Jinsi ya kuomba na kushinda American Green Card Lottery (DV2025 Application)

  Рет қаралды 10,036

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

FURSA YA KUPATA GREEN CARD YA MAREKANI KUPITIA GREEN CARD LOTTERY (DIVERSITY VISA PROGRAM)
EBM SCHOLARS ITAWAPIGA PICHA NA KUJAZIA WATU TENA KAMA MWAKA JANA?
Ndio: Mwaka huu tunaanza mapema. Sio kuanza mapema kuingiza information online, la hasha, kuanza mapema KUPIGA PICHA na KUJAZA TAARIFA KWENYE FOMU YA KARATASI. Tukisubiria October kujaza online.
Changamoto ya kusubiria October tuliyokutana nayo mwaka jana ni kwamba wengi watoto wao wapo shule za boarding au vyuoni, au wenza wao kuwa mikoa mingine. Hii kufanya kupata picha yenye kukidhi masharti kuwa ngumu sana.
Kupiga picha mapema, kunafanya mtu kupata muda wa kutosha kuhakikisha watoto na mwenza wote mnakuwa na picha. Hii huondoa ile kusema sina mme, au sina mke, au sina mtoto kisa huna picha zao.
Tumeshaanza kupiga picha za DV Lottery Applications hadi NOVEMBER 7.
Kila siku ofisi itakuwa wazi hadi weekend tupo wazi.
KWA DSM, OFISI IPO PALE PALE KWA MWAKA JANA NYUMA YA SKY CITY MALL?
Ofisi ipo NYUMA ya SKY CITY MALL. Ila ni nyumba ya jirani na ile ofisi ya HOPE CENTER. Hivyo ukija kama unakuja pale kwa mwaka jana, nyuma ya Sky City Mall utaona vibao vya direction.
KWANINI NISITUMIE PICHA YA MWAKA JANA?
Hairuhusiwi kutumia picha ukliyotumia kuombea mwaka uliopita. Utakosa.
GHARAMA NI ZILE ZILE KAMA MWAKA JANA AU MMEONGEZA?
Gharama ni zile zile ndogo tu. Mtu ambaye ni SIGNLE na hana MTOTO ni Tsh. 20,000 na mtgu ambaye ana FAMILIA ni Tsh. 30,000
KUNA HUDUMA ZINGINE NJE YA DV PROGRAM?
Ndio ukija ofisini kwetu kuna fursa za kwenda USA, CANADA, ULAYA, NEW ZEALAND, ASUTRALIA kwa njia mbalimbali. Pia unaweza kutembelea website yetu www.ebmscholars.com kisha nenda SERVICES utaona huduma.
FOLLOW US
@ebmsignature
@ebmscholars
@ebmscholarsapp
EBM SCHOLARS, LLC
www.ebmscholars.com
ebm@ebmscholars.com
MISSOURI, USA
Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.co...
Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com...
2. CASH APP cash.app/$EBMS...

Пікірлер: 75
@mosesmochama9548
@mosesmochama9548 Жыл бұрын
Asante sana, nimeomba hii green kadi mara tatu, naaminni kwa mara ya nne nitakapoomba na jamaa yangu oktoba nitafulu kuchaguliwa mwaka ujao kwa neema ya Mola, Amina
@nassibhassanali5082
@nassibhassanali5082 5 ай бұрын
Kaka salama unaweza nipa elim zaid uliombaje
@Lifemotivation7171
@Lifemotivation7171 4 ай бұрын
Utapata kaka inshaallah 🙏🙏🙏
@mosesmochama9548
@mosesmochama9548 4 ай бұрын
@@Lifemotivation7171 nashukuru sana kwa kunitia moyo
@fadhilmgahi1334
@fadhilmgahi1334 12 күн бұрын
Hongera sana kaka ebm unatupigania sana sisi hatuna cha kukulipa ila mungu atakulipa
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv 6 ай бұрын
Hongera sana chif kwa semna zuri sana mungu akubariki sana
@nathanontegi3222
@nathanontegi3222 Жыл бұрын
Maelezo yakinguvu mkuu nayashabikia vilivyo,naona ushindi wangu ukijitokelezea baada ya kuangalia filamu hii,mungu akushidishie.
@suleabtigigis6932
@suleabtigigis6932 Жыл бұрын
❤❤ Pia mm nataka unifanye bro my name is suleiman I'm form kenya niarobi
@mauwafrancine9956
@mauwafrancine9956 Жыл бұрын
Mimi nimuchindi wa mwaka hu ila nimekosa wakunielekeza nisaidiye sana unipe namba zako na unambiye kiasi cha pesa nitalipa kaka nisaidiye
@DeniceSimeo-ul8dk
@DeniceSimeo-ul8dk Жыл бұрын
Asante Bro.EBM, naomba kuuliza, vip Kama Sina ndoa na Nina watoto.
@tinaminja5500
@tinaminja5500 Жыл бұрын
Mungu akubariki mno kwa moyo wako wa kutusaidia watz weng
@georgembuvi10
@georgembuvi10 Жыл бұрын
Habari....swali langu kwako ninkwamba ..unaweza host mtu akisha shinda green card
@ngoynzoagermain
@ngoynzoagermain 10 ай бұрын
Pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩
@frankfitiaelmbise9682
@frankfitiaelmbise9682 Жыл бұрын
Nimeleewa Sana bonifasi Sasa tunakusubiri Arusha kwajili ya picha na application October
@razoindeed8228
@razoindeed8228 5 ай бұрын
Thanks bro
@teresiamathias8636
@teresiamathias8636 Жыл бұрын
Asante Sana kaka nimekuelewa vizuri 🎉
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Asante
@mauwafrancine9956
@mauwafrancine9956 Жыл бұрын
@@EBMSWAHILI kaka naomba namba zako nataka unisaidiye kujaza fomu mimi ni mshindi wa mwaka hu nisaidiye unielekeze nakosa wakunielekeza na unambiye kiasi cha pesa ndalopa nisaidiye sana
@mbtwinsentertinment8124
@mbtwinsentertinment8124 11 ай бұрын
@@mauwafrancine9956hello
@joejosca7594
@joejosca7594 Жыл бұрын
So Nice kaka, nisha like na kushare 🎉
@PharisWainaina-kx5cn
@PharisWainaina-kx5cn Жыл бұрын
❤napenda jinsi unawaelimisha wa Africa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
Mbona simu haipokelewi
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 Жыл бұрын
Asante kaka nimefanya shared kwa magropu ya WhatsApp na nimewaelekeza
@lawrencetarimomash
@lawrencetarimomash Жыл бұрын
Kaka ni lijaza last year swali langu mimi elimu yangu ni.ya primary work experience yangu ni business na mimi hupenda sana kua Draiver wa trailer au heavy track au laity car.naomba ushauri wako kaka
@Mamabrie111
@Mamabrie111 Жыл бұрын
God bless you Ernest unatotoa matongotongo. Sasa Iringa utakuja lini tupige Picha?
