I'm much interested God bless you for educating us.
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Welcome🙏
@VictaDaudi-r5b6 ай бұрын
❤
@DavidMwakasala-ub9zb2 ай бұрын
Nashukuru sana kwa kutuelimisha.nimepotaza sana vifaranga , elimu hiiitanisaidia sana.
@AGALUSTV2 ай бұрын
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@OmbeniMmary-r8d20 күн бұрын
Mungu awabarick elimu hii ni nzuri sana inasaidia sana
@AGALUSTV20 күн бұрын
Amina ndugu ✍️🙏✍️
@ShamimuKanjuАй бұрын
Asnt kaka bd naendelea kujifunza Mwenyeezi Mungu akujaalie kwa somo xuri
@AGALUSTVАй бұрын
Amina ndugu
@meshakirobert88743 ай бұрын
Asante sana kwa kunipa ushauri wa kitaalamu zaidi
@AGALUSTV3 ай бұрын
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
@AboabdulhakimAlfaleh-in7jo7 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu lwa mafinzo......mimi huwa nkipata changamoto ya madawa ya vifaranga wakiwa wadogo,,,,kuna maduka mengi wanatuuzui madawa yenye sio halali.nengeomba uniambie majina madawa ya kila stage ya kuku.
@AGALUSTV7 ай бұрын
Fuatilia dawa hizi kzbin.info/www/bejne/mJuYqYWNpt-bnq8
@paulinas.36317 ай бұрын
Asante sana kwa somo zuri, nataka kujua ni baada ya muda gani kuku wa kubwa wanapewa chanjo na ni chanjo gani
@AGALUSTV7 ай бұрын
Kuku wa umri gani na ni wa Aina gani Lakini chanjo za kuku ratiba video yake kzbin.info/www/bejne/q5LOdWOarZtkiMk
@WelluNangali-b6j4 ай бұрын
Mungu akubariki sana, changamoto yangu kuku wangu wanataga mayai sana kwa muda mrefu lkn hawalaii. Anaweza kujitokeza wa kulalia mmoja mpaka watatu ila muda mwingi wanataga ni kuku wa kienyeji kabisa nishauri nifanyeje ili wengi walallie asante
@AGALUSTV4 ай бұрын
Apo ao kuku wana mbegu za kisasa . Kwa iyo inabidi tubadili mbegu au tuongeze kuku wenye uwezo w kulalia ili ao wakitaga tunachukua mayai tunawawekea wale. Pia Amina kwa maombi Yako ✍️🙏 ya Baraka
@JeldaKayoka-w8b6 ай бұрын
Uko vizuri mwalimu wa ufugaji nashukuru sana
@AGALUSTV6 ай бұрын
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿
@IdaRweyasiza2 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe.
@AGALUSTV2 ай бұрын
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@RenathaJames-e6s6 ай бұрын
Nimefurahi sana kupata somo hili kwa undani zaidi. Asante sana maelekezo yanajitoshereza. Naamini nitaanza hilo jaribio mara tu kuku wangu atakapo totoa
@AGALUSTV6 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu 🙏🏿 Barikiwa pia
@AlexFugason6 ай бұрын
Wewe ni mstaraabu sana ubarikiwe broo
@AGALUSTV6 ай бұрын
Amina ndugu iwe heri na kwako
@Robert-ev5hp7 ай бұрын
Great lessons
@AGALUSTV7 ай бұрын
Thank you
@graceshoo65476 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa somo zuri
@AGALUSTV6 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@idyusuph19242 жыл бұрын
Elimu nzuri Mungu awabariki
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Amina KUBWA 🙏🤝
@brightonngerere55882 жыл бұрын
Elimu nzuri nawashukuru
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Barikiwa pia ndugu
@Karata_og3 жыл бұрын
Hongera Sana kaka kwakutupa ujuzi mzuri
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pa1🙏
@mariamukahola37253 жыл бұрын
Nimefurahi sana tufafanulie vizuri ili tuweze kuinua kipato kiurahisi zId nimeipenda sana
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Mungu akubariki nawe pia 🙏
@floramakela33143 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa faraja zuri
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Amin🤝🙏🙏
@SaidiMabula-ec3jc Жыл бұрын
Nashukru sana kwa somo hili
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@TheresiaTemu-ye1lm7 ай бұрын
Asantee sana kaka kwa somo zur sana hongera kaka
@AGALUSTV7 ай бұрын
Barikiwa pia
@attokilwiye30882 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@seraphiammassy7 ай бұрын
Mungu akubariki wewe si mchoyo wa elimu Hadi nimehamasika.
