jionee tofauti ya treni za sgr za kenya vs za tanzania utashangaa uchambuzi kwa kina

  Рет қаралды 33,888

Jenafa TV

Jenafa TV

4 ай бұрын

kenyan sgr trains vs tanzania sgr train

Пікірлер: 53
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 4 ай бұрын
Those tz train sets are so dope for real no doubts
@susanhyaola2370
@susanhyaola2370 12 күн бұрын
Congratulations tz
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 Ай бұрын
🇹🇿Tanzania also is constructing SAMIA maglev 320km/h sgr from Mtwara to lake nyasa via songea in Ruvuma Region.God bless Tanzania for a good job to its people.🇹🇿
@nyambegamatoro6817
@nyambegamatoro6817 9 күн бұрын
Tanzania acheni uzembe, angalao mgekuwa mfekia Makutopora Singida na sio Dodoma tu. Toeni fedha nakaza buti, kazi masaa ishiri na manne. Nadhani mpo katika kulinda mabasi na malori ya usafirishaji ya wakubwa.
@manefuture8212
@manefuture8212 15 күн бұрын
wakenya wajaribu 🚂 ya stima⚡
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 4 ай бұрын
Kenya wamefrisika wakashindwa kuimaliza reli!
@OmarBNAKHICLASSIC-xy6nb
@OmarBNAKHICLASSIC-xy6nb Ай бұрын
Kenya n role model ya tz ndo maana kila siku wanajifananisha na kenya.yaan paka kenya ifanye kitu ndio tz iige nayo ifanye.tunajivunia kua role model ya east africa countries.
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 28 күн бұрын
Imefanya nn Kenya ambacho sisi tuige an sisi tuige hiyo mafuta ya taa
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w 4 ай бұрын
Mbona ya kenya inatoa moshi mweusi sio inamanisha haitumii umeme
@abasssy9909
@abasssy9909 Ай бұрын
Nous devons lutter pour que notre continent puis avoir du chemin de fer partout.
@ezekielmlay8219
@ezekielmlay8219 Ай бұрын
Ni mawazo ya mtuma post, achana naye tuangalie mambo yetu. Ya kenya haituhusu bana
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Ай бұрын
Wana Tz Tusonge mbele tuachane na Kenya, Debe haliachi kutika.
@abdalahally3113
@abdalahally3113 4 ай бұрын
Kizuri kisemwe hio ya Kenya mm nimeipanda ni bure kabisa
@Kabwela776
@Kabwela776 4 ай бұрын
Kwa nini mnapenda mambo yenu kujilinganisha na Kenya
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 2 ай бұрын
Kwa sababu sisi tunavijua vitu vizuri kuliko nyie😂😂😂
@geoffreymutisya9747
@geoffreymutisya9747 Ай бұрын
kenya iko mbele💓 tanzania itachukua miaka 100000 kuwa kama Kenya
@mediacare6744
@mediacare6744 29 күн бұрын
Of what significance is Dodoma?
@aminata3702
@aminata3702 Ай бұрын
Wewe ni mkenya uliyejifunza kiswahili acha kutuektia hapa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 4 ай бұрын
Bigup to tz government for not rushing to there deal while kenya they rush for the deal and politicians took advantage to steal the project money
@KelvyKessy-sy4dd
@KelvyKessy-sy4dd Ай бұрын
Yani una compare gari Moshi na electrical train iv uko na akili Ata kidogo tu
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 4 ай бұрын
Wakenya hawatuwezi kwasasa wajiangalie😂
@Wastara001
@Wastara001 4 ай бұрын
Very true. Am a Kenyan but Tanzanians are far much ahead of us as far as SGR is concerned. Kudos Tz
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Ай бұрын
​@@Wastara001Thank you very much,lTanzania is growing faster!
@danogeto78
@danogeto78 Ай бұрын
Wewe ni Simp​@@Wastara001
@geoffreymutisya9747
@geoffreymutisya9747 Ай бұрын
matako ya mamako
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Ndo magufuli alisema itabeba mbogamboga sio kwa wahudumu hao
@daviddeus41
@daviddeus41 4 ай бұрын
We acha kuifananisha SGR ya Tz inayotumia umeme na iyo ya Kenya inayotumia Mafuta ya Taa
@user-bu5jv2st4b
@user-bu5jv2st4b 3 ай бұрын
Kenya uses diesel (120km/hr), Tanzania (160km/hr)???????what is the esense of electrifying it
@JenafaTV
@JenafaTV 3 ай бұрын
For a jurney of 1400 km Dar es salaam to mwanza this could mean a difference of more than 8 ours between 120kmh and 160kmh,
@ActionLabInFocus
@ActionLabInFocus 2 ай бұрын
