Eee Mungu ninaomba unijaze Roho Mutakatifu ndani yangu siku zote za maisha yangu Amen Amen
@yunispatrick86132 ай бұрын
Roho Mtakatifu miminika ndani yangu nijue jinsi ya kukutunza, Glory be to God 🙏🙏
@SaraSareta-c8zАй бұрын
Ee mwenyenz mungu ni epushe na dhambi ili ni sialibu mahunisiano juu yako bwana🙏🙏🙏
@modestamarakammbishi11272 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah, mungu naomba unipe nehema na kibali ili niweze kupata ngufu ya kuomba kila siku,kwa ajili ya kutuza roho mtakatifu anaye ishi ndani yangu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@ruthmshereja39762 ай бұрын
Roho mtakatifu ninaomba unijaze sasa,ujaze moyo wangu kwa nguvu zako,utakase moyo wangu,njoo nijaze sasa
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@LydiaMajura2 ай бұрын
AMEEEN🙏🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@stephenecatherineАй бұрын
Barikiwa mnooo pastor
@JacksonFrances2 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi "
@DorahMligaАй бұрын
Yesu nisamehe nipe nguvu ya kushinda dhambi ili Roho mtakatifu asiondoke ndani yangu 🙏 🙏 🙏
@e2012ize2 ай бұрын
Roho Mtakatifu, furika kwa wingi ndani yangu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@Emytoto4372 ай бұрын
Asente yesu🙏🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@stephanosospeter17092 ай бұрын
Ameen
@AndreaGama-n7f2 ай бұрын
Ameniii
@KemirembeBashumikaАй бұрын
Amen Barikiwa mtumishi wa Mungu. Mungu akutumie kwa viwango vya juu.
@oman58752 ай бұрын
Amen ,ee mwenyezi Mungu naomba unipe roho mtakatifu akae ndani yangu kwenye maisha yangu 🙏🏿
@neemanyagawa94792 ай бұрын
Hallelujah Amen 🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@lightnessgamasa603916 күн бұрын
Mungu nisaidie niwe mtiifu ili Roho mtakatifu akae ndani yangu Aminaaa 🙏🏻
@elizabethmilanzi-tn9rm2 ай бұрын
MUNGU nisaidie kuepuka dhambi, niwe NA Roho Mtakatifu afanye KAZI NDANI YANGU daima. Amin
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@furahaalfred14162 ай бұрын
Mungu nisaidie sana,kumbe mim mwenyewe ndio namfukuza Roho mtakatifu..ngoja nitengeneze
@SteraChristopher2 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie niweze kusamehe na kutii neno lako
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@e2012ize2 ай бұрын
Mungu nifundishe kutunza uhusiano wangu na Roho wako Mtakatifu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@SuhailaSintamei2 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 mtumishi kwa mafundisho mazur. Mungu akubariki sana
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@DevothaDidimusАй бұрын
Mungu Baba Naomba unipatie Neema ya kumtunza Roho Mtakatifu ndani yangu
@MaximilaNeema9 күн бұрын
Ameeeen hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏
@VainessPeter2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏 AMENI🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@vumiliawambula1716Ай бұрын
Amen Amen Sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@veronicakiganga454716 күн бұрын
Nimependa sana mafundisho yako. Nimeamua kuyatendea kazi kuanzia leo. Mungu akubariki sana mtu wa Mungu. Amina.
@MercyMoraa-ij3uuАй бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu nilikiwa na roho wa Mungu lakni cjua jisi ya kumunza asante kwa fundisho Amen
@gracekunambi74382 ай бұрын
Karibu Roho mtakatifu ndani yangu 🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@AnnaLubimbi-c4x29 күн бұрын
Amenaaa baba mungu anisaidie aludi roho mtakatifu Kwa upya nipo tayari
@stephanopaul8318 күн бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu.nabarikiwa sana na na mafundisho.
Barikiwa sana Mtumishi wa Bwana, kwa somo zuri sana
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@maximillahmurumba20532 ай бұрын
Amen amen 🎉🎉🎉
@holyspiritconnect2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@AndreaGama-n7f2 ай бұрын
Amin mtumishi mung azidi kukupa baraka
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@faithe4063Ай бұрын
Amen and Amen mtumishi wa Mungu aliye hai, ni ukweli kabisa kusoma maandiko kila siku inakaribisha Roho mtakatifu
@Roi-SaidiIdi-rp4tx8 күн бұрын
Ubarikiwe je waku tubariki
@JumwaKatana-m8rАй бұрын
Amen barikiwa sana
@kitwanajohn8237Ай бұрын
Uzidi kubarikiwa mtumishi wa BWANA
@EmanuelAmos-i9v2 ай бұрын
Asante yesu kwa mafundisho haya
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@IsakaKiyalo-s3v2 ай бұрын
Amina nabarikiwa kwa Jina la yesu kristo
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@LinakaayaKaayaluka7 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@Jefferson_Gospel2 ай бұрын
AMEN
@holyspiritconnect2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@نيماخميس2 ай бұрын
Amen,nashukuru kwa mafundisho nitajifunza ssa kuweka neno la mungu nda ya moyo wangu
@salomemtwale53702 ай бұрын
Mungu ninaomba neema ya kumtunza na kutembea na Roho wako Mtakatifu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@getrudejeremia48242 ай бұрын
ASANTE SANA KWA MAFUNDISHO HAYA MTU WA MUNGU 😭🙏 EEH MUNGU BABA WA MBINGUNI TUSAIDIE 🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@NuruBenjaminАй бұрын
Naomba yesu anilinde na mabaya yote
@aisiamkonyi49772 ай бұрын
Ameen, Mungu aniwezeshe
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@Emytoto4372 ай бұрын
Amen 🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@sharletngala61572 ай бұрын
Asante sana mtumishi kwa neno la leo mungu akubariki sana
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@GRASIANOMSOLA2 ай бұрын
Ameni Roho mtakatifu nakuhitaji
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@daniellamamiro8388Ай бұрын
Kusamehe ni kazi ngumu sana, kuachilia ni ngumu watu wanaumiza sana watu wanaumizaa pastor tufundishe namna ya kuachilia na kusamehe😭
@holyspiritconnectАй бұрын
Pole sana kwa changamoto. Katika somo hili kzbin.info/www/bejne/h2HIZ6ShnrSXg7M nimefundisha. Na pia kuna maombi ya kuombea eneo hilo kzbin.info/www/bejne/emjYp6uZh9B8jMU
@pendopeter1790Ай бұрын
Ni kweli kusamehe kazi lakini ukimuomba Mungu na kuamua kuachilia inawezekana mpendwa. Mimi nilikuwa na watu walioniumiza sana lakini kwa kuamua na kumuomba Mungu nimefanikiwa 🙏
@PureSoul-rf4xd21 күн бұрын
Pia kusamehe ni kwa ajili yako pia
@Sophibilliah2 ай бұрын
Amina kwa neno
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@RugeGwabaraАй бұрын
Mtumish nimempokea bwn yesu leo MUNGU akutie nguvu
@HellenDaudi-rt8ol5 күн бұрын
Hongera kwa maisha mapya Roho Mtakatifu akuwezeshe kuishi maisha matakatifu
@WilleyshАй бұрын
Eh mungu unikumbuke niwe na roho ya kuurumiya hili mungu anipe rehema ya ku niurumiya Pia eh mungu ni saidiye
@estherwanjalanyongesa18 күн бұрын
Eeeh mwenyezi mungu nifuze kukaa kwenye uwepo wako....
@JacklineAdemba2 ай бұрын
Mungu atusaidie
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@stephanosospeter17092 ай бұрын
Ameen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@DynessSamweli2 ай бұрын
Ubarikiwe, Mtumishi
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@JosephinaMjema2 ай бұрын
Asante roho mtakatfu furika ndani yangu kwa wingi
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@AsiaH-jf5fo2 ай бұрын
Roho nisaidie sasa
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@GraceSambula2 ай бұрын
Mungu wangu naomba unisaitie nijue kutunza roho mtakatifu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@AsiaH-jf5fo2 ай бұрын
Barikiwa sana mutumishi wamungu kwamafundisho mazurìnahisikubarikiwa amenii
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@AtilyoLazarus2 ай бұрын
Ameni
@etonaabwe53182 ай бұрын
Help me to have a relationship with you Holy spirit
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@florencekwamboka97172 ай бұрын
Halleluyah amen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@MARIAMMKIWA-s7p2 ай бұрын
Eeeh mungu wangu nisaidiye kwenye maisha yangu,na hitaji rohoo wako mtakatifu akapate kuwa ndani yangu.mtumishi ubarikiwe sana kwa somo hili nzuri.may God bless you 🙏🙏🙏.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@stevendominic8185Ай бұрын
Mimi huwa napenda sana kusoma bible na kila nikisoma mkono wa kushoto huw unakuwa na nguvu ya roho mtakatifu yaan unahisi moto wa ajabu san
@JaneAssey-x2f2 ай бұрын
Ee mungu nisaidie niweze kumtunza roho mtakatifu ndani yangu.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@WilleyshАй бұрын
Nisaidiye ku hepuka nzambi eh mungu . Ili ni ishi Maisha na roho mutakatifu
@etonaabwe53182 ай бұрын
Holy spirit baptise me with fire and abide in me forever
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@FaithChepto-j6y2 ай бұрын
Emungu nisaidiye newe najuwa jisi yakukutuza
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@Mary-z5i1sАй бұрын
Roho mtakatifu ninakuitaji ndani ya moyo wangu umiminike niwe na hamu ya kuomba bila kukoma
@MaloveLove-t9y2 ай бұрын
Roho mtakatifu uniongoze kwa kila jambo
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@JaneAssey-x2f2 ай бұрын
Roho mtakatifu usiondoke ndani yangu sasa.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@lordvickmsechu6516Ай бұрын
YEHOVA YAWE KUPITIA YESU KRISTO MOKOZI WETU NEEMA YAKO INIPE UTULIVU NIOMBAMBO ILI ROHO MTAKATIFU AJAE NDANI YANGU NAKUNISAIDIA KUOMBA IPASAVYO UDHAIFU USINIZUIE IN JESUS MIGHT NAME JESUS MIGHT NAME
@NellyKombe2 ай бұрын
Mtumishi naomba unifafanulie kitu kidogo kusali na kuomba ni tofauti
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Kusali ni tendo pana linalojumuisha kumtukuza na kumshukuru Mungu, wakati kuomba ni kitendo maalum cha kuomba msaada au baraka kutoka kwa Mungu. Kusali kunaweza kujumuisha kuomba, lakini sio lazima kila sala iwe ombi.
@rachelrodgers5080Ай бұрын
roho mtakatifu kaa ndani yangu nipe nipe nguvu ya kusoma neno na kufanya maombi kila siku ili uweze kuishi ndani yangu milele
@floradavid5216Ай бұрын
Mtumishi mnapatikana wapi?
@Mary-z5i1sАй бұрын
Kama mimi hapa huwa napenda kusoma daniel 2:22 huwa napenda kurudia rudia hilo some
@ErickKhasakhala-x4r2 ай бұрын
Jina ya bibilia unayo tumia ili nikanunue
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Swahili Union Version (SUV) na Biblia ya Habari Njema (BHN). Hizi mbili ndio huwa natumia hata RSUV na NENO pia ni nzuri