JAJI WARIOBA AFUNGUKA MAZITO KUKAMATWA KWA BONI YAI ATAKA MAANDAMANO YASIVUNJE AMANI YA NCHI

  Рет қаралды 36,899

John Ngollo

John Ngollo

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@dianaleo6067
@dianaleo6067 Ай бұрын
Huyu mzee ninamuheshimu mnoo!!! Mungu akupe maisha marefu baba. Ni wewe tuu na wachache wanaotoka mbele na kukosoa serikali wengine wapo tuu . Tunakupenda sana asante kwakutupa moyo angalau tujue kuna mtu yupo nyuma yetu anae taka haki nchini. Thanks!!!
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Ай бұрын
KAMA TAIFA TUNA DENI KWA HUYU MZEE NAMUONA NYERERE AKIWA BADO ANAISHI NDANI YAKE. YAANI UNAJIKUTA UNAACHA KAZI NA KUMSIKILIZA MPAKA MWISHO.❤❤❤❤❤
@MJbendera
@MJbendera Ай бұрын
Warioba anaongea points sana. I hope executives, judiciary, and legislative will listen to him. The problems of Tanzania and Africa as a whole are good governance.
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi Ай бұрын
Warioba mungu akupe zawad ya miaka mingi ya uhai
@babarungurallyteam2754
@babarungurallyteam2754 Ай бұрын
Babuyangu MZEE WARIOBA MWENYEZI MUNGU AKUPE UMRI MKUBWA,NA UKWELI UNAONGEA VITU VYA MSINGI MNOOO.
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 Ай бұрын
WAZEE WANA MAWAZO MAZURI LAKINI WANAPUUZWA!
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Ай бұрын
Nilijisikia sana Uchungu Mzee wangu alivyo pigwa na Paul Makonda,
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
Hawa wazee ndo hazna ya taifa ukipuuz mawazo Yao hufk mahali
@felixmsengi1084
@felixmsengi1084 Ай бұрын
Hazina ya TAIFA LETU , Hana hofu Wala mashaka , MUNGU akutunze Babu yetu mwakilishi wa Baba wa TAIFA
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Ccm wanajificha nyuma ya polisi. Bila polisi ccm haina nguvu. Ccm na polisi ni kitu kimoja. Polisi inawalinda ccm kwa nguvu zote kutumia pesa za watanzania.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Hapo sasa siku hizi wanakutana kuhumu vyama vya upinzani. Hakimu mkuu antembea Ikulu mpaka kunywa chai. Speaker anasema kabisa bungeni tusimuangushe raisi Samia. Hapo hakuna mihimili, bali ni chama fulani yaani CCM.
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 Ай бұрын
Mzee wetu kusema ukweli upo vizuri sana upendelei kabisa upo sawasawa kweli wewe nikiongozi wetu mstafu waaki kabisa muumba akulinde kabisa kabisa
@damianichayo895
@damianichayo895 Ай бұрын
Tamaa za madaraka
@MohdHamad-zr8ll
@MohdHamad-zr8ll Ай бұрын
Mzee Warioba gombea urais Unatufaa
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Ай бұрын
Huyu hafai kabisa kuwa Rais, akiwa CCM alishindwa ubunge na mzee Wasira akiwa NCCR Mageuzi, matokeo yakafutwa na mahakama na kwa mshangao Wasira akazuiliwa kugombea kwa miaka mitano, huyu mzee zengwe sana
@josephngwega7398
@josephngwega7398 Ай бұрын
Mzee kikwete ,mizengo pinda,Warioba,butiku Naomba mkutanishe vyama vyote ili kuondoa huu mvutano Nchi inaenda kubaya jamani
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t Ай бұрын
ASANTE SANA MZEE WARIOBA KWA MANENO YAKO YA HEKIMA NA BUSARA KWA SERIKALI YA MH. RAIS SAMIA, VIONGOZI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE, VYAMA VYA SIASA NA WATANZANIA WOTE....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
hii kichwa ingine dah!! "...... tunamuomba rais atuangalie Kwa jicho la tatu...!!
@MohamedSleyim
@MohamedSleyim Ай бұрын
Mzee wa Nyamuswa mengi uliyosema ni sawa ila kuna baadhi umekosea.Nchi hii ilikuwa na kaaina fulani ka ukabila ikamkosa Dr.Salim Ahmed Salim.Machifu wa huko Butiama wapo na walisimikwa na Mwalimu ili kulinda maadili.Usisahau kwa zaidi ya miaka 20 tulikuwa na kidumu chama cha mapinduzi na zidumu fikra za mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere.
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 Ай бұрын
Huu ndio tunaousema unafiki wa baadhi ya viongozi, mbona hayo hukuyasema wakati wa MJOMBA? Je hukuyaona?Je ndio umeyaona leo?Je umeyajua leo?Unachokifanya Babu ni matokeo ya uhuru uliopo,kwa mjomba ulijifanya huoni, huu ndio unafiki tunaousema na ni rangi au sura mbili za baadhi ya viongozi wetu
@peterjengela1770
@peterjengela1770 Ай бұрын
Kwani kosa laki ni lipi?
@ManenoMahenge
@ManenoMahenge Ай бұрын
Baba mungu akupe uhai siku nyingi maana hakuna mwana ccm mkweri nampenda ukweri kama wewe, bigap sana baba yangu,
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
Sasa leo kama anasema kitu chema tusisikilize kwakuwa hakusema wakati wa mwamba huyo unayemsema? Kweli akili ni mali
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
2019 kulitokea nn na 2020 kulitokea nn? Yaan ww tulikusoma ulikuwa timu lowasa! We mzee nenda kalee wajukuu ni mtanzania mjinga atayejiona anaishi kwenye ubongo wako uliochoka kabisa
@ismailramadhani1649
@ismailramadhani1649 Ай бұрын
Ww nawe unaishiwa na kumbukumbu kuliko hata Mzee Warioba sjui ukifikia umri kama wa Mzee Warioba aliyonao sasahv siui itakuwaje. Sasa 2019 na 2020 hayati Mzee Lowassa ametoka wapi wakati Lowassa ilikuwa ni 2014 na 2015 ndiyo aligombea Urais? 2019 na 2020 Tundu Lissu ndiyo alikuwa mgombea Urais wao na Chadema.
@ManenoMalekela
@ManenoMalekela Ай бұрын
Malekela-99 Mzee wangu Tulio pigania uhuru wengine bado Mungu anatupenda na tupo Kwahiyo tunakujua na kukuelewa na uwezo wako wa kiuongozi na jinsi ulivyokuwa siyo mtendaji mzuri. Kama ungekuwa na mawazo na ushaurizuri ungekwisha liona tatizo ni Nini hadi wanafikia hapo Unaweza kuwaonyesha watu katika historia ya kisiasa wewe upo wapi. Sasa usiwadanganye watu kwamba una busara. Mimi nakunia tangu upewe nafasi ya Mwanasheria Mkuu na baadaye uwaziri Mkuu . Najua Viongozi karibu wote waliopo sasa hawakujui. Mungu akinijalia uhai nitakuandikia maelezo kukuonyesha mapungufu Yako Asante
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 Ай бұрын
Kila mwanadamu ana mapungufu yake. Wanaomfahamu mzee Warioba ni wengi. Mbona hawajakurupuka like you? Nadhani wewe ni kati ya wauaji na watekaji wa Watanzania. Ni bora ungekaa kimya tu. Usije kumpiga kama bashite alivyo jidai kumpiga. Hamna hoja bora unyamaze tu
@AlexMlaba
@AlexMlaba Ай бұрын
Uhai wa watu unamuhimu kuliko uchaguzi mzee
@willymdeka6034
@willymdeka6034 Ай бұрын
Ulipewa uwaziri mkuu ukaishia kunywa gongo tu
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya Ай бұрын
ukitakiwa uthibitishe utaishia kutoa mafua.
@abdulmajidmageja6562
@abdulmajidmageja6562 Ай бұрын
Tunataka uthibitisho kwa jambo hilo
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Kawaida yetu, huyo mzee alishatwambia hajawai kuonja. Ni mzee sasa heshima ya kiafrika hujui?. Hata hivyo kakosea nini?. Tabia ya upuuzi puuzi inatupeleka wapi?.
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
Umri wako humjui Warioba huyu Mzee itafika wakati mtamtafuta kwa tochi.
@MuhagamaSeletine
@MuhagamaSeletine Ай бұрын
Safari ni ndefu
@HamisWawila
@HamisWawila Ай бұрын
Uzee shida sana
@frankkaronge1609
@frankkaronge1609 Ай бұрын
Nimejiuliza na kutafakari kwa muda mrefu, hivi ni kwa nini Paul Makonda alimpiga ngumi Mzee Warioba hadharani na hakuwahi hakuchukuliwa hatua yoyote mpaka leo, wala sikuwahi kusikia kama aliwahi kuomba radhi, badala yake anapewa vyeo mbalimbali. Kuna siri gani kwa viongozi walio madarakani kati yao na Makonda?
@khamisifalaki4951
@khamisifalaki4951 Ай бұрын
Huyoo mzee mnafiki sana wakati wa mwamba hakusema lolote leo maneno yake anasaport chadema
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Ай бұрын
Mwamba yupi unamrejea?
@EastherEmmanuel
@EastherEmmanuel Ай бұрын
Wacha kutukana baba yako Mungu atakuadhibu huyo anaweza akawa mzazi wa mzazi wako. Huna cha kuchangia piga kimya kukaa kimya sio ujinga
@EastherEmmanuel
@EastherEmmanuel Ай бұрын
Wacha wewe kutukana huyo ni mzazi wako au anaweza kuwa mzazi wa mzazi wako. Mungu asije akakutembea kichapo .huna cha kuchangia kaa kimya kukaa kimya si ujinga !!
@SebastianNgimba
@SebastianNgimba Ай бұрын
wasio na akili nchi hii hawata mwelewa baba yetu huyu na pengine mungu anamuacha kwa makusudi ili iwe baraka kwa nchi ya wenye akili
@obaidothmanalbulushi9196
@obaidothmanalbulushi9196 Ай бұрын
Mbona kina lema hutukana wazi wazi hukemei naona upo upo tu​@@EastherEmmanuel
@IddySeleman-w3w
@IddySeleman-w3w Ай бұрын
Ahsante Mzee warioba kwa ukweli
@DeodoriKakuru
@DeodoriKakuru Ай бұрын
Huyu ndio mdemocrasia
@frankraphael7546
@frankraphael7546 Ай бұрын
Kweli makonda alimkata mzee mama alaaniwe kabsa
@ericzking23
@ericzking23 Ай бұрын
KUPIGA KURA😢😢😢😢KULA KULA AFRIKA ILILAANIWAA
@joshualusato2099
@joshualusato2099 Ай бұрын
Tumekusikia mzee.... M Tanzania halisi...
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Kura watu wanapiga lakini tume ndio inawachagulia wananchi viongozi.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Sasa polisi ni j Chama cha CCM? Kwa nini ndiyo waowanajibu kuhusu CHADEMA? Kama kutakuwa na machafuko yataletwa na polisi na CCM. Mimi sina chama cho chote lakini kinachotendeka.
@benedictkiduga479
@benedictkiduga479 Ай бұрын
Oya bando inaisha na sauti hatusikii kulikoni au mmeficha ujumbe
@FidelisiKidungu
@FidelisiKidungu Ай бұрын
ACHA KUCHOCHEA MATABAKA AU UBAGUZI WA MAKABILA
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy Ай бұрын
Mzeee warioba ana akili kubwa sanaaaaa
@benedictgamuya8855
@benedictgamuya8855 Ай бұрын
Sikutegemea maneno kama haya toka kwa mheshimiwa jaji mstaafu Warioba. Lakini bado sijaona akisimama na Katiba inayotakiwa na wananchi. Kemea maovu na simama na katiba. Una mengi na heshima kubwa
@damianichayo895
@damianichayo895 Ай бұрын
Kwanza wengine mnacomment TU Kwa interest ya uvyama Wala hamumuelewi. Yeye mwenyewe hakubaliani na kupinga kupinga tu kila kitu. Anataka kusikilizana. Wengine wakiitwa hawataki ni kufikiria kulazimisha ugomvi tu!
@FidelisiKidungu
@FidelisiKidungu Ай бұрын
Ni wewe Damiani Chayo uache Ukabila
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
Huyo Mzee ukimpuza ni kwa sababu zako binafsi anaongelea ukweli usio na kificho wala maslahi binafsi.
@SholeBigsaund
@SholeBigsaund Ай бұрын
Samia sikia hekima hawa wezee huwaon kwann usiwaombe ushauli kwann unapuza hekima zawatu kama hawa hyo ni azina
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd Ай бұрын
Msajili ni agent wa CCM. Kila wakati wapinzani ndio wanaokosea, CCM wao hawakosei chochote!.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
AJALI 2019 NA 2020😢😢😢
@zidatv1122
@zidatv1122 Ай бұрын
Mzee jina lako lita enziwa duniani na hata mbinguni. Najuwa ccm hawapendi unavyoongea ukwelii. Ila thamani yako nikubwa sana kwaa hii nchi
@MohdHamad-zr8ll
@MohdHamad-zr8ll Ай бұрын
Weweni Mtu wa busara na huruma kwa Raia
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Wewe mzee acha nidhamu hizo za uoga,wewe kwa umri huu unaogopa nn ilibidi utuongoze kwenye msafara. Huu uoga wako ndio umetufikisha hapa leo kumbe! Unasikilizia hewa. Unashauri au unaleta nidhamu ya uoga sasa!!! Hapo sijakuelewa hata kdg
@damianichayo895
@damianichayo895 Ай бұрын
Haya hapo sasa si viongozi wenu wanadai Rais sio wa huku na huku mnamsuport Walyoba? Hapo sasa mnasemaje? Yaani chama hiki Mungu awasamehe tu.
@OswadSanga-hb2vi
@OswadSanga-hb2vi Ай бұрын
Mmmh huyu tunu ya taifa tuitumie
@khamisifalaki4951
@khamisifalaki4951 Ай бұрын
Sisi hatuendi kwenye maandamano
@KaroliMushi
@KaroliMushi Ай бұрын
Wala huitajiki shoga weee
@EmanuelKini
@EmanuelKini Ай бұрын
Mbona mnakata
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Ай бұрын
Wote waliomo humo wanapoteza muda na fedha, vyama vyote vimejaza magenge ya mabepari, makabaila na wapenda madaraka, mwisho wake vurugu tu, kama nyie ni wakweli tuanzishe mfumo wa kupata viongozi bila uchaguzi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Judge Mkuu kweli yupo au yupo kwa sababu ya aliye mteuwa? Ni kama haupo.
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Ай бұрын
Mzee Warioba usikufe kabla haujahakikisha Tanganyika inarudi. Mzee ndio tunu chache zilizobaki
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
Yaani nalitamani hilo hata sasa
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza Ай бұрын
Chadema hoye
@damianichayo895
@damianichayo895 Ай бұрын
Kuna swali najiuliza. Utasikia chama Fulani eti watanzania wanaumizwa. Watanzania wamechoka. Watanzania mara hili mara hili. Ah watanzania wapi? Sema wasukuma wa Mwanza, sio wasukuma wa Tanzania. Wahehe wa Iringa. Wagogo wa Dodoma. Sema watu specific sio watanzania. Mbona tusiokubaliana nao wanaodai hayo tuko wengi Tena karibu 7 ya 8. Sasa watanzania Gani. Ni kikundi ndani ya watanzania. Ukisema hivyo hapo sawa. Huo ndo ukweli. Fumbuka/ fumbukeni
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Suala la Hussein Mwinyi hajabakuliwa Bali si haki kwani hili la Zanzibar limo ktk Katiba na hao uliowataja walikuwa kupindua Serikali halali iliyochaguliwa na Wazanzibari wenyewe na kujipandikiza kuwa Wazanzibari hili hasaa ndilo tatizo linaloitafuna Zanzibar
@jumanneomary2997
@jumanneomary2997 Ай бұрын
Mzee warioba acha kutembea naupepo wewe ulikua Waziri mkuu ulifanya nini
@khamisifalaki4951
@khamisifalaki4951 Ай бұрын
wewe mzee uchaguzi utakua salama inch yetu wote hatuwezi kuchafua eti kwa maneno ya chadema
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le Ай бұрын
Huwezi kuelewa kitu.. Wewe tatizo umri!
@StevenTambi
@StevenTambi Ай бұрын
Mpuuz ww
@fredylucas2484
@fredylucas2484 Ай бұрын
Mzee aambiwe hao kina Kabudi sasa hivi wamekua Chawa
@hakeemh.nyange5440
@hakeemh.nyange5440 Ай бұрын
Sikuwa nakia hii
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Wabunge wote walioko bungeni walikuwa chaguliwa na Magufuli kwahiyo ni lazima wapige uchawa. Sisi wanainchi hatukuwachagua kwahiyo haoni umuhimu wetu kwa sababu hatukuwachaguwa. Nasikitika kumtaja Magu lakini legacy yake aliyoifanya katika uchaguzi wa 2019 na 2020. Ndiyo iko kwenye kila mahali hakuna siasa leo bali ni kutaka utawala kwa lazima.
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 Ай бұрын
Nina uhakika kabisa walicjaguliwa kwa sababu utekelezaji wa ilani ya CCM ilikuwa mzuri mno!asiyeona hilo ni shabiki asiyejitambua tu!Tujihadhari na watu wa aina hiyo ni hatari kwa usitawi wa taifa letu!
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg Ай бұрын
Magufuli alikuwa hataki vyama vingine alikuwa anataka chamabkimoja Tu kitawale ndio maana alizuiya mikutano ya vyama vingine aliicost kwahilo
@damianichayo895
@damianichayo895 Ай бұрын
Sema wewe furani sio wananchi msijidanganye. Sisi tuliwachagua na Magu ndo jembe Africa hakuwa na tamaa kama yenu ndo maama mlimchukia
@AkidaDaudi
@AkidaDaudi Ай бұрын
Unanimalizia bando we mzanaki mwenzangu ,mm nakupinga hapa hakuna vurugu ,r
@georgesteven5185
@georgesteven5185 Ай бұрын
0🧠
@MaryamSalim-g4c
@MaryamSalim-g4c Ай бұрын
🍼
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Ай бұрын
Huyu mzee simkubali tangu zamani, akiwa waziri mkuu na mbunge wa bunda alifanya lipi la maendeleo kwenye jimbo lake?, kama anaheshimu uamuzi wa watu mbona alikimbilia mahakamani aliposhindwa ubunge na mzee Wasira?, yakafutwa matokeo na Wasira akazuiwa kugombea kwa miaka mitano
@khamisifalaki4951
@khamisifalaki4951 Ай бұрын
Wewe mzee komaa nchi haiendeshwi na mawazo ya chadema upinzani tuko vyama vingi tafadhali wewe
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Ай бұрын
Hata kama viko vingi kimoja ndo kinapewa nafas
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman Ай бұрын
Ww mjinga
@damianichayo895
@damianichayo895 Ай бұрын
Chama kimoja hakijapewa nafasi bali kinajipa nafasi
@damianichayo895
@damianichayo895 Ай бұрын
Kuna swali najiuliza. Utasikia chama Fulani eti watanzania wanaumizwa. Watanzania wamechoka. Watanzania mara hili mara hili. Ah watanzania wapi? Sema wasukuma wa Mwanza, sio wasukuma wa Tanzania. Wahehe wa Iringa. Wagogo wa Dodoma. Sema watu specific sio watanzania. Mbona tusiokubaliana nao wanaodai hayo tuko wengi Tena karibu 7 ya 8. Sasa watanzania Gani. Ni kikundi ndani ya watanzania. Ukisema hivyo hapo sawa. Huo ndo ukweli. Fumbuka/ fumbukeni
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 138 МЛН
PIZZA or CHICKEN // Left or Right Challenge
00:18
Hungry FAM
Рет қаралды 13 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,9 МЛН
Real Man relocate to Remote Controlled Car 👨🏻➡️🚙🕹️ #builderc
00:24
#LIVE: MEZA YA BUSARA  | ISRAEL KATIKA UNABII  |  Urusi Na Iran Vinara.
1:17:10
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 138 МЛН