Joh Makini Ft Young Lunya- Mchele [Official Music Video]

  Рет қаралды 569,566

Joh Makini

Joh Makini

Күн бұрын

Пікірлер: 526
@victorwanyama6391
@victorwanyama6391 3 ай бұрын
2024 bado tunataka mchele good job
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 жыл бұрын
Wangapi walikuwa wanasubiri verse ya lunya...mlike hapo chini kama ishara ya masikitiko.
@nurdinhaule9684
@nurdinhaule9684 5 жыл бұрын
Me mwenzio DINGIIII
@monicajonathan7451
@monicajonathan7451 3 жыл бұрын
Huyu lunyaa ni mkali
@innobugobola1694
@innobugobola1694 3 жыл бұрын
🙆🙆🙆mm nlikuwa namsubili young lunya tu nayy kakauxha😜🤭
@mathiasmassai5910
@mathiasmassai5910 4 жыл бұрын
😷😷😷me xn meng #Arusha nijuuh.... Dondoxha like twende sawiah......
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
Waraaa wimb mzur sanaa 😍😍😍❤️❤️❤️❤️naomben like jman
@mtulijohn
@mtulijohn 3 жыл бұрын
Sawa
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 5 жыл бұрын
Darasa anawatambulishaga video vixen vizuri. Nawaona huku hawa wa ule wimbo wa RELAX
@giftmeela6250
@giftmeela6250 5 жыл бұрын
Innocent Tendwa sio Darasa hao vixen wanaetwa na Hanscana
@dennischarles8524
@dennischarles8524 5 жыл бұрын
Upo Makini sana, kweli bila mchele ni giza
@aslayjamo5497
@aslayjamo5497 5 жыл бұрын
Wen mama is cooking n u were so damn hungry..nataka mchele mchele ...bonge lq song
@alexgamaya7742
@alexgamaya7742 5 жыл бұрын
Tuliokuwa tunasubir verse ya lunya na tumefeli tuombeane kwa Mungu
@aminakazogolo9914
@aminakazogolo9914 5 жыл бұрын
😃😃😃😃
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mizogaaaaa kbs
@kelvinthomas4047
@kelvinthomas4047 5 жыл бұрын
Alex Gamaya 😂😂😂😂
@denismakweba3870
@denismakweba3870 5 жыл бұрын
Yan kwann hakuchana lkn!!!?????
@nyassailamashauri9992
@nyassailamashauri9992 5 жыл бұрын
Good song!, nice msg, but local..am local too.. I like mchele. #money thats hw we go now.
@youknowthevibe4914
@youknowthevibe4914 5 жыл бұрын
KING IS BACK..........mm niljua Lunya angepita na verse moja 🤔 ila sio mbaya maana VIBURI FLOW vimesikika HIP HOP IS BACK AGAIN 🔥🔥🔥
@nahshonytz9948
@nahshonytz9948 5 жыл бұрын
Young lunya hajatendewa haki kabisa umu icho kichwa ni chakupewa verse kabisa
@anaselilesika4069
@anaselilesika4069 5 жыл бұрын
Hapo sasa ama kweli Joh umenena, tufanye biashara zinazoinua kilimo vijana wenzangu mnaonaje?@ 🇹🇿 we love you, @ Africa let us stand up
@surusuru1994
@surusuru1994 4 ай бұрын
🔥🔥🔥❤
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 жыл бұрын
Fasihi imetumika Tamathali za semi zimetumika ngoma fire
@lesmanhg.8306
@lesmanhg.8306 5 жыл бұрын
mtu kama lunya sio wa kumuacha apige verse hata moja, utasahaulika we mwenye ngoma, uyu unamuacha aseme hata a e i o u basii.
@ahimidiwembise8515
@ahimidiwembise8515 5 жыл бұрын
Hahahahahaha
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 3 жыл бұрын
Mikao Serena 🔥🔥🔥 unapokamata mchele dunia ita paradiso ,ili goma ukiliskiza baada ya ushindi flani unajiona mfalme
@pidpower9920
@pidpower9920 5 жыл бұрын
Respect kwako brother @johmakini kwa kazi poa sana ila unge itengenezea dance yake kama Olamide Amini Dunia na ingeacha kusikiliza mziki wa Nigeria. Asante
@ramabeja4627
@ramabeja4627 5 жыл бұрын
Pw sana
@pidpower9920
@pidpower9920 5 жыл бұрын
Au mzee unaonaje
@shabanbuchu2130
@shabanbuchu2130 5 жыл бұрын
yani kwa neno mchele umetoa nyimbo nzima kweli kichwa timamu hicho
@bilalhamisi2300
@bilalhamisi2300 5 жыл бұрын
Joh Makini wa Simon....hawatoweza#W.E.U.S.I
@josboy5384
@josboy5384 5 жыл бұрын
Fayaaaaaa
@amirichikonyo5770
@amirichikonyo5770 5 жыл бұрын
Mchele means pesa Joh katumia fasihi ndio sanaa halisi hongera king job
@MissRongGGG
@MissRongGGG 5 жыл бұрын
KWELI MWAMBA NI MWAMBAA....!!!TIXHA SANA JOH...
@majistarmusic8477
@majistarmusic8477 5 жыл бұрын
Ooooyooo kaka nGomA Qariiiiii mchele
@erickendrick3330
@erickendrick3330 5 жыл бұрын
Eban eee....Mwamba, King Joh makin, Asante kwa zawadi hii nzuri. Nimeipokea kwa mikono miwili.🙌🙌🙌
@ndeumc3189
@ndeumc3189 3 жыл бұрын
Hiki ndo kichwa changu ninachokikubali tz,Africa maxhariki mwambaaaaaa
@nzindukiyimanajeanpaul3604
@nzindukiyimanajeanpaul3604 5 жыл бұрын
Siyo nyimbo zako nyingi najua alakini much respect to you from Kigali
@rodgersgingila9367
@rodgersgingila9367 5 жыл бұрын
lunya mdundo wako, chorus yako, ukamtumia asikilize, afu ngoma ikawa yake ..duh noma san
@godfreyeugentarimo101
@godfreyeugentarimo101 5 жыл бұрын
Hii no balaaaa walahiii ngom kalii saana hii track motoo saaaaan
@augustinodaniel5574
@augustinodaniel5574 3 ай бұрын
King joh makin Ni hatar
@jumakassim3153
@jumakassim3153 Жыл бұрын
Hili ngoma nalikubali kila siku haliishi utamu liliweza saana
@ismailramole1700
@ismailramole1700 5 жыл бұрын
Duh ngoma nzuri sana mangi...nimeisikiliza siku nzima leo na jana.huyo lunya ndo nimemjulia kwenye hii ngoma.
@amanmzola8101
@amanmzola8101 5 жыл бұрын
Mbona Lunya hajaimbaaaaaa
@pezzadue
@pezzadue 5 жыл бұрын
nmebaki nkisubirii kumsikizaa lunyaa mpk ngoma imeishaa..sjaelewa apoo mwamba
@ramadhankassimurassa946
@ramadhankassimurassa946 5 жыл бұрын
Praygod Kimaro mi nilikuwa napelekapeleka mbele ili nisikie verse ya lunya lakini wapi ni Mchele mchele
@pezzadue
@pezzadue 5 жыл бұрын
@@ramadhankassimurassa946 apo sijaelewa kabsa yanii...lbda atafafanuaa
@boycelebron4666
@boycelebron4666 5 жыл бұрын
Mibongo sijui vipi!!! Wanaenda sapotii marapa wa ajabu ajabu. Wakatii King wa Flow Rap anajulikana. JOH MAKINI
@sualen1151
@sualen1151 5 жыл бұрын
Kabisaaa... wabongo hamueleweki #fromBurundi
@dr.lincolng7835
@dr.lincolng7835 5 жыл бұрын
Pow bhan Lunya kaimba wap mzee baba
@ekisaviourhokororo2970
@ekisaviourhokororo2970 5 жыл бұрын
Ngoma kali sana,,,,john huwa hakosei
@calvinkatera2275
@calvinkatera2275 5 жыл бұрын
Nakubali mapigo yote menu......@ Katibu mkuu Ngarenaro Republic
@francismkonda1986
@francismkonda1986 5 жыл бұрын
Shida moja ya joh *ni the baddest...legend.. Good bro
@SirDerek
@SirDerek 4 жыл бұрын
This song deserves millions of views.🙆🏾‍♂️
@darviswantana7669
@darviswantana7669 5 жыл бұрын
JOH asantee ,,,,, uwezo mkubwa
@juliusmkwiji283
@juliusmkwiji283 5 жыл бұрын
Sijui tunafeli wapi nyimbo kali kama hii masaa 16 bado views 8+k ? 😔😔😔
@deokessy7891
@deokessy7891 5 жыл бұрын
Promo sio kubwa
@nurudovino288
@nurudovino288 5 жыл бұрын
Ubaya watu washakerimisha watu frani wakiimba tu ndio wanawafuatiria
@qonquererqonquerer1581
@qonquererqonquerer1581 5 жыл бұрын
Ni Hit Song 4Real
@NobertKiria
@NobertKiria 4 жыл бұрын
Kwa sababu hamfanyi promo Kenya, wakenya wanapenda anasa ikichezwa redioni Siku moja tu mtapata 1m views
@juliusemanuel9058
@juliusemanuel9058 5 жыл бұрын
Makin unahama sana
@trdtz3602
@trdtz3602 5 жыл бұрын
Oya makini mzee baba Iko safi
@jerrypatrick3511
@jerrypatrick3511 5 жыл бұрын
Kapunga moja hiyo mambo ya mbalal mbeya mwendo wa mchelee 2 kubal xan joh makin
@jumahaji2454
@jumahaji2454 5 жыл бұрын
Pumbu iloooo Saimoni kaliachia kazi kwenu wadau 😀😁☝✌
@mikedadoz4089
@mikedadoz4089 5 жыл бұрын
Now this is what we were missing . Slow bt dancerble 254
@augustinodaniel5574
@augustinodaniel5574 4 жыл бұрын
Mwamba ni mwamba🙌🙌
@enock1444
@enock1444 5 жыл бұрын
Ngoma kali sana, Young Lunya pia hajakuangusha Joh
@giftmeela6250
@giftmeela6250 5 жыл бұрын
Asee mwamba utabaki kua mwamba daima🙌🙌👌💥
@azizimwaliko3107
@azizimwaliko3107 5 жыл бұрын
Kimbizakimbiza huseinbolt.#mcheleekwadunia
@frank_luminous
@frank_luminous 5 жыл бұрын
Sijaelewa young Lunya humu ndani ana shughuli gan!!
@lusekelomoses9200
@lusekelomoses9200 5 жыл бұрын
Bless Up Brother Mwamba 🙏
@ratinojackson1555
@ratinojackson1555 5 жыл бұрын
Huyu ndo joh ninaemjua mm...kaa Humo...
@subiramussa1428
@subiramussa1428 5 жыл бұрын
Mwamba wa kaskazin💝
@emmanuelmosha2278
@emmanuelmosha2278 4 жыл бұрын
Tanawalisha vyakutosha ndiomaana bado mnakunya,🔥🔥🔥
@juliusmkwiji283
@juliusmkwiji283 5 жыл бұрын
Yes, this is my hottest hip pop star! Mwamba wa kaskazini tupo pamoja toka "Hao" Kazi hii imetulia sana!
@njugaboe1191
@njugaboe1191 3 жыл бұрын
Mwamba
@bernardkarathe4977
@bernardkarathe4977 5 жыл бұрын
mziki mnene ume enda shule.....nuff love outta 254
@oceankid_tz
@oceankid_tz 5 жыл бұрын
Mwambaaaaa kaskaziniiii
@donisalimu8635
@donisalimu8635 5 жыл бұрын
mchele ni song tamu balaaaaa
@jumarajab804
@jumarajab804 5 жыл бұрын
Wayaaa
@eliasgembe6292
@eliasgembe6292 5 жыл бұрын
imetulia kinoma noma kalii sanaaa
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 жыл бұрын
Kawimbo kabaya kweli😏
@jamalyjackson4377
@jamalyjackson4377 2 жыл бұрын
King hii Ngoma always ni Kali respect Mwamba
@joharmaulid5910
@joharmaulid5910 5 жыл бұрын
Yaan joh nkajua baad ya mchele utaonesha ata ubwabwa daaah umenipausha
@ailtonngunyali5840
@ailtonngunyali5840 5 жыл бұрын
This is high level..ngoma kali sanaaaa.
