JINSI YA KUPANGA RATIBA YA KUOMBA- Innocent Morris

  Рет қаралды 34,497

Holy Spirit Connect

Holy Spirit Connect

Күн бұрын

Пікірлер: 315
@Suzangonza
@Suzangonza 3 күн бұрын
Aiseeeeeee🙌🙌Mungu anawatu wake ambao amewachagua kwenye hii dunia
@judithwere7329
@judithwere7329 9 ай бұрын
Jesus Christ Emmanuel bless you pastor Innocent. I'm so blessed through you. Thank you
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 10 ай бұрын
Amen Amen Amen Mtumishi Barikiwa Sana Mtumishi WaMungu.Tunabarikiws.
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 8 ай бұрын
Amen huyu pastor alinifanya niwe muombaji❤
@bettymwasa1079
@bettymwasa1079 3 ай бұрын
Najiungamanisha na wewe nami niwe muombaji
@WinnieKasambala
@WinnieKasambala 2 ай бұрын
Me too😢
@berthakoshuma4234
@berthakoshuma4234 25 күн бұрын
Amen mtumishi umeyia nguvu sana
@Suzangonza
@Suzangonza 3 күн бұрын
Kama mimi
@MonicaOketch
@MonicaOketch Ай бұрын
Amen 🙏,mungu naomba unijalie neema na kunipa kibali ya kukutambua kupitia maombi🙇 barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏
@AnitaFaida
@AnitaFaida 15 күн бұрын
Munguakubariki naombauniombaemunguaniwezeshekuomba
@HappyNgigo
@HappyNgigo 2 ай бұрын
Eeeee Mungu uishie milele mtunze mtumishi wako inocet kwa kwel kila ninapomsikiliza najipata kutiwa nguvu nakuendelea kumpenda MUNGU umekua baraka sana MUNGU akubariki zaid ya nitamkavyo
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 2 ай бұрын
Ameen ameeen ameeen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 2 ай бұрын
Mungu akubariki pia
@ResparGirbert
@ResparGirbert Ай бұрын
Hallelujah hallelujah mungu wetu ni mkuu mungu wa miungu mtumishi wa mungu ubarikiwe sana mafundisho yako yameniinua kiroho glory glory to God ❤❤🙌🙌🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@Beckylmararabecanekesa
@Beckylmararabecanekesa 2 ай бұрын
Amenand Amen mtu wa MUNGU ubarikiwe sana🇰🇪
@YustaOsward
@YustaOsward 2 ай бұрын
Ameni ameni Ameni barikiwa sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa mno na mahubiri haya amina Mungu azidi kukulinda
@jarrethjapheth
@jarrethjapheth Ай бұрын
Amina!!! Mungu akubariki kwa mafundisho yako mazuri. Mwenyezi Mungu akuhifadhi kwa ajili ya kazi yake.
@catherinejacob9876
@catherinejacob9876 Ай бұрын
Mungu naomba unipe neema ya maombi pia yaimarishe magoti yangu
@aloyamlumbuti
@aloyamlumbuti Жыл бұрын
Aminaa sana, Mungu nisaidie ktik hili
@mercygideon5379
@mercygideon5379 4 күн бұрын
Amen very powerful sermon we have to pray so that Gods presence not to leave us 🙏🏽
@helinahenry2363
@helinahenry2363 Жыл бұрын
Baba yangu nakuomba nijaalie kufunga na Ibada ya unyenyekevu kwako Mungu
@InnocentBadminton-gi9wn
@InnocentBadminton-gi9wn 2 ай бұрын
Asante mtumish wa mungu, mungu akulinde milele, nimeweza kumpokea bwana yesu, kuamuokoz, wangu
@jenifamtweve2524
@jenifamtweve2524 Жыл бұрын
Amina nimebalikiwa sana Mtumishi Mungu akubaliki sana naazidi kukutumia kwa viwango vingine
@EstherKomba-y7m
@EstherKomba-y7m 2 күн бұрын
Ee BWANA wangu naomba unisaidie na kuniongoza wakati wa maombi yangu🙏🤲
@ElizabethJames-r6n
@ElizabethJames-r6n 2 ай бұрын
Ameem ameen baba ubarikiwe sana kwa mafundishisho mzur
@teclamasanja3985
@teclamasanja3985 6 ай бұрын
Ameen mtumishi hakika unanibariki mnomno Mungu wa mbinguni akubariki na kukulinda. Ailinde hii huduma yako ambayo Mungu amekubariki.
@Kanyijane2004
@Kanyijane2004 3 ай бұрын
Mafunzo yako imenisaidia sana. Yaani una utaratibu wa kufunza. May God bless you so much
@marylnemshai5959
@marylnemshai5959 2 ай бұрын
Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu hataki mm naweka ratibu ya maombi
@jacklineelias3091
@jacklineelias3091 5 ай бұрын
Amen mtumishi ee mungu niumbe moyo safi niendelee kukutumikia nilijue neno lako zaidi me ni nani nisiambatane nawe ee jehova nibariki utakavyo nitumie pia utakavyo🙏🙏 nimebarikia sana nitaendela kujifunza neno lako kila siku
@newhopeonline5818
@newhopeonline5818 Жыл бұрын
Ameeen mtumishi wa Mungu, umenitoa sehemu Moja kwenda nyingine . Mungu akuzidishe
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@ruthmshereja3976
@ruthmshereja3976 Жыл бұрын
Hakika mtumishi wa Mungu ,unanibariki mnoo Kwa maneno ya uzima
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ubarikiwe pia
@LUCYNASHON
@LUCYNASHON 4 ай бұрын
​@@holyspiritconnectI'm q
@JoyceRuwa-d6q
@JoyceRuwa-d6q Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 hii mafundisho imenipa imani ya kuendelea kumtegemea mungu ata nkiwa kwa nyakati ngumu. Mungu akuinue mtumishi wa mungu
@Bombasticbumbaclap
@Bombasticbumbaclap 28 күн бұрын
Ubarikiwe pastor nitagifuza kuomba
@BintiAlison
@BintiAlison 2 ай бұрын
Amen naomba mungu anisaidie niwe miongoni mwa wale waombao kila siku
@IbrahimMazai-d7r
@IbrahimMazai-d7r 2 ай бұрын
Amina mungu anitangulie juu ya hili
@MillicentApiyo-h9b
@MillicentApiyo-h9b Жыл бұрын
Asate Sana mutumishi Wa Mungu Kwa mafuzo mazuri Sana Nimeguzwa Sana Mungu Akubariki🙏🙏🙏🙏
@imeldambanyi2803
@imeldambanyi2803 Жыл бұрын
Nimepokea mtumishi , Mungu akubariki kwa neno nzuri.
@BonareriDoreen-p8b
@BonareriDoreen-p8b 2 ай бұрын
Since nianze kutazama huyu pastor naomba sana mungu akubariki
@HappinessEvalist-tz6vn
@HappinessEvalist-tz6vn Жыл бұрын
Asanteee sana mtumishi nimejifnza mengi kwako Mungu aandele ktmia Ameen
@louisentakarutimananaomi-hp9xm
@louisentakarutimananaomi-hp9xm Жыл бұрын
Amen Amen Baba asante Mungu azidi kukutumia kwa ajili ya kazi yake
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho mungu akubarki nimepata kitu ubarikiwe san
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ubarikiwe pia
@NaomNyaboe-jn3Gs
@NaomNyaboe-jn3Gs Ай бұрын
Kuna sehemu itabidi uombe Kila na hiyo jambo,kama vile unaona adui yako anafast ikipita 1hr anaomba ili akuangamize, utaongojea mpango,ama nikushindana na yeye Asante sana mtumishi wa mungu
@hadijaMuhi
@hadijaMuhi Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa mafundisho yako
@victoriaanderson3459
@victoriaanderson3459 4 күн бұрын
Mungu nipe neema ya kuomba
@fransiskaazizi9329
@fransiskaazizi9329 3 ай бұрын
Amina mtumishi barikiwa sana
@waleedbahar5275
@waleedbahar5275 5 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi Kwa mafundisho mazr amen
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 ай бұрын
Mungu wambinguni muumbaji wavitu vyote naomba hipe neema yakuomba sawasawa namapenzi yako.
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Thanks alot man of god,kwa mafundisho mazuri na ya muhimu sana...nakupata nikiwa uwarabuni
@estherwanjalanyongesa
@estherwanjalanyongesa 3 ай бұрын
Amen ...eeeh mungu nisaindie Kwa hili
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 3 ай бұрын
Ameen
@Roi-SaidiIdi-rp4tx
@Roi-SaidiIdi-rp4tx 26 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@StellaKimambo-c3c
@StellaKimambo-c3c 2 ай бұрын
Asante Yesu kwa kutupa mtumishi
@gloriahaldama2085
@gloriahaldama2085 7 ай бұрын
Ameen.. nimepata ufunuo wa ratiba ya maombi. Thank you so much pastor innocent 🙏🙏
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 7 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana
@HamidaFrancis-f6c
@HamidaFrancis-f6c 7 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu.Sawa kabisa
@ireneuwimana5385
@ireneuwimana5385 Жыл бұрын
Amen amen Halleluijahh Halleluijahh ee bwana mungu wangu inijaze tena na roho wako mtakatifu ili aniwezeshe kuwa muombaji mziri. Ubarikiwe sana Mchungaji
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Mungu akubariki pia
@neemadaud5337
@neemadaud5337 8 ай бұрын
Mpendwa tumia herufi kubwa kwa haya majina yaani Bwana na sio bwana kadhalika Mungu sio mungu rejea kwenye biblia utaona heruf ndogo zinawakilisha nn amen
@victoriafidelisi
@victoriafidelisi 2 ай бұрын
Bwana Yesu nisaidie
@aimerinamugisho5182
@aimerinamugisho5182 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Mungu anisaidiye nitenge muda wakuomba
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@hawamusumba431
@hawamusumba431 Жыл бұрын
Amen amen 🙏 maombi ndyo msingi wa kila kitu Mungu nijaze na nguvu za maombi
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Hakika
@happysingo1560
@happysingo1560 Жыл бұрын
Asante mimejua umuhumu wa kuomba kwa kuzingatia ratiba
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 8 ай бұрын
Amen, Mm nipungue Yesu wangu uongezeke
@kidadimgaya7479
@kidadimgaya7479 Жыл бұрын
Ubarikiwe Kwa somo Mungu anisaidie
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@SAKINAPETER-v7v
@SAKINAPETER-v7v Жыл бұрын
Ameeen mtumishi umenipa nguvu ,Mungu akutunze azidi kukutumia
@JulianaMwamwela
@JulianaMwamwela 2 ай бұрын
Mungu nakuomba mungu unipe muda wa kuomba
@JustinaKambimbi
@JustinaKambimbi Жыл бұрын
Mutumishi uniwezeshe ni juwe kuomba mungu anisaidiye amene baba
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 Жыл бұрын
Mungu naomba unitie nguvu nitenge muda wa kuomba iwe jua au mvua
@anneochare4028
@anneochare4028 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Ee Mungu naomba neema ya kuomba bila kichoka
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@roseadisa9256
@roseadisa9256 Жыл бұрын
Amen amen barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Mungu akubariki pia
@neemadaud5337
@neemadaud5337 8 ай бұрын
Ameni mtumishi kwa ujumbe muhim nakuombe unisogeze kwa Bwana anifungue kila nikiomba naanguka mapepo 😢😢
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ameeeeeeen man of God MUNGU akubariki tu saana
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen.
@GraceMbasha
@GraceMbasha 8 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🙏😀😀
@mancamushi
@mancamushi 2 ай бұрын
❤Yesu nisaidie niwe mwombaji
@lavesharmulla7205
@lavesharmulla7205 Жыл бұрын
Mtumishi huo ni ukweli kabisa Asante
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 Жыл бұрын
Ameen MUNGU akubariki sana
@tatubanadi4710
@tatubanadi4710 7 ай бұрын
Utukufu ni wako Bwana Yesu kwa huduma hii..
@sifaisack7470
@sifaisack7470 Жыл бұрын
AMEEN 🙏. Mungu tujalie kuwa watendaji wa neno
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@abenegoemanuel8728
@abenegoemanuel8728 Жыл бұрын
E MUNGU wangu mm nipungue wewe uongezeke Amen Amen Amen Amen Amen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@fortuneproducts2
@fortuneproducts2 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu
@SalomeUmazi-i1u
@SalomeUmazi-i1u 2 ай бұрын
Amina ad emeni
@AnitaMr-g3b
@AnitaMr-g3b Жыл бұрын
Amen May God bless you 👏
@HyrieneAkinyi
@HyrieneAkinyi 7 ай бұрын
Kabisa Amen thank you dear lord Amen
@EstherUbamba
@EstherUbamba 8 ай бұрын
Ohhhh yesii 😢😢 mungu nisaidie
@MillicentApiyo-h9b
@MillicentApiyo-h9b Жыл бұрын
Aminaaa🙏🙏🙏Aminaaa Aminaaa🙏🙏🙏
@JaliwaPasco
@JaliwaPasco 8 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu hapo umenena
@carinaomari21
@carinaomari21 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana Kwa Somo hili.
