Asante sana da neema🥰🥰kwa sisi tunaoanza naomba utuwekee na darasa la kupanga bei za cake
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Sawa
@vickykilowoko83936 ай бұрын
Tunasubir utuwekee bei za cake
@IreneMakundi-it9jd3 ай бұрын
Nzuri sana my dear
@user-ng6uz2dc2t8 ай бұрын
Asante dad darasa zuri Mungu akubariki
@neemashaabancakes6 ай бұрын
❤️❤️
@tinamende25889 ай бұрын
Mwaaaah nzuri na nimejifunza kitu ❤
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@gracecharles12449 ай бұрын
Asante sana ❤
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@zainabuyassini30958 ай бұрын
Mashaallah mzuri na nimeelewa
@neemashaabancakes8 ай бұрын
❤️
@amisafaraji57968 ай бұрын
Unafundisha vzr san dada,Mungu azidi kukubariki❤
@neemashaabancakes8 ай бұрын
❤️
@SamiaAlly-zh4vv3 ай бұрын
Masha allah❤❤
@neemashaabancakes2 ай бұрын
❤️❤️
@edinaamvungii9109 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki mno Hapa nmeelewa sana Asanteh mnooo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@user-uo5mj4ti1c9 ай бұрын
Ahsante madam 🙏 tunaendelea kujifunza ❤ ubarikiwe sanaa
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Aminaa
@anithakayombo1608Ай бұрын
Hongera sana madam Mungu akutunze
@neemashaabancakes17 күн бұрын
Amina
@epifaniaamasi4869 ай бұрын
Ubarikiweee❤🎉
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@IluminathaMatto-fy7vw5 ай бұрын
🎉i like it my sister
@neemashaabancakes5 ай бұрын
❤️❤️
@huldangaleson25809 ай бұрын
😘😘😘😘😘 Asante mweeh
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@zawadiasajile1779 ай бұрын
Hongera my dada kazi safi
@neemashaabancakes9 ай бұрын
🥰
@fragrancethomas62409 ай бұрын
Ubarikiwe sana ❤
@neemashaabancakes9 ай бұрын
😍
@SarahJohn-co2zr7 ай бұрын
Nimejifunza Asante 🙏😘
@neemashaabancakes6 ай бұрын
❤️❤️
@abedamohamed27669 ай бұрын
Naendelea kujifunza huna choyo, barikiwa kwa kaxi nzr
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@DOTOCHARLES-so7rh9 ай бұрын
Asante Sana Dada neema nitajalibu
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@MwajeyOmmy8 ай бұрын
Asante sana kpnz una baya
@neemashaabancakes8 ай бұрын
Asantee
@user-qc1fd1iv9g9 ай бұрын
Ubarikiwe sana Neema umekuwa baraka sana kwangu
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@lulutomas57909 ай бұрын
Asante kwa kujibu ombi hili
@neemashaabancakes9 ай бұрын
😍
@NaomiOnesmo-gp1bn3 ай бұрын
Asante Sana msukuma hunagachoyo balikiwa unatupa wanafunzi ❤❤
@neemashaabancakes3 ай бұрын
❤️❤️
@user-km8id7xw1p8 ай бұрын
Nimeipenda asante ❤❤❤❤ upewe Maua yako
@neemashaabancakes8 ай бұрын
🥰
@user-lm1gx6zy8h9 ай бұрын
Hongera sana nimeelewa
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Asantee
@fatnamajaja2 ай бұрын
Asante sana dada naendelea kujifunza
@neemashaabancakesАй бұрын
❤️
@mwaminindeka91557 ай бұрын
Nimejifunza sana
@neemashaabancakes6 ай бұрын
❤️
@SimonKalembo9 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki Dada,,
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@HabibaMsoloni-oz5fv7 ай бұрын
Hongera sana
@neemashaabancakes6 ай бұрын
Asantee
@mirensmamito2 ай бұрын
Hongera Sana dada neema tunaendelea kujifunza
@neemashaabancakes2 ай бұрын
Santee
@user-sr9lp5we2c9 ай бұрын
Ubarikiwe
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@ashaibrahim4149 ай бұрын
Waoh nimeipenda Kwa kweli,ubarikiwe sana
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@dianaswai13419 ай бұрын
Madam Mungu na azidi kukutunza na kukubari kwa kazi nzuri
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Amina
@user-pl1zy6lz7u8 ай бұрын
MUNGU aendelee kukulinda na kukutunza daima ASANTE SANA DADA🙏
@neemashaabancakes8 ай бұрын
Amina
@maureenmbinile16559 ай бұрын
Kama hii sh. Ngapi dada,mi nakupenda bure,Mungu azidi kukujaalia kwa upendo wako
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Sabini
@user-zu9nk9ie1m7 ай бұрын
Safi sana dada
@neemashaabancakes6 ай бұрын
❤️❤️
@user-lm3qr6ms1l9 ай бұрын
Da neema Shukran sana sana,binafsi nimejua vingi kupitia hii channel yako,leo umenifurahisha mno nilikua nataman kujua kubebanisha keki ya ngaz,pili naomba kuuliza ikiwa unapamba ngaz tatu hilo dowel inakaa kwenye ngaz ya juu kabisa au unaweka kwenye ngazi zote mbili,shukran
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Zipo na ndefu zaidi unaweka ndefu naandaa hiyo video nitaweka ya ngazi tatu
@user-lm3qr6ms1l9 ай бұрын
Woyooo Shukran da neema ❤
@neemashaabancakes9 ай бұрын
@@user-lm3qr6ms1l ❤️
@arafatmunira75409 ай бұрын
Ubarikiwe mno
@SimonKalembo9 ай бұрын
Unatujuza mambo mengi,,hapo kwenye kusawazisha butter icing kitana unatakiwa kukilaza au kukisimamisha?
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Kiwe Kati kwa kati
@ElizabethJackoboАй бұрын
Asante dadayetu
@neemashaabancakes17 күн бұрын
❤️❤️
@Winnfrida-sx3inАй бұрын
Safi sana dada neema tupo pamoja
@neemashaabancakes17 күн бұрын
Santee
@emilianazumbe55219 ай бұрын
Asante
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Asante
@TausiAlly-wx4ur9 ай бұрын
Shukran sn kipenz mungu akubariki
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️❤️❤️
@MathaMgallah-xu1co2 ай бұрын
Daaaah nzuri kwerii
@kawtharal_amin55033 ай бұрын
Mashallah nzur ,new subbie
@neemashaabancakes2 ай бұрын
❤️❤️
@user-bz2ez2dp4d3 ай бұрын
asante kwa mafunzo, tuoeshe jinsi ya kutengenez box la kuweka, na kuingiz keki yenyew
@neemashaabancakes3 ай бұрын
Sawa
@user-su4gq6hm9e5 ай бұрын
Asant sana dadaa ang nmeelewa
@neemashaabancakes5 ай бұрын
❤️❤️
@hatrayahya89459 ай бұрын
Na neema mungu akubarikii sana,,,,nakuuliza nikikosa separate kuna mbadalaa
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Aminaa
@user-yr6jg1xu4c7 ай бұрын
❤😊😍😍❤️😘
@neemashaabancakes6 ай бұрын
❤️❤️
@AzinaeliMziray2 ай бұрын
❤
@neemashaabancakesАй бұрын
❤️
@MisosimitamuC9 ай бұрын
Hili somo linanifaa sana
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️❤️
@anastaziabeno60629 ай бұрын
Nimeipenda duu nzuri sana kma hio bei gani
@neemashaabancakes9 ай бұрын
70000
@zayumar29556 ай бұрын
Masha Allah asante sana Dear ubarikiwe mnooo maana unaelekeza vizuri sana 😘
@neemashaabancakes6 ай бұрын
❤️❤️
@rayanassor50779 ай бұрын
Habari mm ni mdau wako niko zanzirari asnt sn Mungu atakulipa mana kuna mambo mengi nimejifunza kwko
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Amina
@BishiraMunga-ey6jx9 ай бұрын
Yaani we dada utafika mbali,hii mibaraka haiendi bure Mjngu atakuinua zaidi.
