Amen. Imani yangu haita tindika katika jina la YESU.
@Magdalena-tz7uk2 ай бұрын
Mungu wangu nimecheka jaman kama biashara haiendi mfate mwenye frem mwambie ntaweza kuongeza frem nyingine ila pastor unatutia moyo sana kupitia mahubil Yako najifunza Ving sana na ninaona kuongezeka kwamaarifa ktk namna yauombaji ahsant yesu kwakumpaka mafuta huyu pastor 😊
@rahmamaurid43482 ай бұрын
Asante Mungu kwaajili ya usubh ya Leo hakika Imani yangu imeongezeka Mungu akutunze dady
@tumainirighton95072 ай бұрын
Amen
@audaxkibanda28112 ай бұрын
asante Mungu ww ni mweza kwenye maisha yangu
@josephinendinda90652 ай бұрын
Mungu nisaidie kuishika imani yako🙏🙏
@genivafelix2502 ай бұрын
Iman yangu haitatindika mwaka huu
@CherryFashion-n4y2 ай бұрын
Amiin Amiin👏
@MaryNyondo-q2f2 ай бұрын
Kama nilivo kuwa wakwanza ndivo takuwa wa kwanza kwa kila kitu kwa jina la yesu
@mloweapple86782 ай бұрын
Amina na mimi nàjiungamanisha katika upakohuo
@Magrethw-xp4ru2 ай бұрын
Asnte Mungu kwa Afya njema ,Asnte pia kupata somo la kuniongeza Imani yangu mm na watoto wangu 🇦🇪