Joho pays his last respect to the Likoni ferry tragedy victims

  Рет қаралды 131,422

Nation

Nation

Күн бұрын

Пікірлер: 161
@presenternathan9490
@presenternathan9490 5 жыл бұрын
God has done it n we thank God for this day.like if u agree God done it
@lenardkaime7200
@lenardkaime7200 5 жыл бұрын
Wanasema kingah ni bora kuliko tiba,wherever Mr hon,ally hassan joho our respected governor said is true, but I think it's good the diver's wawepo kivukoni ferry in case of anything waeze kuokoa wakishindwa itaeleweka juu hao pia ni binadamu,and also to find another way ya kuvukia apo ferry kama daraja kujengwa ni ngumu ferry nazo zimezeeka ata hautamani kupata safari ya likoni ukiwa uku pande ya mombasa
@lenardkaime7200
@lenardkaime7200 5 жыл бұрын
Hao wanavuka na Marine bout ama ndege,wakenya wameachiwa ferry zisizokua na usalama wowote,umuhimu wa wanainchi kwa viongozi uko wapi,juu kama kuna mtu ako right akiwa na wananchi ni kiongozi,anyway ndo majaliwa yetu hayo pwani.
@carolynenafula3375
@carolynenafula3375 5 жыл бұрын
Bt selikari muajibike KAZI yenu pliz
@alijama8780
@alijama8780 5 жыл бұрын
Respect to our divers and all who took part..special thanks and prayers to our courageous Kenya Navy...may the almighty God protect you in all operations.
@eaambetsa3914
@eaambetsa3914 5 жыл бұрын
Ur right,hata huyo aliingia kuokoa huyu mama be4 gari izame msimuwache bure.He tryed but it couldn't. Amen.
@naimastadi3133
@naimastadi3133 5 жыл бұрын
Ni mtu gani huyo
@adelsamkundukuvi7457
@adelsamkundukuvi7457 5 жыл бұрын
Thanks for good work God has done, l give all the glory to him:
@shakira1301
@shakira1301 5 жыл бұрын
Yah right
@faithbahati4394
@faithbahati4394 5 жыл бұрын
Yah
@ahmehomar7915
@ahmehomar7915 5 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa gari nyengine sio hiyo yaa maryam
@nabwilelinet7027
@nabwilelinet7027 5 жыл бұрын
Mungu awabariki my brothers wenye mulijitolea kutoa Dada yetu na mtoto na gari for sure si kazi rahizi
@josephineyokela4445
@josephineyokela4445 5 жыл бұрын
Thank you for all u have done to mariam and her daughter and Kenyans at large glory to Jehovah
@carolynemuthee9366
@carolynemuthee9366 5 жыл бұрын
May God bless those who were involved in retrieving the car and the bodies
@miken9185
@miken9185 5 жыл бұрын
So what are we gonna do to prevent this from occurring again..
@didahnassir8191
@didahnassir8191 5 жыл бұрын
Whatever Allah plan no man can prevent it frm happening
@aurapanorama1634
@aurapanorama1634 5 жыл бұрын
Kutumia uhuru na uamuzi wa busara kuchagua viongozi bora na kuhakikisha kuna usalama wa kutosha ferry eg diver and emergency rescue team.
@theressathuo1303
@theressathuo1303 5 жыл бұрын
@@aurapanorama1634 I fully agree with you. We should elect leaders who care and protect the common mwananji's interest and to have proper equipments and proper trained divers to avoid depending on help from foreigners even for emergencies.
@lucinyoike76
@lucinyoike76 5 жыл бұрын
Respect to the spokesman umeambiwa mengi 🙏🙏🙏
@aggieian4985
@aggieian4985 5 жыл бұрын
Very true
@jamesodau3097
@jamesodau3097 5 жыл бұрын
Acha mungu afariji hiyo jamii
@Ladypeace12312
@Ladypeace12312 5 жыл бұрын
a governor proudly saying lots of cars have submerged before.As a governor, shouldnt u have done something to make the ferry very safe ? instead of wasting money on clothes and vacations ?
@mody-guyngido2792
@mody-guyngido2792 5 жыл бұрын
Great job indeed,mpeni ajira Musa musimsahau kabisa.
@lulu5111
@lulu5111 5 жыл бұрын
Mungu awajalie maisha marefu..thank you God..uabudiwe milele
@chrisogonas
@chrisogonas 5 жыл бұрын
Indeed, whatever the false start, the recovery team has done a marvelous job. Respect to everyone involved.
@berylatieno8175
@berylatieno8175 5 жыл бұрын
may GOD comfort the family of mariam and daughter, respect to those who were involved in the recovery mission, GOD BLESS YOU ALL
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 жыл бұрын
Alhamdulilah, Allah awape subra na imani katika Jambo hili la huzuni InshAllah heri nikiwa London U.K
@faithbahati4394
@faithbahati4394 5 жыл бұрын
Thnkc Soo much our neighbors
@TheSuyanka
@TheSuyanka 5 жыл бұрын
What you are not addressing is what will be done for such an incident not to recur. There was negligence on the ferry and 2 lives were lost we cant just say it's an accident and forget about it
@zulihanani7355
@zulihanani7355 5 жыл бұрын
I say God bless u all,joho twashukuru governor from uganda
@ubamnyamwezi6698
@ubamnyamwezi6698 5 жыл бұрын
Well said Mr Joho,
@paulnjoro667
@paulnjoro667 5 жыл бұрын
We know accidents happen but we don’t understand lack of urgency, why no safety measures put in place?? , why no emergency team available when the car was floating??, Kenyans will never learn anything, why no people trained to deal with this accidents?. How do we prevent this type of accidents?. May lord give the family strength and peace to deal with this tragedy.
