Maswali yote juu ya pilau nimeyajibu kwenye video hii,bonyeza kupata majibu yote ya maswali yako kzbin.info/www/bejne/lXS3gHyljaiLpqc
@estherlissu39703 жыл бұрын
Hongera kipenzi, inavutia hatariiii
@rehemarobert81663 жыл бұрын
@@estherlissu3970 nimependaa mapishiyako
@adamumnyama6473 жыл бұрын
Jegele inatkiwa iwe mbich
@salomegeorge3983 жыл бұрын
Umetumia viungo aina gan dear
@ritahbrian14303 жыл бұрын
@@adamumnyama647 to
@DavidTumaini-j7b Жыл бұрын
You are not selfish Dear. thanks for ua knowledge.let God light ua ways..
@EmerysianaKasheshi11 ай бұрын
Nimepika pilau tamu sana😋🥳, ahsante sana kwa kutupa ujuzi huu🥰🥰
@derrickthedon913 жыл бұрын
Nakupenda sana wewe Dada. Una sauti ya kubembeleza.. Kwa kwelii unajua kufundisha
@hamisimadea3995 Жыл бұрын
Ohoooo😁🙃🙃
@nhh1732 Жыл бұрын
😋😋😋♥️♥️🇧🇮🇧🇮
@nicodemashaggite84296 ай бұрын
Mmmm
@mwanakombojuma90293 жыл бұрын
Mashallah kabla sijamaliza kuangalia nimependa sana upishi wako ongera sana dadaangu...mwanamke nimapishi🥰❤👌
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Woooow MashaAllah🎉🙏🙏asante sana dear,kweli mwanamke jiko
@chichijuma14664 жыл бұрын
Mashallah chakula kizuri Sana nilikuwa sijui lkn nimejua kupitia wewe watoto wangu na baba wame kipenda Sana chakula Asante sana mamy🤝
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Aaaaaaw karibu sana dear,nafurahi sana kuskia ivo. Asante sana kwa sapoti yako
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Tafadhali naomba usapoti channel yangu na kunitia moyo ili niendelee kupost video nyingi zaidi kwa kulike video hii,kucomment chochote ulichonacho hata emoji,kushea na ndugu ,jamaa na marafiki ili wao pia watazame video hii,pia naomba usubscribe kama hujasubscribe bado.
@tonyomondi38184 жыл бұрын
Tamu
@leahnyagawa58824 жыл бұрын
Njegere umechemsha au
@shanearmarukusi44634 жыл бұрын
Njegere ulichemsha Lanza?
@majidmbegu81204 жыл бұрын
@@shanearmarukusi4463 ajachemsha
@anethalson39404 жыл бұрын
nakupenda bure nimependa mapishi yako my
@olivajovita6874 жыл бұрын
Ubarikiwe nilipenda pishi lako kwakweli 💪 ntaenda kujaribu mana kweli wengi tunakaanga viazi na matokeo yake vinapasuka
@RodaMilinga Жыл бұрын
Asante sana,baada ya kuangalia video yako, nimejifunza kupika pilau tamu Nashukuru sana, my dear.