@esteryjohny499
@esteryjohny499 Жыл бұрын
Nimeikubal sana ❤❤❤🎉
@abdulrazackkabenza9177
@abdulrazackkabenza9177 5 жыл бұрын
Mchele nautaka unantaka bless sana this song
@rodgersgingila9367
@rodgersgingila9367 5 жыл бұрын
kitu pekee kilichomfanya joh kupona ni kumnyimq lunya verse, angepotea sana amini
@afrikalee9717
@afrikalee9717 5 жыл бұрын
Kali sana...navoendelea kuiskiliza inazidi kuwa tamu eerday
@frankngilangwa4518
@frankngilangwa4518 5 жыл бұрын
Mchele unaambiwa kamata hiyo!!!!!!
@godfrey7372
@godfrey7372 5 жыл бұрын
First South African to hit the like button. Don’t understand the lyrics but I’m feeling that beat. Chele.
@venussisunguru8086
@venussisunguru8086 5 жыл бұрын
NHLANHLA D MOYANA ww nae
@GELEGE100
@GELEGE100 5 жыл бұрын
Man talk about money in metaphorical way using rice as money.
@madeintanzania2995
@madeintanzania2995 5 жыл бұрын
Ha haaa
@anaselilesika4069
@anaselilesika4069 5 жыл бұрын
You must be meaning to say #mchele 😂😂😂🇹🇿
@boastyboasty4340
@boastyboasty4340 5 жыл бұрын
hahaa . Its mchele dear
@danieljohn3836
@danieljohn3836 2 ай бұрын
Lunya Angechana hii Angehalibu kabisa
@jacklineevarest5145
@jacklineevarest5145 5 жыл бұрын
Kaka anajua sana mwamba wa Kaskazini ......Chugaaaaaaaa
@jjjjjj7931
@jjjjjj7931 5 жыл бұрын
Niko apa leo 29.12.2019.hii ndo ngomaa yanguuu nafungaaa nayo mwakaaaa sawa
@barakhamapigooo7036
@barakhamapigooo7036 5 жыл бұрын
Kwambaaaaa ni #mikolezoo_Joh
@athmanihussein7167
@athmanihussein7167 5 жыл бұрын
Kama magugu yan ni mchele tu mchele sana brathar bonge la ngoma arusha sema SUWA SUWA
@geomangoodluck3019
@geomangoodluck3019 5 жыл бұрын
Joh makin naakubaliiiii Kaká we ni zaidi yao ani ni fire + weuuuuuusi wapoloooo
@omaryshabani4815
@omaryshabani4815 5 жыл бұрын
Hatareeeeee this is kapungaa makini jo wape habari kapunga kuna mchele kama wanataka mchele og
@kulwakasike2777
@kulwakasike2777 5 жыл бұрын
Huyu ndo joh wa perfect na mchele wake best hiphop song of the year
@dutchballaka3422
@dutchballaka3422 5 жыл бұрын
Bonge la nyiiimbo
@PETERKIRUMBA-yn9jt
@PETERKIRUMBA-yn9jt 4 ай бұрын
Napendaaahh❤
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
Unapo kamata #mchele duniani kama paradiso, 🇹🇿🇰🇪💥💥💥💥💥
@rickyhabib1357
@rickyhabib1357 5 жыл бұрын
Viburi flow....mchele from makin wa saimon hip hop is not dead big up joh
@shabanimweusi5139
@shabanimweusi5139 5 жыл бұрын
Joh hongera Sana brother
@makalashilla2248
@makalashilla2248 5 жыл бұрын
Kwa tunaoijua USA RIVER gonga like twende sawa
@daniellighton5280
@daniellighton5280 5 жыл бұрын
Makini umetisha sana mwamba wa kaskazini
@iviejustified8109
@iviejustified8109 5 жыл бұрын
Kabisaaa Dunia Bila Mchelee haiendeii jombaa big up
@jut1161
@jut1161 5 жыл бұрын
Hi ngoma haistahili kuwa na viwer kidogo Kama hv
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania 5 жыл бұрын
Huwa nakuponda unapokosea nanahisi uwa unakasilika sana japo kunambia huwezi ukiisi labda utanipandisha,,, hapana bro John.....Huwezi andika concious ukasikia naponda.. nafsi itanisuta sababu hatujapewa vipaji kama vya kwenu kwa kuimba ila tumepewa vipaji mbadala wa hivyo vya kusikia kama wanabii wa muziki nini kimeimbwa na kuandikwa..... Hii ni nyimbo ambayo inanipa nafasi nyingine kukwambia kuwa "Hii ni nyimbo kaka" na iweke Miongoni mwa nyimbo utazoulizwa popote duniani utajivunia...inayokufanya niamini kuwa hujabahatisha kuanzia uandishi na kila kitu... Mchele ni nyimbo bora kati ya nyimbo zako.keep it up.
@bonemahe2455
@bonemahe2455 5 жыл бұрын
Nyimbo Kali sana
@sharogangstar1174
@sharogangstar1174 5 жыл бұрын
Nafikiri nilim' miss Joh wa aina Hii... Kama slow hivi but very sure, kama laini hivi ila kuna mistari yake flani Konde....
@qonquererqonquerer1581
@qonquererqonquerer1581 5 жыл бұрын
Siyo Weweee
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 5 жыл бұрын
Joh baki kwny hii raggae tone kidogo Cjui unaandikaje adi una click hit in a minute
@mr_kajombaremelo_og2134
@mr_kajombaremelo_og2134 5 жыл бұрын
Mchele kazi kaliiiiiiiiii sanaaaaaaaa
@gaburica7307
@gaburica7307 5 жыл бұрын
Mwamba wa kasikazin ni hatari! Kali sana bro
@naturesway552
@naturesway552 5 жыл бұрын
Any beat, Joh anaua!! 🔥🔥🔥🔥 king for sure!
@brightvatta284
@brightvatta284 5 жыл бұрын
duh we jamaa... dah una noma yako sana
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 5 жыл бұрын
Lunya Angepewa Nafasi Tu Ya Verse Moja Bhasi Najua Angeharibu Sana,Ndo Maana Mchizi Kaona Apite Chorus Tu😁
@mwalimmwamboga9029
@mwalimmwamboga9029 2 жыл бұрын
Hatari lakini salama
@selemankidamas73
@selemankidamas73 5 жыл бұрын
Ngoma kali mwamba big up
@michaelhebron6502
@michaelhebron6502 5 жыл бұрын
Joh we mkali💥. Pambana upate mchele bro. Tz juu
@deogratiusoforo285
@deogratiusoforo285 5 жыл бұрын
Big up bro kiutu uzima zaidi
@leonardoharold349
@leonardoharold349 5 жыл бұрын
King ka relax, taratiiibu anadeal na Michele.. Big up, man, mziki mkuuubwaa jombaaa 👑
Joh Makini - Simwachii Mungu ft. Ben Pol (Official Music Video)
4:40
Young Lunya - Fimbo (Official Music Video)
3:59
Young Lunya
Рет қаралды 1,3 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 56 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 21 МЛН
Joh Makini - Don't Bother ft AKA (Official Music Video)
3:44
Joh Makini
Рет қаралды 1,2 МЛН
Roma Feat Chid Benz - Nasikia Harufu   ( Official Video)
3:44
VIVAROMA
Рет қаралды 1,8 МЛН
WEUSI - Interlude Nyeusi
4:05
WEUSI
Рет қаралды 478 М.
Joh Makini - Dangerous ft Nahreel
4:16
Joh Makini
Рет қаралды 478 М.
Joh Makini - Nusu Nusu (Official Music Video)
4:16
Joh Makini
Рет қаралды 1,2 МЛН
Young Lunya - Freestyle Session 6
6:30
Young Lunya
Рет қаралды 464 М.
Joh Makini-Formula feat.Bien & Jay Melody (official music video)
4:01
Nikki Wa Pili Ft Joh Makini X S2kizzy - Hesabu (Official Video)
4:00