maishamax5 ай бұрын
👏 Ahsante sana
@mawebumawebu64615 ай бұрын
Nafatialia
@maishamax5 ай бұрын
Karibu sana 💯
@calistusnyongesa91985 ай бұрын
Its true
@maishamax5 ай бұрын
Naam 👏
@dkalbertoanyasime93575 ай бұрын
Ruhusu tudownload video
@maishamax5 ай бұрын
Inaruhusu kudownload, lakini itabakia youtube
@dulayoomari5 ай бұрын
mashaallah mungu akupe unacho stahili nakupenda brother, na masomo yko yanaeendana na saut yko
@maishamax5 ай бұрын
Amiin, nakushukuru sana na karibu tuendelee kujifunza zaidi
@Intern-Insider6 ай бұрын
Hatunabudi kuwa na USTOIKI ili kuuvumilivu maumivu au shida bila maonyesho ya hisia na bila malalamiko. Umetisha kaka.
@maishamax6 ай бұрын
Sahihi kabisa, na kuchukua hatua inapobidi kwa imani kwamba kila kitu kitakuwa sawa
@mhogomchungu78826 ай бұрын
Umekosha mkuu..hiz channel zipo kwa kiingereZa tu…nadhani utasaidie sana kund kubwa la waswahili wasioelewa kiingereza na wanapenda kujifunza
@maishamax6 ай бұрын
Ahsante, karibu tuendelee kujifunza pamoja 👍
@Abdulrahmanhassan186 ай бұрын
Ahsante sana kwa maarifa
@maishamax6 ай бұрын
👏👏 naam naam
@dkalbertoanyasime93576 ай бұрын
Ahsante sana
@maishamax6 ай бұрын
Karibu sana 👏
@JoyceHaule-o8c6 ай бұрын
Kweli kabisa
@maishamax6 ай бұрын
Naam, kuna umuhimu mkubwa kuthamini na kutoa shukrani
@henrymkuye66698 ай бұрын
Nataman siku nikutane na masoud anijibu maswali yangu.
asent sana maisha max nashukuru kwa kaz unayo fanya nakuomba ufundishi jinsi ya kuwa mtu mwenye maamuzi thabiti au kuwa na maamzi magumu napashida kwenye kuamua kwenye maisha yangu
@maishamax9 ай бұрын
Sawa, nimepokea ombi hili na kwa kuwa tupo pamoja hapa basi hivi karibuni kutakuwa na video ambayo itazungumzia exactly hilo. Stay tuned 👍
@SkambiAthumani-cv3rj9 ай бұрын
Nimeelewa sn dhana ya maisha ni mafupi thax bro
@maishamax9 ай бұрын
Naam, karibu sana hiyo ndio maana sahihi 👍
@khamsjabdullah6919 ай бұрын
Jumbe zako no zaidi ya mafunzo
@maishamax9 ай бұрын
Ahsante na Karibu sana 🤝
@Intern-Insider9 ай бұрын
Ujumbe makini sana. Siku moja nilitafakari nikapata jawabu kwamba...Jamaa zetu ndani ya jamnii zetu wapo hivii...wanachukia vitu/mambo wasiyo yaweza kuyafanya au vitu wasivyo kuwa navyo. Hivyo hupelekea chuki, kijicho na masengenyo yote ni kwa sababu ya HOFU iliyotanda mioyoni mwao dhidi ya wale waliowazidi. Hivyo ninapata amani na ujasiri pale nilipoelewa haya mambo. Better Together brother.
@maishamax9 ай бұрын
Kweli kabisa Kaka, the moment tukielewa issue hii na kuifanyia kazi basi inatuongezea kujiamini na uwezo wa kutekeleza malengo yetu bila vizuizi ambavyo huwa tunajiwekea na pia tunawekewa na watu waliotuzunguka
@AthumaniIssa-uv2do9 ай бұрын
Noma sana
@maishamax9 ай бұрын
🤝 pamoja sana
@AthumaniIssa-uv2do9 ай бұрын
Noma sanaa daktari First impression matters
@maishamax9 ай бұрын
Sure Doctor, first impression matters A strong handshake ✅ Confident Tonality ✅ Dressing Properly ✅ Etc
@georgeMsema-rz1yu9 ай бұрын
🎉
@maishamax9 ай бұрын
🤝🎊
@Valentinekainy10 ай бұрын
Good
@maishamax10 ай бұрын
Thanks 👍
@Abdulrahmanhassan1810 ай бұрын
Nilikuwa naomba uweke link ya hiyo biti nahiitaji nii dowld ahsante