No video

JINSI SHENA ALIVYOKUTANA NA MME WAKE TOKA AUSTRIA, KUFUNGA NDOA NDANI YA MWEZI MMOJA NAKWENDA ULAYA

  Рет қаралды 12,919

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Online Dating na maisha ya Ughaibuni
Leo nimefanya mahojiano na Shena / @officialdatingassistance kuhusu alivyoweza kukutana na mme wake online toka Austria, hadi kufunga ndoa. Sasahivi wote wanaishi Austria
Shena amekuwa na vipindi na 1-on-1 consultation kwa wanaotaka kujua zaidi na kupata wenza wao kupitia njia ya mtandao.
Unaweza kum-follow hapa kwenye Instagram lakini pia nenda youtube kwenye channel yake
Website yake ni WWW.ODA.INTERNATIONAL
Hongera sana Shena / @officialdatingassistance
Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.co...
Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com...
2. CASH APP cash.app/$EBMS...

Пікірлер: 54
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 11 ай бұрын
Subscribe kwa Shena www.youtube.com/@OfficialDatingAssistance/
@eliwajajacob8569
@eliwajajacob8569 2 ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri niombee nami mmungu mwenza mwema.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 11 ай бұрын
Shena anakipaji cha kujieleza na cha utangazaji. Huwa napenda sana uongeaji wake. Hasuisui kwenye kujieleza.,au anapohoji mtu. She will go far.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Thank you so much.. I’m humbled 🙏
@marykibogoya2769
@marykibogoya2769 3 ай бұрын
Ahsante sana EBM na Shena kwa maelezo mazuri yakuwasaidia vijana wetu kupata wenzi. Mbarikiwe sana
@user-hp5sj2cm4s
@user-hp5sj2cm4s 9 ай бұрын
Waoo Asante Sana Dada Shena , nimelewa Kimbe inawezekana kupata mwenza mzungu na Maisha yakawa vizuri tuu kama binti atajitambua .
@user-jw8ek2jt3v
@user-jw8ek2jt3v 2 ай бұрын
Congratulations, sister Shena.Yote ni mipango ya Maulana 💖 🎉🎉
@rosemunisi818
@rosemunisi818 9 ай бұрын
EBM huwez uliza
@nellykibukila5677
@nellykibukila5677 2 ай бұрын
Unakipaji dada shema .mwenyezi Mungu akuangaziye mu maendeleo yako.
@BiashaAbdallah
@BiashaAbdallah Ай бұрын
Hongera dada shena❤
@chumchum1526
@chumchum1526 9 ай бұрын
Muulizaji uliza swali kwa ufupi na umpe mtu muda wa kujieleza sio unamuingilia mtu katikati ya maelezo
@officialemilie
@officialemilie 11 ай бұрын
That's true shena🎉🎉❤❤
@theresiamilanzi5907
@theresiamilanzi5907 2 ай бұрын
Asante ubarikiw
@user-hx6bw6dk2f
@user-hx6bw6dk2f 2 ай бұрын
Unatoa ushauri mzuri sana ndugu yangu
@user-xd3ci6wn2c
@user-xd3ci6wn2c Ай бұрын
Nice aseèe❤
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 11 ай бұрын
Wow nice interview ❤❤❤❤
@lifecoachwithlina1879
@lifecoachwithlina1879 3 ай бұрын
Shena umetishaaaa Shana, I love you so much
@endlessloveofchristlovewor9991
@endlessloveofchristlovewor9991 2 ай бұрын
As you saw iron mixed with ceramic clay, they will mingle with the seed of men; but they will not adhere to one another, just as iron does not mix with clay. Daniel 2:43kjv
@Winifridainturkey
@Winifridainturkey 11 ай бұрын
Hey nipo hapa Tena ❤
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 ай бұрын
Wow ntajaribu na mimi
@mturukii
@mturukii 11 ай бұрын
Nakubalii bro
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 ай бұрын
Mbwa tena jamani 😮😮
@marianacademy966
@marianacademy966 3 ай бұрын
Swala langu ni,hawa wazungu hutoa mahari?
@teresiamathias8636
@teresiamathias8636 11 ай бұрын
Nawapata jamani vizuri sana
@user-ku5so9sb2t
@user-ku5so9sb2t 13 күн бұрын
