Huwezi kutuandikia hapa utofauti wa simu nadhani ni shida pia. Nishahangaika sana.
@H.Kauma_Jr4 жыл бұрын
Ipo good nime unganisha tayali
@hassanally94686 жыл бұрын
Good nmependa sana mafunzo yako
@EdithaVenance Жыл бұрын
Ety eeh
@saidmagubika54664 жыл бұрын
Joash somo zuri nimeelewa lkn computer yang inazingua kusoma internet ya cm shida nn
@rens68412 жыл бұрын
mm pia nimefanya hivyo ila inagoma kinazunguka tu
@doricebilinzozi57415 жыл бұрын
Have najaribu kuunganisha napofika mwisho I made a hmm. We're having trouble finding that site
@JoasDioniz5 жыл бұрын
Hakikisha katika computer yako kwenye task bar sehemu ya kulia inayoonyesha network connection haina alama ya mshangao. Kama inayo inamaanisha tayari umeunganisha lakini hakuna internet. Asante
@adinanisaidi93705 жыл бұрын
Kaka mm natumia window phone nafanyaje
@yasintamdee2 жыл бұрын
Asante sana 🙏kzbin.info/www/bejne/d5fUhqt6lJaHldE
@hassanally94686 жыл бұрын
Tupa mafunzo zaid kk nakukubal
@hassanally94686 жыл бұрын
Yanohusiana na internet
@JoasDioniz6 жыл бұрын
Unaweza niambia vitu gani ungehitaji kujifunza katika internet