Mungu nisaidie nisochukue punda wote na hazina zote. 🙏🏾 I am blessed by this message. Thank you Apostle.
@alainmoseka5913 Жыл бұрын
I receive Mimi nipo DRC.. Napenda sana mafundisho ya apostle.. I want to have the opportunity to see him
@petronhungu2516Ай бұрын
Nimebarikiwa, glory to Jesus.
@OmanOman-gv8qb Жыл бұрын
Ameen baba nafungua fedha za mshahara wangu Bwana anazihitaji. Mungu akubariki mtumishi umefungua moyo wangu
@lilianlubanga4010 Жыл бұрын
Powerful Revelation .More Grace to you Man of GOD.
@Devothakimei Жыл бұрын
Yoooh powerful teachings. Natamka kufunguliwa kwa maisha yangu na familia yangu kiroho na kimwili kwa jina la Yesu.
@numpereuben81724 ай бұрын
Amen nimefunguliwa
@pastorerastuskenya4774 Жыл бұрын
I always in love with the grace of revelation that God give you.
@salomeivorant32663 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi kuna sehemu navuka kwa imani nimefungua kwa jina la Yesu.
@johnmrageri7319 Жыл бұрын
mungu akupe nguvu pasta maana mafundisho yako yananijenga kiimani xaana
@mzalendohuru...4967 Жыл бұрын
Vibes in christ ....open our mind and brings revaletion 😍
@c.k.l3825 Жыл бұрын
Niliangaika sana nikitafuta mwalimu wa neno ila Toka siku nilisikiza ujumbe wako!!! Umekua dawa ya Hamu na kiu changu Cha neno. Be blessed with more revelation for me and other.
@sarahkakuba8392 Жыл бұрын
Bwana amekutukuza saana mtu wa Mungu, naomba Mungu akuzidishie neema Amen 🙏🙏
@edinahkemuntomainya6551 Жыл бұрын
Amen Apostle nimekuelewa.Punda Moja ni WA kwangu na mwingine ni WA YESU.
@jumwaharrison2715 Жыл бұрын
Amen pastor ubarikiwe sana, mtumishi wa Mungu umekua mwalimu kwangu sana . Unanikuza kiroho sana , Umenifundisha jinsi ya kufafanua maandiko . Mungu azidi kukutumia na kukupaka mafuta mapya kina uchao 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲 . Amen ninaenda kupokea kina ninachokihitaji , kilicho funga ndoa yangu naenda kuifungua , kilicho funga huduma yangu naenda kuifungua . Kila kilichochangu ambacho kilifungwa naenda kuifungua Kwa jina la Yesu Amen 🙏🤲 l received in Jesus name 🙏🙏🙏
@bumijamkumbwa1732 Жыл бұрын
Ameni ..
@everlinelove160 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Apostle,nafungua baraka ya ndoa na Mungu anaihitaji,, Amen
@happyness4241 Жыл бұрын
Amina Sana mungu anisaidie
@katoroezekiel7095 Жыл бұрын
Amina mtumishi Mungu akubariki nimepokea na punda mmoja ni yesu mwingine wa kwangu
@irenemukonambi1957 Жыл бұрын
Ubariwe Man of God kwa mafundisho mazuri yameniweka mahali
@veronicamombury5771 Жыл бұрын
Baba napokea katika kiwango Cha utukufu wa Mungu akutunze chief prophet
@kyalalove3178 Жыл бұрын
Amen my Apostle...nimefunguliwa in Jesus name Amen
@StelaMushi2 ай бұрын
Napokea kwa jina la yesu
@janemusa16 ай бұрын
Thank u I receive it in the mighty name of Jesus
@kajujumary6284 Жыл бұрын
Hallelujah 👏 glory to God almighty this message is mine Continue Chief apostle.
@dorismbaisi18743 ай бұрын
Amen amen,ukweli niliamini,maubiri haya namungu akafungua,njiaya zangu nikanunua shamba
@jamesdioniz4860 Жыл бұрын
Hallelujah Mungu ni mwema sana, Chief Apostle Mungu azidi kukuinua
@liliankeyabaraka8195 Жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana mutumishi wa MUNGU
@PETERNGULILIАй бұрын
Amen
@privatuskatabalo9617 Жыл бұрын
Niko naangalia mafundisho haya,nimepigiwa simu watu wanataka nikawabee mizigo mji unaonikabili na kuupeleka mji mwingine. HALELUYA. Bwana ananihitaji.
@langolambinguni8653 Жыл бұрын
The son of major one, I receive it
@shazzysymon6835 Жыл бұрын
Soo profound chief APOSTLE kumbe nateseka hapa ni juu sijafungua vitu zangu .Kuanzia leo nakiri kwamba kila kitu changu mali,familia,mashamba,biashara,ndoa nazifungua kwa kua BWANA ATAKA .
@davidsimbeye15489 ай бұрын
Very powerful revelation
@ibinmfika8096 Жыл бұрын
Napenda mafundisho yako
@jennijoseph2949 Жыл бұрын
Amen Chief umesema na moyo wangu. Mungu akubariki sana
@stephenngangaministrykenya. Жыл бұрын
This has found me in the right time chief apostle be blessed
@lyidiamkini548511 ай бұрын
Amina mtumishi
@marykageha4305 Жыл бұрын
Amen Apst nakuelewa .limbuko na tithe ni vua Mungu .connecting from Lebanon.im so blessed.
@edwinonsombi Жыл бұрын
Amen ,and asante kwa neno.
@frankstarstz4703 ай бұрын
Amem
@felestinekwamboka2873 Жыл бұрын
Wonderful teachings be blessed you have taught me something pastor glory to God .