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ubarikiwe pia
@rhabrhab1797
@rhabrhab1797 Жыл бұрын
Ameeen mungu nijalie nguvu na kiu ya kuomba
@denisbongore3098
@denisbongore3098 10 ай бұрын
Yesuuu nanyenyekea kwako naomba neema ya maombi
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 3 ай бұрын
Ameen
@lavesharmulla7205
@lavesharmulla7205 Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana sana kwa ufunuo mkubwa Na ndiyo jibu la matataizo yetu sote maana mbingu kwanzia saa tisa usiku mpaka saa kumi usiku inakuwa imefunguka
@rosejulius7756
@rosejulius7756 Жыл бұрын
You add something in my life be blessed 🙌
@Samuel-rl2ec
@Samuel-rl2ec 7 ай бұрын
This is 😢amani of God i love this wow
@estherjohn4238
@estherjohn4238 Жыл бұрын
Mungu nisaidie
@salvinaadam9346
@salvinaadam9346 4 ай бұрын
Mungu nisaidie nijue kuomba
@NdeashidesyeMushi
@NdeashidesyeMushi Жыл бұрын
May the Almighty God bless you the Man of God
@Lilianmbindu
@Lilianmbindu Ай бұрын
Ameni nimesikia kila kitu ni maombi
@bajkljs9058
@bajkljs9058 Жыл бұрын
AMEN GOD BLESS YOU man of God ❤
@fransiskaazizi9329
@fransiskaazizi9329 Жыл бұрын
Mungu atusaidie tujue kuomba vizuri
@cyprianjuliani5169
@cyprianjuliani5169 10 ай бұрын
@feminakidiavai5849
@feminakidiavai5849 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa
@NaomiAntoni-zr9ju
@NaomiAntoni-zr9ju Жыл бұрын
Eeh mungu baba naomba uniwezenye kuomba na kunipa moyo wa kunyenyekea mbele zako
@marrieann5278
@marrieann5278 26 күн бұрын
Powerful💪💪🙏🙏
@happinesssweke7821
@happinesssweke7821 Жыл бұрын
Ameen Mungu akubariki mtumishi.
@mirri8uchau614
@mirri8uchau614 Жыл бұрын
Amen Praise the Lord
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@happinesssweke7821
@happinesssweke7821 Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe umeniongezea kitu kikubwa mnooo.
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@holyspiritconnect
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@VeronicaMilanzi
@VeronicaMilanzi Жыл бұрын
Mtumishi nimempokea bwana yesu
@Grace.67
@Grace.67 Жыл бұрын
Amen.Thank You Abba Father
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 8 ай бұрын
Mungu naomba unitie nguvu niweze kuomba bila kukata tamaa
@stellahmnema9279
@stellahmnema9279 4 ай бұрын
Amen...Amen🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@judicaamon3615
@judicaamon3615 Жыл бұрын
Ameeeen ! Prayer prayer
@Zahra-i5h6k
@Zahra-i5h6k 2 ай бұрын
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 AMINA
@SMEDIA298
@SMEDIA298 Жыл бұрын
Amen Amen Mtumishi
JINSI YA KUONGEA NA MUNGU KAMA RAFIKI - Innocent Morris
41:48
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 27 М.
JINSI YA KUSHINDA VITA VYA KIROHO - Innocent Morris
18:09
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 8 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
HIZI HAPA KANUNI ZA KUSOMA NA KUIELEWA BIBLIA
31:06
Mwalusambo International Ministry
Рет қаралды 10 М.
JINSI YA KUJUA KARAMA ULIYONAYO.dinuzeno, 0625954315
19:03
Karmeli Assemblies Of God
Рет қаралды 43 М.
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA by Innocent Morris
28:01
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 333 М.
FAIDA TANO ZA KUFUNGA NA KUOMBA - Innocent Morris
1:02:11
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 17 М.
MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA SIKU YA 3: BISHOP DR J. GWAJIMA
1:36:58
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 14 М.
JINSI YA KUSOMA BIBLIA YOTE KWA MWAKA MZIMA - Innocent Morris
48:58
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 8 М.
MAOMBI YA KUONG'OA MAPANDO YA ADUI - Innocent Morris
1:33:18
Ibada live
Рет қаралды 6 М.
NGUVU YA MAOMBI YA MACHOZI by Innocent Morris
1:17:01
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 17 М.
MAOMBI YA KUOMBEA UFAHAMU by Innocent Morris
43:52
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 18 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН