Hakikisha unasubscribe, unalike na kucoment kwa msaada zaidi nicheck Whatsapp 0766048783
Пікірлер: 153
@shallykaimАй бұрын
kabisa,,,Izidi kutujuza,,,,,god will pay u,,,,
@DennisMagessa28 күн бұрын
🙏🙏🙏
@BarakaLekasyАй бұрын
Masta nakuelew vilivyo
@DennisMagessaАй бұрын
🙏🙏🙏
@RoseMayige-gn9qb7 ай бұрын
Habari bro. Hongera kwa kazi nzuri! Mi nauliza kazi ya Truck Driver. Nina ndugu yangu ni mzoefu, hua anaendesha Tz kwenda Zambia, Congo na nchi zingine. Ahsante.
@DennisMagessa7 ай бұрын
Mwambie anicheck whatsapp 0766048783
@RoseMayige-gn9qb7 ай бұрын
@@DennisMagessa Ahsante sana, nitamwambia.
@AlexisCongera-so4miАй бұрын
Kaka Dennis ahsante kwa kutuelewesha Kaka Mungu azidi kukujalia kaka
@DennisMagessaАй бұрын
🙏
@IddiEdward2 ай бұрын
❤kakanaomba,unijulishehizogharamaa
@DennisMagessa2 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048787
@SulaymaniSaidi10 күн бұрын
Shukuran unatusaidia san
@DennisMagessa9 күн бұрын
🙏
@NizzoboyGnako-pm7ns7 ай бұрын
❤shukurana sana bro Kwa kaz nzuri unazoendela kutoa mungu akubariki sana🙏🙏🙏
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@FridaRobert7 ай бұрын
Asante sana bro,hope Mungu anaendelea kukupigania,mie nitakuja ofisini kuanzia wiki ya kesho!nitakujulisha nikiwa nakuja
@DennisMagessa7 ай бұрын
Sawa
@ezrakiduko61357 ай бұрын
kazi nzur endelea na unachokifanya nakukubali
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@kishamapanda49367 ай бұрын
Mimi mwaka huu lazima niende Canada kufanya kazi Somo nimeshakuelewa nakujatuanzemipango march mwezi ujao ila galama zako nakutumia mwezi huu ili ujue Mimi sina longolongo na uswahili kama hao wanaosema unawadanganya wakati hata nchii jilani hajawai kwenda hata hapo kenya hawajawai kwenda hata paspot hawana
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@MuddyJacko7 ай бұрын
Kazi nzuri kk mungu akubaliki
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@NIMFASHADieudonne-cy1fx7 ай бұрын
Asanteni sana,Endereya kutufahamisha mengi zaidi
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@NIMFASHADieudonne-cy1fx7 ай бұрын
Sasa mimi Email yangu wananiyambia sikuweka number ya simu,sivizuli kufungua email nyingine?
@DennisMagessa7 ай бұрын
@@NIMFASHADieudonne-cy1fx fungua ingiene
@NIMFASHADieudonne-cy1fx7 ай бұрын
Thanks
@user-hb8dp9vb2j6 ай бұрын
Nice
@DennisMagessa6 ай бұрын
🙏
@HelinaMseseАй бұрын
Hi
@DennisMagessa28 күн бұрын
Hello
@maxwelmwadondo64587 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@Mosesy_Bright2 ай бұрын
Blessd brother
@DennisMagessa2 ай бұрын
🙏
@kevinmushi82093 ай бұрын
Nakufatilia Sanaa broo toka apa chuga mimi nipo tayari ata gharama nitembee tubadili upepo nakupata vipi
@DennisMagessa3 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@tembeonline46637 ай бұрын
Asante bro tutafanikiwa
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@Nyanda-mg7pn2 ай бұрын
Ni shgp kunitengenezea hivyo vyote cv,cava letter na kufungua Job Account? Au job bank?
@DennisMagessa2 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@samweligerediusi17947 ай бұрын
Ki ukweli mimi naona yuko sahihi kwa sehem ukimfutiria vizuri utagundua ukweli kikubwa ni kujifunza pasipo kukata tamaa
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@JohnVicenthmuna2 ай бұрын
Ashenalee, kaka kunawatu wanasema marekani hakuna amani hapafai kwenda mgeni
@DennisMagessa2 ай бұрын
Yeah kila mtu ana mawazo yake
@JohnVicenthmuna2 ай бұрын
@@DennisMagessa ni kweli au
@ayoubomary93367 ай бұрын
Yeah
@DennisMagessa7 ай бұрын
👍
@seifmohd53576 ай бұрын
Broo binafsi nakubal unachokifanya na Mungu azidi kukupa nguvu ya kutusaidia mawazo mazur ya mafanikio mana tushaibiwa san hela mpaka sasa ila kwako naona upo utofauti mkubwa kuliko wengine mda ukifika ntakuchek ili tuweke mipango sawa
@DennisMagessa6 ай бұрын
🙏
@stevephilip58507 ай бұрын
Kaka wengi walikuo huko Canada wanasema nyie mnafanya hizi kz waongo na nnatapeli watu wanasema huwezi kua tz ukatafuta kazi za canada linakuaje hii mkuu
@DennisMagessa7 ай бұрын
wengi walioko huku kazi yao ni kuwaambia mtoe milion 12 ili akusaidie kwenda kule kwahiyo kupitia hiki ninachofanya wengi hawapendi maana wanaona nawaharibia biashara zao
@TwoBrother-tc2cu7 ай бұрын
@@DennisMagessa good
@casiuspaulo6937 ай бұрын
Good job
@DennisMagessa7 ай бұрын
Thanks
@Noor-d9qАй бұрын
Mbona kwenye simu inakataa
@chiefsharifshrffBrwn7 ай бұрын
Tunashkur san Kwa maelekez ni kutokea Burundi🇧🇮 tunakufuata
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@dihsarhelas206829 күн бұрын
Kaka samahani nimeshaunga account tayari lkn neno Advance siluoni
@DennisMagessa28 күн бұрын
Lipo angalia vizuri
@thomasmwasongwe77907 ай бұрын
Kaka kwema vp hali yako? samahani mm ni driver wa magari madogo na baazi makubwa ila naweza kufanya kazi zote ngumu ambazo sio za kusomea.alafu naitaji kujuwa gharama zote mpaka nafika Canada ni kiasi gani please naomba ushirikiano wako brother.
@DennisMagessa7 ай бұрын
Nicheck whatsapp 0766048783
@abounassoro25407 ай бұрын
Brother hebu tusaidie sisi wenye uhitaji aiseee maaana wakati mwingine huwa tuanshindwa tuanzie wapi na tuishie wapi! Agents wengi wamekuwa matapeli sana
@DennisMagessa7 ай бұрын
Nicheck WhatsApp 0766048783
@bugingondo234927 күн бұрын
Je? Naweza tuma voice note
@DennisMagessa26 күн бұрын
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
@user-fd9jq9wb2f7 ай бұрын
Asante sana kaka
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@ashakibendela6156 ай бұрын
Kaka Asante nime fanikiwa kufungua nasubiri maerezo mengine😂
@DennisMagessa6 ай бұрын
Hongera sana
@user-uq8gw1bw6b7 ай бұрын
Tumeenda sawa had ulipoishia mkuu
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@ChukuMridoАй бұрын
Je nitakuwa nimemechelewa au ?nijulishe kwa sababu mimi na pasport tayari naweza nikaja unidraftie maombi tutongea nitachangia kiasi gani office
@DennisMagessaАй бұрын
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
@ancelimiangelus26647 ай бұрын
Nataman sana kufanya kazi Canada
@DennisMagessa7 ай бұрын
Fanya maombi ya kazi Boss wangu utapata tu kazi
@user-vk6qx3px8w7 ай бұрын
Nakubali
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@evvyyurek18622 ай бұрын
Vipihaliyako mboni namba yako kila nikisevu whatssap sikupati
@DennisMagessa2 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048787
@rebeccajaphet60323 ай бұрын
Shi ngapi hizo gharama
@DennisMagessa3 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@benedictampery32757 ай бұрын
Hii kitu nimeipenda sana ila ndugu zangu hawataki kutoka nje, bado ni washamba mno
@DennisMagessa7 ай бұрын
ha ha ha watatoka tu wape muda
@JanethFaraji23 күн бұрын
Kak mamb vp niuganish Kaz hiy mm nied
@DennisMagessa20 күн бұрын
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
@evvyyurek18622 ай бұрын
Hello my dear brother
@DennisMagessa2 ай бұрын
Hello
@NgelejaCharles-ng7bh6 ай бұрын
Tupo pamoja kaka
@DennisMagessa6 ай бұрын
🙏
@MohamedrashidHassan-tz2wi4 ай бұрын
brother hakuna kazi ambayo unaweza kufanya km huna cv huku canada kwan
@DennisMagessa4 ай бұрын
Cv ni lazima, na Cv ni wasifa wako sio elimu kama watu wengi wanavyojua
@MohamedrashidHassan-tz2wi4 ай бұрын
mm naitaji
@NightSindano3 ай бұрын
Good job kaka
@DennisMagessa3 ай бұрын
🙏
@aishaahmed73637 ай бұрын
2:53 kaka nisaidie nimeishaliwa sana pesa zangu shida yangu kazi naomba msaada wako nimeishachoka kaka
@DennisMagessa7 ай бұрын
Nicheck whatsapp 0766048783
@abuuarshad83117 ай бұрын
Thak you for your good replay
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@KalebuTweve-cz5kf5 ай бұрын
Iyo premium job bank ghalam yake n shingp?
@DennisMagessa4 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@AbdallahAbed-jo7ws3 ай бұрын
Very boss
@DennisMagessa2 ай бұрын
👍
@KalebuPius5 ай бұрын
Kaka naomba msaada nami nasaka kazi inje ya nchi
@DennisMagessa5 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@Joykwamby5 ай бұрын
Unaeza henda UK kama ujasoma,, kuliza tu
@DennisMagessa5 ай бұрын
Unaweza Boss wangu
@mwinjilistigodvoicemshanga7 ай бұрын
Kaka tupo wote
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@KalebuPius5 ай бұрын
Nimefungua leo kaka sasa nimehenda mpak mwisho
@DennisMagessa5 ай бұрын
Hongera
@politeboy66817 ай бұрын
🤜
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@ibrahimsaguti74707 ай бұрын
Tuko pamoja kaka
@DennisMagessa7 ай бұрын
Nicheck WhatsApp 0766048783
@allymaganga9547 ай бұрын
Endelea kutujuza kaka binafs Mimi nakuunga mkono
@DennisMagessa7 ай бұрын
🙏
@andreabura5391Ай бұрын
hi job bank nikwa canada tu au ni nchi zote
@DennisMagessaАй бұрын
Canada tu
@abuuarshad83117 ай бұрын
Nilikua nimekua na mdhamini wangu ili tuongee kuhusu iyo mipango alitaka umueleweshe vizuri yani mpaka sasa hatakitena najipambania mwenyewe ila bado sijakata tamaa nitafute kakangu mau nikutafute mdagani ili tuyajenge
@DennisMagessa7 ай бұрын
Nicheck WhatsApp 0766048783
@mylulu47627 ай бұрын
Unatumia jina gani Instagram
@DennisMagessa7 ай бұрын
@@mylulu4762 Dennis Magessa au safiri na Dennis
@evvyyurek18622 ай бұрын
Gharama kiasi gani
@DennisMagessa2 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048787
@user-sy7dw6be5v5 ай бұрын
Kaka mamb vp mm natak kwenda kufunguwa acaunt ya kuomba kazi canada ila sijuw nisem vp nikenda kule benk
@DennisMagessa5 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafdhari 0766048783
@user-sy7dw6be5v5 ай бұрын
Bro unaweza kwenda canada na ukawa hujuwi luha
@husseindottokilenga54246 ай бұрын
Kaka hii ya job Bank mbona ukiweka email inakataa
@DennisMagessa6 ай бұрын
Utakua unakosea au hujajiunga bado
@stevephilip58507 ай бұрын
Pia kaka wanasema mishahara unayoweka ni uongo
@DennisMagessa7 ай бұрын
Mimi sipangi mishahara boss wangu naonyesha mishahara iliyoandika kampuni so labda hizo kampuni ndio zinadanganya.
@user-sl5fc3kj6y7 ай бұрын
Sidhani kwasababu huwa anatuonyesha mipangalio ya malipo