Nimejua neno la mungu kwa undani kupitia mtymish wa mungu 👏long live the man of God 🙏
@ChristinaSanga-pl5jm7 ай бұрын
Pastor wewe ni wa pekee sana ktk kufundisha unaeleweka sana napokea mafundisho Yako nikiwa hapa Dar Mungu azidi kukufunulia Siri za kimbingu
@RoseKirighaАй бұрын
Asate sana pst ume ni funguwa macho nimepata ufahamu kupika hili neno powerful message Amen thank 🙏
@janemuthoni71228 ай бұрын
Listen from Kenya 🇰🇪 na pst amekuwa mbaraka sana kwangu nmejuwa neno la mungu zaidi
@FreddyNdayikunda2 ай бұрын
Ubarikiwe Baba yangu wakiroho tunakupenda sana
@StephenShiling-mk3pj8 ай бұрын
Ni kweli hata mimi nimependa mafundisho yake yako in deep sana ,mteule yeyote akimsikiliza lazima apate kitu cha tofauti,ambacho kitamsaidia kwenda mbele zaidi katika maisha ya kiroho,na katika kujenga ufalme wa mungu aliyehai ,inthe name fo jesus amen
@DomyBaganya-pm4sh7 ай бұрын
Mungu asifiwe arie kuiita na akutuma Uwe mwalimu. nimejengwa sana na mafundisho Yako Siku zote nikikufuata Pastor
@chikamajenisia22448 ай бұрын
Mimi siyo muumini wa hili kanisa lakini kama nisingestuka na kuanza kufatilia mahubiri na mafundisho ya huyu Mtumishi wa MUNGU shetani angenidhalilisha sana. kiufupi shetani na mama mukwe wake wanalia. Asante sana MUNGU kwa kunipatia baba mzuri wa Kiroho. Shetani umekaria misumari.😮 Nimeokoka Nimeokoaaa. Nimeokoka
@ibrahimukikwilili43687 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe sana tunabarikiwa sana na mafundisho yako umande wa mbingu uwe juu yako na manono ya nchi nayo yawe juu yako na uzao wako ukabarikiwe na mavuno ya ardhi viwe juu yako pia
@MariamBahat7 ай бұрын
Nimeanza kufatilia haya mahubiri Kuna kitu nimekipata hakika Kuna mungu kwa huyu pastor
@elishasamweli-me1kn7 ай бұрын
Amina mchungaji napokea uponyaji kwenye family yangu
Happy mother's day to me and all mothers Long life full of God's grace and favor 🙏🙏🙏.
@KeruMokash7 ай бұрын
Asante sana Mungu kwa kulituma neno lako kupitia kwa mtumishi wako kwa hakika limeniponya Mungu wangu asante maombi yangu kwa pastor george Mungu azidi kukuongezea neema zaidi
@marymessay27687 ай бұрын
Asante Mungu kwa siri hii ya maneno yako kupitia mtumishi wako asante libarikiwe jina laYesu ninaamini hali yangu imebadirika na kufanikiwa sanasana
@JemaRashidi5 ай бұрын
Asanteee sanaaa mtumishi umenifanya kuniamsha kiloho adi mwili
@Ngutaiagnes814.8 ай бұрын
Happy mothers day to all beautiful mum's outside there may God grant you the wishes of your hearts
@Edinahnyaboke-b9o8 ай бұрын
Barikiwa sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri kweli 🙏🙏🙏🙏🙌❤️ ❤️
@ibrahimukikwilili43687 ай бұрын
Mungu akubariki sana na kukupa umande wa mbingu na manono ya nchi viwe juu yako na mavuno ya ardhi viwe juu yako na uzao wako ukabarikiwe sana mtumishi wa Mungu umekuwa baraka mno kwa ulimwengu wote wanaokufuatilia
@GetrudeJaliya8 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri yakunijenga nikweri nilikuwa natengemeya kuomba musanda kwawanandamu na tangia nivoaza kufatiliya mafundisho nawona yananijenga kumutazama mungu asante mungu akubariki mutumishi wamungu naitaji zaidi maombi isiyubishe kwahali niliyonayo nizindi kumug' ag' niya mungu amen
@estherkamene39428 ай бұрын
Powerful teachings, God bless you🙌👏👏👏🙏🙏
@SophiaSteven-nc1li7 ай бұрын
Amina baba ubalikiwe sana
@RosemaryOwori8 ай бұрын
Happy mother's day to all I'm proud to be called a mother in Jesus Name Amen 🙏🙏🙏
@josephinelauwo49478 ай бұрын
Ahsante Mungu kwakunipa nafasi ya kusikiliza mafundisho yko hakika Mungu amenibadilisha kupitia mafundisho yk Mungu azidi kuku tunza baba
@rehemanswila15657 ай бұрын
Ahsante paster
@JudithNinah-lr2wz8 ай бұрын
Am passing hard time 8 years in marriage without a child, nimejaribu kufatilia mafundisho yako na kuyaeka kwa action sija fanikiwa but I still keep my faith to God the creator of heaven and earth,naami ni Mungu asiyekuwa na mpinzani
@cerecere57588 ай бұрын
Utapata dia usife Moyo, Luke 1: 37
@naseeralbishi47268 ай бұрын
Amen Mungu asikie kilio chako
@abbyimbukwa38358 ай бұрын
Eccle 3vs 11 God made everything beautiful in its time... keep going never give up
@FAUSTERMATHIAS8 ай бұрын
Kutoka 23:25-26
@BerthaChija8 ай бұрын
Wafilipi 4:6,7
@EuniceKago-r6q7 ай бұрын
U olways have a word for me . blessings
@filorammbaga57108 ай бұрын
Mtumishi ninakushukuru kwa mafundisho yako. Naomba upako.wa.kupokea eneo la familia pale mlandizi Napokea uponyaji,ndoa upenyo utiisho kwa.ji a Yesu.
@MaryKadzo-s6d8 ай бұрын
Amen mtumishi w mungu azidi kukupaka mafuta unanibariki sana na haya mahubiri 🙏 🙏 🙏
@aurelialucas25418 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu akubariki mchungaji na huduma yako ikue kwa kiwango cha lami.Toka nime anza kufatilia haya mahubiri yako sija baki kama nilivyo.
@lilianmbeyu8 ай бұрын
nimependa Sana mahubiri na mafundisho haya,Mungu akubariki mtumishi
@LeticiaShoka-me2wq7 ай бұрын
Amen 🙏 nabii wa Bwana
@MatundaModesta8 ай бұрын
Asante Mungu unaeishi
@patiencemapenzi41888 ай бұрын
Happy mothers day to me and all mothers. Si rahisi kuwa mama.
@devothasimbi64958 ай бұрын
Jamani mbona huku niliko mothers day bado au huwa zinapishana
@assiasolomon14187 ай бұрын
Samahani nilikuwa naomba sana kuongea na pastor George please 🙏
@RuthMomanyi-bh3ez8 ай бұрын
It was so powerful and interesting sermon be blessed pastor