Mafunzo yenu Ni mazuri sana hakika Mungu awafanyie wepesi katka Kaz yenu inshaaAllah
@AwetuHalifaАй бұрын
munafundisha vzr sana jaman mungu awazidishie ujuz mm napenda sana kusuka
@witnessbususu78262 жыл бұрын
Nmeelewa,asante sana na hongera kwa kazi nzurii
@rinomelicksaro9719 Жыл бұрын
Duuuuu mambo ni moto jmn
@chaudeskuyekwa8748 Жыл бұрын
Nimeelew vizur hongera unajua kuelekeza
@abulahamyahaya6125 Жыл бұрын
Nimeelewa ahsante
@annamarymakala53402 жыл бұрын
Asant dada am enjoying your class
@chubbychimdol89013 жыл бұрын
Ni nakupenda sana natamani sana kujifunza sema uwezo tu
@Eliaonesmo238 Жыл бұрын
Thanks Sana'a dadaa nmepata klee nlchotegemaa ubarikiwee sanaa maan unatupa mwanga sanaa
@winfridajohn51732 жыл бұрын
Thanks for u are direction very easy
@dianadarias29012 жыл бұрын
Hongeraa sana sana kwa kaz nzuri 💓 ila nina changmoto sana kwenye nywere iyo mwingne ana kuja na nywere fupi anaitaji kusukwa kwa namna iyo najikuta napta wakati mgmu sana😊
@marylugongo5623 жыл бұрын
Unafundisha vizur sanaaa,ubarikiwe dada
@mazambialimasi35653 жыл бұрын
Very very nice
@jacklinerichardfute6846 Жыл бұрын
Naelewa vzuri sana darasa
@shidasongoni32832 жыл бұрын
Nawakukubali Sana
@priscamboya5968 Жыл бұрын
Jamaan! Nmewah kujiuliza kuanzia chn inakuaje kumbe ndo easy HV jamn🤗....endelea kubarkiwa da farda
@faridaothman Жыл бұрын
Amiin
@ballkissamma70402 жыл бұрын
U guys are amazing mnafundisha vizur yan pole pole
@pendogeorge41132 жыл бұрын
Unafundisha vizur dada, asante sana mungu akubariki
@magretsteven79752 жыл бұрын
Asante sana dada mkubwa nilikuwa cwez namna yakuigawa nakuipanga vizur,barikiwa sana mpz🙏🙏 naomba kujua stile ya mkato wa x
@shakilangingo81112 жыл бұрын
Mungu akuweke unatufanya na sisi tuweze kujiingizia kipato kupitia mafunzo yako
@ameena1233 жыл бұрын
Barikiwa sana dada
@chikezaina92562 жыл бұрын
Asante Sana dada
@farajamwalundete7023 Жыл бұрын
Good job da farida Asante kwa mafunzo
@emmymkwizu19052 жыл бұрын
Ahsante dada nime jifunza vitunguu vya ku twisti vya njia 3 kuanzia chini na yeboyebo
@judithyasini73242 жыл бұрын
nmependa
@janneyschoolofbeauty46033 жыл бұрын
I like it
@emmanueljoseph22422 жыл бұрын
Napenda Sana mafundisho yako ubarikiwe
@catherinemhapa45943 жыл бұрын
Enx sanaaa
@esnathibrahim1162 жыл бұрын
Asant da farida me naitwa maua napenda sana kusuka na sasa nipo kwenye mafunzo yako
@omelinagodfrey55133 жыл бұрын
Asante mpenz
@FloraMalya-fr2on Жыл бұрын
Asant nimeelewa
@halimagaudence66202 жыл бұрын
Asant nimekuelewa
@faustinakusekwa4063 жыл бұрын
Njia rahisi hii asante madamu
@maedamustafa51032 жыл бұрын
Asante my dear
@florapaul68793 жыл бұрын
Daah Dada farida upo vzur sana
@happymkinga97512 жыл бұрын
Nakupenda dear nimekuelewa sana mpenzi
@hildamwalyego37522 жыл бұрын
Nimeelewa
@ibrahimeliya8340 Жыл бұрын
Asante sana
@AwetuHalifaАй бұрын
❤❤❤
@marcelinalalay11782 жыл бұрын
Naelewa mpaka bas yaan sjui ningekuwa darasani ingekuwaje,nakufuatilia Sana yaan
@beatricemwagike35192 жыл бұрын
Uko vizuri asante
@vummykweka94843 жыл бұрын
Nmefurah sana kuona nmeomba kitu then kmewekwa
@upendojoel227210 ай бұрын
Nakuelewa dada Ila sijajua najiungaje kwenye grop la wasp naomba unisaidie hapo
@aminasharuan8473 жыл бұрын
🙏🙏 shukran
@bensonandongwisye43113 жыл бұрын
Unafundisha vizuri sanaaa natamani nije kujifunza Ila ngoja nitafte Ela kwanza swali lngu ni je iyo Ada ni pamoja na hosteli au sio na kma sio Ada ya hostel ni Bei gani pliz usiache kunjibu
@faridaothman3 жыл бұрын
645,000 kwa miez mitat
@ndarowesha528210 ай бұрын
Mafuzo yenu mazir sana naelewa
@priscasanga73023 жыл бұрын
Asante dada lakini naomba kuuliza hakuni midoli ya kijifunzia kusukaaa
@biashalbrahimuibrahimuasha18792 жыл бұрын
Nimependa unavo elekeza Asante my dear
@neemafredy44752 жыл бұрын
Asante Dada Mimi n mgumu kwel kweny kujifunza hiyo nywel Ila Asante umenielewesha
@geventlifoneer22103 жыл бұрын
Napenda sana kusuka dada
@beatricebenson6523 Жыл бұрын
Hakika najifunza vyema San
@veronicamartin41182 жыл бұрын
Nimejifunza mengi unaeleweka
@sadarajab8159 Жыл бұрын
Naelewa Sana mafundisho yako niunge kwenye group lako
@edinaedson28903 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@ClaraMichaelMdessa-fi8zr Жыл бұрын
My mimi nikiweka rasta katika nywele inalegea sjui nashindwa wap?
@anjalymongi47442 жыл бұрын
je icho kibutu hauongezii rasta sindio
@racheljacob2572 жыл бұрын
Unafundisha vizuri natamani kujifunza zaidi naomba niunge kwenye group🙈
@happymkinga97512 жыл бұрын
Huwa narudia video zako mar mbilimbil nakuelewa
@rehemajackson80823 жыл бұрын
🙏Shukran
@katarinaitambu29262 жыл бұрын
Safi sana
@hildamwalyego37522 жыл бұрын
Jinsi ya kusuka knotless kwa umakini
@juniorsalmin820 Жыл бұрын
Je anaenda nayo ivyo au atageuza
@faridaadamson63002 жыл бұрын
Dada f iyo nywele hatis unaigawa mara tatu pia kama rasta au
@melisalaurenc4522 жыл бұрын
Naomba uniunge kwenye groop wassp
@tatumahmud35762 жыл бұрын
😍😍
@AnithaIsackBeyan-cy6oc10 ай бұрын
Unafundisha vzr sana ila apo chini ndo pagumu kdg
@faridaothman10 ай бұрын
Tuna online class elf 12 tu Karb 0657292650
@user-bt7go5rf5m23 күн бұрын
Kwn dada nilazim usuke na jely
@mariamabdallah40292 жыл бұрын
Unatusaidia wengi mwaya 🙏
@benjaminmhehwa46323 жыл бұрын
Waooo
@mimadam93592 жыл бұрын
Kaz nzur ila uyo msichana wako wa reception hana kaul ajui kukarbisha wagen ana dharau sana mwambie ajirekebishe kuna sku nmekuja apo nmekutana na wadada nao walfata form ana majb kama mjamzto ajirekebishe.
@zamratrashid10112 жыл бұрын
Nataman na mm nijue kusuka hvo
@faridaothman2 жыл бұрын
Karb 0657292650
@paulinacherement25343 жыл бұрын
Mashallah
@joakimmkwama193 Жыл бұрын
Aya malikia
@AwetuHalifaАй бұрын
mm nataja yebo yebo kujua
@user-mo1qp3ot7o Жыл бұрын
Dah tangu nikufuatilie naona ninapoelekea
@neemakingson82823 жыл бұрын
Je ninaweza kutumia atuwahii kwenye nywerw fupi
@mariammwasha47423 жыл бұрын
Shukran
@georginamsinji93343 жыл бұрын
Napenda unaelekeza taratibu na kwa vitendo
@user-us7nw8xg8w Жыл бұрын
Nimepnda San na ninataman San nijuwe
@paschalinaemmanuel3672 жыл бұрын
ninashauku ya kujifunza kusuka kupitia KZbin unanisaidiaje