Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akieleza namna mchakato wa kugombea Urais ulivyoanza 1995 mpaka aliposhinda 2005
Пікірлер: 228
@abuumohamed709011 ай бұрын
Ur the best president than ever in tz.Very diplomatic person
@hamisimuhunzi79162 жыл бұрын
jk hakuwa na interest na Urais!! that is new revolution ..This man has been running for president all his life..
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Tell him. Mpe
@charleschanai6012 жыл бұрын
One among the best story teller ni mzee JK🙌..HACHOSHI KUMSIKILIZA
@juniornamao5272 жыл бұрын
Kbsaaaaa
@jdanny4972 жыл бұрын
Mnafiki huyu
@jdanny4972 жыл бұрын
Watanzania mnapenda unafiki,the worst president ambae ameshawahi kutokea Tanzania
@jumakapilima72952 жыл бұрын
@@jdanny497 sasa tukuone wewe Rais Bora , ukawe Rais,,,
@gebborecords2 жыл бұрын
@@jumakapilima7295 Uraisi ni kazi nyepesi saana ( Ukijua Haki na Ukasimamia Haki ) na ( Ukijua Kuna Mungu Mbinguni aliyekupa nafasi ya Kuongoza ) _ mambo Hayo ni mepesi saana kuyafanya kwa Rais ....fuatilia uone utekelezaji wake UTASHANGAA
@machaggechacha34222 жыл бұрын
Mafisadi watupu.! Laaa! Tz kuna shida.
@SudiMgonza Жыл бұрын
Unafiki
@BalemesaValelian Жыл бұрын
WW mzee uko makini sana yaan your smart kuliko unachokiongea I believe in God uwezo ulojenga ktk watanzania one day Yes mungu ataurudisha ktk familia na rafiki
@HenriHSP2 жыл бұрын
Only Magufuli forever
@alishamlan7434 Жыл бұрын
One in amillion one of the presidents i admired in ma lyf time.TZ are blessed to have honest and open leaders
@ramadhanimtambo67552 жыл бұрын
Tunakukumbuka sana rais kaka yetu ilikua rais bora sana Kwa makundi yote wafanyakazi .wafanyabiashara wakulima .wafanyakazi tunakukumbuka sana Kwa kuboresha maisha yetu Kila mwaka.mungu atakulinda na masaibu na atakupa umri mrefu zaidi
@ndukulusudikucho_2 жыл бұрын
Jembe kama Jembe, JK, wengi tumemfaham Magu kupitia awamu ya JK kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya Barabara, naona Wakimbizi Wana chuki na JK
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Danganyifu.
@ameedamilja79922 жыл бұрын
Ila Rushwa na Ufisadi ulizidi sana kipindi chako mpaka tanzania ikokasa Dira ya heshima na watu wanyonge wasiokuwa na rushwa waaliipata fresh. Pia ngetuambiwa mlikosana nini na Lowasa wakati mkulikuwa marafiki.
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Kwani Utawala wa Magufuli hapakuwa Rushwa na Ufisadi
@AbelMwakimbwala Жыл бұрын
King of mind games🙌🙌
@sambayo24402 жыл бұрын
Ila uzuri aliwakumbuka washkaji zake wote samweli sita akalamba uspika alf lowasa akalamba uwaziri mkuu
@ernestsamson27612 жыл бұрын
Sitta mpaka anakufa alilala bila kumpenda jk ...awamu ya jk sitta alipaswa kuwa Waziri Mkuu ...walichokifanya nikumuandaa msekwa achukue fomu ya uspika ...ccm wakamwambia angalia mkapa anataka kudhibiti bunge na hakuna anaemuweza katka uspika Zaid Yako samwel ..imebakia mda mchache msekwa akajiuzulu sitta akapita bila kupingwa na hapo hapo akaikosa nafasi ya pm Kwa ujanja na ndio maana ili kulipiza aliamua kuweka bunge live kabsa na kuwapa wapinzan info za Siri
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Kwa Lowasa alimkosea kutokumsimamia alipotaka uraisi baada ya yeye kumsaidia
@Munyama675 Жыл бұрын
@@marthamungure1777Alimpa cheo UWAZIRI MKUU. Hayo ya Urais ni mengine na sio Husani.
