uwe una2onesha na sura yako tuone unavyo pika unavyo ongea unavyo tabasmu so Amazing samaki
@pizzaz43334 жыл бұрын
What a great idea Baby Sky! Ahsante kwa kushare ujuzi wako wa kupika na sisi
@fatnahsaleh8604 жыл бұрын
Wooooow. Iyi nomaa wallah 🔥🔥🔥🔥🔥. Hadiiiiii raha😋😋😋😋 si kwamcuzi huwo. Ndomana Sky ana shine ni sababu yamapishi ya BabySky 😍😘
@ranmaissa6574 жыл бұрын
Mashallah so nice
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
☺☺☺ wife yetu baby sky mashallah 😘
@mabyserolouchcraig24314 жыл бұрын
Umeona eeh😂😂😂
@said306nyatu94 жыл бұрын
Kikwaruzo
@seifsalum33184 жыл бұрын
hiyo siyo mboga ni kitoweo cha samaki ukisema mboga ni jamii ya mboga za majani mchicha kebichi kisamvu nimefurahi kuona mapishi ya pwani
@rahillhamidu25444 жыл бұрын
Utuambie pia unajipaka nini uko soft na ngozi yako Ina glow MashaAllah
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
Mashallah cute
@michelinemapendo66524 жыл бұрын
🇫🇮🇫🇮🇫🇮❤️👀 Africa SAMAKI zuri, Europe daaaaaah akuna
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
Norwegian ww unakula lax sana 🇸🇪
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
ali yh ni kweli
@kisalaTV4 жыл бұрын
Hakuna, tuna kula mabuzi sio samaki hata laza hamna
@ndevundavo77984 жыл бұрын
Micheline Mapendo wapo ukiwa napesa ...sema bei mbaya tu
@verynicethifilmnuur1alrahb8874 жыл бұрын
Waoow bby sky mchuz umependeza had raha penda Sana mapishi yko tena kwa kutumia mafuta ya nyumba 👌👌👌
@a.8564 жыл бұрын
Yummy😃 but i ll opt coconut only without using milk
@hatimalnaamani8764 жыл бұрын
Kweli mbonga moja mapishi mbali mbali Asante
@hamzanasry80114 жыл бұрын
Kumbe jamani limao na ndim nivitu mbiwili tafauti ambao tunajuwa kama nikitu kimoja tujuwane
@fatimamamlo80414 жыл бұрын
Kweli namie ndokwaza najua leo limao na ndim kitu tofaut hahaha jiko linawenyew
@thamiyuucute70984 жыл бұрын
Jamani...tofautiii
@vlogvlog85224 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nilizani ni kitu kimoja tu
@esterkimario11264 жыл бұрын
eee hata me ckuwah jua
@chumemarehema83284 жыл бұрын
Kama ni kitu kimoja mbona kiwe na majina mawili???
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
Mashallah baby sky mchuzi wa samaki wa nazi mambo ya visiwani sio❤❤😘 mpaka na miss Africa 😯
@nabintukadende23884 жыл бұрын
Yummy food. Endelea kutuwekea video zama pishi tume enjoy. Nakula kwa macho 🤪🤪
@merveilleisambiro66054 жыл бұрын
Asante sana nimewai ni mzuri sana
@shaadenshaduni77554 жыл бұрын
Masha Allah shukran kwa kunifunza pishi la tz maana mwakan naolea tz naona kwa hili sintaaibika
@binthassancollection.63084 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah😍😍😍
@missmoona44974 жыл бұрын
Asante my dear rost la hatr so amazing sana ungemalizia hapo nakaugali ungeiuwaaaa, lkn unakigugumiz hatar japo unajaribu kukificha🤣🤣🤣🤣🤣
@emmykusah34384 жыл бұрын
I like this upishi
@tellaochero59284 жыл бұрын
Lovely 👍👍👍
@isabellanjesa63264 жыл бұрын
Uko vizuri sana ila maongezi punguza ili uende moja kwa moja kwenye point
@khadeejaabdullah70834 жыл бұрын
Wooow Ahsante bby sky
@zuwenaali48734 жыл бұрын
Asant sana bbysky nimelipenda pishi lako.. asnt kwa kutufundisha
@neemamwanga49104 жыл бұрын
Yam yam
@mabyserolouchcraig24314 жыл бұрын
Unapenda kupika kama mimi.. Mashallah nice food😘
@anisiamedard37754 жыл бұрын
Hadi nimekumbuka kwetu Mwanza daah. Ni aina moja ya upishi ninaoupenda mimi safi sana
@junesernest43344 жыл бұрын
Baby punguza kuongea bhana your cooking is so amaizing
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Mapishi mazuri sana, samaki anavutia👌
@SimuliziNaSauti4 жыл бұрын
Asante sana, channel yako imejidhatiti kwa mapishi kwakweli, hongera. Babysky atajifunza mengi toka kwako
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti Asante sana hun hata yako pia nimeipenda sana😘
@khadijakhadija62124 жыл бұрын
Mwanamke jiko😋😋😋👌👌
@jamil15474 жыл бұрын
Kipindi Cha gwajima uliwahi kuulizwa nyie ni mnajua kazi kama gwajima ukajibu unajua said kumbe hata jikoni upo vizuri hongera mwaya nakupenda bure 😘😘
@jamil15474 жыл бұрын
@@redempthatheobard6763 ulitaka nicomment nini ?
