Njia 3 Za Kujua Biashara Inayokufaa

  Рет қаралды 128,730

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 425
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 6 жыл бұрын
Asante Sana Joel nilikuwa nataka niwe na carwash ila nimeanza na small carwash naosha magari Madogo na pikipiki Nina mwezi mmoja na ni passion yangu kuosha gari alafu ing'ae najua nitaiongeza thamani office yangu kila sekunde ya siku yanguu
@vamo2082
@vamo2082 5 жыл бұрын
Justine Mmbando Safi sana kijana
@gahetehussein8791
@gahetehussein8791 5 жыл бұрын
Naomba uniandikie whatsapp yangu hio +25761103872 huo ndio mradi wangu
@elizabethvon3677
@elizabethvon3677 4 жыл бұрын
Wakala wa tgps,mpesa na airtelmoney
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Asante sana kwa breakfast mr Joel!!mimi tayari nimeanza networkmarketing biashara naiona rahisi sana kwa vigezo ulivyovitaja!kiukweli natamani watu wangejua urahisi wa biashara hii bas tu tunatofautiana uelewa.get blessed mwl
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Lily Kessy Ameen thank you
@aishaomary230
@aishaomary230 2 жыл бұрын
Samahan naomba kuuliza hiyo biashara ya networkmarketing ndo ipoje
@alphamenson3784
@alphamenson3784 6 жыл бұрын
I think people they need financial education b'cuz a lotta people they love an aeroplane but it doesn't mean they can fly it....we need to feed our minds right materials to become financially literate...Thank you brother Joel, God bless u fo' yuh teachin
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Kendrick Menson thanks for aprrciations
@benedictorerasto7520
@benedictorerasto7520 5 жыл бұрын
Joel Nanauka naitaji kitabu kaka nipo tabora 0688418424
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 жыл бұрын
Mafunzo mazuri jamani tunakuombea mungu azidi kukufunulia mafunzo kinywani mwako maana kuna kitu tunapata hongera kaka.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
sheillah chisika nashukuru sana Sheillah
@juliuskapela608
@juliuskapela608 5 жыл бұрын
Masomo mazuri napata hamasa zaid ya kupanua biashara zaidi asante bro joel
@nurumussa9107
@nurumussa9107 5 жыл бұрын
Thanks kaka Joel Mimi ninahitaji kuanza biashara ya uuzaji wa kuni za kupikia naomba ushauri wko
@shabanimrisha5323
@shabanimrisha5323 Жыл бұрын
Asante sana Joel m ni kijana ambaye nimekuwa nikikufatilia sana,Mimi kama mm ni mtu ambaye napenda kuvaa kuwa na muonekano mzri,natamn niwe mfanya biashara wa nguo Ila na shwinda kubajeti kwa kile nicho kipata kaka naomba unisaidie kwa ushauri wako kakangu...
@abbasally3846
@abbasally3846 4 жыл бұрын
Nikweli kaka Joel mimi nina milion moja nawaza kufanya biashara lakini nashindwa kupata jibu ni biashara gani nifanye ambayo nitamuweka mtu na kuweza kumlipa maana mimi nimeajiriwa, Ni mwezi wa pili sasa sijapata jibu la biashara gani nifanye.
@IsmailMchimani-hm8fy
@IsmailMchimani-hm8fy 3 ай бұрын
Ni biashar ya genge kaka nina uzoefu nayo na inalipa vizuri niajir tupige kazi kama mwajir wako
@joycemungaya586
@joycemungaya586 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kaka. Hakika Mungu anakutumia kutufikia sisi nduguzo. Kaka Mimi nimeanza biashara ya usafir bodaboda ila niliye mkabidhi kanitoroka nimeumia Sana. Nifanyaje kaka yangu na ni biashara ninayoipenda. Pia je nikitaka kuwa na biashar tofauti tofauti kuna tatizo. Maana maono yangu ni kuwa na zaidi ya moja. Kama Kilimo, ufugaji wa Kuku, usafiri, na nyumba za kupanga. Nishauri kaka
@basamtz8674
@basamtz8674 6 жыл бұрын
Asante sana kakaang kwa kunijibu swali langu nafalijika kuona nimewasaidia na wengene ambo inawezekan walikuwa wanaogopa kuuliza ASANTE SANA KAKA Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Basam Tv karibu sana tuendelee kujifunza na kushare na wengine
@mariammasatu4785
@mariammasatu4785 6 жыл бұрын
Asante sana kk Joel mm nataka kufanya biashara ya kuuza kuku wa kienyeji
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
mariam Masatu safi sana miriam usisubiri uanze na wengi.Anza na unachoweza
@mcmotomototv3298
@mcmotomototv3298 6 жыл бұрын
kila Siku ninavyoamka lazima nipate kinywaji from Joel nanauka
@adeliphinabenedict5878
@adeliphinabenedict5878 5 жыл бұрын
Je nawezaje kupanga ili kujua faida na hasara katika maandishi
@franknachimbinya7688
@franknachimbinya7688 3 жыл бұрын
Truth
@omoromzagila7423
@omoromzagila7423 3 жыл бұрын
Mm nataka kuanza biashara ya kitunguu saumu na nlishanunua na mbegu ila market naiwaza sana
@victoriastephano4075
@victoriastephano4075 3 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@ZawadiRugema
@ZawadiRugema 3 ай бұрын
Nikweli kaka joeli me ngu akubaliki mafundisho mazuri sana
@gaspermtana3169
@gaspermtana3169 6 жыл бұрын
Shukrani sana kk kwa chakula ambacho unatupatia katika ubongo. Kiukweli napenda sanaa kufanya biashara ya kufungua tuition center lakini nashindwa kujua naweza nianzaje naomba msaada wako kk
@seifomary3638
@seifomary3638 4 жыл бұрын
Asante Sana kaka Joel Mimi kwa muda huu nimenuia kujifunza kutoka kwako naamini baada ya muda naamini matunda tutayaona #we will meeting at the top// Thanks
@johnbigambalaye8796
@johnbigambalaye8796 3 жыл бұрын
Biashara ya nguo it’s my dream can u help me for more information about how i can handle this business brother joel
@bakarijuma7207
@bakarijuma7207 6 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel toka nimeanza kukusikiliza nimekuwa mtu mwenye mawazo chanya kichwani mwangu kaka, na moja ya wazo langu ni kuanza biashara ya chakula namaanisha kuwa na mgahawa wa chakula, na ndoto yangu kuwa na mgahawa mkubwa unaotambulika naomba ushauri wako kaka
@Halima-r4o
@Halima-r4o 2 ай бұрын
Asante advice nzuri
@alextibamanya5229
@alextibamanya5229 6 жыл бұрын
Broh asante nimeelewa somo! Mm nataka kufuga bata.
@yaledmbuba3631
@yaledmbuba3631 2 жыл бұрын
Asante kaka joel mimi wazo la biashara ni nalo tena kubwa na linapesa ila mtaji ndo tatzo ila uzuri wa biashara hiyo inahtaji kuanza hata na mtaji mdogo si lazima uwe na pesa nyungi kwa siku za uson ila utaanza kujiongeza taratibu namshukulu Mungu nimeanza na kidogo nilichonacho
@lupolamkomwa8478
@lupolamkomwa8478 4 жыл бұрын
Hakika ubarikiwe sana. Maana kila ninapofuatilia vipindi vyako, naona kuna mwanga mbele yangu. Ninahitaji kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji.
@farajapanga6415
@farajapanga6415 3 жыл бұрын
Asante kwa somo nzur kwel mwaka huu nimewaza kuanzisha biashar
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 жыл бұрын
Sante sana kwa ujumbe, mm nataka nifanye biashara ya car wash & detailing naomba ushauri.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
ussikhamis ussi Anza kuchukua hatua tafuta mahali sahihi
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 жыл бұрын
Joel Nanauka; Nashkuru nitaanza hivi punde tu je, unaweza kunipa tips za mahali pa kuanza hiyo biashara yangu, labda mazingira yake yaweje?
@berthasanga9397
@berthasanga9397 3 жыл бұрын
Hi j Naomba nifundishe njinsi yakutumia miamla ya pesa napenda lakin faida ndogo sijui nakosea
@stellaonmwangabulap6272
@stellaonmwangabulap6272 6 жыл бұрын
Asante kak mm nimeasha na kutengeze Karanga za mayai,ubuyu na cripic japo.ndoto yangu ni kufunga kuku
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Stella on Mwangabulap wow aisee hongera sanaaaa
@shafiomari4281
@shafiomari4281 3 жыл бұрын
Nimefurahia bro somo lako natamani nianzishe biashara ya mgahawa Ila sijajua njia gani nitumie kuanzisha
@mariamm2724
@mariamm2724 3 жыл бұрын
Napenda sana biashara ya nafaka kweli ninapenda mno , mungu anisaidie 2021 hii nifungue duka langu , japo la m. 4 tu nitaanza nayo.
@miriamevarist9997
@miriamevarist9997 4 жыл бұрын
Asante kaka joo..me bdo inaninuia vigum sana coz jmii inayonizunguka wat wachache na ndipo nataka kufanya biashara lkn cjui n gani
@ruthstephen2791
@ruthstephen2791 4 жыл бұрын
Unaweza pia kufungua duka la bidhaa jumla na rejereja
@malaikaspriani4199
@malaikaspriani4199 2 жыл бұрын
Napenda sana urembo mtaji ninao lkn sina ujuzi katika hii biashara nisaidie
@simonfredy2324
@simonfredy2324 6 жыл бұрын
Thanks kwa knowledge unayotupatia.... Mimi Nafikiria kuwa mjasiriamali wa mtandao.
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Simon Fredy ndo biashara inayokwenda na karne tuliyonayo ,,mm nimeanza tayar karibu tupambane!
@simonfredy2324
@simonfredy2324 6 жыл бұрын
Lily Kessy.... Pamoja Sana..... Tusaidiane ktk kujengana kimawazo
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Simon Fredy 0759219177 nchek tubadilishane ujuzi
@simonfredy2324
@simonfredy2324 6 жыл бұрын
Lily Kessy poa poa!!!
@dinamfangavo760
@dinamfangavo760 5 жыл бұрын
nashkuru sana kaka kwa kunifumbua,kwan nilitaman sana kuanza biashara ckunyingi lakn ckuwa na ufahamu juu ya biashara gan nifanye.🙏🙏
@fundiumeme-siasa.2692
@fundiumeme-siasa.2692 2 жыл бұрын
Safi Sana mimi ninaujuzi wa ufundi umeme nahitaji nifungue duka la vifaa vya Umeme naomba muongozo
@meckdetorvic6221
@meckdetorvic6221 6 жыл бұрын
Asante sana Mr Joel ila na mimi nina shida naomba ushauri wako Mr mi mpaka sasa Nipo tu nyumbani natamani sana Nifuge kuku wa mayai na kwa ajili ya biashara na mi sina mtaji naomba ushaur wako
@ignasdernkondo9226
@ignasdernkondo9226 5 жыл бұрын
Asante sana bwana Joel Nina mtaji kama lakitano hivi nilikuwa nikifanya kazikwa bamdogo ya kuuza duka na nataka kufungua kibanda changu JE hapawez leta mgogoro hapo kati ya mim na BA Mdogo?