@pendotito88813 жыл бұрын
Nimerudisha feedback 😂,nimepika leo pilau tamu hilo Alafu ndo mara ya kwanza 😊thank you baby 🥰❤️Naomba nione biriani sasa 😊
@bokekaone25162 жыл бұрын
Ivi njegere unachemsha au unaweka mbichi sielewi
@RechoMtango Жыл бұрын
Daaaah nimeipenda hiyo😋
@nanaleetz Жыл бұрын
@@bokekaone2516 unaweka mbichi ukiwa unapalia
@aminrashid9917 ай бұрын
sikub ya kwanza kupika plau ilikua tamu inaitwa kujaribu
@adijaabubakari42203 жыл бұрын
Izo njegere ulikuwa umesha zipika bembeni au umeweka zikiwa mbichi and anyway is looking yummy
@winnie90763 жыл бұрын
Unaziweka zkiwa mbichi
@nozesybafikege84172 ай бұрын
Swali zuri
@HaluaOthumanАй бұрын
Ameeka mbichi
@eledinankana959824 күн бұрын
Njegere inaweza ivia mvuke ndugu
@monicaadam52833 жыл бұрын
Yani ndo Niko naipika now nitakupa mrejesho dada ❤️❤️👌💃💃💃💃
@CareenDennisАй бұрын
Unajua kuelezea hongera sana
@evakatani6367 ай бұрын
Simple yaan unajua mpaka unajua tena mamy❤❤
@kekiplus1andonly7 ай бұрын
Aaaaaw Asante sana❤
@esthermuthoni37633 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo.hua najifunza mengi kutoka kwako
@ShanySudi-bs9jd11 ай бұрын
Hii pilau nzuri sana dada hongera nimepka tamu bhalaa
@kekiplus1andonly11 ай бұрын
MashaAllah😍😍hongera pia
@YolandeDjuma-si8ll11 ай бұрын
ntajaribu shukran sana
@AbdulJalil-rp7bo9 ай бұрын
Kwakwel pilau yako nzur nimeijarb ntakuwa napika hivyohivyo hadi kachumbal yko pia asante!
@YM-bm1dr3 жыл бұрын
Asante nimeipenda kabisa na nitajaribu kupika Inshalah
@AjunaChales11 ай бұрын
Hongera dada kwa upishi nimependa❤❤🎉
@zainabzz72413 жыл бұрын
Wawooooo umepika vizuri sana mbk nimelipenda na mm nitapika
@shelomaday46332 жыл бұрын
Asante Sana kwa pishi zuri nimependa namim tapika nimependa pia wewe ni msafi kwenye mapishi yako Hadi raha...hongera Sana.
Mmmm inaelekea hiyo pilau taaam sana . Asante kwa ujuzi .nimejifunza kitu Dada
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@raphaelikerege38423 жыл бұрын
Mafundisho safi.very nice
@LizzyMalogoАй бұрын
Naomba nione bilian mamy leo nimepkaa pilau tamuu sanaa thank u
@cococlaudia935211 ай бұрын
Wooow nime pika pilau leoo asante kwa maelekezo
@kekiplus1andonly11 ай бұрын
Karibu dear😘
@verenaliganga22163 жыл бұрын
Yaani Safi sana, simple lkn ni pilau Bomba, halina mambo mengi.
@twaibazomboko2023 Жыл бұрын
Vzr sana
@Yunge-LisaKulaja5 ай бұрын
Nimejifunza kupika pilau asante sana ❤❤
@teclaSimkoko4 ай бұрын
Hongera sister nimependa kuona kwa macho tu❤
@doricekekishaarchard61832 жыл бұрын
Ukiwa na mapish mwngn mbalimbali usisite kunitumia barikiwa sana
@fuadsalum2551 Жыл бұрын
Habari nimependa ukiweka binzari nyembamba nzimanzima itakuwa nzuri
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Weka dear
@Smartboy-wt1es2 жыл бұрын
Mimi ni chef wa royal bakery and dood court, upo sawa but siku nyingne ongeza garam masala, ajino moto, swaum changanya ginger kidgo, utaenjoy sana, ila upo vzr👍
@hallimaomary7347 Жыл бұрын
Hi
@rehemamallya41833 жыл бұрын
aisee Jana nmepika pilau tamu Sana kutumia njia hii thanks mpishi
@hajramiraji46785 ай бұрын
Habari Nimekuja kukushukuru hili pilau nililipika siku ya eid ni tamu sanaaaa Na leo nimelipika Thank you dear
@kekiplus1andonly5 ай бұрын
Aaaaw mashaAllah ❤ 😍 hongera sana dear,na Asante kwa mrejesho
@amossamwel46993 жыл бұрын
