Jinsi ya kupika ubuyu wa vipande

  Рет қаралды 37,953

JIAJIRI TZ

JIAJIRI TZ

Күн бұрын

bit.ly/3yCPwyq

Пікірлер: 35
@jiajiritz
@jiajiritz Жыл бұрын
Ukitaka kujifunza zaidi njoo Whatsapp 👇👇👇 bit.ly/3yCPwyq
@AngerinSawe-bm5ic
@AngerinSawe-bm5ic Ай бұрын
Kazi nzuri hongera ujasiriamali ni ajira
@jiajiritz
@jiajiritz Ай бұрын
Asante sana
@FrancisProsper-cq8vv
@FrancisProsper-cq8vv Ай бұрын
Good
@Nicecalgarian
@Nicecalgarian 11 ай бұрын
Asante sana. Sikujua unaweza kutengeneza kashata ya mabuyu. 🇨🇦🙏
@user-xo3pk2hm8m
@user-xo3pk2hm8m Жыл бұрын
Jmn uwe unasema unga kilo sukari kiac fulan vanilla kiac fulan nasikia sijui na baking powder nimejarivugi mara Tano lakini sifanikiwi nakajuwa Kuna kitu kingine mnaweka ila hamsemi maelezo hayajitoshelezi bhn
@jiajiritz
@jiajiritz Жыл бұрын
Pole sana kwa changamoto Wanaohitaji kujifunza Zaid wanakuja WhatsApp ndiko wanajifunza baada ya kulipia ada ...mbona kweny hiyo video nimesema kwamba ukihitaji kujifunza Zaid njoo Whatsapp
@mumtaaz1888
@mumtaaz1888 4 ай бұрын
Wanataka uwlipe ndio ufundishwe ndugu
@zabibumunezero1897
@zabibumunezero1897 8 ай бұрын
vizur san 😋nifunze na mimi mwalim
@Halima-zx4pg
@Halima-zx4pg Жыл бұрын
Shukrani kwa mafuzo
@jiajiritz
@jiajiritz Жыл бұрын
Asant sana
@rehemaabdullah5649
@rehemaabdullah5649 4 ай бұрын
Kesho najaribu
@munirakombo3503
@munirakombo3503 11 ай бұрын
Mwlm haliyako naomba kujua iliubuyu uumuke unafanyaje,pia tunafaje tupate unga uio na mchnga
@jiajiritz
@jiajiritz 11 ай бұрын
Njoo WhatsApp 0653463133
@pendocharles3402
@pendocharles3402 Жыл бұрын
Vitabu bei gani mwl
@HannaelShaban-lt6cy
@HannaelShaban-lt6cy 9 ай бұрын
Hey! Kaka nipo kwenye darasa lako la ubuyu
@jiajiritz
@jiajiritz 9 ай бұрын
Wooow hongera sana
@stellamwaikambo3495
@stellamwaikambo3495 Жыл бұрын
Asante kwa mafunzo.naomba kuuliza unakauka kwa muda gani?
@jiajiritz
@jiajiritz Жыл бұрын
Dakika 5-15
@elionempinga5266
@elionempinga5266 Жыл бұрын
@@jiajiritz Mimi wangu mbona una nata haujakauka Leo siku ya 3 😭
@jiajiritz
@jiajiritz Жыл бұрын
@@elionempinga5266 njoo Whatsapp 0653463133
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 Жыл бұрын
@@elionempinga5266 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na mm na kwama sana
@marysaimon4063
@marysaimon4063 10 ай бұрын
Nimependa somo. Lakini kipimo cha maji kwa kilo moja ya sukari naweka kiasi gani?
@jiajiritz
@jiajiritz 10 ай бұрын
Njoo WhatsApp 0653463133
@mariamolla3514
@mariamolla3514 Күн бұрын
​@@jiajiritzniunge
@yohanalunene7115
@yohanalunene7115 Жыл бұрын
Unga wa ubuyu unapatikana wapi?
@jiajiritz
@jiajiritz Жыл бұрын
Sokoni
@user-wj9qg7cj2j
@user-wj9qg7cj2j 10 ай бұрын
Sukar ya kawaida au ile ya acream
@jiajiritz
@jiajiritz 10 ай бұрын
Ya kawaida
@user-wj9qg7cj2j
@user-wj9qg7cj2j 10 ай бұрын
Yaaan mbona wng aui mgumu jamani
@jiajiritz
@jiajiritz 10 ай бұрын
Njoo WhatsApp 0653463133
@pendotesha6922
@pendotesha6922 11 ай бұрын
Ada sh.ngap
@jiajiritz
@jiajiritz 11 ай бұрын
Tsh 50000
@rehemaabdullah5649
@rehemaabdullah5649 4 ай бұрын
Mwalim shila ndo nn
@jiajiritz
@jiajiritz 4 ай бұрын
Mchanganyiko wa maji na sukari
KUTENGENEZA UBUYU WA VIPANDE/KASHATA ZA UBUYU: BAOBAB CANDY
4:50
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 83 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 13 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Namna Ya Kutengeneza Ubuyu vipande/ kashata Ubuyu Wa Biashara
3:54
Jinsi Ya Kutengeneza Icecream Lita 20 Rahisi Sana
7:22
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 691 М.
JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU WA VIPANDE
8:38
SUNRISE TZ
Рет қаралды 7 М.
#TBC MEKONI: JIFUNZE KUPIKA UBUYU MTAMU
29:11
TBConline
Рет қаралды 6 М.
TENGENEZA TAMBI ZA BIASHARA BILA KIFAA MAALUM
8:32
keki plus
Рет қаралды 279 М.
kashata za  ufuta zapikwa hivi tamu sana/seseme candy
5:32
Asha Yummy
Рет қаралды 51 М.
NEW/MABUYU YA BIASHARA MATAMU NA YENYE FAIDA KUBWA SANA #mabuyu
5:08
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 83 МЛН