@mrmwombeckbusiness9089
@mrmwombeckbusiness9089 5 жыл бұрын
HI
@elizabethzabron8489
@elizabethzabron8489 6 жыл бұрын
Kaka Uishi miaka mingi kwaajili yeti tunatamani tuendelee kujifunza mengi zaidi kutoka kwako God bless you
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Elizabeth Zabron Ameen nashukuru sanaa
@derickrashid7581
@derickrashid7581 6 жыл бұрын
kaka ii ni zaid ya elimu ya biashara, nilikua mmoja wa watu tunao angalia pesa niliy nayo ili kuanza biashara, lakin sikuwai jiuliza aya maswal thank you kutoka sasa naanza upya kufanya biashara kwa ustadi mana aya maswal yatakuako, kichwani, wazo langu kuu sasa ni ufugaji wa kuku wa nyama kwasababu kufuga is my passion pia naweza anza mda wwte from to day. You will see me at the top
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Derick Rashid safi sana Derick nitafurahi ukinijulisha mara utakapoanza kufanya ufugaji.Nakutakia mafanikio makubwa kwenye malengo yako
@salimkhamisi6490
@salimkhamisi6490 Жыл бұрын
Ntaka kufungua biahara ya eletronic coz nko na experience nayo bt cpital yangu ni kidogo ya kuanzisha bt nkaona nifungue duka coz hiyo ndo rahisi kulingana na hela nilizonazo je inaeza work nikitafuta pesa nyingine
@oscarofficial7778
@oscarofficial7778 3 жыл бұрын
Big up Brother! Nina hitaji kuanza kufanya biashara ya Supu ya ng'ombe, unaweza niongezea maarifa juu ya kwanza vyema.
@mc_turuka
@mc_turuka 2 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka Nanauka mimi nawaza Kuuza Asali hapa ila napata hofu kubwa sana kubwa sana kuanza biashara hii
@subiramagoha5321
@subiramagoha5321 3 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa elimu unayotowa binafsi inanijenga na kuniinuwa sana
@reginamiho5924
@reginamiho5924 2 жыл бұрын
Asanteee me natamani nifanye biashara ya duka la mikate
@kenyatatogota5340
@kenyatatogota5340 5 жыл бұрын
Napenda Sana kuuza nguo llanuza mazao nafaida inasumbua
@mathewcharles4653
@mathewcharles4653 4 жыл бұрын
Naitaji kua mfanyabiashara wa vifaa vya cm ila sielew pakuanzia mana sins mtaj
@samwelmahenge52
@samwelmahenge52 4 жыл бұрын
Anza kidogo kidogo mfano....anza kwa kusambaza protector unaagiza protector za 50 elfu unasambaza zote then hivo hivo utakuja uanze na kwasambaza na earphon mwisho wasiku unajikuta unavyote na tayali unaduka kubwa all in all utaanza kufata china we mwenyewe
@faridamkesso97
@faridamkesso97 6 жыл бұрын
Asante sana kwa somo. Ubarikiwe sana
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Farida Mkesso Ameen
@mugishanasra1919
@mugishanasra1919 3 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo yenu tu na wasikiya
@patrobalucas824
@patrobalucas824 6 жыл бұрын
Ahsante kwa elimu nzuri unayotoa kwa watu naomba kuuliza kitu mm namtaji wa 700000 katik biashara ya m pesa Ila nilitaka nitoe 200000 nirekebishe kibanda kwani mwanzo nilikuwa nafanyia nje kwenye mwanvuli so naona niongeze samani ya bihashara yangu kwa kuibland je nitakuwa sahihi katika ili?
@ramadhani7134
@ramadhani7134 4 жыл бұрын
Nashukuru Kaka nimepata maarifa juu ya biashara natamani kuifanya biasha lakini sijui ntafanya biashara gani
@mdtv2625
@mdtv2625 6 жыл бұрын
Thanks my blood brother gd will keep you today $ 2morrow
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Mudy Homange Ameen
@felistersaad7187
@felistersaad7187 4 жыл бұрын
Napenda kuuza nguo.. Mfano madera.. Lakini kila nikiangalia nakuta ni wengi sana mitaani kwetu wanauza... Naishindwa lakufanya
@sethmnguruta6145
@sethmnguruta6145 3 жыл бұрын
Napenda niwe na hardware ya spare za magari naweza kuanzia wapi wakat mtaji wangu kwa sasa ni mdogo?