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Aminaa
@jemamdendemi96363 ай бұрын
Cha kwanza anajibu maswali,halafu siyo mchoyo Mungu akuinue zaid na zaidi my dear
@pendosarakikya16399 ай бұрын
Asante sana kwa darasa nami nilitamani kujua hili la kubebanisha. Naomba kuuliza nafanyaje keki yangu ndani iwe na unyevu unyevu? Yaani iwe soft, nikitengeneza inachambuka ila haiwi na unyevu
Mm nikipika keki inakua ngumu dada nisaidie ivi inakuwa kwann
@neemashaabancakes17 күн бұрын
Au unaiacha muda mrefu sana jikoni
@user-oh5du6im1d5 ай бұрын
Ukitumia rangi ya unga n nzuri au mpaka rangi ya maji?
@neemashaabancakes5 ай бұрын
Ya maji
@Jazmin2lv8 күн бұрын
keki kama hiyo buttercream ni kiasi gani
@neemashaabancakes7 күн бұрын
Pakti mbili
@marthacalist85859 ай бұрын
Naomba kukuliza izo separator zinakuwa na utofaut na base tunazotumia kawaida kutembea cake maan kuna separator baadhi naona zinatumika Kwa ajili ya urembo wa cake
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Siunaona kabisa ni chumbamba hicho. Ndio ni tofauti
@sheilahchepzofficial69667 ай бұрын
Hello im new here and im interested on your job can get more information 🤷
@neemashaabancakes7 ай бұрын
Where are you?
@ruhimohd-kx5fk6 ай бұрын
Neema mpz nilikua nataka jinsi ya kutengeneza butter cream
@neemashaabancakes6 ай бұрын
Video IPO search
@user-xx8rl1nl2m9 ай бұрын
Habari..je km ukiziweka bila kuweka hiyo separeta inakuwaje
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Jaribu kwanza uone zitakuwaje
@user-xx8rl1nl2m9 ай бұрын
@@neemashaabancakes ok asante
@siaelgerald319 ай бұрын
Nakufuatilia dada nasikia Raha maana nakuelewa
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@neemashaabancakes9 ай бұрын
❤️
@user-mq6xv1rd4g5 ай бұрын
Habari dada, kazi ya vile vistick ni Nini? Ulivyoweka katika cake ya chin
@neemashaabancakes5 ай бұрын
Isihame
@user-qg5bi3sp9s5 ай бұрын
Mm nataka kupka
@neemashaabancakes5 ай бұрын
Ok
@vailethshoo-td4kh8 ай бұрын
Dada needs habar samahani naweza pata wap ceparet za kubebanisha cake msaada pls
@neemashaabancakes8 ай бұрын
Kila kitu maduka ya vifaa vya keki unapata
@user-ek6kh9zr9v6 ай бұрын
Icing umetumia box ngapi dear
@neemashaabancakes6 ай бұрын
Huwa naandaa nyingi nachota TU sijui inakuwaga kiasi gani sasa
@hidayandimini903622 күн бұрын
Asante mpendwa umenipa darasa, napenda kujifunza mchanganyo wa keki na vipimo vyake
@neemashaabancakes20 күн бұрын
Karibu
@stuv2508 ай бұрын
Nikitaka kusafirisha cake mkoani nnahitajika niweke nn ndani ili cake isitikisike ikiwa ndan ya box kipenz
@neemashaabancakes8 ай бұрын
Weka glucose
@sarahjulias18645 ай бұрын
Kama iyo da neema Bei gani
@neemashaabancakes5 ай бұрын
70000
@janetfriday45888 ай бұрын
Hongera Sana kipenz Mungu akufanikishe kuendera zaid kutufundisha naomba no yako ya wasap
@neemashaabancakes8 ай бұрын
Sawq
@sheilaaloys-qx6dz3 ай бұрын
☺️☺️☺️ katika siku nimeelewa darasa ni leo natamani live class nisome kwako please upo wapi?
@neemashaabancakes3 ай бұрын
Nipow
@neemashaabancakes3 ай бұрын
Nipo dar kibamba shule
@ashaibrahim4149 ай бұрын
Niaendelea kujifunza dada ubarikiwe sana sana sana...ila Nina changamoto ya kupanga bei na recipe jamani 😪😪
@neemashaabancakes9 ай бұрын
Jitahidi sasa
@anastaziabeno60627 ай бұрын
Hiv km hio keki ya hivo si inafaa hata kwa ubarikio