Jinsi ya kutengeneza vileja vya samli kwa biashara/nyumbani/GHEE COOKIES

  Рет қаралды 97,225

Sade dimples

Sade dimples

Күн бұрын

VILEJA VYA SAMLI
Mahitaji
Robo kilo(250g) sukari
Robo kilo(250g) samli
450g unga ngano
1 yai kubwa
1 kijiko kikubwa Baking powder
vanilla na fleva nyengine yoyote unayotaka
GHEE COKIES
ingredients
250g sugar
250g ghee
450g purpose flour
1 large egg
1 tbsp baking powder
vanilla and any essence you want

Пікірлер: 56
@MariamIddimbetu
@MariamIddimbetu Жыл бұрын
Wow nice ❤
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 3 жыл бұрын
Mashallah nice😋👌
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 жыл бұрын
Km cna samli naweza kutumia mafuta
@RahmaKhairu99
@RahmaKhairu99 3 ай бұрын
Mashallh
@aisharashid4448
@aisharashid4448 3 жыл бұрын
Nimeipenda manshllh
@shuu1984
@shuu1984 3 жыл бұрын
Mashaa Allah .. shukran habbty
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Afuan
@hassanatymuumini8121
@hassanatymuumini8121 2 жыл бұрын
Mashaallah
@fatmazono2381
@fatmazono2381 10 ай бұрын
Hi siz naomba nifahamishe nikitaka kupika kg 2 vipimo vya siagi,Suvari, na Mayai ni kiasi gani?
@OmariMshana-l6q
@OmariMshana-l6q Ай бұрын
Kwenye mkaa tuna tumia sufuria tupu au sinia chin na tuna weka mkaa juu nachin Iau
@latifaahmad861
@latifaahmad861 2 жыл бұрын
Mashaalah nimependa
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Mashaallah
@halimabakari4174
@halimabakari4174 2 жыл бұрын
Shukran mpenzi na hivi vifaa vya kutengezea shepu ya vileja huwa vyapatikana wapi please. Allah akubariki kwa mafunzo yako
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 2 жыл бұрын
Kwa maduka ya vybo
@FatmaAli-el2nv
@FatmaAli-el2nv 5 ай бұрын
Tofauti ya vileja vya siagi na samli ni ip
@SackySadocky-mm8se
@SackySadocky-mm8se Жыл бұрын
Siwezi nkachanganya vyote then nkakanda kama andazi ?
@Sadedimples
@Sadedimples Жыл бұрын
Unaweza lakini sukari isage kidogo
@franciskatarimo6241
@franciskatarimo6241 2 жыл бұрын
Kama siwezi kupata samli bluband inafaa?
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Hapana dear hivi ni vileja vya samli . Rabda uangalie receip nyengine inayotumia bluband
@mwanamkasiseleman7197
@mwanamkasiseleman7197 2 жыл бұрын
Mashallah Kama Sina samli bluband inafaa?
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Inafaa
@maliahfarid4851
@maliahfarid4851 8 ай бұрын
Je kimbo yafaa
@aisharashid4448
@aisharashid4448 3 жыл бұрын
Nimependa hichi kachukatia manshllh kidogo dogo
@sadajames6365
@sadajames6365 Жыл бұрын
Vifaa hivi vinapatikana wapi mamy hivi yva shape
@Sadedimples
@Sadedimples Жыл бұрын
Kwenye maduka ya vifaa vya keki
@rashiasleiman4864
@rashiasleiman4864 Жыл бұрын
Mbona nlitengeneza vimetoka vigumu kwann
@Sadedimples
@Sadedimples Жыл бұрын
Rabda sukari hujaisaga sana
@wardasaid759
@wardasaid759 2 жыл бұрын
Nice
@Muzdalfaismail-hz9mw
@Muzdalfaismail-hz9mw Жыл бұрын
My dear huwo unga unakuwa kiyax gan robo or nus
@Sadedimples
@Sadedimples Жыл бұрын
Nusu kasoro gram50.
@swafaamohamed9603
@swafaamohamed9603 3 жыл бұрын
MashAllah dada umechoma kwa moto wa juu na chini ama?
@Sadedimples
@Sadedimples 3 жыл бұрын
Ndio moto wa juu na chini . Katika moto mdogo kama ni kwenye oven na hata kwa mkaa . Kwa dakika 5-10
@ezeydavid4343
@ezeydavid4343 2 жыл бұрын
Jmn
@UwesuShaibu
@UwesuShaibu 8 ай бұрын
Naona
@badria5771
@badria5771 6 ай бұрын
Naomba vipimo vya robo kwa kutumia siangi kwanzia wiangi na unga na sukari vipimo vyake
@lucymarko5629
@lucymarko5629 2 жыл бұрын
kama hauna mashine inakuaje
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Unachanganya hata kwa mwiko au whisk(mchapo) pia ni sawa
@ezeydavid4343
@ezeydavid4343 2 жыл бұрын
Napenda
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
😋😋
@hawakimaro9675
@hawakimaro9675 2 жыл бұрын
Vp dada tukitumia mkaa je
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Ndio dear unaweza kutumia mkaa
@MwanabarakaallyChande-pv3dd
@MwanabarakaallyChande-pv3dd Жыл бұрын
Video
@sadajames6365
@sadajames6365 Жыл бұрын
Hello madam
@Sadedimples
@Sadedimples Жыл бұрын
Hello karibu
@sadajames6365
@sadajames6365 Жыл бұрын
@@Sadedimples samahan vipi hivo vifaa vinapatikana wapi mamy
@nusrakipanga6323
@nusrakipanga6323 Жыл бұрын
Kama sina baking powder je
@latifahassan4056
@latifahassan4056 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 tia magadi
@nusrakipanga6323
@nusrakipanga6323 Жыл бұрын
Kunaa ile simba na chapa maandaish sasa kama inayopatikana ni ile ya simba haifai
@khadijaali2630
@khadijaali2630 Жыл бұрын
Ukitumia kwa moto wa kuni jee
@Sadedimples
@Sadedimples Жыл бұрын
Ndio unaweza kutumia moto wa kuni
@hasinahaji1975
@hasinahaji1975 2 жыл бұрын
Naomba vipimo tafadhali
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Angalia kwenye description box dear
@babykasisi307
@babykasisi307 2 жыл бұрын
Kama auna samli unaweka nini
@Sadedimples
@Sadedimples 2 жыл бұрын
Dear hiv ni vileja vya samli unaweza ukatumia hata ile samli ya cowboy
@HarthaAhmed-yu1zr
@HarthaAhmed-yu1zr 4 ай бұрын
Ung huo kil ngp
@zaitunijuma8710
@zaitunijuma8710 Ай бұрын
Nice
JIFUNZE Kupika Vileja vitamu sana vya custard | Mapishi Rahisi
4:11
Mapishi rahisi
Рет қаралды 84 М.
JINSI YA KUPIKA #BISKUTI ZA BIASHARA_0682456819
7:59
SUNRISE TZ
Рет қаралды 16 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 15 МЛН
I make a Best Danish Butter Cookies ever ❤ 丹麦奶油饼 ~ 纹路不消失的秘诀
6:06
Little Duck's Kitchen 小黄鸭厨房
Рет қаралды 4,1 МЛН
Upishi wa Barfin
16:17
Millah kitchen
Рет қаралды 2,6 М.
Eet-Sum-Mor Biscuits/cookies
5:20
Malkia Foods
Рет қаралды 31 М.
My Favourite Butter Cookie Recipe
6:53
Gracious Treatz
Рет қаралды 12 МЛН
Cookies za Biashara/Cookies za Mafuta/Lastborncakes
4:55
Faulink
Рет қаралды 13 М.
Mapishi ya biskuti tamu bila kutumia mayai - Eggless butter cookies
4:59
KATAI | KUTENGENEZA VILEJA KWA MAHITAJI MATATU TU! Tamu Tamu Za EID
5:21