@babalois7240
@babalois7240 6 жыл бұрын
I was dreaming kufanya biashara ya kununua na kuuza Mazao ..but kila nilipoogopa kuanza,Ninakuta mwaka huo ndio bei ya mazao inakuwa nzuriii sana soko.. MWAKA HUU NAANZA KUNUNUA KOROSHO.. MUNGU ANISIMAMIE
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Justine Mrope hongera sana Justine kila la kheri
@juliuskapela608
@juliuskapela608 5 жыл бұрын
Bro mm nipp visiwan huku mwanza ,nataka nifanye bishara ya kuuza bites ,ubuyu,karanga,keki mikate ,nianze kidogo na mtaji mdogo nionee mafanikio yake ,nina laki 2 km mtaji ushaur wako
@lilsome6331
@lilsome6331 4 жыл бұрын
ahsanteee kwa muongozo mzuriii😘
@jescahiza9215
@jescahiza9215 3 жыл бұрын
Habari mm natengeneza meza kwa kutumia cement na no nzur tu lakin bado sijajulikana na sipati wateja na sijui chakufanya ili kupromot bidhaa zangu na si hivo tu pia naongeza thamani kwenye Rasta za kawaida na kuzibadilisha kuwa za kuvutia lakini wateja hamna so sijui njia ya kufanya ili kusonga mbele
@zeitunimvungi3517
@zeitunimvungi3517 3 жыл бұрын
Mr Joel nataka kuanzisha biashara ya bekary nishaur nianzie wapi sina elaa ya kutoeha
@bohkeMMassa
@bohkeMMassa 2 жыл бұрын
Mm nifungo lkn na penda sana biashara ya chakula kiujumla napenda sana kupika kaka kuliko kushona nguo
@Unknow9473
@Unknow9473 6 жыл бұрын
watu wengi huwa tunawaza faida bila kuijua biashara yenyewe na huwa tunaogopa hasara sana but hakuna biashara isiyo na harasa
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Christiana Kyando ahsante kwa mchango wako pia
@neemaboa6516
@neemaboa6516 2 жыл бұрын
Bro ahsante kwa masomo yako mazuri mimi ninataka kuanza biashara ya kukodi vyombo mfano viti, sahani masufuria kwenye shghuli jee! Mawazo yangu yanalipa? Naomba msaada wa mawazo
@JordanTrent-ug3hc
@JordanTrent-ug3hc 2 ай бұрын
Nimepata moyo wallah I can Try
@jacklinemuhigila6805
@jacklinemuhigila6805 5 жыл бұрын
Asante sana kaka; mm nawaza kuwauzia wanafunzi wenzangu vocha za rejareja hapa chuon
@samwelmahenge52
@samwelmahenge52 4 жыл бұрын
Kama mpo wengi saana uza hata karanga ...kuna watu huwa wanakula mda wote
@samwelmahenge52
@samwelmahenge52 4 жыл бұрын
Na jitahid unavouza uwekeze nje ya chuo ili ukimaliza chuo uwe na uwezo wa kuendelea ku survive
@marthaurio885
@marthaurio885 Жыл бұрын
Napenda kufanya ufugaji wa kuku,lkn mara kadhaa na feli
@deogratiuschisatu2911
@deogratiuschisatu2911 4 жыл бұрын
Nataka kufanya biashala ya duka la dawa za binadamu Ila nahitaji nionane nawewe maana nimefanya biashala nyingi bila mafanikio
@agostinofelefele3201
@agostinofelefele3201 2 жыл бұрын
I liked much
@aaaavvvv4261
@aaaavvvv4261 5 жыл бұрын
Wao nilianza biashara kidogo ya uzaji vyakula kama dengo mahalagwe ila nikafa moyo nikafunga ila napo kuskia ivo namoyo wakurudia
@peterlema3752
@peterlema3752 6 жыл бұрын
Kaka Joel Nanauka kama kawaida yako unagonga point zilizokwenda ulaya hahaha Anyway mdogo wako nataka kuanzisha KILIMO BIASHARA for a long time nimekuwa nikipanga bila kufanya ila this time nimedhamiria kufanya kwa ukubwa zaidi Ushauri wako utakuwa msaada mkubwa sana kwangu See you at the top 😂😂😂
@ZenasKimario
@ZenasKimario Жыл бұрын
See you
@princessleonard6415
@princessleonard6415 3 жыл бұрын
Jaman mie natamani nianze kwenye matunda na mbogamboga maana naona ndio ninazoziweza kwa sasa
@iddosanga9749
@iddosanga9749 6 жыл бұрын
great job
@adabertwilson6304
@adabertwilson6304 Жыл бұрын
Nikwel Kaka mm Nina laki tati Kama kianzio lakin nashindwa nibiashara gan nianzishe
@lameckmasekoo5380
@lameckmasekoo5380 4 жыл бұрын
Nimekupata yakuwa nikyanza nanilicho nacho ....asante bro
@badrysadick9644
@badrysadick9644 3 жыл бұрын
Ninabiashara. Naifanya brother changamoto ipo kwa wateja wangu natumia instagram kwa ajili ya kupromote na nimefungua mpaka log yang ya pampers na maziwa ya watoto
@patrickluther2776
@patrickluther2776 5 жыл бұрын
Kikweli hiii video nimeangalia wakati sahihi nazani mungu ana mipango mikubwa na mimi maana nlikua nataka kughairi kufanya biashara ambayo nlikua nataka kuifanya kwa kuona mtaji ambao hautoshelezi lakini kumbe naweza nikaaanza na nilichonacho thex br joel
@veronicajeremia8219
@veronicajeremia8219 Жыл бұрын
Natamani kufanya biashara ya nguo za nyumba na viatu Ila Kila nikianza naacha Ila napenda Sana nifanyaje kakangu
@rashidkihombo6782
@rashidkihombo6782 4 жыл бұрын
Mm nilikuwa nafanya biashar ya duka la chakula na baada ya miaka 4 nilifungua duka la simu mwaka huu nimekutana na tatizo la kufirisika nifanye biashar gan maan nashindwa kwan mtaj wangu ni lak moja tu kwa sas
@velenajoshua9590
@velenajoshua9590 3 жыл бұрын
Mm nifundi cheleani mzuri na ninamashine aina zote ila nimechoka kushona naitaji byashara ya duka ra lejaleja yaani chakula unanishaulije kaka?
@FatmaMohamed-zl8lt
@FatmaMohamed-zl8lt 2 жыл бұрын
Namependa snaaa hii hbr naomba bc na mm nielewe Jin's ya kuingia kwenye biashara please
@khamismwalim4161
@khamismwalim4161 2 жыл бұрын
Mie mtaji wangu mdogo natka kufungua biashara ya kuuza chips na mayai naomba ushauri kwko ww!! Asant sana
@BT-rp6by
@BT-rp6by 2 жыл бұрын
Thank you bro mm nko n challenges nataka ya nguo mara tena y cereals so nko 50.. 50 aky🤣🤣🤣
@jacklinemilambo3152
@jacklinemilambo3152 Жыл бұрын
Thanks but,mim nakuwa mwoga saana nikiangalia kila biashar nnayotaka kufanya watu wengi wanaifanya, kwahyo najikuta ninaogopa
@SaidyRDismasi-qm4kc
@SaidyRDismasi-qm4kc Жыл бұрын
Asante kaka
@kulwakimbe3838
@kulwakimbe3838 5 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel nmejifunza kitu
@kmotivation1130
@kmotivation1130 2 жыл бұрын
je kama passion haipo kabisa
@Yeremiahmuhamali
@Yeremiahmuhamali 3 ай бұрын
Nawezaj kufikia malengo yang katka biashara.
@veronicanyadu5636
@veronicanyadu5636 6 жыл бұрын
Hongera kaka unafundisha vzr big up
@amouruyabi2634
@amouruyabi2634 3 жыл бұрын
Nataka njia nzuri jinsi ya kukuza duka
@eliazalyemmanuel9478
@eliazalyemmanuel9478 5 жыл бұрын
makini sana kaka mimi niko na ww kama samaki na maji mungu awe nawe
@SarafinaNaftali-lw2gk
@SarafinaNaftali-lw2gk 9 ай бұрын
Daa Mungu akubark sana
@florencekaingu5775
@florencekaingu5775 2 жыл бұрын
Mimi nikona ujuzi ila sio marufu sana nawo .juu niliacha kwa uda wa miaka ya kuhesabu nikajiriwa kazi tofauti ili nijitafutie chanzo cha kufungua yangu . Sasa nikotayari kuanzisha yangu . Je nafanyaje
@denislyoka5371
@denislyoka5371 3 жыл бұрын
Me nataman Sana kufanya biashala ya library au studio zakulusha muvi. Ndio Nina hobi nayo kutoka damuni. Nina mtaji wakununua computer tu.
@charlesdalali1023
@charlesdalali1023 3 жыл бұрын
Natamani kufungua saloon ya kunyoa naomba ushauri namna ya kuanza ile kazi yangu isonge mbele zaidi
@maimunanungu7177
@maimunanungu7177 2 жыл бұрын
Hilo nitatizo kubwa ,mwingine anajua na hela na asijue kitu Cha kufanya, mwingine hana na ana idea ya biashara,
@alquinmadoro2291
@alquinmadoro2291 5 жыл бұрын
Yaan hili swala ndo huwa najiuliza sana nifanye nn ? Namshukuru mungu kuijua channel yako,thanks kwa mafundisho yako
@deus9246
@deus9246 3 жыл бұрын
Nimejifunza kitu. Asante
@nankwajumanne6184
@nankwajumanne6184 6 жыл бұрын
Napenda kufanya biashara ya stationary lakini mahara nilipo in kijijini na nimwajiriwa Wa serikari katika eneo hilo je nifanyeje?
@rahmamasoudi9059
@rahmamasoudi9059 3 жыл бұрын
Nlipenda NIANZE biashara ya mpesa chuon lakin naona weng wanatma pesa chuon nasi kutoa nakutoa ndio knafaida kulko kutuma
@theophiljosephat4049
@theophiljosephat4049 3 жыл бұрын
Ninamtaji wa laki5 pekee npo Dar es salaam nmeshindwa kuchagua biashara gani nifanye msaada please
@sarvaharuna6656
@sarvaharuna6656 4 жыл бұрын
Bro nashukulu kwa somo m nawazo LA kufungua duka ra kuuzia mayai mtaa huu hakuna duka kama hilo jee naweza tumia talatibu gani mkuu
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 5 жыл бұрын
Ubarikiwe kiongoz..nakuelewamnoo...
@felistermhango3177
@felistermhango3177 3 жыл бұрын
Natamani Sana kufungua BOOK SHOP
@zainayolamu6486
@zainayolamu6486 2 жыл бұрын
Kweli kabisa anza na ulicho nacho amini hili mimi nilianza na pic tatu za shuka
@lipumbamanga4351
@lipumbamanga4351 6 жыл бұрын
Asante kwa masomo mazuri,ni mjasiliamali napata hela kiasi ila nimeshindwa kukabiliana na kufanya jambo moja na kulimaliza ndo nihamie jingine,nahama hama na kipato kinashindwa kuhimili so nakuta vyote viko nusunusu,nifanyeje?
@lipumbamanga4351
@lipumbamanga4351 6 жыл бұрын
Roho haitulii kabisa inapelekea kuishi maisha ya msongo,nisaidie kutoka kwenye kifungo cha kuhama/kuendesha vitu vingi mwisho vyote vinabaki nusunusu
@babalois7240
@babalois7240 6 жыл бұрын
Thankx Sir
NAMNA YA KUPATA WAZO ZURI LA BIASHARA - JOEL NANAUKA
11:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
AINA ZA VIPATO NA UHURU WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
8:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 8 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 57 МЛН
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
NAMNA YA KUIMARISHA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
12:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 46 М.
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
6:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 266 М.
Dakika Sitini Za Mwanzo Kila Unapoamka
6:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 74 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 63 М.
MAMBO YA KUZINGATIA ILI BIASHARA YAKO IFANIKIWE - JOEL NANAUKA
7:37
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН