JINSI YA KUPATA KUKU 100 WA KIENYEJI KWA MIEZI 3 TU

  Рет қаралды 39,532

AGALUS  TV

AGALUS TV

Күн бұрын

Mbinu za kupata kuku 100 wa kienyeji kwa muda mfupi. Anza na kuku 12 tu ndani ya miezi 3 utapata kuku zaidi ya 100
#kuku#kienyeji#ufugaji
👉Jinsi ya kupata kuku bora wa kienyeji kwa ajiri ya kuanza ufugaji
• Mbinu 8 za Kupata kuku...
👉Vyakula vya kuku kutaga mayai mengi, makubwa na yenye kiini cha njano • ZINGATIA VYAKULA HIVI ...
👉Ujenzi wa banda la kuku
• MAMBO YA KUZINGATIA K...
👉Chanjo ya ndui • Jinsi ya kuchoma chanj...
👉Tiba asili za kuku mimea 12
• TIBA ASILI KWA KUKU: ...
👉Ugonjwa wa mafua kwa kuku
• HOW TO TREAT CHICKEN'S...
👉Mbinu za kupata kuku wengi
• Jinsi ya kupata kuku ...
👉Jinsi ya kulea vifaranga
• JINSI YA KULEA VIFARAN...
👉Jiunge nasi telegram /Follow us Telegram via t.me/agalustv
🙏🙏🙏

Пікірлер: 314
@elizabethgwakisa260
@elizabethgwakisa260 2 жыл бұрын
Asante kwa kunifundisha
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa pia ndugu
@WinfridaPeter-vl1nw
@WinfridaPeter-vl1nw Ай бұрын
Asanten sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa sana
@AliceaJulius-gj5tc
@AliceaJulius-gj5tc 7 ай бұрын
Asanteni
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@reginangongolo
@reginangongolo 4 ай бұрын
asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@generozavicent890
@generozavicent890 Ай бұрын
Mko vzr hongereni kutugawia maalifa mungu azid kuwapa maalifa naomba kutumiwa dawa za asili ndiyo naanza ufugaji natamani niwe mfugaji mkubwa Sana asanten
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Karibu sana ndugu katika ufugaji KUKU Tiba asili/Kienyeji za kuku Aina zote: kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL
@oreosmundi1967
@oreosmundi1967 6 ай бұрын
Ahsante sana kwa upendo wenu❤
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@MatildaJohakimKessy-wg6oe
@MatildaJohakimKessy-wg6oe Жыл бұрын
Mwenyezi mungu awajalie sana kwa kipaji chenu asanteni sana nimepata somo na nimejifunza vzr mbalilikiwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina ndugu 🙏🏿 nawe pia ✍️
@AthanasNkhuyu-rr9mx
@AthanasNkhuyu-rr9mx Жыл бұрын
Nipo pamoja nanyi naomba kutumiwa video za dawa na mabanda pia hongereni kwa ukarimu wenu. Mungu awatangulie
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Banda la kuku: kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
@patrickrichardlimu
@patrickrichardlimu 11 ай бұрын
Asanten sana mtatufkisha nch ya ahad
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu 🙏🏿
@charlesshilinde4491
@charlesshilinde4491 2 жыл бұрын
Mradi mzuri Sana ningefurahi kupata utaalamu wa kuwalea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kuhusu vifaranga👇 kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@johnfrancis8292
@johnfrancis8292 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa elimu hii
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🤝🙏
@user-di7yi8ws1y
@user-di7yi8ws1y 11 ай бұрын
Naomba video ya Banda bora.asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Banda bora la kuku kzbin.info/www/bejne/houufmt5r7Sjm9k
@user-di7yi8ws1y
@user-di7yi8ws1y 11 ай бұрын
Shukrani naomba mwongozo was banda
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Banda bora la kuku kzbin.info/www/bejne/houufmt5r7Sjm9k
@RhodaKwareh
@RhodaKwareh 2 ай бұрын
Naomba hii
@agesag.m2476
@agesag.m2476 Жыл бұрын
A very educative and enlightening article 👏 cudos.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Thanks 🤝🙏🏿✍️
@eliasmaganda5030
@eliasmaganda5030 8 ай бұрын
Hiv kumbe mayai hayaharibiki yanapochukua muda mrefu ukiwa tayar umeyakusanya?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Uyatunze sehem nzuri angalau wiki mbili
@rizikiruwa7116
@rizikiruwa7116 2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa 1 🤝🤝
@alfredmaingi3506
@alfredmaingi3506 2 жыл бұрын
Kusema ukweli mko vizuri, Mungu awainue Sana Sababu mnatufanya tutajirike
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿✍️
@rodgerushindi85
@rodgerushindi85 2 жыл бұрын
Perfect Class
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Thanks 🙏🏿
@evabikabhai1861
@evabikabhai1861 2 жыл бұрын
Naomba Video ya Kuku bora Ahsante barikiwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina 🙏✍️ Video ya kupata kuku bora wa kienyeji kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@edisonanton8651
@edisonanton8651 2 жыл бұрын