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Wakapeana.
@abdallahwazir74662 жыл бұрын
M/mungu akuweke sana mzee wetu ww ni hazina yetu Tanzania 🤲🏾
@karaoglan94442 жыл бұрын
Mtu pekee aliyekubali uwazi na ukweli kwa VITENDO!! Hakuna ubishi kwamba ukweli wake na uwazi haukuwa na mfano!!
@shamsakiobia64212 жыл бұрын
Nimekumiss sana my dear Rais wangu mstaafu.
@johnriwa28542 жыл бұрын
Bless you sir you did a good job
@JumaMapanga-h1x Жыл бұрын
Wewe ndio baba usio nauonevu namtu
@simionbirai78512 жыл бұрын
Unastahili sana Mzee Kikwete! Una hekima na busara sana!!! Hauna makuu!!!!
@issabilali35392 жыл бұрын
Kikwete Acha uongo wewe uliufukuzia urais siku nyingi sana na kwanza Huna uwezo wa kuongoza nchi zaidi ya kufuja pesa za walipa kodi.
@ThobiasMarandu Жыл бұрын
Kikwete Anatakiwa Amwone Lowassa amwombe Msamaha walivyomtukana 2015 na Kumdhalilisha tena juu ya Ugonjwa ki2 ambacho Ni Uovu, Hakujitakia Kuumwa. Mr. President What Yall did to Lowassa Was evil, regardless of whether he wronged you at one point or not, the insult should not get to a point Yall called him, "MFU MTARAJIWA"
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Mlimwonea Lowassa
@rockcitynative99852 жыл бұрын
Hizi habari za kuwa ilishinda kura za CCM mwaka 95 uwe rais Mwalimu akakataa nilikuwa nikizani si za kweli. Kumbe njama za kusema mshindi lazima awe na zaidi ya 50% zilitengenezwa baada ya kuwa umemgalagaza Mkapa na bado ukatulia tu Urais wakapeana wenye!? Big up sana JK.
@geeva992 жыл бұрын
Kwanini msiweke hii full kabisa kama millard ayo watu tunataka kudive deep
@massive17652 жыл бұрын
Hiyo list anayoitaja ndio ilifilisi nchi, na ndio imerudi awamu hii
@smarty10642 жыл бұрын
ohooo!
@damianlyimo57822 жыл бұрын
Tafuta Hela ww akina rostam ni matajiri kabla hata mwinyi hajawa rais
@yunusimchala65692 жыл бұрын
Grace misa kwani watoto wao hawana sifa? Somesha watoto wako mjinga ww mbona Kuna watoto wengi WA viongozi Duniani na wao ni viongozi? Kenya, marekani, Korea, zanzibar nk
@malopemaliyamungu52432 жыл бұрын
Acha ujinga.. Heshimu angalau wakubwa. Kikwete, Kinana, Lowasa, Makamba, Nnauye na wengine wengi walikuwa JWTZ. .. Hawaishi kwa mihemko yenu.
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Waarabu wanajuana kwa vilemba. Huwezi kujisafisha kijanjakijanja. Listi hii ni yenu wote. Wakati mwingine roho zinatusuta tunadukumwa kufichua mamno fulani bila kujielewa . Tumejianika wenyewe hapa.
@kiliankamota79222 жыл бұрын
Jakaya Kikwete is larger than life celebrity leader A true son of African who rose from humble beginnings Tunaomba aandike vitabu vijana tujifunze kutoka kwake Nkosi sikeleli Kikwete!
