Jionee mbwembwe za askari akipuliza tarumbeta, awaacha hoi wabunge

  Рет қаралды 112,177

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@KibiMachota
@KibiMachota 10 ай бұрын
Hongera mungu akuxaidie zaidi🎉❤🎉❤
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 жыл бұрын
Jamaa anafurahia Sana kazi yake kwa kweli anafurahisha sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Hongera sana afande umefanya vizuri sana na tarumbeta yako askari uliyokamilika na unaipenda kazi yako
@wazirbashir7626
@wazirbashir7626 4 жыл бұрын
Ukiipenda kazi yako raha sana hufanyi kwa stress
@theopistamwayeya1764
@theopistamwayeya1764 3 жыл бұрын
Umeona ee
@denisjajajr3792
@denisjajajr3792 7 ай бұрын
Wow! It's amazing ❤
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 3 жыл бұрын
asante sana mzee wakazi mufuliza tarumbete kanifuraisha sana
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwaajili ya nchi yangu Taifa langu Tanzania Kwa Amani tuliyo nayo tunajivunia Uwepo wako MUNGU Asante tunamshukuru Mungu tulinde pia na Corona ewe Mola wetu
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Raha ya uwepo wa amaan ktk nchi/Taifa. Pasipo na amaan hayo hayapo/hayapatikani na wala hayatotamaniwa kwa kukosa muda na utulivu. WaTz tuilinde amaan yetu ni tunu kutoka kwa Mungu Mola Muumba.
@ChipkizirashidiAwadhi
@ChipkizirashidiAwadhi Жыл бұрын
🙉🙉🙉🙉🕵‍♀️👮👮👮👮👮kuipenda kaziyako ni raha very nice
@manasadunia3458
@manasadunia3458 3 жыл бұрын
Upo vizuri hongera sana
@samueltomboza3767
@samueltomboza3767 2 жыл бұрын
Baby mungu akubariki sana maana umenifurahisha
@mimimoop2617
@mimimoop2617 3 жыл бұрын
Nimeipenda hii iko poa
@richardshayo6838
@richardshayo6838 3 жыл бұрын
Jamani huyu jamaa Mungu akujaze
@zabronmwogha9935
@zabronmwogha9935 3 жыл бұрын
Safi sana Afande Fuso..nasikia ghunda linaita
@josephmwinuka3982
@josephmwinuka3982 3 жыл бұрын
Jamaa nimempenda sana tumia kipaji usikifiche
@GeofreyMhagama
@GeofreyMhagama 3 жыл бұрын
Aya maisha hayaitaji stress
@dianajohn8520
@dianajohn8520 3 жыл бұрын
Raha sana
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 4 жыл бұрын
Hongera sana fuso
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Watu wakiwa kwenye system...ad raha
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Uyo nomaa
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 3 жыл бұрын
Nimependa Sana 😄
@wilfredmmbando689
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
Ok
@faridairema8790
@faridairema8790 3 жыл бұрын
Yes
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 3 жыл бұрын
Good talent
@mbaeprimary1963
@mbaeprimary1963 3 жыл бұрын
Safi sana jamaa kaona fursa wacha aitumie hahaahahaha
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 3 жыл бұрын
Kweli mcheza kwao utuzwa 🤓🤓🤓
@butamosherembi7385
@butamosherembi7385 3 жыл бұрын
S poa
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 жыл бұрын
Kosa lake tu no kupiga saluti bila kuwa na kofia
@alfredpeter971
@alfredpeter971 2 жыл бұрын
unaa Mwingi hatarii
@Ambagaye
@Ambagaye Жыл бұрын
sidhani kama hilo ni tarumbeta (trumpet) ingawa sijui jina lwke kwa kiswahili. Hilo ni trombone
@RajabuAluna-rc6ch
@RajabuAluna-rc6ch Жыл бұрын
Atali
@michaeljoseph7954
@michaeljoseph7954 3 жыл бұрын
Aaaa uncle FUSO hongera baba nilikua sijakuona mwanao
@peterlyanda5115
@peterlyanda5115 3 жыл бұрын
Zum driving schoool
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 3 жыл бұрын
👏👏👏Fuso
@benardkyasi5847
@benardkyasi5847 3 жыл бұрын
Congratulations
@johnhakika1203
@johnhakika1203 3 жыл бұрын
Haki hii ni hatali ah! 🇹🇿🥰😘😘🥰🙏
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 3 жыл бұрын
Mashaallah
@williumjoel1410
@williumjoel1410 2 жыл бұрын
Namuona bi tozo kwa mbaali
@marymanoni5536
@marymanoni5536 3 жыл бұрын
Askari huyu htr c kwaujuzi huo
@sumayyahally866
@sumayyahally866 2 жыл бұрын
Hahahahahaha is toumach
@zuwenajuma2927
@zuwenajuma2927 3 жыл бұрын
Kipaj baba unacho ,pumzi ya kutosha crahis kupuliza kama huna mazoez ya kutosha
@noelmmary8911
@noelmmary8911 4 жыл бұрын
Wanakula Bata tu 😁
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
N1 Direktno: „Naše pravo da znamo sve“
1:30:11
N1
Рет қаралды 68 М.
Héritier Wata - Mon alliance (Clip Officiel)
6:45
Héritier Wata
Рет қаралды 44 М.
Ferre Gola Ft Rayvanny  - Mobondo (Official Video)
4:07
Ferre Gola TV Officiel
Рет қаралды 1,5 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН