Master Mind...Huyu Jamaa ana IQ kubwa sana. Kama unamkubali KING SHARK SHAKA ZULU. Tujuana Hapa Guys nahitaji kuwa Kisu kama huyu jamaa...Inshallah Mwenyezi Mungu atufanyie Wepesi #EatSomePips #SharkShakaZulu🐬 🙏🙏🙏👍
@sirjeff_dennis4 жыл бұрын
ALL PIPS TUESDAY coming soon.
@piusthomas57134 жыл бұрын
@@sirjeff_dennis be blessed bro
@paulmutailuka24174 жыл бұрын
@SirJeff Dennis We are waiting for session bro...Nakukubali Sana ipo siku nitakaa na wewe tukichambua Soko pamoja kupitia Strategy zako! Thanks
@deuscharles78444 жыл бұрын
@@sirjeff_dennis jeff nakupenda napenda kaz yako unanitoa katika ulimwengu nilio kua naish naingia katika imaya yako ulimwengu mwine sasa sijajua kutuled lakin najua ipo sku nitajua kupitia mafunzo yako sina halaka nipo na ww sku zote mungu mukubwa sana kunifanya nikutane na mafunzo yako 😂😁😀🙏🙌👊💪jeff nguvu moja
@rivinadolphkarokola89214 жыл бұрын
Doubling Effect Principle, thanks alot
@princephiloteris9014 жыл бұрын
Maana Halisi Ya Ubongo Ndio Hiyo...
@samsonestomin20044 жыл бұрын
Asante sana kwa haya maarifa ya kulinganisha njia mbili na kutuonesha ni ipi iliyo bora, chamsingi ni kuweka juhudi sana hasa kwenye hiyo njia ya pili (biashara) pa1 na kuwa mvumilivu. Asante sana 👏👏👏
@ليلىفاكي4 жыл бұрын
Inshallah mwenyez mungu yuko pamoja NA ss tutafikia tu malengo
@teminotheo51344 жыл бұрын
hapa sasa fresh broo tutakaa sawa
@gospelthusiast4 жыл бұрын
Hii yenyewe sana!!! Vijana tunashindwa kufikiria Exponentially!!! Tunafikiria Linearly kama uyo saver!!!! Asante sana Shaka
@nmasunzu4 жыл бұрын
Let's go bro. Hii shule ilitakiwa tuanze kufundishwa toka shule za misingi+ majumbani. Stay blessed brother.
@kelvinramson21644 жыл бұрын
Ubarikiwe sna Mkuu Mungu akupe afya njema
@khizralghawy94894 жыл бұрын
Dah weee nomaaa Kwanza uwasilishajii umeiweza sanaaa
@joniajohn47163 жыл бұрын
Ahsante Mungu for giving us Jeff
@daudidaudi40774 жыл бұрын
Bro uko vzr sanaaa....,.!!!!!! Much appreciation 2 u sir jef
@charlesngua99574 жыл бұрын
asante sana jeff unatupa somo zuri na unatufundisha kupambana ili tutoke ubarikiwe sana jeff
@jotv63834 жыл бұрын
Umetisha sana very smart
@atoshalyimo27594 жыл бұрын
Good strategy. They need commitment moreee. Is so powerfull
@ItsKaven4 жыл бұрын
DOUBLE EFFECT🔥🔥
@Dollybless2554 жыл бұрын
Weeeee 👏👏👏👏👏👏👏 sir jeff be blessed
@PataWateja4 жыл бұрын
Ahsante, Nimejifunza Kitu Jeff.
@ShainiBravoh4 жыл бұрын
Uwekezaji ni bora hasa wenye tija thank you
@wiliadchaula77374 жыл бұрын
🔥🔥🔥shakaa Zulu king shakaa
@sparksuccess18014 жыл бұрын
Redeemer of Youth ,,God bless you🙏🙏💪✊
@mcheshcomedy58094 жыл бұрын
Nakukubali Sana brother
@hancynation6214 жыл бұрын
Broh Shaka shaka Zulu mungu akujalie sana 🙏🙏🙏
@dennicmosha93204 жыл бұрын
Hitting the point straight with Real content..Wish yu more Energy
@ladylucky17144 жыл бұрын
Naomba uwe unaweka namba zako za simu au email address yako ili tuweze kuwasiliana na wewe. Nahitaji kujua kuhusu biashara ya FOREX. Asante
@mec-telgroup32964 жыл бұрын
Wonderful (double effects) Great bro
@sospetermsimbe62034 жыл бұрын
boooooom shaka shaka zuluuuu
@alphakapinga31824 жыл бұрын
Madini madini, Pamoja sana kiongozi
@simoncine2554 жыл бұрын
Helpful brother. We keep Notified
@ElimikaTz4 жыл бұрын
kweli kabisa, kuinvest is the way foward ili kutengeneza true wealth!
@AIG71874 жыл бұрын
So inspirational brother
@ramateo_tz52203 жыл бұрын
You're a genius bro
@tausially68664 жыл бұрын
Daa!!kka nasbr next series km ubwabwa👌👌👌👌
@markluwanda17684 жыл бұрын
Can't wait for the lessons
@amirifundi34014 жыл бұрын
Jeff Kuona ivi 2 najua madini mulemule👍👍👍
@martinfred27124 жыл бұрын
Thank you braza
@Youthgrowth9613 жыл бұрын
🖐️ point taken
@ibrahimmwalukasa27824 жыл бұрын
Power if focus and consistency
@WilsonMwenda-yi6icАй бұрын
Asante sana
@hassanmchau89084 жыл бұрын
Kali Mkuu
@kennysummer72234 жыл бұрын
unaona mbali sana it needs next level of thinking
@schoolboy67514 жыл бұрын
Ushauri, tengeneza animation ya iyo LOGO ya jeffism iwe ina animate kila mwanzo wa video, ukishalima upload video mpya unatuwekea ki animation IG.
@255digitaltv74 жыл бұрын
shark.... shaka, shaka, shaka,shaka ZULUUUU...can't wait to watch next videos
@clarencelihaya1954 жыл бұрын
braza uko vzr ila kuna loss braza
@samtelah75784 жыл бұрын
Perfect
@SunsetHunter45264 жыл бұрын
True Story Man 🔥👍
@Joker-zg6us4 жыл бұрын
I really appreciate that
@emmanuelmazigo80024 жыл бұрын
nakubali broo
@mcheshcomedy58094 жыл бұрын
Jaman naomben like za huyu kk!!
@michaelmaige68794 жыл бұрын
God bless you Sir Jeff.... We love you....
@jordanmashaka504 жыл бұрын
Powerful
@jacksontumaini91084 жыл бұрын
We gonna retire young, we gonna retire rich ✊✊
@kgotsoaphane4624 жыл бұрын
man please english some of us can not hear the language.. i'd really appreciate if next you add it up. thanks
@hassanmugire14974 жыл бұрын
Your English 😂
@directorsuntana49224 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔 some of u can not hear dahhhh
@jastinichopa91674 жыл бұрын
Exponential growth
@emmanuelmazigo80024 жыл бұрын
madini tupu broo still waiting for more mawe
@kizukiramadhani89124 жыл бұрын
your genius
@arthurthadey7484 жыл бұрын
Exactlly....
@boazysanga63204 жыл бұрын
Naona madini yashaanza kudondoshwa..🤘
@lutagatejumanne62544 жыл бұрын
Iko poa sanaaa
@allworldstrendshere13784 жыл бұрын
So great
@priscaaloyce42314 жыл бұрын
nakubali kk
@gabylovestech4 жыл бұрын
Shark we mtu poa sana na unajua sana
@catchpips31844 жыл бұрын
Iko poa saana 💪
@TriplyWander4 жыл бұрын
Ipo poa sana
@samyjohn23894 жыл бұрын
Shark shaka zulu on demands....
@kingofwithdrawals4 жыл бұрын
THE KING SHARK SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA SHAKA ZULU
@tanzaniaone5814 жыл бұрын
Mimi hiyoo nilishajipangiaaa mdaaaa
@emmanueljohn31154 жыл бұрын
Goog
@briansinkara72234 жыл бұрын
Nice
@godfreybaraka15324 жыл бұрын
woyoo kaka tupe mavitu
@samtelah75784 жыл бұрын
Hii ndo tanzania unamfundisha mtu kuwa tajiri na ww mwenyewe ni masikini duuh
Brother samahan kwa usumbufu naitwa mishack landa nipo ilinga nakufatilia sana tena naomba namba yako brother kuna mambo naomba unifundiahe nakuomba sana
@elonii87904 жыл бұрын
Nimewahi siti za mbele
@bibasulesh78663 жыл бұрын
Habari yako Mr Jeff naomba number yako tafadhali Asante
@simoncine2554 жыл бұрын
⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️
@kidonation32604 жыл бұрын
King Shark Shaka Zulu🔥🔥
@nassirali44724 жыл бұрын
Sijui ata nicomment nni jamani , najiona kama mmi ndio natoa hiii lecture
@mohammedmkoma92884 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@alexanderhaule76674 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@danielkalua55104 жыл бұрын
Hatariii baba
@faisarizuberi12564 жыл бұрын
Madini 🔥🔥
@deuscharles78444 жыл бұрын
Kaka nipo na ww mwazo npaka mwisho
@mpiraleo74924 жыл бұрын
good boy
@40kstore4 жыл бұрын
umeongelea kitu kikubwa kwa muda mchache.
@mftaccademy82044 жыл бұрын
King shark shaka zulu🐬🔥
@yusuphpilion24654 жыл бұрын
at last nimepata chimbo aisee la madini.Tuko.pamoja aisee brother
@harounramadhani16624 жыл бұрын
Brother binafsi huwa nakuelewa sana min aendelee kukuweka ili tuzidi kufaidi madini unayotupa
@ethanljayson31294 жыл бұрын
@sir jeff umesahau kuna kupanda kwa thamani ya hela ..... kwa zamani 1,000,000TZ ilikuwa nihela ya kumwezesha mtu kukidhi maitaji yake na ya familia yake kwa mwaka. lakin, kwa sasa kutokana na kupanda kwa thamani ya hela, vitu vinapanda bei na gharama za usafiri zinaongezeka, pia hata maitaji yako yanaongezeka. hayo ndo mawazo yaliokuwa yanasonga akili yangu wakati naangalia hio video. @sir jeff Asante saaana kwa sababu umenifanya nifikilie 20 years to come ntakuwa nimefika wap?, na ntakuwa nafanya nn?. lakini na maswali au changamoto kwa tafsi nyingine? 1. Uliwezaje kukabliana na ongezeko la maitaji yako kimaisha, kutoka miaka 5 iliopta hadi sasa?. ambayo kwa asilimia kubwa yali_affect system nzima yakuwa billionaire(ie. 1,000,000tz saving per mwaka). "Please taja tatizo na jibu pembeni" 2. Swali la mwishi. je saving ulioipanga miaka mitano nyuma hadi sasa ndo hio unaendelea nayo au umebadili? kama umebadi please tuma video nyignine inayoonesha transition towards new billionaire system na jinsi gani ya ku_sustain biashara yako. "nauwakika kila mfanya biashara anajiwekea mipango wa kupandisha gear za biashara zake kila mwaka, ili kuongeza kipato chake."
@PaschaliKimario Жыл бұрын
1.Kama hela 'x' ilikua inakusaidia kukidhi mahitaji fulani lakini baada ya miaka fulani ikawa haitoshi hapo inakua haijpanda thamani bali IMESHUKA THAMANI.