Naona pilau zuri hongera kwa mapixhi
@mary9648 Жыл бұрын
Asante maana ulisha nifundixha kupika pilau tamu sana❤❤❤
Nimependa sana vizuri sana nimepikaa kitamu haswaa
@yasinipetermayonjo44913 жыл бұрын
Safi sana
@NazmaShedrack6 ай бұрын
Asante kwa darasa 🙏
@echaonlinetv69973 жыл бұрын
Ahsante Sana, kwan nlkuw nataman san kujua namna ya kupika pilau
@zulfanavali43272 жыл бұрын
Mashallah umeweza
@gloryjuma42593 жыл бұрын
Waoo asant San naamin kupitis we name natka vizur
@nasrasadiki32927 ай бұрын
Mbaka laha jamn SoMo ili ❤❤❤❤
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Hongera sana kwa mapishi
@leticiabenedictor69863 жыл бұрын
Nimeipenda sana acha na mm nijaribu
@abdulmajidahmedgharib159011 ай бұрын
Safi sana
@FloraSilas4 ай бұрын
Wooo!!!!nimependa
@SalomeJulius-ss7ie7 ай бұрын
🌺🌺🌺🌺🌺 pilau taku sana
@DIANEIsine11 ай бұрын
Thank you I'm going to try now
@shamlimah56823 жыл бұрын
it would be more ready wen u put fire up and down little fire makes rice waooo
@edahbundala4834 жыл бұрын
Simple and clear nimeipenda sana
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@shigwaishad0697 Жыл бұрын
Asante ninzur
@lilliankadzo40574 жыл бұрын
I love all your recipes, very simple, sasa bado utuletee pishi rahisi la biriani 😋😋 I can't wait to learn 🇰🇪🇰🇪
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Oooh thank you so much for this beautiful comment... Niko na hii birian hapa,check it out and let me know kama ni rahisi kwako...if not nitafute rahisi zaidi niweke😂😂😂😂 Asanye sana kwa support
@lilliankadzo40574 жыл бұрын
Thanks for replying, let me watch it right away 🥰
@khadijamasudi89922 жыл бұрын
vizur
@gracebelte74003 жыл бұрын
Napenda pilau safi sana🤝
@JanepherDickson Жыл бұрын
Nimeipenda sana hongera,❤❤❤
@DeboraJoseph-t4y10 ай бұрын
Thanks more coz i got an idea
@RizikiMunyithya-dv5yj Жыл бұрын
I write that recipe and am going to try it ... Thanks alot
@HasnaHassan-d1s10 ай бұрын
MashaAllah pilau Ajabi dada
@zeinabhamadi9453 жыл бұрын
Asante kwa mapishi
@pendojulius5985 Жыл бұрын
Nimeipenda sana mpz
@perpetuaclement92253 жыл бұрын
Hapo njegele unakua umeshazichemsha dr
@swalhabawazir90564 жыл бұрын
Hi nice pilau Masha Allah. But add some tomatoes in the pilau it would be more delicious 👍
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kayombog16943 жыл бұрын
Keki plus you have teachable spirit, you will reach far!
@suzankisamo40844 жыл бұрын
Asante kwa elimu ubarikiwe sana
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Amen,ubarikiwe pia
@emmyjeriko41753 жыл бұрын
Pilau ni zur sana yaan limenivutia
@ameria2332 Жыл бұрын
Asante sana 🙏
@IsmailMohammed-jq7sp Жыл бұрын
Kiukweli plau n saf kabisa❤
@phinamakyara6709 Жыл бұрын
Waooooo linaonekan tan sanaa
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Tamu hatari
@ridhwanrashid64736 күн бұрын
Unajua sana kupika ,wacha niendelee kujifunza toka kwako
@neemakusenha25403 жыл бұрын
Ngoja nijaribu
@rahelluhende88194 жыл бұрын
Ahsante mpnz nimekuelewa sana
@AnnaJafeti8 ай бұрын
Nmelipendaa
@galgaloalia3217 Жыл бұрын
Ningependa kuuliza maswali
@gerdageorge78343 жыл бұрын
Wow nimependa sana pishi lako momy congratulations
@LolesiaLugata11 ай бұрын
Hongera sana you are good chef
@rehemaminja28434 жыл бұрын
Very nice...nitajaribu hii style...Hongera sana dada😘