Mm nataka mchumba sasa Shena naomb nisaidie
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@gwantwamwalyaje8515
@gwantwamwalyaje8515 3 ай бұрын
Mm Natamani Kujua Kwenye Sauti Ya Watanzania Ni Wewe Mwenyewe?
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 28 күн бұрын
Kila anaeenda ulaya ataki tuje Ulaya Shida ni Nini tuacheni tuje tukishindwa tutaludishwa na serikali
@stevetinajewell8385
@stevetinajewell8385 11 ай бұрын
Yap mapenzi
@liannsambu7264
@liannsambu7264 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅 Vigezo vya harmonize
@endlessloveofchristlovewor9991
@endlessloveofchristlovewor9991 2 ай бұрын
Deuteronomy 7:3-4 King James Version (KJV) neither shalt thou make marriages with them; thy daughter thou shalt not give unto his son, nor his daughter shalt thou take unto thy son. For they will turn away thy son from following me, that they may serve other gods: so will the anger of the LORD be kindled against you, and destroy thee suddenly.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 ай бұрын
Jamani namimi natamani kuolewa na mzungu
@zabubamudy126
@zabubamudy126 10 ай бұрын
huyu baba hajui kuuliza bado utangazaji
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 10 ай бұрын
Anautani mwingi
@chumchum1526
@chumchum1526 9 ай бұрын
Yaani anaboa. Swali fupi yeye analiuliza kwa kirefu mpaka unachoka.mtu anamjibu ye anamkatiza anaeleza yeye
@joycehaule9717
@joycehaule9717 3 ай бұрын
Mtakua mna stress tu mbina yupo powa tu
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 8 ай бұрын
Kuna ushuhuda wa success stories?
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 11 ай бұрын
Shena kaongea ukweli kabisa. Wanawake wengi huku matatizo mengi niyakujitakia wakifika ulaya wanajikuta wajuaji kuliko wazawa.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Tuzidi kuelimishana tu ili jamii yetu izidi kufunguka
@kakamkuu5383
@kakamkuu5383 6 ай бұрын
Dada Shena na Mr Ebm hongereni mmejibu swali langu ingawa mmenijibu nusu nilichotaka kujuwa kama wazungu nao wanatoza mahari ukiowa kwao?
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 2 ай бұрын
Kabisa
@Evakibira
@Evakibira 7 ай бұрын
40,000 in Kenyan money Ni how much money 😊
@MiriamVienna
@MiriamVienna 3 ай бұрын
Just google dear
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 4 ай бұрын
Mmmh kazi ipo leo mgeni nani hapo
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 4 ай бұрын
Yaani umenichekesha mno! Maana huyo Baba muda wote anauchukua yeye kwa kuongea 😁
@Evakibira
@Evakibira 7 ай бұрын
Nataka darasa la privete
@yohanambaga4977
@yohanambaga4977 11 ай бұрын
Wamezidi wadada kuomba hela
@rehemaigongo7722
@rehemaigongo7722 4 ай бұрын
jamani shena nipo TZ nataka chumba
@dn.n4983
@dn.n4983 11 ай бұрын
Side giga zake
@fatumaabdul
@fatumaabdul 11 ай бұрын
Mimi sijui kizungu vipi naweza pata mzungu
@Evakibira
@Evakibira 7 ай бұрын
😂😂😂😂❤
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 2 ай бұрын
Shena popote ulipo na sisi tupo
@kwambokamkisii3870
@kwambokamkisii3870 4 ай бұрын
Utapeli ni mwingi online dating, scamers
@Evakibira
@Evakibira 7 ай бұрын
Mimi Shena nataka mchumba
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 9 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 90 МЛН
KAZI ZA KULEA WATOTO NA KULEA WAZEE UJERUMANI | MAPENZI YA WAZUNGU SIO YALE YA TELEMUNDO
55:20
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 9 МЛН