I'm Muslim but hii nyimbo hunipa nguvu 🔥kuwa kwenye ndoa 11 bila mtoto na hii nyimbo ilinipa moyo Hadi nami nikaitwa mama🙏🙏
@glorysungura31802 жыл бұрын
MUNGU akubariki Fatuma. Sio peke yako my, mi nilipata mtoto 1, ila alifariki. Mpaka leo sina. Ila najua ipo siku MUNGU atatenda. Hongera kwa ushujaa. Nakupenda
@kelvinmwenda1013 Жыл бұрын
Waaooh are you sure... Je kweli ulipata mtoto. Ulimpatajee??
@layi_Essentials Жыл бұрын
@@glorysungura3180May the Almighty Father, open up your womb for another blessing. Next year itashuhudia pia Glory. ❤
@joyesther5916 Жыл бұрын
May God bless the fruit of your womb❤
@joyesther5916 Жыл бұрын
Congratulations 🎉
@immaculatendinda71346 жыл бұрын
My hubby was in ICU for 7 days ,,in a coma.. We cried,, prayed to Almighty God to heal him,and he heard our prayers ,docs were amazed how he recovered,,,Brethren God is forever faithful.
@abigailnzeli10996 жыл бұрын
Glory be to the Almighty God
@florahmushi7486 жыл бұрын
Immaculate Ndinda Hi how's your hubby doing now??
@immaculatendinda71346 жыл бұрын
Florah Mushi @ thanks for your concern..he is healed completely,,, he went back to work...glory to the most high God..
@florahmushi7486 жыл бұрын
Ooohh Glory to Big dear Daddy
@festoneneje12325 жыл бұрын
Thanks lady, for the encouraging testimony!!
@stanleymajani887810 ай бұрын
Its 2 am and i feel blessed 🎉❤ 22 Feb 2024
@azizanzori49315 жыл бұрын
I'm a Muslim, BUT the song bless me...
@Kabkabmbujimayi5 жыл бұрын
God is not a religion. He's a spirit thats why it touches your soul ❤
@dianamuthike11585 жыл бұрын
Mungu is for us all. Whether you call him Allah or Jehovah or Yahweh... He loves everyone and He is the same unchangeable almighty God creator of the universe
@christophermgonja37555 жыл бұрын
Sitabaki kama nlivyo naamini in jeasus crust
@KiangiAri5 жыл бұрын
Huge difference between spirituality and religion !...This is a spiritual song !..
@mukirerichard52652 жыл бұрын
Ooooh thx my sister
@ceciliamuyu86410 күн бұрын
I used to sing this song when I was going through so much but it gave me so much hope and I thank God for this far iam…nothing is permanent my brothers and sisters.God has everything figured out for you.
@treshazchismo17647 ай бұрын
Ipo siku nitakuja irudia hii commt kwa ku like nitakapofamikia ni muslim Ila hii nyimbo inanipa nguvu wa kujiona mpy kila siku
@mohamedmbulu42936 жыл бұрын
Mimi mwislam lakin kwa huu wimbo aisee 😱hatari ,unagonga had kwa moyo 😘😘
@mamymayaliy38646 жыл бұрын
Umeona kaka
@mamymayaliy38646 жыл бұрын
Yani mungu anisamehe tu
@mohamedmbulu42936 жыл бұрын
Maymona Aliy 😂😂
@jamilajabu29026 жыл бұрын
yaani mimi nasali na soma madrasa ila kwa huu mwimbo mmmmh
@issaalisitid57946 жыл бұрын
Nyumbo nzuri
@augustynestynes94456 жыл бұрын
Kenyan gospel artist should learn from this guy pure inspiration gospel.. Willy Paul... Bahati seek guidance from Joel... Big up TZ Kwa sanaaa hatuwawezi proud to be a Kenyan though..gonga like if you agree with me... Likes ka zote
@dorinanddoricemsafiri61646 жыл бұрын
Amazing song, big up brother
@lucyonyango38896 жыл бұрын
Augustyne stynes very true
@joycemarc79876 жыл бұрын
Augustyne stynes cf
@irenemsnjauwellness.20006 жыл бұрын
Augustyne stynes you can say that again dear
@bentakimatia86836 жыл бұрын
And the guy looks humble. Waaaah. Great song
@khadijakhamis66005 жыл бұрын
Hata Mimi Ni mwislamu maisha ninayo yapitia InshaAllah ipo siku yataisha hii nyimbo hunipa nguvu nisubirie mda wangu ufike
@Pst.Patricia4 жыл бұрын
Nilikuwa naimba huu wimbo kila asubuhi mwaka jana January, nikikiri moyoni mwangu, nilikuwa "financial rock bottom" na Mungu akasikia maombi yangu.Asante kwa huu wimbo.
@Pietro76cr4 ай бұрын
Dios es fiel como en los tiempos del profeta eliseo Dios bendiga el esfuerzo de sus manos!
@luns14742 жыл бұрын
Kenyans are the true sons and daughters of Africa. They always appreciate Tanzanian and African music. Much love from Tz, as I can see most of the comments here are from Kenya. My appreciation to you guys.
@Kenya-fh9kp2 жыл бұрын
Much love
@marthapatrick27785 ай бұрын
Mungu wetu sote ,, anything involving God lazima tuwe ndani,,, sending love from Kenya
@carolynekimani98104 жыл бұрын
When I first heard this song i was going through a very painful heart break. That relationship was 4 years and I went through emotional abuse. I had become depressed had been at my lowest. I got courage to leave that toxic relationship and God blessed me with a God fearing and loving husband. Just wanna encourage someone going through a hard time. God is close to the broken hearted He will heal you and restore you. This was 2 years ago.
@margaretfaith80344 жыл бұрын
Going through the same rn....my goodness
@nadiaamisha29584 жыл бұрын
I can't even explain what am going through now😭😭😭😭😭😭this relationship will kill us some day
@sarahkawala4 жыл бұрын
@@nadiaamisha2958 you can ask God for strength you leave before you die.
@sophiakamathi61853 жыл бұрын
@@nadiaamisha2958 🤗😭
@jeemmachrimiss62513 жыл бұрын
Thank you. I need this
@abdulm.hassan23406 жыл бұрын
Hii nyimbo kiukweli ukiisikia lazima itakuingia me c mpenz wa gospel lkn kwa hii hapana inanifanya nitokwe machozi maana hata mimi pia nna safari i wish siku 1 nifike hii safari ya mafanikio. SITABAKI KM NILIVYO...!!! Mungu akupiganie kwa kweli.
@neemajovita39206 жыл бұрын
Kweli sitabaki kama nilivyooo
@mankaathuman17526 жыл бұрын
Hassan Abdul Kweli kabisa kaka
@slumgold32056 жыл бұрын
Hapana wew s upenz tu hata heshima ipo kuheshm ukristu s Jambo baya
@sumaiyamihrma78526 жыл бұрын
Hakika
@kytcyra6 жыл бұрын
Soon u will be singing a new song....ameskia machozi yako
@TimothaJoseph Жыл бұрын
Kama bado unaipenda hii nyimbo gongs like❤❤❤❤
@MichuraRose15 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@bethmyner7735 жыл бұрын
Huyu wimbo ni afueni kwangu,mambo nayo pitia kwa sasa wakati mwingine naona Mungu amekuwa kiziwi kwa kilio changu na kipofu kwa shida zangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Lakini najua siku yaja ya wokovu wake,na sitabaki kama nilivyo. Nirejeshe na ushuhuda baba ili uka pokee utukufu,Amen
@Pst.Patricia4 жыл бұрын
@Beth,Nina ushuhuda kubwa juu ya huu wimbo,kuna wakati nilikuwa na shida ya fedha hata ya kulisha watoto, nilikuwa nawekaa huu wimbo naimba kwa kumaanisha nikimlilia Mungu,wakati huo nilikuwa nimeshindwa hata kuomba, nikaamua kufanya huu wimbo ombi langu.Mungu alinijibu na Sasa niko hapa na ushuhuda.Usife moyo endelea kuomba.
@moreendanford74034 жыл бұрын
Amen mungu yu mwema
@hariethsamwel89483 жыл бұрын
Beth,usivunjike moyo,Mungu ni mwaminifu atakuvusha
@lucindabenjamin11532 жыл бұрын
In an
@marianyakanga-yw8fq Жыл бұрын
Mungu nisiadie Kwa haya ninayopitia
@hallymercandy88394 жыл бұрын
I am a Muslim buh this songg 😪🖤🖤😭😭.Bless Him n the song 2. Lemme get a like if I'm true
@michaelsande19444 жыл бұрын
Woow
@ruthchombo93252 жыл бұрын
Indeed this song is just wonderful
@salumfaraji60452 жыл бұрын
@@ruthchombo9325 p
@mumangopbanda7455Ай бұрын
Wow .I can't understand Swahili fully .but Joel lwaga blesses my soul with his music .much love from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@twilumbalihweuli3313 Жыл бұрын
I remember crying from Dodoma to Dar nkiwa nimeweka earphones listening to this song..machozi yangu yalikuwa maombi yangu and God did it ...sahivi nina furaha mnooooo
@pceodhc13 күн бұрын
Sitabaki hivi! Mungu anaenda kuniinua na kuniheshimisha 2025! Asante Yesu! 🙏🏾
@victorianjoki58224 жыл бұрын
The last time I listened to this song I was crying n so emotional but today I'm so happy singing it loud, amen sitabaki nulivyo
@renatusfransisco42013 жыл бұрын
Even me I was crying you can not believe
@deborahomondi63883 жыл бұрын
I am with you...💛
@johnwanjiku4203 жыл бұрын
God is able
@dennisdedan54313 жыл бұрын
I went through alot in 2021 and God stayed with me and my family our God is a powerful he knows and will answer our prayers when need him to answer them the most.
@nathanjulius53123 жыл бұрын
⁰p
@johnmanento44545 жыл бұрын
Mtetezi wangu yu hai sitabaki kama nilivyo yeah I believe in God kama unaamin haya gonga like,show love, IN GOD WE TRUST Emen
@dianaerasto84194 жыл бұрын
Nice song
@dianaerasto84194 жыл бұрын
For me I understood how god have power to recover u problem
@angeljastin62674 жыл бұрын
Naupenda sna huu wimbo maana unafariji sana Mungu akubari sana Joel
@abubakarihamissi41782 жыл бұрын
Mimi ni Muslim pure kabisa but hii nyimbo kabla sijaenda kazini lazima niisikilize
@tuzonyava83067 ай бұрын
Munguwetu ni mmoja
@rossitahwayua91712 жыл бұрын
I'm Kenyan and this song lifts me each time I'm low. Feel appreciated 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nassralmaawali91636 жыл бұрын
Huu wimbo kuna mahali nimeusikia nakajikuta ninao kichwani kila napokuwa sintabaki kama nilivyo Amina 🙏🙏😖
@noreenmnzava37046 жыл бұрын
Nikweli sitabaki kama nilivyo
@oswaldkessy65816 жыл бұрын
Amina
@RobbieWilliam-v2r23 күн бұрын
Mtetezi wangu yu hai naomba tuh kamilishe mwaka bila majeraha yeyote Na neno la leo kina toka katika kitabu cha Isaiah 54:7
@NeemaAloyce-d1d Жыл бұрын
Napitia changamoto katika ndowa yangu lakini nyimbo hii inanitia moyo sana,ubarikiwe mtumishi 1:19
@harounmohammed3732 Жыл бұрын
naitwa haroun na hili jisongi limekuwa insperation kwangu kweny kila magum no matter mm ni muisla
@christopherchacha79443 жыл бұрын
Wimbo huu ni tegemeo jipya kwa wale ambao wapo kwenye majaribu makubwa kama mimi
@cyrokuria67793 жыл бұрын
akulinde mungu mwema
@vivianadhiambo21355 жыл бұрын
I tripped last week and I almost lost my legs due to some spinal injuries but who is God? "Sitabaki kama nilivyo." lost my job. "sitabaki kama nilivyo." same month I lost my grandpa(my grandpa's fast cousin) "atutabaki kama tulivyo." Job underwent temptation and he never gave up on God. My time is coming and my blessing will be multiplied. "Sitabaki kama nilivyo."
@fredodhiambo62385 жыл бұрын
Amen🙏
@lizzmollel30355 жыл бұрын
Take heart.
@jacklineatieno63163 жыл бұрын
Hugs mum
@mominyi30932 жыл бұрын
It shall be well.
@60SecondsFlat Жыл бұрын
testimony followup?
@NdayisabaEstella5 ай бұрын
Baba Mungu akubariki sana na akuzidishie
@patriciakiarie4145Ай бұрын
Here 2024 November ❤ Hii wimbo nilikuwa nweka kwa status after rafiki yangu amelower self esteem yangu kwa sababu nilikuwa na shida ya uso it encouraged me❤
@josephjuma93893 ай бұрын
Sitabaki kama nilivyo huu mwaka wa 2024 kuendelea mbele,mungu yuko upanda wangu
@immaculatendinda71346 жыл бұрын
Nawakilisha waumini wote KENYA...hatutabaki kudharauliwa tena,...mwenye ako ndani yetu ana uwezo mkuu wakubadilisha kila hali na kutupa new testimonies... Kwa jina LA YESU...!!hallelujah!
@bumijamshana96916 жыл бұрын
Immaculate Ndinda mungu ni mwema kila wakati natambua hashindwi na jambo lolote. unapopitia magumu usilalamike zaidi shukuru kwa kila jaribu maana mtetezi wetu anaishi
@mercywanjohi62813 ай бұрын
Wow...Imani yangu Iko kwenye kipimo 💯...sitabaki kama nlivyo In Jesus name....ain't giving up no matter what Hali hii ni ya muda tu Kuna mahali naenda...
@KenMbuki4 жыл бұрын
Silalamiki, wala sikufuru Najua ni darasa napitishwa Imani yangu ipo kwenye kipimo Najua nitapita tu 🙏🙏🙏🙏 2020 gonga like hapa....Goosebumps za hii lyrics 🙌🕊️
@dalmasjohn43003 жыл бұрын
Amen, najua wakati wangu uko, siogopeshwi na mapito ninayo yapitia
@saidusein37312 жыл бұрын
😭😭😭🙏
@maureenmario44607 жыл бұрын
Am here to represent 🇰🇪 +254 this song is uplifting. It literally takes you to some spiritual level.
@anne_mwangi_6 жыл бұрын
maureen mario thank you. Ive no words as a kenyan
@zainabally92986 жыл бұрын
wakati wangu upo.!!! Namwamini aliyeniruhusu nipite.Ameen
@salmanakami83896 жыл бұрын
maureen mario its true and you feel close to God.🇰🇪
@wilondjapapy43906 жыл бұрын
maureen mario safi
@desmondgitonyi6 жыл бұрын
254 is well represented....huu wimbo wabariki
@comfortsyokau910612 күн бұрын
2024 was tough,God I have seen your hand and faithfulness engulf me..Thank you papa
@ChealseKindi4 ай бұрын
I don't mind of what am going through coz I know my God is alive and I won't be like the way I am.
@shishj3774 жыл бұрын
This guy is anointed as a prophetic worshipper any song he sings speaks to all people of all walks of faith. Muslim or Christian or Hindu. More grace to you Joel Lwaga. 🙏🙏
@gracemzugha75753 жыл бұрын
Very true
@carolnotperfectyet4given1302 жыл бұрын
Heard him for the first time a few minutes ago..God's timing is amazing. Thank You Lord! 🙏🏽👐🏽👐🏽
@Kingsdaughter7111 Жыл бұрын
Jesus is the way the truth and the life. 👏 Jesus is the only way to the true God.
@SurprisedConchShell-fr5zj3 ай бұрын
Kweli hapa nilipo ni kwa muda tu, sitabaki kama nilivyo ❤
@DaudiRichard-qe4to6 ай бұрын
Ushindi wangu uko karibu asante Mungu🙏🙏
@stephaniejeremiah95662 жыл бұрын
Niliimba sana nilipofiwa na mtoto wangu wa kwanza aisee inaumiza sana half bora niishie kuzika mtoto tu nikapata ugonjwa haueleweki nyieeeeee 🙏🙏🙏🙏namshukuru Mungu sijabaki kama nilivyo💪🤲
@RechoJoseph-j2u4 ай бұрын
kwa kweli huu wimbo una nipa faraja sana
@kachengemvungi85276 жыл бұрын
Hii nyimbo iwatie nguvu watoto wanaofanya mtihani Wa darasa la saba 2018 mwaka huu Mungu awatie nguvu tuwaombe amina
@tashtancykenyaanyango19176 жыл бұрын
Amen
@condradanyoni65566 жыл бұрын
naimani hili napitia kwa muda tu mungu atoniacha niabike katika majaribu yote aatoniacha kama nilivyo atanishindia daima.
@adamobed58506 жыл бұрын
Jamani mungu mkuu
@mariumhassan61975 жыл бұрын
Sitabaki kama nilivo
@reymamy68665 жыл бұрын
Kachenge Mvungi nikweli inawatianguvu kweli
@mizrateagema9952 ай бұрын
Sitabaki kama nilivo!!❤❤❤❤❤
@AntoniaMapunda-r7dАй бұрын
❤❤❤❤❤ sitabaki kama niliivyoooooo........Hali hii ni ya mudaaaa sitabaki kama nilivyo ubarikiwe Sana mtumishiii.......mtetezi wangu u hai❤❤❤❤❤❤
@deborahrkaguo65403 жыл бұрын
Nimempoteza mtoto wangu labour siku ya jumapili, ujauzito wake umenitesa sana lakini mwishowe alonipa ndio kamchukua😭😭😭😭 am so sad ila najua sitabaki kama nilivyo
@CarlosSantana-qo2kk3 жыл бұрын
Pole sana Deborah, nakuombea upate kuponywa maumivu na upate faraja tena.
@husseinremmyjohn23504 жыл бұрын
Mimi ni muislam Ila sote ni wa mungu mashaallah nyimbo nzuri sana inatia nguvu 🙏
@DorcasVyizigiro2 ай бұрын
Amen amen kaka yangu mungu akuyinuwe ipasavyo
@catherinemsofe80207 жыл бұрын
wimbo unaleta faraja sana kwa moyo uliokata tamaa, ni moja ya nyimbo zilizoujaza moyo wangu vilivyo. nimenyanyuka na kufanya mengi kupitia hopes za huu wimbo. uzidi kubarikiwa sana
@liliandavid2847 жыл бұрын
Catherine Msofe kabisaaa
@stevennsekela43826 жыл бұрын
I CONCUR WITH YOU
@annamazengo76666 жыл бұрын
sibaki kama nilivyo sitamani ya wengine wala sijilinganishi
@jamesmlugu47606 жыл бұрын
Catherine Msofe nyimbo.imegusa.moyo.wangu
@vumiliagunda4165 жыл бұрын
Sitabaki Kama nilivyoo umenifaliji balaaaa
@malaikauwase94217 ай бұрын
01/06/2024 I am still here , I was here February 2018 situation was really hard and I get answers from GOD . MY GOD am here again 🙏
@damarismuchangi3237 ай бұрын
He Answers!!! Keep calling Him
@christopherbeda53046 ай бұрын
Oh God,I pray that do what you sent me to do as your servant.I have accepted but scared if I do not do your will.
@elisasmiles263 жыл бұрын
I was diagonised with anxiety disorder,stress and insomnia a while back my situation right now is confusing though i'm on medication planning to take myself to mental health hospital. what i know is God got me na sitabaki nilivyo.
@cheptoofaith84432 жыл бұрын
It is well dear
@catherinenjornge32322 жыл бұрын
It's well in Christ he paid all for us at the cross let's keep trusting and waiting on him.🙏🌹
@murugiwanganga2 жыл бұрын
Mtetesi wako yuhai
@maryanabaraka40636 жыл бұрын
mungu anampenda Patrick kaona amkwepeshe na ya dunia
@mukarueperence53546 жыл бұрын
Nimemkumbuka,Patrick wamuna
@ronahemmajay18075 жыл бұрын
Kila nikisikia hiyo wimbo nakumbuka Patrick
@haikakawiche72375 жыл бұрын
Sitabakiiii kamaa nilivyooo.....kweli navukaaaa mteteziii wangu yu haii@....oooooow in his voice
@deograciakashaigili59734 жыл бұрын
Ni wimbo ambao lazima.niusikilize zaidi ya mara kumi kwa siku. Oh!my God bless me all the time!
@AnastaziaJosephat-dk9ge3 ай бұрын
Am listening to this song my mother is very sick she can't get up in bed but i have faith in God and she will better soon 4:29
@JayMaina-q8x2 ай бұрын
😢😢😢watching this from kamiti prison....najuwa mungu ata funguwa njia na ukweli...😢😢.......
@christinenyambeta77023 жыл бұрын
Kwa nguvu zake MUNGU ninapo ingia mwaka wa 2022 MUNGU wangu anaenda kubadilisha historian yangu nami ntakua mbarikiwa Amina🙏🏾Ahsante BABA
@halimalwayo10736 жыл бұрын
sichoki ckiliza hii nyimbo jmn may God bless u my broh
@sebintu6 жыл бұрын
Halima Lwayo you
@marthabrown58644 жыл бұрын
Sitabaki kama nilivywo amen
@jacquelineboniface11456 ай бұрын
Sitabaki kama nilivyo Baba yangu.Niwezeshe katika mapito haya
@millicentadhiambo30806 жыл бұрын
I'm really blessed...the first time I heard this song was from baby Patrick....may his soul rest in eternal peace....I had to look for it in KZbin...God bless you Joel...much love from Kenya!!
@violetmzimba56936 жыл бұрын
Millicent Adhiambo ughhuuuh
@ericmaghanga54695 жыл бұрын
Heard it too from baby Patrick for the first time.May his soul RIP.
@mlimawamajawabu54815 жыл бұрын
Millicent Adhiambo
@revocatusnyamboga31504 жыл бұрын
Mungu akupe baraka zote uendelee kumuimbia hii nyimbo inarudishaga nguvu zangu nikikata tamaa
@msichana_fantastic7 ай бұрын
God thank you I am living an answered prayer
@p.matabaro5 жыл бұрын
Ivi kwa nini watu ni wabaya kiasi ivi? Una weka thumb down kwa nyimbo kama hiyi kweli? Yeyote Aliyeweka thumb down Mungu amsamehe. Keep it up bro u have an amazing voice.
@nuweyrahmohamed15575 жыл бұрын
Am a Muslim though but I love it 💗💗💗💗💗💗
@slx25453 жыл бұрын
Mi mkenya lakini hii nyimbo mahali imenitoa... Baada ya kushinda na hii nyimbo, kuomba na kufunga 2019... Sahi niko kazini najiajiri mwenyewe na naishi kwangu... 🙏
@leilaachie10363 жыл бұрын
Nuweyra Mohamed.....no matter any religion we all worship one God na hutabaki kama ulivyo
@nuweyrahmohamed15573 жыл бұрын
@@leilaachie1036 very true 🥰
@maryagithinji35412 жыл бұрын
The Almighty Loves us all regardless religion
@MichuraRose15 күн бұрын
Sitabaki kama nilivyo najua Hali hii no kwa muda tu. BE blessed Joel❤❤❤❤❤
@rtlusungu7 жыл бұрын
kaka Joel Mungu akubariki sanaaa nyimbo zako zote zinanibariki na zinanipa nguvu sanaa .... na hii ni tamu mno.... Sitabaki kama nilivyo maana mtetezi wangu yu hai
@evahmwondosha7 жыл бұрын
nyimbo nzuri Joel lwaga big up
@cyriviakahimba57967 жыл бұрын
Nice
@heartofsteel0rNothinggg7 жыл бұрын
lusungu mhenzi ur the best singer, MUNGU WA MBINGUNI AKU TUNZE
@annaabraham54577 жыл бұрын
well done brother
@anthonysylvester667 жыл бұрын
Nice song
@deejaysonnia5 жыл бұрын
I listen to this song everyday 10 times. Am addicted to it and i am blessed. Thank you Joel.
@andrewomaye55315 жыл бұрын
congr 4 blessing
@dianatony99584 жыл бұрын
Hakika mungu nimwema niliyo yapitia namshukuru mungu kwakutoniacha
@vivianevusa3074 жыл бұрын
Q1
@issamauja26734 жыл бұрын
Nice l like
@florencekiarie34423 жыл бұрын
Am also addicted to this song 😻,it is a blessing to all of us
@serahwaruguru-d4h3 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu siku zote
@kelvinshakur52752 ай бұрын
I heard Alikiba singing these song it motivated me❤
@saveraenock73486 жыл бұрын
kama unaamini mungu yupo na unafanya maandalizi kwa ajili yako weka like,,,,
@trizawambui95046 жыл бұрын
Amina Sitabaki vile nilivyo mtetezi wangu yu hai
@verykomba46 жыл бұрын
ubarikiwe na bwan maan huu wimbo unanifaliji sanaa
@saveraenock73486 жыл бұрын
mtetezi wangu yu hai
@joshuaallen81306 жыл бұрын
Yes
@yasintamichael55266 жыл бұрын
Imani yangu iko kwenye kipimo.Mungu nsaidie nivuke
@domnzigire19686 ай бұрын
Barikiwa na Mungu Kaka courage kwa uduma n'a uwezo wa Mungu utembeye nawe
@ashleyfahady40256 жыл бұрын
Nikiskia wimbo uhu natokwa na machozi sana unanigusa sana naiman iko siku ntashinda majalibu yote
@wasafitvniyetusotetumewash69236 жыл бұрын
Sitamani yawengine wala sijilinganish, najua wakati wangu UPO.. ""Hali hii ni yamuda tu.. Kweli napita kunamahali ninakwenda tu. Siwez kubaki kama nilivyo, Like ubarikiwe jumapili yaleo! Amen...
@jackrinejacksone15426 жыл бұрын
wasafi tv NIYETU SOTEtumewasha aminaaa😀😀😀
@rehemangailo87756 жыл бұрын
wasafi tv NIYETU SOTEtumewasha wimbo uuu,uwape moyo wanafunz wote wa kidato cha nne ambao wameanza mitihan november5
@rehemangailo87756 жыл бұрын
wasafi tv NIYETU SOTEtumewasha wimbo uuu,uwape moyo wanafunz wote wa kidato cha nne ambao wameanza mitihan november5
@babuudullahmunisi47535 ай бұрын
hii nyimbo ina ukuu alhamdulillah hunipa mwanzo mpya kila ninaporudi nyuma
@kimkimbeth79186 ай бұрын
Am on my way 🦾🔥😪Sitabaki kama nilivyoo😊🙌🏾
@nadiaamisha29584 жыл бұрын
I can't explain the situation that am going through right now 😭😭😭😭😭😭ila najua kuwa sitabaki kama nilivyo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@florencekiarie34423 жыл бұрын
Sure, with God everything is possible,hi pandemic is turning life up side ,down.lets believe in God 🙏
@mominyi30932 жыл бұрын
It shall come to pass
@SofiaMutua-hd5yh5 ай бұрын
Sitamani ya wengine,Wala sijilinganishi...sitabaki kama nilivyooo❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@abrahammeena19707 жыл бұрын
Wimbo unatibu Mapepo, uchawi, wanga, wafitina, washirikina na wazinzi keep it up Bro i like u melody and the masage of that song #SitabakiKamaNilivyo
@Baley-M.a.b Жыл бұрын
Amen
@preciousnelly49516 жыл бұрын
Little Angel Patrick made me to love this song, even though I don't understand the language or what he's saying but I love the song.
@markkazungu68475 жыл бұрын
napenda nyimbo yako
@cynthiapirate59694 жыл бұрын
@@markkazungu6847 2
@PapiiMalvin2 ай бұрын
Just coming from watching 👑 kiba singing this awesome song... Alhamdhulilahi hadi hapa niko ni God
@princesaziza51975 жыл бұрын
This song makes me confident through the challenges I have passed on for sure I will remain the same
@viviankihemba49884 жыл бұрын
Yes
@harrietgombe60884 жыл бұрын
The song give me hope
@joycedamas69563 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y4HTl3iOq9lpoaM
@Da_Gee3 жыл бұрын
Sijabaki kama nilivyo! Mungu amenivusha salama. Amenirejeshea miaka yangu yote iliyoliwa na Nzige! I give you all the Glory my Jesus Christ.
@ShikuGitonga2 ай бұрын
This song hits Sana nikiiba Tu nalipa ❤❤❤❤
@lina123-nd5 ай бұрын
31st July 2024 am here....God has been faithful and I know the new August will be of many blessings to each of us.....hatutabaki tulivyo🙏
@aishambunya61003 жыл бұрын
Every time i listen to this song I remember how my mum fought for her life, R.I.P Mum 😭😭😭😭
@hon.majimbokalasinga52852 жыл бұрын
Painful
@linahwoiso47182 жыл бұрын
Hugs🫂
@shabanimohamed63452 жыл бұрын
😢😢
@Miriam84Akizimana2 жыл бұрын
🙏🏽
@favouredkamau Жыл бұрын
😢😢😢
@rosejuma87784 жыл бұрын
Hakika mtetezi wangu yu hai,, sitabaki kufanyishwa kazi hivi kama mtumwa kwa nchi si yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@margarethsaramaki11005 жыл бұрын
Mtetezi wangu kweli yu hai## God bless u 2019
@naivashaazori62333 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo nikiuskia najiona nimepata kila kitu mungu mwema kila wakati Amen
@ibrahimjumanne6785 жыл бұрын
Kaka nakuomba umaarufu usikupe shida mtumikie zMungu tuu usibaki kama ulivo dunian mbingun ukapakosa nakupenda you bless me
@abbiecheruto45624 жыл бұрын
I really bless God for this song 😊😊😊10 years a 13 years old girl fell pregnant i knew my life would end up miserable but here i am in my final year nursing school.indeed God you have been faithful in my life.♥️♥️♥️
@jamessila32192 жыл бұрын
God is faithful...
@therealkendyz2 жыл бұрын
I Glorify God for you
@veronicashitiavai3886 Жыл бұрын
My situation right now but najuwa ni mapito too sitabaki kama nilivoyo
@kevintishacom965 жыл бұрын
I CANT WAIT TO REPLAY THIS SONG EVERY MORNING THANK TO JOEL VERY INSPIRATIONAL
@hamisingulaka60035 жыл бұрын
Kevin Tishacom aseeee naipnda Hii song
@brendabartholomeow65334 жыл бұрын
Sitabaki Kama nilivyobaba nalia but najua Mungu unaponya roho yangu kupitia huu wimbo utafanya kitu kwangu.
@suzymatilda91586 ай бұрын
Thank you Lord... SITABAKI KAMA NILIVYO
@cynthiatsisika9416 жыл бұрын
Rest in peace baby patrick,had to follow this song on you tube because of you
@chillavertsulya10946 жыл бұрын
Rip patrick
@rehema20186 жыл бұрын
Same
@princesstinahG6 жыл бұрын
Cynthia Miheso Poleni. may you receive comfort in the Lord.
@ireneprecious9665 жыл бұрын
Sitabaki Kama nlivyo huu Ni mwaka wangu wamafanikio.. inshallah
@maltapeter27004 жыл бұрын
Sitobaki kama nilivo, eeh mola naomb mwaka huu 2020 uwe ni mwaka wa kitofauti Afrika nzima
@rebekantiha41314 жыл бұрын
Hakika stabak Kam niliv siku moja mungu atamipa watoto zaid nyimbo hii ni mfariji wang😭😭😭😭🙏
@felicianfrancis989511 ай бұрын
Mwenyezi Mungu na akutendee sawa na maombi yako. Endelea kumtumainia na amini atatenda. Hajawahi kushindwa
@sashmulongo90676 жыл бұрын
Muna love's son made me look and listen to the song.. Thanks Hun and R.I.P say hi to my daughter Natasha
@graceangels20666 жыл бұрын
Sash Mulongo me too....meks me shed tears
@RobbieWilliam-v2r14 күн бұрын
Ndio nimesikiliza nyimbo hii zadi ya mara moja na imenipa uwezo nyingi sana ndio tunakamilisha mwaka wa elfu mbili ishirini na nne ninmungu na kwa nema yake n wengi walio fariki kutokana n maajali mbalimbali
@lucym44844 жыл бұрын
Kweli sitabaki kama nilivyo yesu ni mwaminifu their is nothing to dislike about the song ministers to my soul 🙏 Asanti kwa wimbo na video