@AGALUSTV7 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@WenesariaSwai5 ай бұрын
Asante kwa mafunxo ya ufugaji wa vifaranga. Nimrpokea naamini nitakuwa na vigaranga ving8 hivi karibuni
@AGALUSTV5 ай бұрын
Hongera sana
@noahuswege12328 ай бұрын
Nashukuru Kwa elimu hii mungu awabariki
@AGALUSTV8 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri kwako
@faidhasaidi44363 жыл бұрын
Asante sana kwa somo hili nimejifunza na nmeelewa
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pa 1🤝🤝
@blessedjolene15922 жыл бұрын
Asante Sana...napenda kufuga Ila vifaranga vinakufa Sana Sasa nimeelimika
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Saafi sana kwa kuelewa karibu Tena ktk ufugaji kuku
@johnthairu86833 жыл бұрын
Thanks for your support, I have learned alot And trust you will be blessed.keep on updating us, You have become my resource person.
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Welcome🙏🙏
@brightsilayo51643 жыл бұрын
Asante I Sana mmenishawishi kwel
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu sana kwenye ufugaji. 🙏
@mujob67462 жыл бұрын
Shukrani father good job
@AGALUSTV2 жыл бұрын
💯 pa1 sana
@estherkadzo81436 ай бұрын
Asante sana kaka
@AGALUSTV6 ай бұрын
Barikiwa pia
@annamikamollel3607 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka masomo Yako yanatujenga mno
@AGALUSTV7 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi
@AlexAlinotiundji3 ай бұрын
Mwanangu humetisha sana
@AGALUSTV3 ай бұрын
Asante sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
@MadelinaLweganwa7 ай бұрын
Asante kwa somo zuri la utunzaji wa vifaranga nimefirahi
@AGALUSTV7 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@VeronicaMakaranga7 ай бұрын
Kaka mungu akubariki sana matamanio yangu ni kufuga
@AGALUSTV7 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk iyo kaz
@ShamimuKanju3 ай бұрын
Asnt kwa somu zuri
@AGALUSTV3 ай бұрын
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
@AGALUSTV3 ай бұрын
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
@PeterMatiko-rs9yv Жыл бұрын
Mashallah brother
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@ombenikefa73423 жыл бұрын
Bro ili somo umeelezea vizuri sana... yan ume reflect reality ya katika ufugaji wa kuku.. tofaut na video nyingine nlizoona mtandaon
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pa 1🤝 Barikiwa
@rosembwambo6079 Жыл бұрын
Alovea nzuri kwa vifaranga...vifaranga vina wiki tatu naweza huvitenga
@AGALUSTV Жыл бұрын
Yaaah vizuri TU sasa jifunze jinsi ya kulea vifaranga kwanza
@NathanielPeter-wv3wg8 ай бұрын
Naweza muwekea kuku Mayai ya kisasa?
@AGALUSTV8 ай бұрын
Kama Yana mbegu sawa tu waweza
@reubenmdoe7173 жыл бұрын
Hongela kaka mambo yameiva kwaufundishaj wenu
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Barikiwa🙌
@lilianmbeyu7 ай бұрын
shukrani kwa kugawa maarifa huu ni mradi ninaoutamani Sana ila kwa sasa hivi niko juu juu bado nitakapokuwa nimetulia mbona nisiufanye
@AGALUSTV7 ай бұрын
Barikiwa sana
@amanikissanga25773 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa somo lenu na vipindi endelevu. Naomba munielekez vizuri kuhusu mchanganyiko wa vyakula bora vya kulea vifaranga na kuwap kuku watage bila kungoja msimu
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ok 🙏
@jeremiahtartbu2993 жыл бұрын
Mm naitaji nijue vifalanga ninawaifaz vp napia naomba nijue kuku niaze na watot au wakubwa
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Kwa wakienyeji anza na wakubwa saizi ya kat. Fuatilia somo hili👇 jinsi ya kuanza ufugaji mambo muhimu kzbin.info/www/bejne/hF6nc4Kwlshrprc
@onesmusmusembi53043 жыл бұрын
Asante Ni Kwa mafuzo
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏
@mesikamesika30082 жыл бұрын
Hongereni sana mimi nimeanza ufugaji wa kuku asili tatizo vifaranga vinakufa sana najitahidi madawa na vyakula ila nafeli naomba msaada ya ratiba za chanjo na madawa na mchanganyiko wa chakula
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Pole sana ndugu. Ebu tuanze apa jinsi ya kulea vifaranga👇 kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@PaulinaMbunda5 ай бұрын
Nashukuru kwa somo zuri
@AGALUSTV5 ай бұрын
Barikiwa pia
@hellenomar21772 жыл бұрын
Asante sana kwa somo lavifaranga,🙏
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu tupo pa1 🙏
@wilfredjonas17963 жыл бұрын
Some zuri nimelipenda naomba kujua kuku anauwezo was kutotoa vifaranga vingapi kwa mwaka
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Hutegemea utunzaji wa vifaranga kama atawalea vitoto yeye mwenyewe kuku atachelewa na apo utapata idadi y vifranga vichanche kwa mwaka ila kama uta lea vifaranga wewe. Kuku mara baada ya kutotoa atakaa wiki mbili ata taga tena sasa apo utahesabu siku 21 atatotoa tena na kurudia tena kutaga baada ya wik 2 tusaidiane hesabu kidogo ndani ya mwaka atataga mara ngapi?🙏🙏
@noelymollel8720 Жыл бұрын
Be blessed
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amen 🙏🏿 you too
@DottoMlamka2 ай бұрын
Naomba naomba yako boss
@AGALUSTV2 ай бұрын
Sawa sawa ndugu tutatumia
@salviuskomba59687 ай бұрын
Habari mpya kwangu hiya na nzuri
@AGALUSTV7 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu
@GoziadPupa Жыл бұрын
Shukrani Sana,, lakini mnapatikana mkoa upi,, kwa anaehutaji kujifunza kwa kutazama physically
@AGALUSTV Жыл бұрын
Karibu Sana ndugu
@GoziadPupa Жыл бұрын
@@AGALUSTV wapi mnapatikana
@AGALUSTV Жыл бұрын
Dar.,bukoba,mbeya, moro, kote tunawatu tunafanya nao kazi
@kulwakipuga54877 ай бұрын
Nashukuru kwa some zuri,je hiyo dawa ya asili uliotaja kama alovera unawezaa ukawachanganyia vifaranga kwenye maji siku ya kwanza ulivyowatoa kwa mama yao pamoja na hiyo vitamin
@AGALUSTV7 ай бұрын
Vifaranga angalau wawe na umri wa wiki 3++
@VeronicaBango7 ай бұрын
Asante sana kwa somo zuri mmo hapo umenigusa sana je kwangu ni shida kupata jiko kama hilo je mbadala nitumie jiko gani? naitwa Veronica
@AGALUSTV7 ай бұрын
Taa za joto za kuku
@MajaliwaTengule-rf2kt Жыл бұрын
Samahani kaka, Mimi nimejenga Banda la banzi kwa ajili ya vifaraga, 16:35 kwandani ukutani nikaweka kapeti je ni sawa kwa afya ya vifaranga
@AGALUSTV Жыл бұрын
Vitu vyenye kuteleza c vizur kw vifaranga vya siku 1 hadi 7 pia kapeti halivyonzi kinyesi. Ni vizur ukatumia magazet. Pia kuleta barid kwa vifaranga
@celestinermantenga24637 ай бұрын
Toa kapeti haraka sababu inasababisha baridi kali.
@AGALUSTV7 ай бұрын
Yes tupo pamoja
@سيوابورندي Жыл бұрын
Asanteee
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@JohnsonKolwa10 ай бұрын
Asante kwa fundisho,je gazeti utakuwa unabadilisha baada ya siku ngapi?
