Dada unaelekeza vizuri sana.Mungu azidi kukuinua,sasa mi nataka kujua kubana mkeka kwenye rasta zamabutu
@clemenciauhuru16772 жыл бұрын
Asantee Sanaa tunajifunza mambo mengi sanaa kutoka kwako Mimi hua najifunza huku online na kidogo nmeanza kijua kusuka ila shida kubwa kwangu nashindwa kabisa kubance Rasta yaan mteja anaweza kua na Rasta bunda 4 me nkajikuta nmesuka mbili tuu na kichwa kimeisha hivyo zinakuja hazikai vizuri kabisaa
@HagaiMoses-g1m18 күн бұрын
jaman,Dada,unafundisha,vizuri,sana
@lucykhamete5840 Жыл бұрын
Walaiii unafunzaa vizuriii sanaa naombaa kujifunzaa box braids zilee kubwa kiasi
@EsterMichael-gc1gk Жыл бұрын
Kwa kweli dada unanisaidia sana
@Edna-b1q2 ай бұрын
Dada hongera Kwa fan hyo weng tunajifunza na tunajua kupitia ww ahsant sana
@zaimeshack57432 жыл бұрын
Asante dada farida najifunzamengi sanaa
@janethjoseph67782 жыл бұрын
Unaelimisha vizury had nimekupenda sana
@mwajabuhiyary99823 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza na nazidi jifunza kupitia video zenu
@orlestakalinga-uw7xo Жыл бұрын
Mungu azidi kukubarik uzidi kutupatia ujuz najifunza mengi uko vizur
@zuleyqaomary592 жыл бұрын
Asante xn Da Farida kwa somo zuri, naomba kuuliza hiyo rasta umeigawaje apo katkat umeifunga au, hiyo ambayo utaenda kuipachika katkati
@restyrichard30952 жыл бұрын
Asante sana dada Me naitaji msus na niko mkoan manyara
@evapaul99672 жыл бұрын
Ahsantee Dada kwa mafunzo mazuri Ila mim nilikuwa naomba unielekeze mabutu ya njia tatu kwa kutumia uzi
@esterdaud1404 жыл бұрын
Asante Dada, mungu akuzidishie ujuzi mpenz, kadir unavo ongeza ujuz na mm pia
@recoofficial47474 жыл бұрын
Asante dada etu tumejifunza vizur sana ubalikiwe
@rayb94723 жыл бұрын
Daaah asante Sana dada nimerekebika pakubwa Sana,maana nilivyokuwa nasuka zilikuwa hazikai vizuri lakini saiz nimekamilikwa kwa kusuka hii nywele
@annamlacha46353 жыл бұрын
Asante dada kwa maelezo mazuri. Natamani sana na mimi nijue kusuka maana napenda sana urembo
@faridaothman3 жыл бұрын
Kikubwa juhudi tu dear
@ameena1233 жыл бұрын
Najivunia kwako daa farida mungu akubariki kwa kazi yako
@berthabethod95982 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaa
@gertrudeinnocent41742 жыл бұрын
Asante Sana dada naomba unifundishe jinsi ya kuongeza mikia ya mabutu ya vitunguu ili mikia iwe mirefu. Naitwa Getrude Innocent, kutoka Nansio Ukerewe.
@miriammulasi33444 жыл бұрын
Asante,na itwa miriam na ka congo na itaji kujifunza zaidi,mume fume fundisha vizuri
@tidalubando99613 жыл бұрын
Kaz nzuri sorr naomb nifundishe Lusaka njia mbili ya uzi madam
@elizabethdaniel38952 жыл бұрын
Hongera sana kazi yako nzuri
@luciamgaya21503 жыл бұрын
Asante sana Dada Farida nimeipenda nahitaji nywele za uzi
@beatricemwagike35192 жыл бұрын
asante Sana dada nimeelewa Sana
@giftchansa3892 Жыл бұрын
Nilikuwa sijui madam
@hidayamohamedi37242 жыл бұрын
Hongeleni sana nimeipenda
@esteralfred70253 жыл бұрын
Nimielewa iyo
@philipinafuko84573 жыл бұрын
Mungu azdi kukuwka dada unafndish vzr xna
@doriceessau56242 жыл бұрын
Nimependa sana sana
@giselabruno26083 жыл бұрын
Somo zur sana 🤗🤗🤗nimejifunza kupitia video zako na maendeleo n mazur sana I wish nijue kusuka yebo I believe ntaweza 💪💪sichok kufuatilia masomo yako 🙏🙏🙏🙏
@dorotheaissa68554 жыл бұрын
Asanteni nmejifunza sana
@catherinemartin3344 жыл бұрын
Asante da Farida nimejifunza
@merionalex766 Жыл бұрын
Ahsante
@evaseverino6263 жыл бұрын
Asante kwa SoMo zuri mungu azidi kukuzidishia.Amiin
@najmamsemwa17973 жыл бұрын
Asante kwa maelezo mazuri dada Nahitaji msusi nipo shekilango