@abcdefgger4 жыл бұрын
Eeeeee asante mama nimefurai saaana jamani 👏👏👏👏
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
Asante sana Dada kwa somo zuri ulilotuletea.
@ukhtyruqyah78604 жыл бұрын
Nice
@salumusalumu29054 жыл бұрын
Ahsante my dear
@halimambeyu5734 жыл бұрын
Asante sana my dear kwa pishi zuri
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Samaki bila spice kweli kitoweo kimoja mapishi mbalimbali
@magymagy21564 жыл бұрын
Leo ningependeleya niwe mgeni wako daaah 👁 una pilipili apo? 🤗🤗🤗
@salmamussa56724 жыл бұрын
Unajua mamy umenifundisha asante sana
@rahillhamidu25444 жыл бұрын
MashaAllah hongera Sana mwanamke jiko, shukran kwa kunimwaya mate
@muniragambere26804 жыл бұрын
nice sana
@ceciliamushi74454 жыл бұрын
I love it😋😋😋😋
@halimakingambe95834 жыл бұрын
Wow na mm nitampikia mume wangu in shaa allha nimeandika vyote
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
Oyoooooo mama asantee keep going napenda pia kupik😋😋😋🔥🔥🔥🔥🔥
@anitanahimana21154 жыл бұрын
Asant sana. May mashaa Allah
@victoriakahemela54084 жыл бұрын
Iyo mboga ungeiweka kwenye kabakuli pembeni ya wali usinge ichanganya kwenye chakula
@richardntigwa85174 жыл бұрын
Exactlly
@aidakazi51094 жыл бұрын
Kama mumewe Ndo anapenda ivyo We wa nje utajuaje?🙄
@dorahmagembe96684 жыл бұрын
😃😃😃😃aida
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Ooooh ndio maana sky siku hizi kitambi kinakuja kinakataa,safi 😋❤
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
😊😊😊
@aminasalamalekumamina62173 жыл бұрын
Salam alekum
@laithal-habsii28704 жыл бұрын
Mashaa Allah nimependa saana upishi wako baby sky.
@mdsadiq25694 жыл бұрын
Mashallah
@husseinjongo75884 жыл бұрын
Mchuzi naturaly❤😋😋 Ila mimi maziwa sjui kma nataweza kupa nayo. Maybe i'll try...
@subrynerysegerow13234 жыл бұрын
Hussein Jongo kwakwel me ndy siyapend kabisa sitak hata haruf yake niskie
@husseinjongo75884 жыл бұрын
@@subrynerysegerow1323 ndiooo
@halimanasihu12004 жыл бұрын
Maziwa ya nini kwenye mchuzi nazi inatosha lkn kla mtu na mapishi yake misipendi maziwa
@husseinjongo75884 жыл бұрын
@@halimanasihu1200 ndiooo
@lydiaakimana79884 жыл бұрын
Manshaallah ndio maana munang’aa
@irenelenny4733 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sadadololi45454 жыл бұрын
Mashaallah mapishi 😋👌👌💥💥💥
@rehemashafi48094 жыл бұрын
Wooow bby sky leo umeamua kututamanisha jmn duh
@francinerukundo19974 жыл бұрын
Do this more baby. Maybe fanya channel pekee it will be so nice thanks.
@eneolatukio84934 жыл бұрын
Wengine uku tuliko tunatumia minazi ya kopo au unga, hapo hakuna tui la kwanza wala la pili! Anyways! nakulaa kwa macho🤓👀👁👁😛 Thanks Love for sharing!!
@konsolatatutu4234 жыл бұрын
Kwan upo wapi? Hujataka tu
@souzyrajabmaganga8444 жыл бұрын
😂😂😂😂 umenichekesha!!
@reginalaurent51754 жыл бұрын
Ukitaka kumjua mwanamke anaependa kupka tazama kucha zake baby nimependa kucha zako nifup hazilet kinyaa pia asante kwakutufundisha mapish usiishie kwenye samak uendelee
@minormine44174 жыл бұрын
Umeona eee, kuna wanawake wanamakucha marefu yamejaza mavi
@dorahmagembe96684 жыл бұрын
Hata kucha zenye rangi hazifai kwa mwanamke anaepika mara kwa mara.
@anneanne84764 жыл бұрын
From🇰🇪 nimependa upishi wako😍
@rukiabaybe85944 жыл бұрын
Sawa mama
@mrsliverpool42354 жыл бұрын
Hayo ndio maneno sasa😋😋😋
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
Miss you😍😍
@mrsliverpool42354 жыл бұрын
@@lilianjeremia1024 😋😋😋😋
@ntijeellynkolante69934 жыл бұрын
Bajeti hiyo uko vizuri
@michelinemapendo66524 жыл бұрын
Nakumbuka afrika jamani kunaiyo Pili pili zuri 🤒🤒🤗🤗
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
Me nataka mikate president 😋😋 Next pishi tuwekee all ingredients na vipimo kwenye description box 🙏
@johnsonclaud9272 Жыл бұрын
Okay sema maziwa kimtaani duh ila nimetembea nawe step kwa step
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Mashallah, nice
@ffrank67542 жыл бұрын
Maxhalah nilijalib ilikuw pambeeeee
@fatmabashir17264 жыл бұрын
Woooow nimeipenda hio recipe ntajaribu siku moja in shza Allah
@pizzaz43334 жыл бұрын
Haya suggestions: 1. Measurements za ingredients: Nyanya ngapi, Tui kiasi gani etc 2. Muda wa kupika i.e. unawacha samaki wachemke kwa mda gani 3. Temperature ya moto: unapika at high, medium high, low etc or unachanganya?
@SimuliziNaSauti4 жыл бұрын
Noted with thanks
@antoinettedjumapili25224 жыл бұрын
Pizzazz even me I use common sense when I'm cooking I don't mesure ingredients and I don't put exactly time
@aminamohamed39164 жыл бұрын
Salam alekum mashallaah chakula kizuri napenda sàna samaki
@umubyeyiwabo89204 жыл бұрын
Good idea
@witnessjosephmtanke47574 жыл бұрын
Mafuta mengi sana alf umewahi sana kuweka hoho ungeweka pale tu nyanya ilipoiva
@araphramadhan76944 жыл бұрын
Witness Joseph Mtanke kabisa kwasabbu anatmia naz n maziw
@winnifridaashery44494 жыл бұрын
Msingida mwenzangu uko vzr sana jikoni
@salomeoberd29494 жыл бұрын
Hongera sanaaaa
@ladymashaallahilikeuaadvis9974 жыл бұрын
Masha ALLAH, mwanamke jiko uko vizuri dada baby sky
@faridasabu89464 жыл бұрын
Sio mboga sema samaki au kitoweo! Mboga ni mchicha!matembele!chunga!kisamcu!
@boranshimirimana42884 жыл бұрын
Napenda unavyo ongeya
@bittybitty27124 жыл бұрын
Masha Allah uko sawa baby sika..
@anitanahimana21154 жыл бұрын
Hadi Raha kabis😋😋😋
@jacksonmathayo65103 жыл бұрын
Daah, mwanamke mmoja anae jua pishi hili aje anipikie bhasi 😋😋
@juliethurio68404 жыл бұрын
So amazing mrembo
@officialpriscillakiloko98114 жыл бұрын
Tamu sana
@mdmubrak81524 жыл бұрын
😝😝😝 mmh mpaka kiarufu nimekisikia loooh hongera mama
@keyakeya89114 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@changanikisesa70214 жыл бұрын
How can you start cooking vegies, carot na hoho.unaziovercook missing all the vegies nutrients.
@halimamfikilwa85104 жыл бұрын
Mb zangu zimeisha tu
@evemarley24544 жыл бұрын
Sure..
@ndevundavo77984 жыл бұрын
changani kisesa hajuwe mana ya mboga mboga ..
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Mansha Allah Bby Sky umehamuwa utitiye uroho
@jasminjabir19204 жыл бұрын
Kupika unajua ila punguza kuongea 🤗
@DD-oy2ps4 жыл бұрын
Nani anapenda mikono ya uyu dada kama mimi😎
@melianaleba53874 жыл бұрын
Nyanya jitahidi zingine ziwe za kukatakata na kiasi ziwe za kusaga ,kwasababu zikiwa zote za kusaga lost ya mchuzi haiwi nzito
@aminasalamalekumamina62174 жыл бұрын
Salam alekum Mimi amina chakula kizuri sana Mimi nàpeñdà sàna sàmàki
@anithaapolinary63914 жыл бұрын
Napenda sana unavyoongea baby😘😘
@gracemushi12834 жыл бұрын
Napika kesho asante sanaaaa
@zalkhsule26174 жыл бұрын
Nimependa sana. Yaan hata mm sipendagi km ww kusaga nyanya kwa plender kuna harufu naisikia pia
@mariamkaaya83744 жыл бұрын
Yummy nice. ♥️
@salomemukami14254 жыл бұрын
👏👏
@maliharajabu89174 жыл бұрын
Yumyum nice food
@saumuathuman2064 жыл бұрын
mashaallah
@florachrist96024 жыл бұрын
Hayo maziwa fresh au
@wardakasala89564 жыл бұрын
Hongera
@ilovuguyssandimu65084 жыл бұрын
Ur husband is lucky
@aminakawawa19354 жыл бұрын
Wow baby sky hata mm napenda kupika mashallah ❤❤👅
@niyimpagaritseidrissa12434 жыл бұрын
Asante mama
@alicekadzo3404 жыл бұрын
MaashaAllah
@winskitchen.6024 жыл бұрын
It's only in africa where we cook fish in milk or cream,here in gulf countries zii
@subrynerysegerow13234 жыл бұрын
Madikodiko ckuzote cha naz huwa kitam sana ila hapo kwa maziwa me sitaweka