@AGALUSTV10 ай бұрын
Yakichafuka tu. Angalau wiki mbili
@safariyainjilitv4110 Жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri jee kama kuku wanapiga sana chafya na wana kunya sana maji ttzo ninini?? Na jee mimi nimekua nikiwapa sana mchunga jee hauna madhara kwao
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ni ugonjwa wa mafua wape dawa za mafua na kikohoz. Kuhusu ayo majani si shida ila usiwape kila cku wape angalau kwa wiki Mara 1/2
@EmileLugendo5 ай бұрын
We ni mwalimu mzuri nimeelewa ,asante kwa somo zuri ila nachangamoto ya kuku wangu hawatotoi mayai yote nayomwachia mpaka inatia uvivu inanilazimu kupeleka mayai kwenye mashine
@AGALUSTV5 ай бұрын
Ok Kuna mbinu hii ya kwa kuku kushindwa kutotoa mayai . Video kzbin.info/www/bejne/rZjQkGmqdqqWgtk
@filipinadaud885 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri, Baada ya kuwalisha starter kwa wiki nne hapo unawalisha Nini Tena?
@AGALUSTV Жыл бұрын
Grower
@allyabdi53657 ай бұрын
Nashukuru kwa elimu na nina amini kua nitafikia malengo ya ufugajimkuku wa kienyeji,malengo yangu ni kiua na kuku elfu moja
@AGALUSTV7 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu
@esterjohn12773 жыл бұрын
Asante mkuu hilo jiko nitaliptaje sasa niko mwanza
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Sisi tupo mbali nawe ila watafute wauze vyungu wanayo
@esterjohn12773 жыл бұрын
Haya asante mkuu
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pa1🤝
@RoseMwakyomaАй бұрын
Mko mkoa gani
@AGALUSTVАй бұрын
@RoseMwakyoma tulisha wasiliaana
@AbelnegoPhilimon9 ай бұрын
Mm nilipata changamoto ya vifaranga kudonoana sana. Nifanyeje?
@AGALUSTV9 ай бұрын
Ongeza vyakula vya protein, Kisha Funga majani AU maboga mboga mara kwa Mara
@josephndunguru65522 жыл бұрын
Nashukur kwa elimu ya ufugaj kuku
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Barikiwa pia
@mariammwina20733 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza vya kutosha,endapo una banda ambalo lina sakafu ya saruji natakiwa kudandaza magazeti?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ndyo mabox kwanza then gazet
@yusuphrichard62783 жыл бұрын
Nice
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pa1🤝
@ImmanuelDeus Жыл бұрын
Naomba uni add kwenye group ili nijifunze zaid
@AGALUSTV Жыл бұрын
Hatuna group ndugu. Tukifungua ntaku add
@jpintrospection13153 жыл бұрын
Mko vizur Sana kaka lakin hapo kwenye magazet Kuna changamoto kwasababu vifaranga wanapokuwa wengi hata kinyesi kinaongezeka,na hii naweza kusababsha vifaranga kupata magonjwa.Ushauri wangu Bora kuweka wavu pale chin sio gazeti!!!!
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Yaaaah upo sahihi kabisa 🙏🙏
@فاطمهنزوى2 жыл бұрын
Haki nimeipenda 🙏🙏🙏
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Karibu sana ndugu🙏🏿🙏🏿
@fatumamajambo81602 жыл бұрын
Shukran kwa sote ila nauliza jiko huwa linakaaa waZi mda wte au inakuaje?
@AGALUSTV2 жыл бұрын
,hapana mfuniko wa jiko una achwa nafasi kidogo wazi si full opening
@samsonistephano21973 жыл бұрын
Asante sana somo zur nilkua nauliza ukiwa mazingira ambayo hayapatikan hayo majko ya joto hauwez kutumia njia nyingine kuleta joto?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Tumia umeme na balbu iwe ni wat 100, au 200
@merinamkocha38187 ай бұрын
Asante kwa somo zuri. Ni nini tatizo la kuku kula mayai yao,? Msaada please
@AGALUSTV7 ай бұрын
Sababu na Tiba ya kuku kula mayai. Video kzbin.info/www/bejne/nWeTnYejYq6dipI
@NorbertwithanO7 ай бұрын
Je naweza kupata namba yako ili uje kwenye banda langu kwa maelekezo ya karibu
@AGALUSTV7 ай бұрын
Upo wapi ndugu
@veronicamwaseba218910 ай бұрын
asante kwa somo zuri mbeya mpo sehemu gani? naomba namba za simu ili niwatafute
@AGALUSTV10 ай бұрын
Ok
@priscamasanga70383 жыл бұрын
Nimefurahi sana kupata elimu
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Barikiwa sana, 🙏
@erineosanga71256 ай бұрын
Nimesikiliza maelezo yako kwa umakini wa hali ya juu sana,Nimejifunza vitu vingi mno. niseme asante sana kwa elimu hiii. Naomba msaada wa haya maswali haya 1.Mama wa vifaranga mara baaada ya kumnyang'anya wale watoto anachukua muda gani tena kunza kutaga ? 2.Utagaji wake unaendelea kama awali au utapungua ?
@AGALUSTV6 ай бұрын
Baada ya wiki 2 hadi 3 kuanza kutaga Tena japo utategemea na lishe utakayo mpa. Utagaji hautapungua kama lishe itakua nzuri. Tunashukuru pia na wewe kwa kutufuatilia
@isaimlongesanga62032 жыл бұрын
Kwa taa ya umeme unahitaji taa za volt ngapi ?
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Ata zile za 100
@JacobMwaimu2 ай бұрын
Nd unapatikana wapi nami nikutembele
@AGALUSTV2 ай бұрын
Karibu sana ndugu
@filipinadaud8859 ай бұрын
hayo magazeti watalalia ck ngapi ubadiishe?na watakaa kwenye magazeti mpaka wafikishe umri gani?
@AGALUSTV9 ай бұрын
Yakichafuka tu. Ni siku 5/7
@filipinadaud8859 ай бұрын
@@AGALUSTV ok Asante kwa ELimu nzuri
@AGALUSTV9 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@JudithChahale6 ай бұрын
Maji huweka dawa ama vipi?
@AGALUSTV6 ай бұрын
Ndio ndugu vp unaijua dawa izo '?
@frolabaton25777 ай бұрын
Asante kwa somo zur napenda kufuga naomba kujua Zaid kuhusu dawa kuanzia kifaranga wasiku 1 had mda gan ana acha kunywa dawa mnisaidie
@AGALUSTV7 ай бұрын
Sawa ndugu fuatilia video hii apa. Pia angalia video za chanjo za kuku kzbin.info/www/bejne/mJuYqYWNpt-bnq8
@godfreykibaha44413 жыл бұрын
Asante
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pa 1, sana barikiwa 🙏
@paulmdiya59412 жыл бұрын
Naweza kufanya mchanyiko gani kupata chakula Cha kuku?
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Chakula cha kuku hutegemea umri, Aina ya kuku na Mali ghafi AU vya kula vilivyopo katika eneo lako Fuatilila video hizi kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0Ettq9rfYN2okbgi0ionZdU
@FlorineShoo13 күн бұрын
Tunashukuru kwa maelezo yako,je vifaranga vitakaa vyenyew kwa muda gani ? Mwisho wa kuwawekea joto la kwenye chungu ni wakiwa na umri gani?
@AGALUSTV12 күн бұрын
Wakiwa na mabawa full. Yaani utaviona havihisi barid mara nyingi wiki 3+ japo hutegemea na aina ya kuku
@epiphankisava51753 жыл бұрын
Aise nilikua na wazo la kufuga kuku sasa mmenipa hamasa zaidi mungu awabariki sana ipo cku ntawapa mrejesho wa masomo yenu ..thank you very much ❤
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Barikiwa sana ktk hatua mpya ya uchaguzi 🙏
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana katka hatua mpya ya ufugaji🙌
@lusaelimu25803 жыл бұрын
Hata mm leo ndio siku ya kwanza kupitia huku nimependa mungu awe nasi mafanikio tutayapata Amin
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Amina🙏
@sarahemmanuel81093 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka, je naweza kuwawekea mwanga wa Solar na wakakua?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Safi kabisa haina shida🙏
@MathiasMboya7 ай бұрын
Kuna dawa gani za asilia kutibu magonjwa mbali mbali?
@AGALUSTV7 ай бұрын
Tiba asili za kuku jifunze zaidi kupitia video kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL
@AmmarJuma-cz4qc7 ай бұрын
Asalamu alaykum mimi niko Zanzibar nahitajikufuga kuku wa kienjeji lakini wezi wa kuku ni wengi samahani nifaje ili nifuge kwasalama
@AGALUSTV7 ай бұрын
Pole sana ndugu apo ni kuboresha mazingira ya nyumbani kwako kama vile kujenga fensi n.k
@zachariamayala2532 жыл бұрын
vifaranga wakigusa kwenye jiko la moto hawata ungua au hapo inakuwaje?
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Kama joto ni kalii hawatagusa jiko
@greysongasper36628 ай бұрын
Nashukuru Kwa elimu NImeelewa
@AGALUSTV7 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@ZaituniNyanje20 күн бұрын
Naomba uni saidie jinsi ya kujenga banda na kuwa tenga nisha kuku please kakangu
@AGALUSTV20 күн бұрын
Kuna mambo ya kuzingatia unapo Jenga Banda la kuku Banda la kuku: kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
@AGALUSTV20 күн бұрын
Kuna mambo ya kuzingatia unapo Jenga Banda Banda la kuku: kzbin.info/aero/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
@davidshekighenda52063 жыл бұрын
Nimelipenda Sana hili somo
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu sana na ubarikiwe🙏
@tumainimutasa77777 ай бұрын
Je ukiziba banda mpaka juu hawatakosa hewa?
@AGALUSTV7 ай бұрын
Vifaranga si shida sana utafungua kdogo kadirisha kwa mchana
@tumainimutasa77777 ай бұрын
@@AGALUSTV OK,asante sana ubarikiwe ndugu yangu
@AGALUSTV7 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia
@SafuAzizi8 ай бұрын
Mimi safu azizi nashukuru kwa elimu ya ufugaji wa kuku naomba Kila mnapotoa darasa nami nilipate
@AGALUSTV8 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu apo ni subscribe tu utapata taarifa
@calvincenuze34397 ай бұрын
Unaweza wapa kiasili bila chanjo?
@AGALUSTV7 ай бұрын
CHANJO ni muhimu sana...izi za asili zinaasaidia hata UGONJWA ukija uwa hauwadhuru sana.......lakini pia kama unabidii ya kuwapa za asili basi waweza acha kabisa CHANJO
@ManenoMtongwa8 ай бұрын
Nikuelewa sana kaka.nahtaji nambayako maana tunosaelemu kwakukosa waelimishaji.tashukuru endapo tapata nambayako.asante
@ManenoMtongwa8 ай бұрын
Tunakosa elimu kwakukosa waelimishaji.
@AGALUSTV8 ай бұрын
Hakika tuzid kushere video ktk channel hii ili Elimu ifike mbali zaidi 🔥 Kuhusu namba ntakutumia
@sabinalyawumi7 ай бұрын
Namimi naomba uni add kwenye hi group .
@AGALUSTV7 ай бұрын
Sawa ndugu ngoja tuone uwezekano
@AishaKechegwa6 ай бұрын
Habar kaka naomba kuuliza vifaranga wangu wanashusha mbawa nawapa dawa lkn hawaponi wanakuwa kama wanasinzia
@AGALUSTV6 ай бұрын
Dawa gani uliwapa
@bonifaceluviga58433 жыл бұрын
Asantee maelekezo, naomba namba zenu za Simu Nina maswali ya kuuliza live kuhusu kuku...
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Uliza tu ata apa apa🙏
@jacklinecharles12523 жыл бұрын
Mnapatakana wapi??
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Mbeya
@neemamalaki85122 жыл бұрын
Kuku anatakiwa kupata chanjo kila baada ya muda gani?
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Fuatilila video za chanjo zote za kuku ktk channel hii
@stephenodhiambo77412 жыл бұрын
Dawa ya macho yakuku
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Macho kufanyaje ndugu
@seraphiammassy7 ай бұрын
Je vifara vikigusana na Niko havitaungua?
@AGALUSTV7 ай бұрын
Kusiwe na barid muda wote. Yaani kuwe hakikisha joto linakuwepo. Kukiwa na barid tu watajikusanya pamoja kutafuta joto hivyo wakanyagana. Pia jiko ikiwa na moto hawasogei