Hi Dear, I really love your mabuyu make,do you mind sending me your recipes in details, kindly 😊.
@HassaneKamara-e3q Жыл бұрын
Hi yo ni fity wow🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊 nimtamu sana nili jaribu ilikuwa sawa
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Mashallah mashallah 😋 😋 yavutia Sanaa 👌
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Shukran darling
@marymathew65293 жыл бұрын
Hongera mnapongezana safi sana
@marymathew65293 жыл бұрын
Naomba nawe recipe yako Rukia
@happinessmtawala855 Жыл бұрын
Thank you ❤
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Ma sha Allah...nimeipenda recipe hii😋😋👌
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Shukran darling 😍😘
@jays33493 жыл бұрын
sukar ile ya kushaga au kawaida
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
@@jays3349 kawaida
@husnabilali3099 Жыл бұрын
Good❤❤❤🎉🎉🎉
@ndimiyakejoseph52932 жыл бұрын
Asante sana nimependa
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Thanks
@polynekiggira44383 жыл бұрын
Ahsante.umeelekeza vzur kabsaa
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Thanks darling
@zinabzinabo89162 жыл бұрын
Masha Allah
@fekirabi19462 жыл бұрын
Mashaallah 😋😋😋❤️❤️❤️
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Allah bariq
@semenimbegu3257 Жыл бұрын
Asante Kwa elimu
@azizaratib27503 жыл бұрын
May Allah countiue blessings those hands♥️🤤😋
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Amin Yaraby shukran darling
@mohamedabdullahi24102 жыл бұрын
Dadangu can I have u r number?
@d.m453 Жыл бұрын
Samahani dada,kikombe kimoja ulichotumia ni kiasi gani cha maji? Robo lita au nusu lita?
@dydahskitchen6907 Жыл бұрын
Kiukweli sijui ni kiasi gani kwa lita lakini ni robo kilo
@beckahekimambogela48382 жыл бұрын
Ubuyu kilo moja naweka sukal kias gan
@fidesbernard48352 жыл бұрын
Nashukuru kwa elimu nataka nijue zaidi kutengeneza mabuyu ya biashara
@coastlifeandfood69583 жыл бұрын
Perfect ubuyu ,thumps up
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Shukran dear
@MaidaMzena-nz1bp Жыл бұрын
Dada habari, naomba msaada mbona nikitengeneza hivo, yanashikana ule unga haujichambui kama hivo,
@ernesthezron-vf9mv Жыл бұрын
Vzr dads
@khadijahemed6975 Жыл бұрын
Shukran
@faizaabdu16657 ай бұрын
Sukari kiasi gani?
@SaidaMsangi Жыл бұрын
Nimependa
@NeemaMakogoto Жыл бұрын
Huo mchanganyiko unatakiwa kuiva kwa dakika ngap?
@FelicianiShine8 ай бұрын
Rangi ya mabuyu yanapatikana wapi?
@saidngomuo46893 жыл бұрын
Je ukitaka kutengeneza ubuyu kisado kimoja Unatumia sukar kiasi gan
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Samahani ni nni maana ya kisodo pliz
@pendohillrey11643 жыл бұрын
Mashallah nime penda sana dada ila nikona swali je ukitaka kueka pilipili
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Thanks dear waeza weka masala ni sawa mmi sikuweka sababu nilikuwa na watoto
@masomekitwala3758 Жыл бұрын
asante
@dydahskitchen6907 Жыл бұрын
Karibu dear
@zulpherbashrahil8449 Жыл бұрын
Jee mabuyu yakitota wayafanyaje please..
@moureenkivuyo5 ай бұрын
Samahani kama ubuyu haukauki nafanyaje?
@GloryYeremia5 ай бұрын
Mbona haukauki sana unakuwa na unyevu unyevu
@NeemaMakogoto Жыл бұрын
Maana mm huwa hayachambuki jama
@PendoSugule-t7j Жыл бұрын
❤
@deborahakinyi7446 Жыл бұрын
Please naomba unipee namba yako kwasababu sijuwi nikipima mabuyu kilo moja nitaeka skari kiasi gani nataka kupika ya biashara
@racybarasa2192 жыл бұрын
Nkitengeneza yawa na maji nyingi cjui kwann na haikauki
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Wacha sukari yako mpaka ifanye kama kuvutana ukiishika kwa vidole
@jonsiandulu35112 жыл бұрын
Naomba kujua Ni sukari ipi inayotumika Ni ile Kali Sana au hii ya kawaida
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Sijakuelewa dear
@jonsiandulu35112 жыл бұрын
Naomba kujua Ni Aina gan ya sukari inayotumika kwenye ubuyu pia naomba kujua kwenye ule unga wa ubuyu tunaweka icin sugar au vip na je ubuyu tunaweka baking power
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Sukari ya kawaida na unga wa ubuyu plain bila sukari ya aina yoyote na pia situmii baking powder
@eugeniasineta5329 Жыл бұрын
Can you please translate it in English
@NancyOnyangi8 ай бұрын
Mbona yangu hayaweki unga
@perpetualandreasumu93722 жыл бұрын
nice
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Thanks 😊
@leilajuma45323 жыл бұрын
Imevutia sanaaaa
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Shukran dear
@PendoSugule-t7j Жыл бұрын
Sukari ukiepua inapoa kwnza ndo unachanganya!?
@esterndosi78679 ай бұрын
Hapana unaweka bado ya moto
@melisanafuna1893 жыл бұрын
Hasbunallah,recipe yako imenimaliza👍👍😋😋
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Most welcome dear
@fatumabakariki84172 жыл бұрын
Ni kweli ni matamu sana sana
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Shukran dear
@MaidaMzena-nz1bp Жыл бұрын
Nisaidie please
@badawyhaji92883 жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋😋
@NuruMshani-m5i Жыл бұрын
Asant San dada
@priscamboya64222 жыл бұрын
Rangi hiyo ya ubuyu ni zile za iceream au
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Rangi hizi za kawaida dear
@julianamwagike9942 жыл бұрын
Plz naomba unitumie number yako nahitaji Sana hayo mabuyu
@dydahskitchen69072 жыл бұрын
Am sorry dear mmi siuzi mabuyu
@maryamibrahim68573 жыл бұрын
Na pia ukitaka weka pilipili na pilipili Manga waweza eka
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Eeeeh pilipili manga pia ni nzuri
@maryamibrahim68573 жыл бұрын
@@dydahskitchen6907 Sante sana Dada ubuyu umetoka mzuri watoto wameupenda
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
Karibu sanaaa my dear nimefurahi kuona wwe pamoja na watoto mumefurahi
@queenqueen9383 жыл бұрын
@@dydahskitchen6907 kwa mfano ubuyu kilo moja unga wa ubuy kias gan na maji ya shila kiasi gani
@dydahskitchen69073 жыл бұрын
@@queenqueen938 utafanya vipimo mara mbili ya hivyo vyangu