MAOMBI YA KUONG'OA MAPANDO YA ADUI - Innocent Morris

  Рет қаралды 5,719

Ibada live

Ibada live

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 2 күн бұрын
Eee Yesu wa Ekaristi ninakuomba umuondolee mtoto wangu pando la kukukopa kwenye mitandao kausha Damu Eee Yesu kwa Damu yako Takatifu sana ninakuomba uwainue watoto wangu waachane na mikopo . Eee Yesu nakuomba uwateketeze wachawi wote wanaotufutilia familia yangu
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 2 күн бұрын
Pando la kazini toka kwa jina la Yesu tooo ooooka Kwa jina Yesu ngooka Kwa jina la Yesu
@mamamhagama7889
@mamamhagama7889 4 күн бұрын
Naondoa pando LA kamali kwa JINA LA YESU na kurudisha mtaji wangu Kisha nikakipe madeni yoyote nikawe huru nahitaji amani ya moyo na maisha yangu
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 2 күн бұрын
Pando toka kwa jina la Yesu wamezidi hawa wachawi
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 2 күн бұрын
Pando la wivu toka kwa jina la yesu kristu
@mamamhagama7889
@mamamhagama7889 4 күн бұрын
Naondoa pando LA madeni kwa JINA LA YESU narudisha wateja wangu wote na biashara yangu ukangae tena upya kwa nguvu zaidi
@mamamhagama7889
@mamamhagama7889 4 күн бұрын
E Mungu naomba ondoa pando lililooandwa kwangu la kupoteza Hela bila sababu naliondoa tangu saa hii nimekataa kucheza kamali kuanzia saa hii ninayosikiliza maombi haya nipe milango ya mafanikio yangu iliyo halali Toka kwako E Mungu
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 2 күн бұрын
Damu ya Yesu Kila chakula nilicholishwa na hao wachawi natapika kwa jina la Yesu
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 2 күн бұрын
Nakunywa Damu ya Yesu okoa watoto watoto wangu waachane na madeni
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 2 күн бұрын
Asante Innocent Mungu akubariki sana kwa upendo wako usipungukiwe na kitu chochote
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 2 күн бұрын
Ondoka pepo kwa Damu ya Yesu kristu
@JACKCHILAS
@JACKCHILAS Ай бұрын
Ameni amen nashukuru bwana yesu kwakunifungua na kuondoa kila pando vifungo mimi na family yangu amen
@Willeysh
@Willeysh Ай бұрын
Akisanti mungu akisanti Pasteur kwa maombi
@mamamhagama7889
@mamamhagama7889 4 күн бұрын
Nakataa pando LA madeni yasiyolipika katika maisha yangu tangu Sasa najiondoa na madeni hayo nahitaji kuwa huru
@JoyceSaluhara-m7e
@JoyceSaluhara-m7e 2 ай бұрын
Mungu naomba uondoe kila pando la adui lililopandwa ndani yang pando la kunirudisha nyuma pando la umasikin na pando la wachawi pamoja na waganga naomba Uondoe yesu
@Neemahenery
@Neemahenery Ай бұрын
AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN
@ZablonChego
@ZablonChego Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mamamhagama7889
@mamamhagama7889 4 күн бұрын
Kila pando ambalo halikupandwa na baba wa mbinguni kwenye maisha yangu naenda kuliondoa tangu Sasa pando lolote lililotumwa kwangu ili kuvuruga maendeleo yangu naondoa kwa JINA LA YESU kirsto wa nadhaleti
@JACKCHILAS
@JACKCHILAS Ай бұрын
Amen and amen
@zenataashura792
@zenataashura792 2 ай бұрын
Amen Amen
@Christianchazinho
@Christianchazinho 2 ай бұрын
Mungu naomba huondoe uchawi katika nyumbani kwangu mm na familia yangu navunja maagano ya giza madhabau ya Mungu yangoe mapando katika jina la yesu kristo Amen 🙏
@VELENARWEBUGISA
@VELENARWEBUGISA 5 ай бұрын
Naomba uniondolee kitu ambacho kina zuia manikio yangu
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA - Innocent Morris
28:01
Ibada live
Рет қаралды 14 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 318 М.
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
MAOMBI YA TOBA,REHEMA' NA MAUNGAMO " MAOMBI YA KUTUBU DHAMBI' MAOMBI YA AMANI. MAOMBI NI DAWA
12:39
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 16 М.
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO - Innocent Morris
29:18
Ibada live
Рет қаралды 4 М.
Erick Smith - Wewe Ni Zaidi (Official Video) Worship Song
16:16
Erick Smith
Рет қаралды 8 МЛН
JINSI YA KUONGEA NA MUNGU KAMA RAFIKI - Innocent Morris
41:48
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 27 М.
FAHAMU NGUVU YA KUFUNGA NA KUOMBA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 12/01/2025
2:55:25
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 8 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 407 М.
Swahili Worship Songs 30 Minutes of Prayers and Worship
30:20
Delos Michael Official
Рет қаралды 444 М.
MAOMBI YA KUOMBA UTULIVU WA MOYO - Innocent Morris
1:45:50
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 13 М.
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН