Asant Sana mwalimu salanga 🙏 hii ni zaidi ya kujifunza
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Mashallah let me share this with my subscribers ❤️
@mwalimusalanga3 жыл бұрын
Thanks @najla's
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante
@jiajiritz3 жыл бұрын
Kazi kazi bro twende mbele
@ggmmjasiliamalionline27462 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mkuu
@robnisonmagoti7103 Жыл бұрын
Mafuta ya mawese unatumia kemikali gani ili yawe kama mafuta ya mise mwl.
@mwalimusalanga Жыл бұрын
Mimi natumia kuchemsha kwa muda mrefu
@philiposahani2017 Жыл бұрын
Mafuta ya alizeti hayafai
@kaswalala1223 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri, lakini naomba kuuliza, nilijaribu kutengeneza hizi sabuni kwa kutumia mafuta ya mise lakini sabuni ikawa na harufu mbaya sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini na tatizo linaishaje? Ahsante sana
@mwalimusalanga2 жыл бұрын
Uliweka pafyumu ya aina gani au chombo uliweka pafyumu ya sabuni ya maji
@wamboedna2 жыл бұрын
How much in kenyan shillings
@mwalimusalanga2 жыл бұрын
Kitabu au kiti Gani ulihitaji?? +255682456819 whatsap