@ochuuothmani9555
@ochuuothmani9555 6 ай бұрын
😊
@betricedavid2412
@betricedavid2412 Жыл бұрын
❤❤
@UmuhozaEsperance-jz1fe
@UmuhozaEsperance-jz1fe 11 ай бұрын
Habari nataka namimi unifanyiye lakini mimi Niko Rwanda unaweza Kuni saidiya Kuni fanyiziya green card
@SarahPhilemon-g2o
@SarahPhilemon-g2o 2 ай бұрын
Mimi sikufika secondary je naweza kufanya nini nahitaji kushiriki
@ReginaLemunge
@ReginaLemunge 22 күн бұрын
Kaka tunakupataje October nataka unisaidie kuapply, tunaomba mawasiliano pls
@lawrencetarimomash
@lawrencetarimomash Жыл бұрын
Nauliza kama uko na office huku Kenya nairobi au kisii asante
@BaigonMacha
@BaigonMacha Ай бұрын
Kk habari za siku mwaka huu tunajaza Green card lini nikutakie week end njema
@KamungaMukinayi
@KamungaMukinayi Жыл бұрын
Au kwenye ile form nitajaza aje kuonesha kama Mke na mtoto wako marekani naomba unisaidie sana please
@KamungaMukinayi
@KamungaMukinayi Жыл бұрын
Habari yako Coach, mimi ni Alex baliba from Tanzania, nimekuwa nauliza ivi, Mtu ambae ana Mke na mtoto Marekani anaeza akafanya aje??? Please naomba jibu please
@jamesrutha723
@jamesrutha723 11 ай бұрын
Vip kuhusu swala la lugha
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 2 ай бұрын
Kaka iyo green card holder nita ipata baada ya kufika American au
@alphoncemaganga1876
@alphoncemaganga1876 Жыл бұрын
Mkuu je kwa wanandoa mnaweza kutumia emeir moja au emeir tofauti kwenye maombi ya green card?
@jafarikilima368
@jafarikilima368 Жыл бұрын
ABM kwa dareslam upigaji wapicha mpo sehemu gani?
@ChifuTozi
@ChifuTozi 3 ай бұрын
Mwaka huu inaombwa lini
@MaySalim-h7y
@MaySalim-h7y Жыл бұрын
Kaka pole kwa majukumu ofisi ziko wapi kwa Dar es salaam
@ismailislam2462
@ismailislam2462 5 ай бұрын
Naomba nielekeze mwaka huu office yako ipo wapi?
@msalikemedia
@msalikemedia Жыл бұрын
Kwa Daresalam Ni sehem gani pakuandaa picha na kila kitu kwa anaejua Tafadhali naomba nielekeze
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Nenda Mlimani City kuna jengo linaitwa Sky City Mall nyuma yake kuna mtaa unakuelekeza moja kwa moja zilipo ofisi za EBM
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
00
@athumankassimu8913
@athumankassimu8913 Жыл бұрын
Jamn si nimeskia no more green card lottery 😢
@Mamabrie111
@Mamabrie111 Жыл бұрын
umesikia wapi?😂😂😂😂
@iamfrowin7844
@iamfrowin7844 Жыл бұрын
Mimi nilikuwa nauliza kwamba kama mtu umemaliza elimu ya high school alafu umemaliza hadi level ya diploma hapo unajaze?
@upendomshani3932
@upendomshani3932 Жыл бұрын
Jaza high school
@rahelpaul3079
@rahelpaul3079 5 ай бұрын
Kaka EBM Mimi Kama ni olevel secondary School,ila nina diploma ya miaka miwili ya Tanzania ambayo kitanzania ni elimu ya vyuo vya ufundi stadi ila nikijaza vocational school kuna shida Kaka.?
@stanslauskaparangabo8977
@stanslauskaparangabo8977 Жыл бұрын
Mzee wa kaz. Je upgaji picha mwanza ni lini mbn ni kama wa dsm wamepewa kipaumbele
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Mikoani tunaandaa utaratibu
@dainafranck8718
@dainafranck8718 Жыл бұрын
Ndoto yangu ya kufika marekani hii hapa jamani inaenda kutia🙏 please jamani mimi natamani sana kucheza hii green card ila ndo sijui nianzie wapi 🤔 mimi nipo dar res laam niwapi naweza kwenda kwa hapa dar
@evanceaboke9381
@evanceaboke9381 Жыл бұрын
Tuonane tufanye maandalizi please.....nipo dar pia
@ujukuakram
@ujukuakram Жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza ukishinda pia auendi kuomba visa
@jumamaruzuku4816
@jumamaruzuku4816 Жыл бұрын
Umemaanisha nn hapa kiongozi?
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Hata mimi sijamuelewa
@jumamaruzuku4816
@jumamaruzuku4816 Жыл бұрын
​@@EBMSWAHILI❤
@jumamaruzuku4816
@jumamaruzuku4816 Жыл бұрын
kama umeApply wewe na mwenza wako namkashinda namkapata visa je inawezekana mmoja akaondoka kisha baada ya muda mwingine ndio afuate?
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Ndio, inawezekana ila lazima iwe ndani ya muda wa mwaka wa Green Card Lottery. Kama muda wa kuingia ukipita, itakulazimu kuja kwa njia ya sponsorship na sio lottery. Huwa nashauri ni vyema nyote mje pamoja
@jumamaruzuku4816
@jumamaruzuku4816 Жыл бұрын
Shukran sana kiongozi
@jumamaruzuku4816
@jumamaruzuku4816 Жыл бұрын
Naomba mungu akutunze mzee wangu 🙏 maaana sioni wakunisaidia hii kitu nikishinda tofauti naww
@jumamaruzuku4816
@jumamaruzuku4816 Жыл бұрын
Samaham Father EBM🙏 Kama umeenda kuApply namtu ambaye unatarajia kuingianae kwenye ndoa inakuwaje mtaApply kama mmeoana au? Hii ni case yangu binafsi Mm natarajia kuoa mwezi wa 11 mwaka huu sasa dirisha la kuomba Dv lottery ni mwezi wa 10 tunataka kuApply je tunaweza kuApply kama watu walioowana ili kuongeza Double chance?
@betricedavid2412
@betricedavid2412 Жыл бұрын
​@@jumamaruzuku4816 mnaweza kuapply imshu imakuja kwenye tarehe mliyojaza za ndoa yenu na tarehe original mliyooana kabisa yani kifupi kwenye dv lottery ulijaza tarehe tofauti na utakapo funga ndoa cheti chako kitakapotoka kitasoma tarehe tofauti tayari utakuwa disqualified kwenye interview yako
@EmmanuelKibavu
@EmmanuelKibavu 6 ай бұрын
Mwaka huu application zinaaza lini 2024
@tatumzelela5515
@tatumzelela5515 4 ай бұрын
Mwezi wa 10
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 Жыл бұрын
mwenye form four lakini ana diploma yeye achague level gan ya elimu. hapo haujaclarify
@betricedavid2412
@betricedavid2412 Жыл бұрын
Ningekushauri tumia work experience
@evanceaboke9381
@evanceaboke9381 Жыл бұрын
High school no degree
@betricedavid2412
@betricedavid2412 Жыл бұрын
Wewe jaza primary tu kwasababu kule hii form 4 yako na diploma haijulikani ndio maana nikamwambia jaza primary then ujiandae kwa work experience
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
Kaka angu hixi msg zangu huzioni naomba namba.ya watsap mimi napiga cm officin hampokei
@AliceAkinyi-u8d
@AliceAkinyi-u8d Жыл бұрын
❤❤❤
@Wesley-AK
@Wesley-AK Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Thanks
@claralymo1698
@claralymo1698 Жыл бұрын
​@@EBMSWAHILI number ya simu tunaitaji
Jua haya kabla ya kuomba Green Card Lottery mwezi October
44:11
EBM SWAHILI
Рет қаралды 11 М.
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 43 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 89 МЛН
Fursa Za Kazi Luxembourg - Pata Work Visa Baada Ya Siku 5
15:41
Maisha Ya Ulaya
Рет қаралды 8 М.
HOW TO INCREASE CHANCES OF WINNING  2026 GREEN CARD...
16:51
JENGA DIASPORA MEDIA
Рет қаралды 9 М.
NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI
1:22:20
Wafanyakazi 6,456 wanaitajika kwanzia Novermber 21 /2024 ulaya
45:19
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 43 МЛН