Mbinu 8 za Kupata kuku bora wa Kufuga wa kienyeji

  Рет қаралды 29,984

AGALUS  TV

AGALUS TV

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@doppewaxy282
@doppewaxy282 2 жыл бұрын
Nime subscribe mzee,naanza kufuga kuku shamba huku fukayose,na hii ndo channel yangu ya muongozo,thanks.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu ✍️🤝👍
@BalakaYohana-cw3di
@BalakaYohana-cw3di Жыл бұрын
Big up agalus dahhh
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Karibu sana ndugu 🙏🤝
@danielmboje8751
@danielmboje8751 15 күн бұрын
mko vizuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 14 күн бұрын
Asante sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@ayubumkwizu2283
@ayubumkwizu2283 4 ай бұрын
Barikiwa nimepata somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
OK tupo pamoja ndugu barikiwa pia ktk Kaz zako
@winifridampanduji
@winifridampanduji 3 ай бұрын
Nimernda. sana. masomo haya
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Karibu Sana ndugu ktk channel hii
@LilianKayoka
@LilianKayoka 3 ай бұрын
Asanteh Kwa masomo mazuri, , msaada juu ya ujenzi wa Banda la kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Ujenzi wa Banda bora la kuku kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
@claudiamollel4536
@claudiamollel4536 Жыл бұрын
Hongera kwa ufundishaji ninafuatilia sana niña matumaini nitafaidikà asante.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa na kila LA heri kwako
@jumaelias1019
@jumaelias1019 4 ай бұрын
Namba nzuri ya kupata matete a wenye kulea vifaranga.,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Angalia umbo kubwa la tetea
@RehemaKimwaga
@RehemaKimwaga 4 ай бұрын
Habari watenda kazi wote,eti kuku wangu awezi kutembea,kula,hata kunywa maji nimpe dawa gani,anataga kaacha kutaga.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Pole Sana ndugu MPE antibiotics uku ukilwangalia zaidi Dalili zingine
@annamikamollel360
@annamikamollel360 5 ай бұрын
Asante sana nabarikiwa na haya mafunzo yenu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 жыл бұрын
Asante Kwa ushauri mzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Tupo pa1🤝
@moseslisulile6288
@moseslisulile6288 2 жыл бұрын
Ahxanteni sana kwa hii elimu ya ufugaji wa kuku ila ingependeza mngekuwa mnaweka na Namba za Simu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
OK ndugu Ubarikiwe kwa Ushauri 🙏🤝
@MachanoAli-pi1dq
@MachanoAli-pi1dq 4 ай бұрын
Nafuga leyas katika keji ila nijinsi Gani yakuondoa hahufu katika banda
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Wape vitunguu saumu tu ktk maji yaan unatwanga na kuweka ktk maji. Kuondoa harufu bandani kuku wanaokunywa maji kinyesi Chao ua hakuna harufu. Pia Endelea na usafi
@MachanoAli-pi1dq
@MachanoAli-pi1dq 4 ай бұрын
Mimi boci wangu nauliza kitunguu saumu naweza kuwapa Kila siku na haitaleta athari yoyote
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Angalau kwa wiki Mara 1 AU 2
@JacklineMtuye-cq4ge
@JacklineMtuye-cq4ge Жыл бұрын
Nataka mbengu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Kuku wa Aina gani
@makinahonore
@makinahonore Жыл бұрын
Natoa salama AGALUS TV Mimi niko burundi nafatilia kila kitu na mungu awazidishie kutupa elimu. Ninaitaji number zenu ili tufanye kazi ya ufugaji na nyie if possible . Thanks
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tunashukuru kwa kua pamoja. Wasalimie Burundi 🇧🇮 ndugu yetu
@alexntahiraja2974
@alexntahiraja2974 4 ай бұрын
Nimesbuscribe. Hivi naweza kuongea nawewe kwenye whatsap?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Sawa ndugu
@JacklineMtuye-cq4ge
@JacklineMtuye-cq4ge Жыл бұрын
Ntawapataje na mnapatikana wapi??
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Nihisi tulisha wasiliana ndugu
@MachanoAli-pi1dq
@MachanoAli-pi1dq 4 ай бұрын
Na wakiswahili wanatembea ndani siwatowi nje jee nijinsi Gani yakuzuiya maradhi ya salmonella
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Wape Sana tiba asili mara kwa Mara. Andika you tube tiba asili za kuku by agalus TV zitakuja video nyingi Sana nawe UTAJIFUNZA mengi
@annamikamollel360
@annamikamollel360 5 ай бұрын
Nitahifadhi vip mayai ya kuku wakati wa kusubiria kuwatamishia na je nitakuja mayai yenye ubora wa kutamishia kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Waweza weka ktk trey za mayai. AU box kumbuka kuandika mayai tarehe ya yai lilivyotagwa. Wkt w kumwekea utaanza na mayai ya mwisho yaani jipya kurud nyuma hadi idadi ya mayai utakayo mwekea. Mengine yaliyobak utakula
@MachanoAli-pi1dq
@MachanoAli-pi1dq 4 ай бұрын
Pia jinsi yakumuwekea mayai wakati wakulalia kwamana hawatotoi vizuri je nifanye vp ili watotoe kwawingi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Kuhusu kuku kushindwa kutotoa mayai video yake kzbin.info/www/bejne/rZjQkGmqdqqWgtk
@bahatijuma2310
@bahatijuma2310 3 жыл бұрын
Naomba kufahamu jina la hayo majani wanayokula
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Majina yametofautina eneo na eneo kuna somo hili👇 kzbin.info/www/bejne/oWeXmIiYfb1qnsk
@YolandaMgata-d5n
@YolandaMgata-d5n 3 ай бұрын
Kuna aina ya kuku wakienyeji wanaitwa kuchi nitumie njia Iipi kuwapata?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Sawa tunawafaham ngoja tutakujuza tukijua wanapo uza
@magdalenalaban8895
@magdalenalaban8895 4 ай бұрын
Je?majani ya mpapai kwa kukupa ni Dawa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Yes ni tiba nzuri Sana. Jifunze zaidi kupitia video hii 👇 kzbin.info/www/bejne/qpDbnX2lqZKpmc0 faida za mpapai kwa kuku na jinsi ya kutumia
@jumakhamis5053
@jumakhamis5053 Жыл бұрын
Unayoyasema mtaalam yote ni ukweli nimeyashuhudia yote
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tunashukuru kwa Hilo Mungu azidi kua NAWE katika Kaz zako
@aniressamson6972
@aniressamson6972 3 жыл бұрын
Je, kuku wa kisasa wanaweza kupewa mdalasini
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Wanapewa pia
@elizabethmatsekhe7909
@elizabethmatsekhe7909 3 жыл бұрын
Can lacrosse kienyeji na pure breed?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Yes possible🙏
@ayubabwor1804
@ayubabwor1804 2 жыл бұрын
Hapo chini ya banda umeweka nini na usafi unakuwaje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Izo ni waya na Hakuna usafi yaani kinyesi kinaanguka Moja kwa Moja
@soudmgelleka983
@soudmgelleka983 2 жыл бұрын
Nyie mnapatikana wap ? Nipe hiyoo video ya kuchagua mbegu bora na jins ya kutunza vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Masomo ya uleaji wa vifaranga video zake Zipo apa kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
@AllyRajabu-kx5jh
@AllyRajabu-kx5jh 6 ай бұрын
Jinsi yakulea vifaranga wakuku wa kienyeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Fuatilila video zetu uleaji wa vifaranga
@ramayasly4584
@ramayasly4584 2 жыл бұрын
Nauliza je unaweza pata original kuloiler yani F1?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kwetu hapana labda tuzidi ulizia🙏🏿🙏🏿✍️
@ramayasly4584
@ramayasly4584 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV sawa kakangu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
🤝🤝✍️
@jojimwamlenga3759
@jojimwamlenga3759 3 жыл бұрын
Ivi baadae ya kufuga endapo uko mbali kama vile rufiji napateje soko la uakika?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Masoko ya kuku si shida ndugu yapo mengi sana🙏
@eugenetv6881
@eugenetv6881 3 жыл бұрын
Je iyo matawi yenye kuku inakula nigan
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Majina yanatofautiana kulingana na eneo ila ni majani fulani ivi yana chumvi chumvi nyingi
@hussenkasimu7098
@hussenkasimu7098 3 жыл бұрын
Somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa1🤝
@eugenetv6881
@eugenetv6881 3 жыл бұрын
Je dawa ya chacho unanunua dukan am wapi????
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Duka la mifugo zipo 🙏
@eugenetv6881
@eugenetv6881 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV yes
@wigelwadavid5697
@wigelwadavid5697 3 жыл бұрын
Kwa mfano nataka kufunga kuku naenda kununua kijijini wale kuku walikuwa hawachajwi itafaa nikisha wanunua niaze kuchaja
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ndyo ebu fuatialia hili somo jinsi ya kupata kuku bora kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 3 жыл бұрын
Nimejifunza mambo mengi sana kutoka Agalus tv, bila shaka nitapiga hatua nzuri! Ila naomba niulize swali: Ukilea vifaranga wa kienyeji bila mama yao kwa kufuata utaratibu wa uleaji bila mama na ikafikia muda sasa ukawatoa nje ili waanze maisha ya huria au nusu huria Je hawawezi kudhurika na vyakula vya kijitafutia nje? 2. Kuku chotara pia unaweza kumfuga huria?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Kuhusu chakula haina shida kwa kuku wa kienyeji. Kwa chotora hutegemea aina ya chotara kuna wanao weza kuishi kama wa kienyeji na pia kuna wasioweza. Bt barikiwa 🙌
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV Asante sana 🙏
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa1🤝
@judithsitti9788
@judithsitti9788 3 жыл бұрын
Video ya dawa ya kiasili kama naweza kupata.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Hii apa Mimea 12 kama tiba kwa kuku kzbin.info/www/bejne/aXPTk6qvjMyGmJI
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU WA ASILI BILA MAMA YAO
19:45
AGALUS TV
Рет қаралды 138 М.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Changamkia Fursa
Рет қаралды 268 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,8 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 12 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
JINSI YA KUPATA PESA KWA HARAKA KWA KUKU WA ASILI/KIENYEJI TU
9:39
EPUKA HASARA: TAMBUA MAGONJWA 8 YA KUKU NA MATIBABU YAKE
22:51
JM Farm Tanzania
Рет қаралды 1,9 М.
JIFUNZE KUTENGENEZA KITOTOLESHI KINACHOTUMIA MAFUTA YA TAA   PART 2
17:38
TIBA ASILI KWA KUKU:  MIMEA. 12 KAMA KINGA NA. TIBA KWA KUKU
14:12
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji - Muongozo kwa Wanaoanza Ufugaji
14:05
Changamkia Fursa
Рет қаралды 153 М.
SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
28:07
ITV Tanzania
Рет қаралды 24 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,8 МЛН