Joyce Kasakisya Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu kzbin.info/www/bejne/mXjPcoGvodaNgdE
@a.8564 жыл бұрын
Wow asante kwa mapishi😋
@fatumanjoka79324 жыл бұрын
Chefs aloyce huyu chef kiboko😋😋😋
@gracepaul55854 жыл бұрын
Asante kwa darasa
@glorytarimo83214 жыл бұрын
Hongera kwa kipindi hiki 🔥👌
@edithamussa90684 жыл бұрын
Mapishi mazur
@magrethurembo18344 жыл бұрын
wow chapati nzuri hayo maziwa ni ya moto au baridi
@kpetres28724 жыл бұрын
NATAMANI KUJIFUNZA MAPISHI YA CHAPATI KAKA. NIPO DAR ES SALAAM🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@evajohn55023 жыл бұрын
Ana dalasa la mapishi what's App anda elf 30 kwa mwzi mzima utajifunza mapishi tofauti tofauti
@benemadinda3753 жыл бұрын
@@evajohn5502 anapatikana wapi?
@samkiria4504 жыл бұрын
Chef Aloyce 🙌💯 huyu jamaa anajua
@chrissdilly4 жыл бұрын
Yani bro umenifanya nitamani kupika chspati maana wengine walinikata stim kukanga kuumua donge alafu kuumua rolls chei!!! Thanks
@mdsadiq25694 жыл бұрын
Mashallah😋😋
@jenniferbigeyobwire55344 жыл бұрын
Ahsante chef kwa pishi hili
@azizacleny86774 жыл бұрын
Sasa nimejua ni wapi nilikuwa nakosea asante chef ila kwenye frying pan umeniangusha
@glorysechu834 жыл бұрын
Simple and i like ❣
@irenestevene41584 жыл бұрын
asante
@worldlyricssongs61414 жыл бұрын
Chef himself...chief aloyce ❤❤❤
@hamisaally26274 жыл бұрын
Hayo maziwa mbona yana hema au n macho yangu
@tatuiddy96034 жыл бұрын
umetumia vitu vyote vya barid au?
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
Tatu Iddy Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu kzbin.info/www/bejne/mXjPcoGvodaNgdE
@fatumahassan20444 жыл бұрын
Anajua kupika na kukuelekeza mtazamaji.. sio kama wengine.. wapika tuuuuu 😃😃
@liciouspipi55383 жыл бұрын
Chef❤️
@rachelbenedict47304 жыл бұрын
Ahsante bro ur great
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
Rachel Benedict Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu kzbin.info/www/bejne/mXjPcoGvodaNgdE
@hamidaabdully83964 жыл бұрын
MashaAllah nzur kweli
@benemadinda3753 жыл бұрын
Nahitaji kujifunza zaidi
@saidahj25434 жыл бұрын
Great work
@mariamkarikumutima49964 жыл бұрын
Maziwa ni vugu vgu ao ya kawaida?
@RED-kr5vc4 жыл бұрын
vuguvugu
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
Mariam Karikumutima Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu kzbin.info/www/bejne/mXjPcoGvodaNgdE
@monicajohn57214 жыл бұрын
Sawa tumeona haujatuambia kama hayo maziwa ni ya Moto au ya baridi.
@fellygal54144 жыл бұрын
Yalocheshwa na yapoe
@ashuraahmed35683 жыл бұрын
Chapat haikandiwi na kitu moto chapat haitaki gluten
@mariamothman74044 жыл бұрын
Naomba namba yako uje kunipikia kwangu
@victoriasifuni80114 жыл бұрын
Sikuhizi nikupika tu kila mtu,du??
@jayratumaulid5824 жыл бұрын
😂😂😂😂corona hamna mgahawa
@winnieseme49444 жыл бұрын
Ni kitu ambacho kipo kila cku. Na wengi wao hatujui kupika vzr
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Kwakweli chapati nzuri,mm sipendelei sana chapati lkn nzuri sana kwamacho tu,kwenye kula sasa sijui.inakuwaje
@verynicethifilmnuur1alrahb8874 жыл бұрын
Mashaallah chapati zimenyambuka
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
very nice thi film NUUR1 Alrahbi Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu kzbin.info/www/bejne/mXjPcoGvodaNgdE Ramadhani kareem
@zephanianapegwa6324 жыл бұрын
Umetumia unga aina gani?
@annasilayo14054 жыл бұрын
Tumia PPF kg 1,2500
@jaklinifaustini42594 жыл бұрын
Nimependa mapishi yako umevaa cofia sio kama wema minywere had matakon
@MohammedAli-vq2dk4 жыл бұрын
😂😂
@zuwenamasoud86244 жыл бұрын
Na makucha kama mwewe
@aishaali79664 жыл бұрын
Hahaaa hii kali ati minywele mpaka wapi 😁😁😂
@juliettededieu8884 жыл бұрын
Samahani mi ni mkongomani sielewi swahili vizuri ,siagi njo blueband?
@MohammedAli-vq2dk4 жыл бұрын
Ndio
@mwanaisha5224 жыл бұрын
Blueband huwana chumv ila siag haijakoza cn njano yk na haina chumv
@konsolatatutu4234 жыл бұрын
Butter
@florachrist96024 жыл бұрын
Oui
@kaninikatua55524 жыл бұрын
Yummy
@hadijakabona9554 жыл бұрын
Aya Sasa wale wasojua mapushi mshindwe nyie 2 chanel kalibu zote mapishi
@mohamedmohd83734 жыл бұрын
Can i use blueband instead of butter?? Mrs🇰🇪🇰🇪
@fridahdulle62844 жыл бұрын
Kwn butter ni nini
@mohamedmohd83734 жыл бұрын
@@fridahdulle6284 butter ni siagi .and differnt with blue band
@hellenalex95414 жыл бұрын
Hujui kuelewesha audience, pale kwa maziwa hatujui yalikua warm au cold
@RED-kr5vc4 жыл бұрын
warm
@salmahalfani63074 жыл бұрын
Si moto na maziwa ambayo ya kawaida wala si baridi yangekuwa moto asingeweka kwenye hiyo jag
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
hellen kabila Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu kzbin.info/www/bejne/mXjPcoGvodaNgdE
@susannesusie32174 жыл бұрын
Yawezekana ni chef mzuri ila sio wa kwenye tv maana hujaosha mikono pili hasemi vipimo ya product zako kwamfano maziwa na mafuta hujasema niya moto au ya baridi kiasi cha moto pia alafu hiyo fraying pan sio ya chapati ndio maana inakusumbua
@leylasimba21394 жыл бұрын
Mimi naamini alinawa hawezi pika chakula bila kunawa mikono pia na kila mtu anaupishi wake na namna anavyoandaa yeye usijione wewe ndo unajua kuliko wenzio
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
Kila mtu mapishi 🙃 bongo hakuna creativity kabisa akianza mmoja basi inakuwa fungulia bomba🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
@khadijakhadija62124 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@maryammaram26124 жыл бұрын
Ndio mana hatuendeleii hakuna aidia mpya ni hizo hizooo hahahahhahahahii bongo ya daslam
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
yaaani kabisa na ukizingatia wanakopi kwa wenzao ata upikaji na tatizo wabongo wamejua juzi kupika kwa kuona wazanzibar mana ilikua wao kubwa wanajua UGALI NA MATEMBERE saiv sasa wache wajipikie😂😂😂😂😂sie tunaenda na maishi mengine chapati zishatukinaisha mtazamo
@carolinelivingstone65234 жыл бұрын
Latriciah01 Augustino ww umegundua vingap tangu umezaliwa??kila mtu ana mashabiki wake kuna watu hata hawaangalii pishi la lulu lakini kwasababu wanampenda zama basi wamekuja kujifunzia hapa hamna jipya dunia hii kla kitu kishafanywa ukisubr vizinduliwe kipya utachelewa we sapot tu
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
@@carolinelivingstone6523 umejiona genius ulivyoandika hivi eeeeeh😀 unajua maana ya comments? Usifosi mawazo yetu yafanane kila mmoja ana comments kwa maono yake.... Mimi sijagundua kiti tangu nizaliwe nakubaliana na wewe na umesahau pia mwenye Channel na wewe hakuna mlichogundua mpka dakika hii😊 wote tunapita mule mule kama ulivyosema hakuna jipya na kila mtu ana mashabiki zake...... Creativity kwenye kitu ni muhimu tupe kitu cha kutu fanya tuone ni tofauti sio yale yale kila siku... Umesahau kwamba sijakompleini wala nini nimesema kwa upande wangu na we sema kwa upande wako.... Ukitaka maswala ya wewe umegundua nini no one kati yatu aliyegundua kitu tunapita mule mule Bye
@portinagodson50474 жыл бұрын
HUYU ANAJIITA FUNDI WA JIKO YUPO VZR KWAKWELI.
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
Portina Godson Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu kzbin.info/www/bejne/mXjPcoGvodaNgdE
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Siagi gani hiyo? Blue band au ? Alafu hazikauki ukiziacha bila kufunika ili uanze kuzichoma?
@hidayakisensi27473 жыл бұрын
Yale mafuta ya kibo
@angelpritchard56322 жыл бұрын
@@hidayakisensi2747 blueband siwez tumia??
@azzaalmaamry58174 жыл бұрын
Maashaa Allah
@raniahaifa44174 жыл бұрын
Siagi is what plz
@wasule62534 жыл бұрын
Blueband
@halimahamid90814 жыл бұрын
Moto mkali chapati zinababuka
@neylicious_mollel51944 жыл бұрын
Hhhhhaaa...duuh jmn uyuu shef knifurhisha anavohangaik na moto kil muda hhhhhaa..ila kz nzur nme enjoy...ila muwe wabunifu da zama
@mariamothman74044 жыл бұрын
😂😁😁😁
@saadaissa22344 жыл бұрын
Katisha
@celestukaless4 жыл бұрын
Sijajua siagi ni nn??? Help
@jessydaktari52094 жыл бұрын
Butter like magazine or blue band
@celestukaless4 жыл бұрын
@@jessydaktari5209 ooh ukisema batter ndio nika elewa
@felistanampoka88624 жыл бұрын
Tunaomba basi zama tukumbuke wasawahili na vyakula vyetu vya miswahili, mambo ya masiagi tayari tuko masaki
@lykamlaki71204 жыл бұрын
Mbona chapati za waswahili pia
@rehemakinande86154 жыл бұрын
😘
@nellygamuya84873 жыл бұрын
Chapati ya maziwa huwa ni laini hadi raha
@gullaalex65904 жыл бұрын
😋😋
@mamayahaya97394 жыл бұрын
Kuna kelele looh
@sonofally4 жыл бұрын
doh🤔!
@chimwanakasanda39524 жыл бұрын
Tumewachoka hamuna ujuzi mwingine
@maryammaram26124 жыл бұрын
Hahahahhahaiiiii
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
usishangae best wamejua juzi kupika wabongo sasa fursa hii wacha waitumie mana ata ugali na matembele hawautaji saiv na ilikua kuwalisha wali ugomvi mn hawajauzoea😂😂😂
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Kupika ni silaha kubwa Sana
@haniphermuscatoman65544 жыл бұрын
@@babyhamisi5331 saana dada
@sweetchowdhury11554 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 mmmh tuangalie na ya kusema jmn mengine dharau