@franciskavyega2802 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😅
@peterlucas72462 жыл бұрын
Hamna kitu hapo
@shinipapaya8462 жыл бұрын
@@peterlucas7246 umenifanya 🤣🤣🤣 na pia alienda Jamaica 🇯🇲 kube......a
@zachariakejo25632 жыл бұрын
We mzee mungu akupe maisha marefu kwali tena kwa niaba ya wale wa 2014, niseme tu much respect 🙏 👏 👍
@augustinosiasi73682 жыл бұрын
Mzee duh bila yeye tunge Kaa sana mtaani jk jembe ukitaka kula lazima na we uliwe mungu akujalie miaka mingi
@hamisipolenisanaissa88592 жыл бұрын
Hongera kwa
@zachariakejo25632 жыл бұрын
Ndo mana unazeeka taratibu manake mungu amekujalia busara, hekima na hata utu
@johnandrewmsigala7803 Жыл бұрын
Mmm!!! Unadanganya. Wewe uliutaka sana urais ndiyo maana Mwl Nyerere alikukataa alijua nchi italiwa ukakwama kulikuwa na Sakata sana kubwa la kukukataa kule Chimwaga wewe na Lowasa na Malecela. Awamu ya nne ukalazimisha kuwa rais kupitia wanawake.
@Munyama675 Жыл бұрын
Kuna Rais alileta maendeleo kumshinda JK?
@focuserick61622 жыл бұрын
Jangiri kuu
@5.1Mgeography11 ай бұрын
My favorite president
@faustinombilinyi98092 жыл бұрын
Mzee wetu Rudi Basi ugombee Tena toka utoke rais wangu nchi imekosa mwelekeo the best president ever...MUNGU AKUTUNZE UISHI MIAKA MINGI SN.
@kindysuleiman59352 жыл бұрын
Kikwete anajizonga mwenywe waziri haulizi kitu bila ya kujua waambie wasiojua system yenu
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Ni kweli. Roho inamsuta.
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Mwizi na fisadi la karne hii. Kafilisi Tz.
@AndrewKombe-ie9nf8 ай бұрын
Yes
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Huhitaji kujieleza sana. Unajulikana uliyoyafanya
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Anajikosha
@feisal65922 жыл бұрын
Baba aslm shikamoo hakisio nzurii sikuku inakuja lakini haliningumuu mnoo
@halifajuma5452 жыл бұрын
Huyu Ana haribu inchi kabisa inchi tajitri lakini watu masikini
@ziadakandanga2477 Жыл бұрын
Ameharibu kwani yy ametawala tangu nchi ipate uhuru,au unaongea kwa sifa
@SophiaRamadhani-e6b Жыл бұрын
❤Mungu akujalie maisha marefu❤❤❤❤
@DadialiDadi Жыл бұрын
Tenaa huyuu jamaaa wazenjii tunamuelewaa Kwa maaana ukingiaa maeneo ya ajiraa fastaa na wa baraa piaa wanamuelewaa so mrohooo wa nafas za kaz
@trig56232 жыл бұрын
Nyoka huwa ni nyoka. Tu hawezi kuwa samaki kwakupitishwa baharini....
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Anayefanya vizuri anasemewa na watu
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Ye anajitangaza. Na kujitembeza.
@LukahLuka Жыл бұрын
Unajua mungu anaona 😊
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Anauona uongo hapo.
@saiddelefa17492 жыл бұрын
Ndio maana mm nasema nikifa historia yangu isisomwe kabisa wakaushe haisaidiii kabisa
@rahmambugi19502 жыл бұрын
Yaaani sichoki kuku Sikiliza 🙏
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Kikwete mshauri mama atuondolee kikokotoo kwani sisi wastaafu wa polisi tunaumia mzee
@paulinekamau96332 жыл бұрын
One of Africa’s best presidents
@abdulhamis98252 жыл бұрын
Mwaka Ambao Ulitikisa Sana Ndani Ya Chama Moja Kati Ya Kitu Nakumbuka Ile Hotuba Yako Baada Ya Kutajwa Mshind Alaf Ukatoa Hotuba Nzto Ambayo Mpaka Baba Wa Taifa Akasimama Kupga Makofi
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Alisema wafuasi wake ni wa MKAPA! Hakuna tena team JK!
Mwambie mama alipe MADENI ya wanaoidai serikari ahadi zimekuwa nyingi
@mhandomhina5503 Жыл бұрын
Kuna awamu ambayo haikukopa? Je wajua awamu ya tano ndio awamu iliyokopa zaidi ya awamu ya tatu na ya nne na takwimu ziliwekwa wazi na wachumi Ni mara mbili ya kila awmu ya tatu na nne yaani (3 na 4 jumla ya deni 85% halafu ya 4 pekee 75% kwa miaka sita kasoro Kisha tuliaminishwa serikali haikopi. Big up Magufuli kwa uthubutu na usimamizi mzuri wa pesa za serikali kwny miradi na nidhamu ya ufatiliaji hakika hana wa kulinganishwa naye katika hili ila naye alikuwa muenezi mno.wa yeye hakopi.
@tahiraabdul1701 Жыл бұрын
Umecheza vizuri Sana Jakaya....safi sana
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Kajifichua na wenziwe.
@nunumrisho65482 ай бұрын
Ulifanya kweli kaka yangu wenye wivu wajinyonge
@RAFULUMBE Жыл бұрын
Comment za wanafki tupu wanosifia upumbavu,watanzania ni wanafki wa kwanza duniani
@johnandrewmsigala7803 Жыл бұрын
Mwongo huyoo du!!! mambo Gani unefanya zaidi ya kutumia fedha zote Rais Mkapa alizokusanya. JPM ndiyo kafanya mambo na nchi ikapaa. Nani kama MAGUFULI? RIP BABA MAGU
@Munyama675 Жыл бұрын
We jamaa ni CHIZI
@ramadhanikhalfan8482 жыл бұрын
Rais Bora kuwahi Kutokea katika Nchi yetu.
@zainabmapezi57302 жыл бұрын
Mirada yote aliyomalizia Magufuli aliianzisha huyu.
@sambayo24402 жыл бұрын
Kabisa
@mvukiedavid43322 жыл бұрын
People dont want to hear this
@eddysimba68292 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@aronatv472 жыл бұрын
@@mvukiedavid4332 Kabisaaaa
@ramadhanjuma35842 жыл бұрын
Umeanza watanzania hawana imani na wewe hata labuda wanao kula kupitia mgongo wako
@fredrickallan54372 жыл бұрын
Baba yetu mzee kikwete mungu akutunze uishi miaka mingi sana na familia yako.
@zainabmapezi57302 жыл бұрын
Ana roho nzuri ndio maana mpaka leo anaishi kwa Amani Hana maadui wengi. Wengine wakistaafu tu pressure zinaanza kutokana na uadui walioujenga wao wenyewe. Maisha yanakuwa mafupi.
@NyakiMollel11 ай бұрын
Tulikosea Sana Hii Nchi
@jonathanakhabuhaya16932 жыл бұрын
Vizuri, Mh Kikwete.Sasa tusaidie kupata Katiba mpya na kuleta usawa na amani nchini.
@sampaconnector28452 жыл бұрын
“Edward is sick” that one was so emotional.
