JINSI YA KUTUMIA CAPCUT

  Рет қаралды 2,559

Vinei TV

Vinei TV

Күн бұрын

Tazama na ujifunze jinsi ya kutumia Capcut Kwenye simu , Hii ni hatua za mwanzo kabisa kwa begginers au wale wanao anza. #capcut #capcutedit #capcuttutorial
jinsi ya ku edit video Kwenye simu.

Пікірлер: 16
@peterclavery89
@peterclavery89 3 ай бұрын
Umetisha sana mkuu, sema fanya utengeneze na clip za namna ya kurekodi sauti ya kuweka kwenye video ads,, kuitoa sauti yako kawaida iwe sauti ambayo iko professional. Yote hiyo iwe ni kwa kutumia simu,,, utakuwa umetusaidia wengi sana ikikupendeza 🙏
@mossesmanina1603
@mossesmanina1603 8 күн бұрын
Naunga mkono hoja
@AlvenusAnthony
@AlvenusAnthony 3 ай бұрын
Bigup San
@CINEMATZ
@CINEMATZ 3 ай бұрын
Naaam 🔥🔥
@uniquemwalo
@uniquemwalo 3 ай бұрын
Og kabisa mwamba
@Vinei
@Vinei 3 ай бұрын
Pamoja
@PeterPetro-pt2jc
@PeterPetro-pt2jc 3 ай бұрын
Bro naomba no yako
@Vinei
@Vinei 3 ай бұрын
0624741607
@eagtmakimbiliochato
@eagtmakimbiliochato 3 ай бұрын
Mimi hapo nataka kujifunza umerecord vipi wakati unaelekeza namna ya kuedit kwa simu
@Vinei
@Vinei 2 ай бұрын
Nimetumia screen recorder
@mittid2492
@mittid2492 2 ай бұрын
Bro et nimetumia zile pro but kusave wanakata wanataka ni join pale kulipia nafanyaje
@Vinei
@Vinei 2 ай бұрын
Tumia za Free
@mittid2492
@mittid2492 2 ай бұрын
@@Vinei sante bro
@mittid2492
@mittid2492 Ай бұрын
@@Vinei bro naswali tena mfano nataka niweke nyimbo.ila ile nyimbo nataka ikaanzie labda katikati nafanyaje?
@NDETEKHANY
@NDETEKHANY Ай бұрын
Hizo za free zinapatikana wap atamm inasema I vyo ivyo
@mittid2492
@mittid2492 Ай бұрын
@@NDETEKHANY kuna zile zimeandikwa pro ziache chukua ambazo hazina neno lolote
FILM CLASS: Jifunze jinsi ya kuanza kutumia Adobe Premiere Pro
26:02
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 62 МЛН
How to Make an Animated Cartoon Video Using Al
16:40
Website Learners
Рет қаралды 712 М.
Madhara ya App za Mikopo kwa njia simu : Utashangaa
8:59
Vinei TV
Рет қаралды 5 М.
JINSI YA KU EDIT VIDEO KWA KUTUMIA CAPCUT APP
4:48
Adie trends
Рет қаралды 7 М.
Jinsi ya Kufungua YouTube channel ya Kulipwa 2024
16:37
Vinei TV
Рет қаралды 9 М.
Jinsi ya Ku EDIT  Cinematic Video Kwa kutumia Smartphone
17:14
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН