Duh joh atasioni rapa wa kufananishwa na wewe africa
@francismliga29104 жыл бұрын
Nakukubali sana Mwamba wa Kaskazini...!!!
@williamloserian79434 жыл бұрын
##Goma kali sana jaman... Leo samakisamaki lazima lipigwe....##
@andersonpastory68084 жыл бұрын
Mkali Sana jamaa
@ropedwai74994 жыл бұрын
Papa Don Mwamba....
@lovistar894 жыл бұрын
Wapi Likes za nehreel hapa. Love from nairobi
@marthahenry62413 жыл бұрын
Ngoma Kali kinomaa john makin big up
@lovistar893 жыл бұрын
@@marthahenry6241 alright 😁
@ismailymakame3904 жыл бұрын
Aseeee Kama umemuelewa nahreel ni dangerous like Kwa pande hiii
@SwahiliAmbasador9544 жыл бұрын
Kama mependa joh Makin karudi kwa nahreel hit like Apa narudi kuwa shabik yako .
@aminielenock20504 жыл бұрын
hiingoma nimeikosa uhondo bana ndoniona now daaah axe ki2 chamoto
@johanesdeocles63374 жыл бұрын
Nakubali sana niki
@jacobmlowe11604 жыл бұрын
Bonge la mkwaju
@mouddybest35264 жыл бұрын
Eiiiih kaliiii
@zionparsecally9211 ай бұрын
Nani anangalia hii nyimbo 2024
@EmimilyAdhiambo10 ай бұрын
Mimi kaka still hot
@JustinMikael-k9n10 ай бұрын
Its beautiful song
@azizijuma12824 жыл бұрын
Kalii
@kessynyabu42554 жыл бұрын
Sio Siri joh wewe ni nouma na hapa kwa hii ngoma daah kweli ni dangerous
@delvanngomo58934 жыл бұрын
Ngoma ni kali sana,joh makini we ni dangerous🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pes2022-b7d4 жыл бұрын
Hii n moto
@joselynebagwire55514 жыл бұрын
I feel wizkid flavor in chorus
@zuhuramsham82394 жыл бұрын
Bonge la ngoma kumamake
@mtumweusy46524 жыл бұрын
Me naona joh ungetoa movie ya hii nyimbo ungefanya vizuri sana mnafanya pamoja na wale jamaa wa bongohoodz
@haysanhassan26854 жыл бұрын
Naaaam kama joh karudi kwa nahreel tutegemee mawe ya uhakika kama haya, joh bila midundo ya nahrel ni kama mboga iliyoungwa vizuri mwisho ikose chumvi
@mustafanamangaya74214 жыл бұрын
Kweli mchizi nilimpenda kwenye mikito ya nahreel na humu amefanya kweli
@mustafanamangaya74214 жыл бұрын
Kweli mchizi nilimpenda kwenye mikito ya nahreel na humu amefanya kweli
@zuhuramwambalo17674 жыл бұрын
Ngoma nimeipenda sana hii
@salehlule77454 жыл бұрын
mhhhhh kweli
@Tozzyclever4 жыл бұрын
Weeee bonge la ngoma hiliiii..
@josephjulius23984 жыл бұрын
Aise bonge la Ngoma dangerous
@hamisimkongo15434 жыл бұрын
Joh Makini is a legend hajawahi kukosea
@seifzakwan84984 жыл бұрын
💥💥
@kakundejackson86664 жыл бұрын
Joh makini since way back.. Unaweza wanguuu
@ericmoney61124 жыл бұрын
Ngoma ni Dangerous 👽👽👽
@elizabethsteephano22564 жыл бұрын
Dangerous 🔥🔥🔥🔥
@naphtalseth89364 жыл бұрын
Mwamba wa KASKAZINI
@SwahiliAmbasador9544 жыл бұрын
Kama mnaamin joh Makin kurudi kwa nahreel. Joh anarud Tena international hit like.
@taky_254 жыл бұрын
Weusi bado wanamuhitaji sana nahreel... ✌🏾
@charleskaozya99244 жыл бұрын
Location zote tunamalizia ndanii na nchii🔥🔥🔥🔥uchumi wa kati safiiiii
@georgekalinga29284 жыл бұрын
fireeeeee
@expert58984 жыл бұрын
Ni shida!!!!
@macmctz48294 жыл бұрын
Nahreel na Joh hawajawahi niangusha.. #Kitu hii
@ivanayo98024 жыл бұрын
Mwambaaaaaaa 🔥 🔥 Anaua kila kinachotembea
@salimmnzava18834 жыл бұрын
nahreeeeeel na weusi back again...... love this combo
@alextanzania4 жыл бұрын
Nahreel - the best music producer in Tanzania. Kuna bass inapigwa hapo hatari sana. Big up Joh makini , song ni kali sana
@einsteinmboje47304 жыл бұрын
Ivan kaua saaaaana
@abdullahchabukila66864 жыл бұрын
On 💥🔥🔥🔥🚀
@rehemamkali74264 жыл бұрын
Joh kama JOH #MWAMBA WA KASKAZINI #nahreel on da beat
@ericknamakonde69134 жыл бұрын
Bonge la Ngoma... Nairudia rudia... Bonge la mdundo kwa sabufa... Joh Makini yuko juu... Big up sana Joh...
@sashazuberyzubery78044 жыл бұрын
Wow nimeupenda
@exaverymnyanyi90514 жыл бұрын
King ,joh pga kaz na narily ulud kwa spd
@nelykaaya65034 жыл бұрын
Nakubaliiii.
@elardmadeez33824 жыл бұрын
KILA siku NABISHANAGA NA JAMAA ZANGU huku MTAANI NAWAAMBIA @ ANA HIT KIBAO GHETTO Wanabishaga kinoma sasa cheki hii @ NI LIT FIREEEEEEEEEEEEEE gonga like hapaaa @ ON DA MUDERING BEAT
@paulthomas51534 жыл бұрын
Nice song big 👆
@emanueltito57414 жыл бұрын
Ngoma kali ais🔥🔥🔥i see u international joh sio bongo
@mabrukyrakshi15804 жыл бұрын
💣💣💣💣💣💣💣☀☀☀ noma sana joh unatisha baba
@jackmafwimbo79194 жыл бұрын
Huwa wanaendana Sana Hawa jamaa wakifanya kazi...big up
@inclyrics43844 жыл бұрын
Mimi ndo nasemaga kila siku Joh makin anaweza kuwa sio rapper mnoma but huyu jamaa kama ni kuchezea beat, basi next levels!...replay it n feel it again and forever, this song will hit you once and remain for million years!!!!!
@dicksonmwanga31894 жыл бұрын
kikosi kazi
@mathewllaizer19044 жыл бұрын
mwambaaaa
@inclyrics43844 жыл бұрын
@@dicksonmwanga3189 hamna kitu weusi waliua ile kitu, warawara aliwamaliza verse ya kwanza tu!
@inclyrics43844 жыл бұрын
@@mathewllaizer1904 noma na kilo moja
@macmctz48294 жыл бұрын
Joh ni rapa hatari sana unless we ni U18
@godluvmtegajr.61544 жыл бұрын
Ngoma n fire 💥 beat n kal
@mangiclaus4 жыл бұрын
Ubunifu mkubwa Sana humu ! Nahreal na joh makini no shida ..kaskazini ni 🔥