@tibubandar413 Жыл бұрын
Kikwete bhana eti nimesepa😂😂😂
@haridsaid6286 Жыл бұрын
Sema huyu MZEE inaonekana kinana ni mwanae saaana
@valenakomba7686 Жыл бұрын
HADISI ZA ABUNUWASI.😂😂😂
@TM-zs3rm11 ай бұрын
Sungura huyu
@Loddy-b3h11 ай бұрын
Huyu mzee Ana mind games sana eti hakuta kuwa raisi uwaziri Ulimtosha Wewe mzee kikwete acha bwana ebu niache 😂😂😂😂😂 😂 Nani hataki kuwa raisi
@noelnoel49162 жыл бұрын
JK nampenda Ana wisdom kubwa sana
@marthamungure1777 Жыл бұрын
Mjanja
@LukahLuka Жыл бұрын
Tunataka latina mpya acha maneno meng
@jumakaoneka54562 жыл бұрын
Hongera mkuu wa nchi wa 2005 @ 2015
@jebace2 жыл бұрын
nguruwe
@mikaelikamili31082 жыл бұрын
wapi uongo uo raisi alikua jpm we janjajanja
@MathewNathan-yb2bz11 ай бұрын
Jpm alikuwa rais gani
@panafrican.nation2 жыл бұрын
Ni ruhusuni niseme ukweli uliyo moyoni mwangu. Mimi kama MKenya rais ambaye alinipendeza sana Tanzania ni Kikwete
@shabaniselemani91592 жыл бұрын
Fanya sana ibada muheshimiwa umli umeenda achana na mambo ya mitandao mbele yetu kuna ummaut
@apple97112 жыл бұрын
Aisee unaona MBALI
@ichronicpro30812 жыл бұрын
Kwani wewe umejuaje hafanyi ibada tuache kuhukumu watu hiyo ni kazi ya Allah ndiyo anawajua watu wake
@elizabethpetro12582 жыл бұрын
@@apple9711 mbali Sana haka kazee kanajiletaleta kwa mitandao kahana vibese Wala nini'
@hafsalucky1088 Жыл бұрын
Mzee jk anajua kucheza na akili za Wtz.
@gracemima52342 жыл бұрын
Muongo mkubwa. Huyu ndiye Rais Ali yea ha nchi ikatafunwa na kuwachwa mifupa mitupu. Ingekuwa nchi imagists sheria, huyu jsmaa angekuwa getezani na Mali zake kukamatwa. Kwa Tanzania ndiyo kwanza anapanfikiza familia take kwenye uongozi. Mungu tusaidie
@modestwenceslaus92 жыл бұрын
Mkimbizi wewe au mhamiaji haramu, rudi kwenu Burundi.
@hapaupdates92772 жыл бұрын
Mbuzi MKUBWA wewe acha chuki kimya wewe
@karaoglan94442 жыл бұрын
Rudi kwenu Burundi Grace.kenge kabisa!!
@thomaskatwila7461 Жыл бұрын
Nikweli kipindi chale ndicho kilikua na majambazi wengi mpaka vituo vya police kuvamiwa umeme shida machinga kupigwa maji hakuna rushwa mahospitalini police mahakama mikopo vyuoni shida wakina zombie kuuwa wafanya biashara na kuwapola pesa
@hamzasukwa4322 жыл бұрын
Ningeshangaa kama ungemsahau Rafiki yako Sukwa.
@isayamsoka55902 жыл бұрын
Channi hicho kitapeli aaah!
@juliuslabarani85752 жыл бұрын
Nimejifunza jambo ktk maisha
@reubenkissinga58022 жыл бұрын
Rostam kitambo sana amejichimbia haswaa ndani ya serikali!!
@sueimanally82642 жыл бұрын
Mpaka nimeogopa duuu
@smarty10642 жыл бұрын
yeah kazama kabisa ndani
@abdallahmbonabona88602 жыл бұрын
King maker
@malopemaliyamungu52432 жыл бұрын
Rotam hakutaka uwaziri.. alijikita kwenye chama na kuwakilisha wananchi tuu
@livinohaule8442 Жыл бұрын
"Kwahiyo nilipokuja kuwa Rais nilikuwa niko vizuri." Mwisho wa kunukuu 😅
@omaryngitu24432 жыл бұрын
Ulijenga shule za kata,uliajiri watumishi wengi,ulimalizia Barabara ya kusini,uliongeza vyuo vikuu,uliongeza mishahara ya watumishi kwa kiwango kikubwa na mengine nisiyoyajua,uchumi wa kati ulitakiwa uanze katika kipindi chako
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Leo 23% + kikokotoo = kizungumkuti
@shinipapaya8462 жыл бұрын
Hiyo mishule mmejengewa ili mjaziwe ujinga kwenye mibichwa yenu na mitaara ya MKOLONI ona sasa faida yake mwezio tajili wewe bado kajamba nani 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
@jumakapilima72952 жыл бұрын
@@shinipapaya846 punguza makasiriko
@foyaalfa88372 жыл бұрын
Watumishi fekije, mwehu ww
@karaoglan94442 жыл бұрын
@@shinipapaya846 mitaara,tajili inaonesha kabila lako na chuki yako dhidi ya JK..we hufai kubaki nchi hii mbuzi kabisa
@florencemeza65402 жыл бұрын
Makubwa wakati uligombea na mkapa Nyerer akakukataa kumbe alijua
@estermpagama96642 жыл бұрын
Mungu warehemu Mwalimu na JPM wape wepesi familia zao wawe waja wema kama wazee wao
@awamiabbas2222 жыл бұрын
Neno tutatengeneza au usjali kuna namna ya kufanya lilianzia hapo😀
Rais Bora Africa tuna kupenda tunakutakia maisha marefu na nataka tele baba.
@peterdavid42302 жыл бұрын
sema unampenda usitujumuishe na sisi kidampa wewe
@foyaalfa88372 жыл бұрын
Mwehu wewe
@AwadhiAlfani-bd5pj Жыл бұрын
baba shika mooooo
@eliassangisangi Жыл бұрын
Mbwa loko
@erickgadson16172 жыл бұрын
Duuu ume miss wa nawengi sana maana enzi zako tulijenga nyumba nakupata pesa kilahisi sasa hivi maji tuna yaita mma natamani nyakati zile zijirudie ila wakati umeenda
@abdibilali41862 жыл бұрын
Nyumba yangu iliishia kwenye linta Toka alivyo Toka madarakani sijajenga hata tofali moja
@georgemassebu20832 жыл бұрын
@Erick Unafiki tu umewajaa, nyakati zake mlisema ufisadi umeshamiri na yeye anasafiri tu kutwa kucha, lawama na magazeti kipindi kile vilipata umaarufu, leo eti mmemiss, yaani wabongo bwana
@foyaalfa88372 жыл бұрын
Mwizi mwenzio mwehu
@leonardliberath26642 жыл бұрын
Best president in Tanzania
@foyaalfa88372 жыл бұрын
Mbwa wewe
@mbwanarajab47562 жыл бұрын
Tangu Samwel Sitta aachie madaraka , nafasi ya spika hadi leo ipo wazi tu
@kianda973 Жыл бұрын
Mmhh
@ludanishirima5102 Жыл бұрын
Wewe ni baba kweli nakupenda sana
@masaimediagroup31462 жыл бұрын
Lowassa
@fabiopaul88972 жыл бұрын
Ishi miaka mingi mzee wa msoga
@lgffumbuka1832 жыл бұрын
One of our very best. Yatunzetunze Baba utayasemea kwenye memoirs zako?
@mohdmohd84282 жыл бұрын
Netwk/mtandao
@mkalisimbatv19152 жыл бұрын
My president ever....
@furika79312 жыл бұрын
Rais bora wa wakati wote, demokrasia ilikuwa juu, uhuru wa kutoa maoni, uhuru wa vyombo vya habari na wakati wako ndio tulikuwa na bunge bora zaidi maana lilikosoa serikali na kuchangia mambo mbalimbali ya kitaifa bila kuingiliwa.
@irenekisanga17612 жыл бұрын
Lakini uhuru watu waliutumia vibaya hasa wa vyombo vya Habari