Nashukur Kwa elimu nzuri ninaomba mnisaidie jinsi ya kulea vifalanga naomba
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Jinsi ya kulea vifaranga👇👇 kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@evabikabhai1861
@evabikabhai1861 Жыл бұрын
Naomba vodeo ya kuku bora. Ahsante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Hii APA video ya jinsi ya kuchagua mbegu bora ya KUKU kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 жыл бұрын
Habari, samahani bro, shida yangu ni uleaji wa vifaranga! Hili zoezi limekuwa gumu sana kwangu, vifaranga wakifikisha umri wa wiki tatu matatizo yanaanza, wanaugua na vifo vinaanza kutokea. Hili limekuwa ni changamoto kwangu kiasi kwamba naona kama nafuga kwa hasara kubwa! Nazingatia ratiba ya chanjo, chakula lkn bado hali ni ngumu, tafadhali naomba elimu ya uleaji wa vifaranga.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Uleaji wa vifaranga 👇 kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV 🙏🙏🙏asante sante brother, ntajitahidi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV Samahani, kuna swala linanitatiza kuhusu chanjo ya ndui! Ni kweli kwamba chanjo ya ndui haiurudiwi? Na kama hairudiwi inakuwaje pale ninapokuwa nimewapa kuku 🐔🐔 au vifaranga chanjo ya tatu moja ya kwa ajili ya Newcastle/mdondo/kideri, je hapa kuna haja ya kutoa chanjo ya ndui tena?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Chanjo ya ndui hairudiwi ni mara moja. Kuhusu iyo chanjo ebu tuwaulize wahusika, watoe ufafanuz
@kelvinmulenga2576
@kelvinmulenga2576 2 жыл бұрын
Safi Sana.. I want that video please
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Which video do you want
@ThomasMsuguri-ue1jp
@ThomasMsuguri-ue1jp Жыл бұрын
Naitaji hiyoo video
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa tutakutumia
@dalyuskibonde6
@dalyuskibonde6 Жыл бұрын
Msaada wa video jinsi ya kuchanganya chakula
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
#chakulachakuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
#chakulachakuku
@RhodaKwareh
@RhodaKwareh 2 ай бұрын
Naomba hii video
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Kwa njia gani
@norbypoltv
@norbypoltv 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏Asante sana kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌🙌🤝🤝
@zaituninkya2081
@zaituninkya2081 2 жыл бұрын
Shukran sana naomba namba zenu napenda kusoma kwenu zaidi napia kuja kuwatembelea mukiruhusu Asante.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu🤝🤝
@jobmasase4253
@jobmasase4253 2 жыл бұрын
Ninaitaji Hiyo Kuku Niko Kenya
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Uko mbali rafiki Sisi tupo Tanzania 🙏🙏
@masongomchael3470
@masongomchael3470 Жыл бұрын
Naomba hiyo Video.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa ndugu
@rosemdea2830
@rosemdea2830 Жыл бұрын
Naomba video
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Okay
@JuliusWambua-un2jn
@JuliusWambua-un2jn 2 ай бұрын
Nko pamoja na nyinyi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa
@danielmwakatuma1438
@danielmwakatuma1438 2 жыл бұрын
Nashukur kwa ajili ya kutuwezesha elimu ya ufugaji.ubarikiwe.ntapateje video ya utunzaji wa vifaranga.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Video ya uleaji w vifaranga 👇kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@user-qt4kf3dv3b
@user-qt4kf3dv3b Ай бұрын
Jinsi ya kulea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
@user-qt4kf3dv3b jinsi ya kulea vifaranga kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
@UpendoMkwizu
@UpendoMkwizu 3 ай бұрын
Naomba nitumie
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Video gani ndugu
@paulsato6704
@paulsato6704 2 жыл бұрын
Je awa vifaranga wenye umenyanganya kuku wataitaji jua
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hapana tu natumia umeme taa za joto au majiko ya mkaa ya kulelea kuku. Jifunze jinsi ya kutumia majiko aya kulelea vifaranga kzbin.info/www/bejne/nIOpfqyld5iCnbc
@merysaimony6526
@merysaimony6526 2 жыл бұрын
Naitaji napataje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Upo wapi
@alexntahiraja2974
@alexntahiraja2974 2 ай бұрын
Asante sana. Nimekuwa nikijiuliza. Je ni wazo zuri kutumia jogo la Sasso kwa kuku wa kienyeji? Au ni bora ukichagua kuku wa umbo kubwa wa kienyeji?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Yote Sawa tu japo upate jogoo anae panda vizuri...
@josephgowelle127
@josephgowelle127 2 жыл бұрын
Msaada jinsi ya kulea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Video yake ni hii kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@philemon8099
@philemon8099 Жыл бұрын
Jinsi ya kupata kuku bora
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Video ya jinsi ya kupata kuku bora ni hii apa kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@shadrackwambura5757
@shadrackwambura5757 Жыл бұрын
Nitumieni vidio za kulea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Video ya uleaji wa vifaranga kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
@user-xj3wi4zw5q
@user-xj3wi4zw5q 10 ай бұрын
Naomba mbegu bora ya jogoo kwa uzalishaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Wa kienyeji AU chotara? Na upo wapi
@user-bk3hh5iw8g
@user-bk3hh5iw8g Жыл бұрын
Naomba video ya mabanda kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
IZI apa video za mabanda bora ya kuku kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
@harlodsichone6815
@harlodsichone6815 2 жыл бұрын
Your doing good job thank you.how do you choose good size of chicken?. How many mitres can 100 chicken stay?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
For size of chicken by taking eggs to icubator machine or buying chicks to those have incubators. 2. Size of house depend on type of chickens. For Broilers takes 1m to 10 chickens so for 100 takes around 100m squres but for layers chickens and others 1m2 takes 6 chickens. So for 100 chilckens takes around 250 m2🙏_
@sitirashid3182
@sitirashid3182 2 жыл бұрын
Nisehemu gani nzuri ya kuhifadhia mayai yakutotolesha vifaranga kwakuekea kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kwenye box lenye malanda makavu au kwenye trey ila likae sehem nzur
@mohamednyituki3785
@mohamednyituki3785 Жыл бұрын
Sawa endelen kutupa elimu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@josephndunguru6552
@josephndunguru6552 Жыл бұрын
Safi San naomba video ya kulea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Video zote za vifaranga utavipata apa kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
@shadrackwambura5757
@shadrackwambura5757 Жыл бұрын
Nitumieni vidio ya kulea
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Uleaji wa vifaranga kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
@josephatngua7914
@josephatngua7914 Жыл бұрын
Je nawezaje kupata mbegu bora ya kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Upo wapi ndugu
@miltonoduori6285
@miltonoduori6285 2 жыл бұрын
Nataka kuanza kufunga kuku lakini kitu sijui ni kuku gani naweza nunua Ile baada ya mwazi mbili hiyo kuku ianza kutaga sasa nafaa kununua kuku yenye iko umri wa Kama mwazi ngapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu kwenye ufugaji wa Kuku. Fuatilia somo hili👇 kuanza ufugaji kzbin.info/www/bejne/d3yae3x_fL2dfbs
@peterjacob3727
@peterjacob3727 2 жыл бұрын
Naiomba hiyo video yakuonyesha jinsi gan ya kuchagua kuku wa kufuga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Video ya kuchagua mbegu ya kuku wa kufuga kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@kenethngulo3844
@kenethngulo3844 Жыл бұрын
Naomba unitumie jinsi ya kuchagua mbegu nzuri ya kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Mbinu ya kupata KUKU bora kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@EmmyMagunda
@EmmyMagunda 2 ай бұрын
Naomba kupata hii video .na kupata mitetea kwa ajili ya kufuga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Video hii itakupa mbinu za kupata kuku bora kwa ajiri ya mbegu kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@user-nm9xg9bo1f
@user-nm9xg9bo1f 2 ай бұрын
Naomba video ya kuku na mabanda
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Ujenzi wa Banda bora la kuku kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
@BarakaMichael-sd7kx
@BarakaMichael-sd7kx 4 ай бұрын
naomba video namna ya kichagua tetea na jogoo kwa ajili ya mbegu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Video ya kuchagua kuku bora kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@janethkimweli114
@janethkimweli114 Жыл бұрын
Utaratibu wa chanjo ya vifaranga chakula ukoje
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Chanjo zote za kuku kzbin.info/www/bejne/Y6elq3WZbdFplbs
@ibrahimjidai8264
@ibrahimjidai8264 Жыл бұрын
Nitumie video namna ya kulisha na kuwakuza hao vifarangs
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Video za Kulea vifaranga Zipo KWENYE link kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
@ahamadomar8360
@ahamadomar8360 Жыл бұрын
Naomba munitumie maelezo ya kulea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Jinsi ya Kulea vifaranga wa Aina zote kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
@reaganpathy8811
@reaganpathy8811 Жыл бұрын
Naomba video ya kuchagua tetea
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Video ya mambo y kuzingatia unapo chagua mbegu ya kuku wa kienyeji kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@AthanasNkhuyu-rr9mx
@AthanasNkhuyu-rr9mx Жыл бұрын
Tumeni pia na jinsi yakulea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Uleaji wa Vifaranga vya kuku: kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
@SuzanYohana-wr8pk
@SuzanYohana-wr8pk Жыл бұрын
Mimi sijui jinsi ya kulea vifaranga hua wanakufa % kubwa yani .
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pole sana ndugu.kwenye channel andika JINSI ya kulea vifaranga BY AGALUS ONLINE TV AU video hizi kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
@agnesmpapa6583
@agnesmpapa6583 2 ай бұрын
Naomba video ya kuchagua kuku bora
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Jinsi ya kupata mbegu bora ya KUKU video kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@abrahamaniramadhani1185
@abrahamaniramadhani1185 2 жыл бұрын
Naomba unitumie hizo vedio
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok
@juliethnassary8694
@juliethnassary8694 Жыл бұрын
Kaka habali kwema Kaka angu samahani nimefatilia video zako you tube naomba nisaidie awa kuku nitawapataje Niko dodoma
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Wanaweza was iwe AO maana washauzwa pia iyo video ni ya muda kdogo ila LABDA utuambie unahitaj kuku wa Aina gani
@zephilinisezari8892
@zephilinisezari8892 Жыл бұрын
Nitumie video ya namna yakulea vifalanga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Jinsi ya kulea vifaranga masomo yote yapo apa kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
@ayubabwor1804
@ayubabwor1804 2 жыл бұрын
Jinsi ya kuchagua kuku bora
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Jinsi ya kupata kuku bora wa kufuga kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@johnshikijohnshiki3522
@johnshikijohnshiki3522 2 жыл бұрын
Naomba nitumie hiyo video
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok
@annamikamollel360
@annamikamollel360 3 ай бұрын
Naomba kupata hiyo video namna ya kuchagua kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Video ya kuchagua kuku bora ni hii kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@evarestosimon2910
@evarestosimon2910 2 жыл бұрын
Nitawapate kuku kama hao ndugu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Upo wpi ndugu🙏
@tulisamwel41
@tulisamwel41 2 жыл бұрын
Kuku ninaowaona hapa ni mbegu nzuri sana . Sijui mwalimu nikiwataka nawapataje ? Naomba ikiwezekana nipate mawasiliano.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Upo wapi
@tulisamwel41
@tulisamwel41 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV Nipo Dar es salaam, Tabata changombe.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
OK tupo Mbeya ndugu Sasa kwa umbali uo cjui tufanyeje apo naona ni mbali sana kusafirisha kuku hadi Dar. 🙏🙏 Au una Wazo ndugu
@tulisamwel41
@tulisamwel41 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV Nitajaribu kuku inbox
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
OK vp unahitaji wa kienyeji au chotara Maana wote tunao
@sipembogela9605
@sipembogela9605 2 жыл бұрын
Samahan et Kuna dawa ya kukuza kuku kwa haraka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hapana ila ni mbegu tu kwa wakisasa wana wahi ila wa kienyeji wanachelewa
@user-ow8bf7co9g
@user-ow8bf7co9g 11 ай бұрын
Hao kuku unaowafungia bila chakula ni iili wafanyeje sijaelewa hapo?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Irudie video
@rosekhalid2953
@rosekhalid2953 2 жыл бұрын
Naomba jinsi yakuwapata hao kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Upo wapi
@emmanuelrobert5172
@emmanuelrobert5172 2 жыл бұрын
H i naomba kujua namna yakulea vifaranga tafadhari
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Somo LA kulea vifaranga kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@user-dc5dk3ql2c
@user-dc5dk3ql2c 10 ай бұрын
Naomba video ya kuchagua kuku borakwa mbegu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Jinsi ya kupata mbegu bora ya kuku kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@annakiwia2801
@annakiwia2801 2 жыл бұрын
Video jindskuchaguamtetea
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Mbegu bora tutazipata kwa kuzingatia mambo aya ktk uchaguz w kuku kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@agnesmpapa6583
@agnesmpapa6583 Жыл бұрын
Naomba kutumiwa video yakuleta vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Jinsi ya kulea vifaranga masomo yote yapo apa 👇 kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
@qassimnkungu8295
@qassimnkungu8295 2 жыл бұрын
Sijui jinsi ya kulea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hii apa video ya kulea vifaranga👇👇 kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@bridgetngeiyamu6601
@bridgetngeiyamu6601 Жыл бұрын
Naomba kupata jinsi ya kulea vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
#uleajiwavifaranga
@user-vf1vo2gp9t
@user-vf1vo2gp9t 6 ай бұрын
Naomba video ya kuku bora na namba ya cm
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Itafute video ktk channel hii AGALUS TV
@gideonmkwaya1216
@gideonmkwaya1216 2 жыл бұрын
Naomba video ya namnaya kuchagua mbegu ya kuku bora
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hii apa👇 video ya kupata kuku bora kwa ajir ya kuanza kifuga kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@jacksontimila4517
@jacksontimila4517 Жыл бұрын
Boss hamna vitabu vya haya masomo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Vitabu vipo vp upo wapi
@asifiwerashid956
@asifiwerashid956 2 жыл бұрын
Dalasa Bola
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hakika🙏🤝
@khamisali6705
@khamisali6705 Жыл бұрын
Nahitaji.junsi.ya.kulea.vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Jinsi ya kulea vifaranga masomo yote yapo apa kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
@newworldvisiontv8998
@newworldvisiontv8998 2 жыл бұрын
VIP ninyi hamuuzi Kuku kwa ajili ya kufuga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Tuwasiliane tu ndugu ukiitaji tutasaidiana yawezekana kwetu lakini hata kwenye mashamba mengine 🙏
@newworldvisiontv8998
@newworldvisiontv8998 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV ok now Niko kwa masomo ntawacheki baada ya kugraduate
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Mungu awe nawe katika masomo yako 🙏🙏🙏
@adelaanthony6562
@adelaanthony6562 2 жыл бұрын
nahitaji kuku bora wakubwa wa kufuga naomba video
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Mbinu za kutafuta kuku bora ni hii apa kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@ahmadnangwaranya9418
@ahmadnangwaranya9418 2 жыл бұрын
Tuma video ya kulea vifa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Video ya kulea ya kulea vifaranga kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@agnesmashigala5040
@agnesmashigala5040 2 жыл бұрын
Mahitaji video tafadhali
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Somo LA jinsi ya kulea vifaranga kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 күн бұрын
Ok
@rehematulanya3899
@rehematulanya3899 2 жыл бұрын
Naomba unitumie video ya namna ya kuchagua kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Mbegu bora za kuku kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@pacienteraston2902
@pacienteraston2902 Жыл бұрын
Kwahiyo wanapopatwa magonjwa mnatumia Sawa gani zaidi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Kila ugonjwa una dawa yake
@jonsonjackson3472
@jonsonjackson3472 2 жыл бұрын
Naomba unitumie hii vidio
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok
@user-gi2kc5yg2r
@user-gi2kc5yg2r Жыл бұрын
Nijins gani umalea ivyo vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Masomo ya jinsi ya kulea vifaranga masomo yote yapo apa kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
@ramadhanihassan8440
@ramadhanihassan8440 2 жыл бұрын
Nahitaji mbegu nzuri ya kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hii apa kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV una patikana wapii apo DAR ilii nije kununuwa mbengu Kwako? Na Bei ikoje? Mm Nina fuga Bata tuu napenda niwekee na kuku pia ila sikapata mbengu nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Sisi tupo Mbeya. Kuhusu mbegu bora fuatilia somo hili waweza jifunza mengi kabla hujaenda kununuahttps ://kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@IsikeGerda
@IsikeGerda 16 күн бұрын
Nahitaji hio video kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 15 күн бұрын
Kwa njia ipi ndugu
@reginaaizak1588
@reginaaizak1588 2 жыл бұрын
naomba video ya jinsi ya kuchagua mbegu bora ya kuku wa kienyeji pls
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hii apa video ya kuchagua kuku kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@viomum3704
@viomum3704 2 жыл бұрын
Asante Sana kaka naomba video y kulea vifaranga kwanzaa siku Moja tafadhali
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kulea vifaranga👇 kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@getrudemhozya9920
@getrudemhozya9920 2 жыл бұрын
Ndo nimeanza ufugaji Nina vifaranga 25 wanaokaribia kutaga 9 bado vidogo. Changamoto niliyoiona Kuna vijogoo vidogo vimeanza kuwika pia kimoja kinawapanda wenzake japo hao wanaopandwa bado hawajui chochote je ndivyo inavyokuwaga?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Haina shida ndugu. Ni tabia za sex kwa viumbe pia. Na ni kawaida🙏
@getrudemhozya9920
@getrudemhozya9920 2 жыл бұрын
Asante kwa kunitowa hofu maana nilitaka nimchinje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
😀😀Tupo pa 1
@justinemwebembezi
@justinemwebembezi 9 күн бұрын
Nahitaji video
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 күн бұрын
Kwa njia gani nikupe
@hollojumannemlimi4496
@hollojumannemlimi4496 2 жыл бұрын
Nafurahi elimu yenu, je Bata naweza kumwekea mayai ya Bata na akayatotoa vizuri?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Una maana ya kumwekea Bata mayai ya kuku au?
@shaniasaid9824
@shaniasaid9824 2 жыл бұрын
Nirushieni video za kujifunza
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok🙏🏿🤝✍️
@jumannemkangwa7652
@jumannemkangwa7652 9 ай бұрын
Nahitani kujua jinsi ya kulea vifaranga wa kuku wa kienyeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Fuatilia video zetu kuhusu kulea vifaranga
@edgarezden9005
@edgarezden9005 2 жыл бұрын
Naomba mnaambie wapi ntapa mitetea wazur
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Upo wapi tukutumie
@josephatngua7914
@josephatngua7914 Жыл бұрын
MUNGU AZIDI KUWAINUA mtupe elimu inayo weza kututoa katika ombwe la umaskini
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina KUBWA NDUGU 🙏🏿✍️
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 жыл бұрын
Bora niwe na mashine ya kutotolesha vifaranga maana maelezo ni mengii sn Bora wa totowe Kisha niya towe niya peleke Kwenye mashine ya jitotowe yenyewee na vifaranga vitatoka vingii kamaa inavyo elezea2.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Yaaah upo sahihi. 🙏🙏
@user-gi2kc5yg2r
@user-gi2kc5yg2r Жыл бұрын
No jnsi umalea vfaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Jinsi ya kulea vifaranga masomo yote yapo apa 👇 kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT
JINSI YA KUPATA PESA KWA HARAKA KWA KUKU WA ASILI/KIENYEJI TU
9:39
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 37 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 40 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
Bajeti ya kuku wa mayai 300  | Gharama ya kuanzia wiki 1- 24
10:50
Mbinu 8 za Kupata kuku bora wa Kufuga wa kienyeji
14:11
AGALUS TV
Рет қаралды 28 М.
FAHAMU NAMNA BORA YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU
11:56
Amina Mollel
Рет қаралды 4,9 М.
BAJETI YA  CHAKULA CHA  KUKU  100 KWA MIEZI 02 YA MWANZO
9:50
AGALUS TV
Рет қаралды 23 М.
SABABU 4 ZA VIFARANGA KUFA
9:21
AGALUS TV
Рет қаралды 31 М.
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 37 МЛН