Amen 🙏 Asante sana hii maubiri imenichenga 🙌🙌 mtumishi wa mungu ubarikiwe sana mungu akusitishe uishi miaka mingi 🙏uendelee kutufunza 🙌tumebarikiwa amina
@darlingqueendee38225 ай бұрын
Hallelujah..mafunzo mazuri..natamani kujua zaidi nisiyo yafahamu..eeh mungu nisaidie
@JanethLekule-pm8qe5 ай бұрын
Nabarikiwa sana mahubiri yako naomba no ya pastor George
@SarahAdamba5 ай бұрын
Nashukuru mungu sana PST George kwa neno la mungu huwa unanibariki sana.
@TeeDesantos5 ай бұрын
Barikiwa pastor Mungu azidi kukuinua viwango na viwango🙏🙏🙏
@gerishomrubia-fw5mp5 ай бұрын
Amen amen naomba njia za mawasiliano
@CatherineMakokha-dg6ws5 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah, im humble before you God, help me to 🙏🙏🙏
@julietatieno82675 ай бұрын
Glory to God , am blessed by the sermon. Thank you so much
@kambangel66225 ай бұрын
I am following from Nairobi Kenya. Asante kwa haya mafundisho. Nipo mahali pagumu maishani. My marriage is broken and I am trusting God for restoration. I will come back with a testimony because I am claiming this word.
@PapaDéoBuhendwa5 ай бұрын
Asante sana mutumishi wa Mungu,unanisaidiya sana,ubarikiwe sana na Mungu akuinuwe zaidi.
@Judith-mw4ys5 ай бұрын
Waaaao 👏👏watu wa mungu wanabarikiwa kupitia mtandao 🙏mungu niko hapa nikumbuke 🙏
@kmtcuniversity93105 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Glooory and Glory...❤❤❤❤❤❤❤Amina!!!❤❤❤❤❤❤❤❤ Great men of the Mighty lord❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kmtcuniversity93105 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen Amen Glory Asante Great man of God ❤❤❤❤❤❤❤Niederoesterreich
@ladymacollection5 ай бұрын
Amen I connect this prayer 🙏 thanks so much
@janengowi-lt9gu5 ай бұрын
Yesu nusaidie nijue kweli yako
@JulianaNdashikwaMsonga5 ай бұрын
BWANA YESU, Akubariki Sana Mchungaji Naomba Uje DAR ES SALAAM, PASTOR JULIANA MSONGA KARIBU SANA .Umenisaidia.sana
@LucyMtaki5 ай бұрын
Nafichua siri zote za uovu juu ya masomo yangu juu ya maisha yangu juu ya biashara zangu juu ya mahusiano yanguu juu ya familia yanguh natangaza damu ya yesu ikapindue kila siri ya uovu ambayo imekua mbele angu haijalish ni madhabahu ya ukoo na pindua kwa damu ya yesu nimeokoka ili nikuwakilishe kristo teta sasa na hiki kilichojificha kifichue kwa damu ya yesu napokea kwa damu ya yesuu🙏
@nickolassimion5 ай бұрын
Naamini kwa somo hili ni funguo yangu kupata haki yangu kwa mamlaka ya damu ya yesu.
@patiencemapenzi41885 ай бұрын
Amen. Mungu wetu ni mwema na ni mwaminifu.
@daglaskitheka70815 ай бұрын
You are blesing my live
@elishasamweli-me1kn5 ай бұрын
Amina unapatikana wap
@trizzerngumbao48235 ай бұрын
Kila roho ya delay kwa maisha yangu, leo imefika mwishwo kwa jina la yesu kirsto
@prisca46125 ай бұрын
Amen Amen Amen!!!!!
@salomemrembo74825 ай бұрын
Amina mungu Nimwema 🤲
@RosemaryOwori5 ай бұрын
Amen Amen and Amen 🙏
@LizzSam5 ай бұрын
Amen Mtumish
@AgnesNyaleso5 ай бұрын
Amen amen amen siri ya uovu
@happinessselemani31825 ай бұрын
Ahsante Yesu....kila siri ya uovu katika maisha yangu na ifichuliwe kwa jina la Yesu, AMINA.
@PrincessGift-qh5uk5 ай бұрын
Hallelujah 🙌
@BYAMUNGUGERLASMASHAURI5 ай бұрын
BWANA YESU ASIFIWE ! naomba number ya pasta GORGES tafazali niongee naye in box. Niko Congo butembo, ni mchungaji Pia. Tafazali nifaidieni, nimesaidia sana kwa Siku Nyingi Na mafundisho yake
@lilianwangombe33535 ай бұрын
Napenda mafundisho ya huyu pastor amebarikiwa na neno kabisa, mungu MPE maisha marefu aendelee kukomboa wengi.
@gideonwambua94985 ай бұрын
Amen 🙏
@EliaoleshengEa-pv8fu5 ай бұрын
Amen
@julmuwanje52815 ай бұрын
Ameeeeeen
@Daniella2495 ай бұрын
🙏🙏🙏
@Saranabwire5 ай бұрын
Naomba nielimishwa ukiwa mbali na madabahu izaka unaweza tuma kupitiya njiya ya simu.....
@florablasius26775 ай бұрын
Ndio mpendwa,unajiungamanisha na madhabahu husika ndipo unamtolea Mungu kupitia huduma hiyo coz kama mtumishi anakuombea na unapokea through simu je sadaka Kwa nn isitumwe
@pastorgeorgemukabwajrc5 ай бұрын
Yes, kuna vodacom. 0753333008. Safaricom, 0722578776.George.
@magnusfidelis88835 ай бұрын
@@florablasius2677😊pp😊😊uo
@datvatmoshi22125 ай бұрын
Ni wewe Bwana
@hellenmurei17095 ай бұрын
Ameen
@neemakalinga51685 ай бұрын
Hakuna wa kusimama mbele zako ni wewe tu Bwana
@datvatmoshi22125 ай бұрын
Najiunganisha na ibada ya leo
@missarepafra39735 ай бұрын
Naomba email yako Mtumishi wa Mungu nina jambo nikushirikishe.
@kilistar52535 ай бұрын
Apandae haba atavuna haba apandae kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu. Naomba kupanda ukarimu madhabahuni kwako. Naomba namba ya kupanda
@Saranabwire5 ай бұрын
Pastor hapo paa zakaa nini MM sasa mungu nisame kwa kukuibeya nitarekabisha