Asante kwa mda wako mtumishi..MUNGU AKUBARIKI NA ATUBARIKI WOTE TULIOPOKEA KITU TOKA KWAKO...AMENI....
@HekaluEliastaifajipya4 күн бұрын
Amen UBARIKIWE
@richardmwaswala112 ай бұрын
Ubarikiwe mzee wangu Bwana Yesu akulinde na kukutunza
@samsonsaid199023 күн бұрын
Amina pastor
@FaidaMhala6 ай бұрын
Umenibariki mtumishi wa MUNGU
@rahelmunuo14156 ай бұрын
Asante mchungaji kwa Somo zurich
@daimamhingq68858 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu unenifungua sana sana kuhusu kusoma biblia na kuielewa kwa kutumia kanuni endelea kutelimisha
@FADHILIMSANJILA6 ай бұрын
Fadhili msanjila, baba mchungaji ubarikiwe
@NICKSONNGATA3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@elishamgaweonlinetv85959 ай бұрын
Amina Baba ubarikiwe sana, kwa mafafanuzi ya muongozo wa usomaji wa biblia hakika nimepata ufunuo juu ya kutafsiri maandiko kwa namna mbali mbali ya ufafanuzi, Swali langu biblia inasema kwamba tutapewa mili mipya ya utukufu ili kuishi mbinguni na pia utusaidie inasemekana mbinguni kuna nyumba kwa maana ile YESU alisema anaenda kumuangalia makao je? Tunaishi na miili ipi MBINGUNI au tutaishi katika roho... ? ASANTE 🙏
@AzizalucasMbiduka6 ай бұрын
Balikiwa baba
@KalibaToba3 ай бұрын
Dkt, Acha kabisa kutumia akili yko au mawazo yko kutafsiri Biblia. Jiepushe na hasira ya YESU KRISTO.>>Mithal.30:6
@jefwakalama433610 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi kwa kzi nzuri Emmanuel Jefwa kutka Lamu Kenya
@mwalusambointernationalmin90659 ай бұрын
Karibu sana Mpendwa, unaweza kujiunga kwa group letu la Whatsap Wasiliana nasi: +255(0)769 007 328 pia karibu ujipatie vitabu kwasasa vipo online na hardcopy: mfano www.getvalue.co/prod/kanuni__za__kufasiri__biblia
@ChristopherGREENC9 ай бұрын
Amen Baba 🙏
@eng.godwinjsamboho9734 ай бұрын
ufunuo wa yohana 20:11 kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye akiteye juu yake; (naomba ufafanuzi hapa huyu nabii aliona tofauti na unachofundisha?) naomba msaada hapo
@Samuel-rl2ec7 ай бұрын
Wow lovely wards good message ❤
@ElliyaRashidi7 ай бұрын
Baba mchungaji shalom Mimi ni mchungaji ninaependa sana kufunza bibilia natamani kupata vitabuvyako niko Arusha nafanyaje?
@BarakaMkondya-z7b10 ай бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi, Nitaendelea kufuatilia ili kujifunza Zaidi
@mwalusambointernationalmin90659 ай бұрын
Karibu sana Mpendwa, unaweza kujiunga kwa group letu la Whatsap:chat.whatsapp.com/K02nLlBXwxDEF7ZUZ0HdZy au Wasiliana nasi: +255(0)769 007 328 pia karibu ujipatie vitabu kwasasa vipo online na hardcopy: mfano www.getvalue.co/prod/kanuni__za__kufasiri__biblia
@simonsanga22109 ай бұрын
Mungu akubariki na akutunze
@IsayaSanga-oi2ii8 ай бұрын
@@mwalusambointernationalmin9065naomba kujiunga ni mm isaya sanga kutoka iringa Jimbo la mfindi
@samjosh127 ай бұрын
Nahitaji kitabu cha kanuni za kusoma Bibilia. Je, nitapate? Naishi Mtwara.
@queengerald35463 ай бұрын
🙏
@alphaxardmugabo78483 ай бұрын
Kwa hiyo dkt mila zetu waafrica kwenye biblia tunazipata kwenye maandiko yapi maana naona uliyoyaelezaa yote hapo yanawahusu wahusika ambao mitume walipotembelea.
@MjumbeAgano9 ай бұрын
Biblia imegawanyika katika mafungu makuu matatu fungu la kwanza ni mapokeo ya watu pili mifano mithali na mafumbo tatu NENO LA WAKATI HUSIKA mpaka uwe umeitwa na yeye mwenye Roho wake.
@rupiangwigulila29874 ай бұрын
Naomba nifahamu maana ya maandiko haya Matakatifu kama yalivyo andikwa. 1, Zaburi 23:1-6 2. Zaburi 24 yote
@mwalusambointernationalmin90654 ай бұрын
Zaburi 23:1-4; ni maneno yaliyowazi sana, kuonyesha jinsi ambavyo Mungu alivyo mchungaji wa maisha yetu; kila aliye wa Mungu analijua hili. Msitari wa 5; kuandaa meza, tunajua maana ya kuandaa meza ni kuandaa chakula. Mungu anatuandalia chakula cha kiroho ambacho ni Neno la Mungu. Mafuta ya Mungu anayotupaka ni Baraka za Roho Mtakatifu; kujaa kwa kikombe na kufurika ni kukaa kwa Baraka. Tena, kikanuni, kila palipo na chakula, pia kuna maji; kila palipo na kula, pia kuna kunywa; kwa hiyo, kuandaa meza, maana yake ni pamoja na maji; vyote viwili, yaani chakula na maji, ni Neno la Mungu. Sura ya 24: inazungumza kupanda katika mlima wa Bwana, ikiwa na maana mtu anayemfikia Bwana. Tunapomtafuta Bwana, tunapanda mlima wa Bwana; lakini lazima tuwe ni watu wanaoishi maisha ya utakatifu. Hicho ndicho kizazi cha Wana wa Mungu, wamtafutao.
@KalibaToba3 ай бұрын
Sasa dokta unataka kutuambia kuwa Kila kabila, jamii,na Mila linatakiwa kuwa na Biblia zao?? Toa kanuni kwnye Biblia inayosema hivyo. Wewe usimfanye Mungu kuwa na akili kama yako. Jitahidi ku-quote mstari kwnye Biblia unapotaja neno e.g. ufunuo=(I) mambo ambayo hayana budi kuwako upesi;;Ufun.1:1 (ii) maono aliyoyaona;;I say.13:1 Unabii=maneno yaliyomo ktk kitabu hiki(Biblia)>>Ufun.22:10,18,19,7.
@alphaxardmugabo78483 ай бұрын
Alafu hizo kanuni tunazipata wapi, zipo kwenye muongozo wa bible ama ni akila za watu wa leo maana sijakuelewa kabisa.