Kwa kweli nimejifunza mengi hapo,japo siko tz but hii lesson hainipiti kwa KZbin...shukran kwa waandaji wa seminar iko siku nitakuwepo mola akipendaaa.big up kwa busara ua star to shine
@Lordmartin2 жыл бұрын
Emilian Busara huwa habahatishi, hapotezi muda na haboi. Hutoki bure ukimsikiliza. Big ups
@mwamini___2 жыл бұрын
🙏😍 I bless the day I met you Edmund Munyagi
@rachelmachange261Күн бұрын
Fandamental
@SalumHassan-j9z19 күн бұрын
Fresh nimeipenda hiyo I'll mwanzo kianzio
@EnjoyLocation2 жыл бұрын
Asante sana nimepanua ufaham wangu juu ya financial knowledge ndan ya hii video asanteni sana mulio andaa hii
@slickpointer2 жыл бұрын
Let Talk Finance Everyday🔥🔥
@user-kr9xi9lo3z5 ай бұрын
Nakubali sana
@Maisha-Halisi2 жыл бұрын
Thank you so much Edmund for sharing. This is very useful
@knowledgetv55942 жыл бұрын
Huyu Mwalimu ukimsikiliza kwa makini sana ungundua kuwa hayo anayoyafundisha ndio anayoyaishi.
@josephally1645 Жыл бұрын
sure
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
Yakuambiwa changanya na yako
@jichofoundationtv68937 ай бұрын
Mwalimu busara umenifungua sana Ubarikiwe sana
@fatmaabubakar5946 Жыл бұрын
Emilian Busara nimechelewa kukujua,we ni mwamba
@makwayaalbert60942 жыл бұрын
masikio yangu yamefunguka......thank you edmund munyagi
@ereneusmujuni6380 Жыл бұрын
Emiliana busara huwa anatoa darasa la hisa ? Na kwa gharama gani ? Napenda kujifunza kutoka kwake
@ezranyamlundwa20347 ай бұрын
Naomba unisaidie namba yako mzee emilian
@hamzaswaibu94702 жыл бұрын
Ila Mwalimu /Muhasibu uko vizuri sanaaaa
@enocklyatuu68152 жыл бұрын
Safi sana
@kelvinyasiwa21085 ай бұрын
Naomba number yake...
@hamzaswaibu94702 жыл бұрын
Huyu mchukuwaji wa video kwanini atuonyeshi ubao ila kidogo Sanaa boresha
@ezranyamlundwa20347 ай бұрын
Asante
@beatuskessy60002 жыл бұрын
💪🙏
@juliusmantago6148 Жыл бұрын
Ho can I get contacts
@user-iu9ie4dp5w2 ай бұрын
Ireal love this channel
@onesmoalphonce3676 Жыл бұрын
Kitabu chake nakipateje?
@protasmtechula9705 Жыл бұрын
Hiyo screen iwe inaoneshwa
@priscawilson4419 Жыл бұрын
Naomba no yako pls
@godfreykitoki9639 Жыл бұрын
Naomba mawasiliano ya huyu Mzee namtafuta bila mafanikio
@giftmego75804 ай бұрын
Sina chakusema,acha nikafanyie kazi kila kitu inshaallah..