KE is about the economy (Moving goods from Mombasa Port to EA Countries). I understand TZ is more about moving the people(Passengers). A clear reason for you to understand why the track wasn't electrified is the Double Cargo Cars the Loc pulls
@JenafaTV
@JenafaTV 2 ай бұрын
@@ActionLabInFocus tz has mgr track for good & cargo purposes it is parallel with new built sgr
@JenafaTV
@JenafaTV 2 ай бұрын
@@ActionLabInFocus tz has mgr track for good & cargo purposes it is parallel with new built sgr
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 9 күн бұрын
treni za kenya kama zile za hitler
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 2 ай бұрын
wewe ni mkenya
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 ай бұрын
WEWE MTAGAZAJI UNATIA AIBU UNAJUWA MANA YA S G R NIMFUMO WA KUEDESHWA KWAKUTUMIA UMEME KENYA TRENI YAO WANATUMIA MASHINE DEISEL SIO UMEME JAMANI MWENDAGE SHULE
@JenafaTV
@JenafaTV 3 ай бұрын
Reli yenye mfumo wa sgr sio reli ya umeme bali ni upana wa reli tu, inaitwa standard gauge railway upana wa kisasa wa 120 cm au zaidi ni tofaut na mgr yani meter gauge railway upana wa mita 1. Hivyo usichanganye madesa, sgr sio lazima iwe ya umeme, kenya wana reli ya sgr ya upana wa zaidi ya metre 1 ila sio ya umeme. pole kwa kukosa elimu juu ya hili, tunaimani sasa umejua, karibu sana
@MoMshuty
@MoMshuty Ай бұрын
Kenya ni Bure kabisa😅😅😅
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 Ай бұрын
Tanzania should be very careful with electricity blackouts ( very sensitive)
@user-kr5dp2ip9g
@user-kr5dp2ip9g 4 ай бұрын
Nyie Jenafa(Fadhili Mtevangu) Kama vitu vingine huvijui ni bora kukaa kimya tu..nani alikwambia treni ya umeme haiwezi kubeba (double stuck container)?? na je umefanya research ya kutosha kuhusu reli ya Tanzania kuhusu kubeba kontena mbili mbili?
@JenafaTV
@JenafaTV 4 ай бұрын
Elewa urefu wa treni kimo na urefu inducer ya waya za umeme
@user-kr5dp2ip9g
@user-kr5dp2ip9g 4 ай бұрын
@@JenafaTV nikuulize kitu..kwa nn mabehewa ya gorofa ya abiria tuliyonunua ujerumani kwa nini yanaweza kupita katika reli yetu alafu daouble stuck container yashindwe kama kigezo ni urefu??!
@JenafaTV
@JenafaTV 4 ай бұрын
Tofautisha double staking ya makontena hasa kwenye mizigo na mabehewa ya abiria ya ghorofa au rejea trc website utaelewa
@user-kr5dp2ip9g
@user-kr5dp2ip9g 4 ай бұрын
@@JenafaTV inducer ya waya za umeme kama mabehewa ya gorofa yameweza kupita au kufit ktk reli ina maana hata double stuck container itaweza labda uniambie uwezo wa reli yetu kubeba uzito mkubwa uwe ni mdogo..nakwambia hv kwa sababu ujerumani wanatumia double stuck container na kimo na kama chetu na inducer pia na hata hayo mabehewa ya gorofa yametoka ujerumani pia! pia unatakiwa ufahamu mabehewa au chases/kichanja au kitako cha mabehewa yanayochukua makontena mawili mawili kitako chake hakiko juu..kitako kipo chini kidogo na nafasi hubaki ya kutosha juu..
@willywaire50
@willywaire50 Ай бұрын
Sisi kenya temeitumia mpaka tumeizoea,Tanzania hapo ndio mwanzo
@JenafaTV
@JenafaTV Ай бұрын
Kenya bado haijawahi kutumia treni za umeme wala emu ..ni Tanzania pekee kwa africa mashariki na kati ndie anatumia treni za umeme na za kisasa emu
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Alafu haliendi mbali ni km daladala tu
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 4 ай бұрын
Acha upuuuzi wewe
@stepentush6016
@stepentush6016 Ай бұрын
Tz muko na miaka 50 kufika mahala tupo😅 ukweli usemwe
@joejoshua7791
@joejoshua7791 Ай бұрын
Wewe makanga umeshakula?
@kentwalibora4994
@kentwalibora4994 23 күн бұрын
@@joejoshua7791 umelisha siku ngapi?
MIUNDOMBINU RAFIKI JIJINI DAR ES SALAAM
10:14
Wizara ya Ujenzi
Рет қаралды 8 М.
WHY IS A CAR MORE EXPENSIVE THAN A GIRL?
00:37
Levsob
Рет қаралды 19 МЛН
Backstage 🤫 tutorial #elsarca #tiktok
00:13
Elsa Arca
Рет қаралды 23 МЛН
NAIROBI TO MOMBASA on the SGR 🚂 KENYA's WILD TRAIN RIDE!
17:55
Shishira & Navneeth
Рет қаралды 9 М.
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 13 М.
A Day in Life of Operators of US Most Feared Drone
15:57
The Daily Aviation
Рет қаралды 3,4 МЛН