JOHN MNYIKA APIGILIA MSUMARI BAWACHA KUENDELEZA MAPAMBANO NA RAIS SAMIA KWENYE MAFUNZO YA BAWACHA

  Рет қаралды 4,202

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Yan mtu akiamini mavi ni chakula hata ukimpa kiazi bado atakula mavi,safi sana muheshimiwa mnyika❤️🎉
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Tuamke jamani kumekucha msitungushe kina mama
@gangan4618
@gangan4618 Ай бұрын
Ameota mapembe aongeze na mkia...
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Mheshimiwa Mnyika uko Vizuri kwenye kupanga hoja. Barikiwa sana mkuu.
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp Ай бұрын
hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.iko siku hardship tunayo pitia itapita,
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 Ай бұрын
SAFI SANA MNYIKA MUNGU AKUBARIKI.
@chademageorge8086
@chademageorge8086 Ай бұрын
Mnyika umeongea ukweli wote. Watu wanatekwa tunaambiwa Hilo ni jambo la kawaida
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Eti tumeota mikia
@KalikaweArabu
@KalikaweArabu Ай бұрын
Nenda ukaviongeree polis ukawape ushirikiano mbona polis unapakwepa unasema upo kwenye vikao vya chama hivyo vikao vinazid uhai wa mtu nenda polis utowe ushuhuda uwo ili unasuru watu sio kutafuta madaraka inaonekana una uchu wa madaraka sio kihurumia watu kwahiyo usikae kwenye kivuli Cha huruma wakat hutaki kutoa ushirikiano polis
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl Ай бұрын
Uchu wa Madaraka unatengeneza upofu wa Dhamiri na huufisha kabisa mpaka ihalalishe maovu mpaka vifo vya kinyama
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Weee mnyika hao unaowaorodhesha wote umeshiriki kuwateka
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Ай бұрын
Yaani huyu mama ni waajabu sana ile hutuba yake imekosa imani na hata ubinadamu anaongea kama yeye siku moja hatakufa au hajawahi kufiliwa hii sio sawa
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Jiulize angetekwa mwanae Abdul angesema hivyo au angeuwawa mumewe angeutubia vile hotuba Haina hekina na kusema kifo ni kifo kweli
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
👊👍✌️.
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka Ай бұрын
Wamama wenzake chukueni Kaur zarais kumuondoa madarakani kwamana amegeuza wananchi wake nawatu wakufa tu kwake hatuna dhamani
@RayOmar-vk2nn
@RayOmar-vk2nn Ай бұрын
😢😢😢
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Unajisikiaje mnyika ukiwa umeshiriki kumuangamiza mzee wa watu halafu ukajifanya mwema? Hiyo ni dhambi sana unawaghiribu sana hao misukule uliowakusanya hapo
MAAJABU UENGUAJI WA WAGOMBEA WA CHADEMA MBARALI UTASHANGAA
1:12:55
Chadema Media TV
Рет қаралды 5 М.
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 34 МЛН
ТЫ В ДЕТСТВЕ КОГДА ВЫПАЛ ЗУБ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 3,5 МЛН
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 62 МЛН
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН
MSIMAMIZI MSAIDI WA UCHAGUZI MARANGU MASHARIKI AKIPANGA KUVURUGA UCHAGUZI
2:32
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 34 МЛН