@langattlydia2397
@langattlydia2397 5 жыл бұрын
God can do wonders.... great divers indeed.. b blessed
@catewangari2016
@catewangari2016 5 жыл бұрын
Kudos divers kufunga iyo gari ivo sio kazi rahisi
@johnsobby685
@johnsobby685 5 жыл бұрын
Well said,,,not a rescue mission but a retrieval mission
@samirysebdaddy5986
@samirysebdaddy5986 5 жыл бұрын
Yauma sana,
@redibatafulai2583
@redibatafulai2583 5 жыл бұрын
True Thanks God..glory back to you, Poleni familia Mungu awatie nguvu
@joanmwangi5624
@joanmwangi5624 5 жыл бұрын
Wah my first time to hear joho briefing on media, wah nimepeda, glory to God for making the mission successful n protecting our divers.
@linnaeuskospen629
@linnaeuskospen629 5 жыл бұрын
Joho! Wacha kutuenjoy hapa. It took the cry of the citizens for you to even show up. The government was not prepared, they were buying equipment as needed. Not to talk of the total negligence that cause the car to plunge. Will it happen again, YES! and you know it.
@ruthwaitherero7662
@ruthwaitherero7662 5 жыл бұрын
Wonderful speech and encouragement May God be glorified for for making it safe for the divers Rip Mariam and Amanda
@kevinondiek8720
@kevinondiek8720 5 жыл бұрын
It's so sad to see all kind of Divers but when they were needed the most no one to be seen..Sad and shameful
@rashidmoreno4162
@rashidmoreno4162 5 жыл бұрын
Joho i salute ... Thank u ❤ sir good n Allah bless u
@susanrodhes9402
@susanrodhes9402 5 жыл бұрын
True Mr Joho It's by grace
@aurapanorama1634
@aurapanorama1634 5 жыл бұрын
Better safe than sorry just inshort mumezembea kama viongozi. Thank you God
@theworldtoday366
@theworldtoday366 5 жыл бұрын
OK Joho🙄🙄🙄.. Maybe you should get to work and ensure all the ferries are safe and people actually do what they are supposed to do.. We are done with all these tragedies that can be avoided but they still happen cus of negligence.
@hellennicole4500
@hellennicole4500 5 жыл бұрын
God has made it happen. We thank Him for everything. Actually today has been His (God's) time n He has made the impossible possible, that's why He's called God of impossibilities n his time is always the best.
@levinamaghanga8869
@levinamaghanga8869 5 жыл бұрын
My uncle drowned & died at likoni ferry in 80's please we need divers & speed boats be permanently stationed at the sea shore of likoni ferry to avoid such incidents in the future, it's always better to rescue smone while he's still alive than recovering a dead person.
@yusufsuleiman742
@yusufsuleiman742 5 жыл бұрын
Allah awajalie walio husika kwa uokoaji, japo imechukua mda mrefu bt wakafaulu, inshaallah Mola awajie wote
@lenardkaime7200
@lenardkaime7200 5 жыл бұрын
But just to be honesty and open the car is not the same with the one drowned in ferry watch it well Kenyans,use your too eyes
@siafusiafu6882
@siafusiafu6882 5 жыл бұрын
NO JOHO EVERY GOVERNMENT MUST HAVE CAPACITY TO DIVE IN ANY ERTREM CONDITIONS,,,WHAT ABOUT IF AN ANY IS HIDING IN A SUBMARINE THERE?? OUR PROBLEM AS BLACK PEOPLE WE DON'T HAVE LONG TERM PROBLEMS SOLVING SKILLS
@abuujr8260
@abuujr8260 5 жыл бұрын
Respect to all the divers👏👏
@moureenmatagamataga4281
@moureenmatagamataga4281 5 жыл бұрын
Walai they succeeded God bless
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 жыл бұрын
Ndio mjipange sio mnaajiri watu wasio jitambua wanalipwa na mkasa ukitokea pesa ya wananchi itumike tena kuleta watu kutoka inje,kuanzia sasa hao wote waachishwe kazi Uhuru aje wachukue binamu zake aende nao gatundu muajiri watu wa pwani wenye na uzoefu na mambo ya bahari
@deepsea2141
@deepsea2141 5 жыл бұрын
Prevention is better than cure. Serikali ingelikuwa imeajiri wazamiaji wapwani ambao watakuwa wanalipwa kila mwezi kwa kazi ya uokoaji, ingelikuwa imezuia majanga kama haya. Lakini serikali itaajiri watu kutoka milimani na wakulima kuja kufanya kazi ya kuzamia bahari. Serikali ovyo sana na Joho ni mpuzi kabisa
@cb8496
@cb8496 5 жыл бұрын
Ok, fuck this pwani bullshit. Where the fuck has their expertise been all this time. Why didn't they put it on display for us all to see instead of coming on here and talking nonsense. We're all kenyans and can work and live wherever the hell we want. Be done with that tired, useless pwani argument.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 жыл бұрын
@@cb8496 ,mbona hujauliza Uhuru? Ili janga nilawakenya na ukizingatia hicho kivuko ndio kivutio cha kwanza Kenya,hau kingekua gatundu ndio kingejaliwa?viongozi wote wa Kenya ni takataka
@levinamaghanga8869
@levinamaghanga8869 5 жыл бұрын
Many thanks toGod almighty...& to the entire recovery team, we need divers & speed boats based at the sea shore of likoni ferry.
@priscillanjeri1981
@priscillanjeri1981 5 жыл бұрын
Pole to the family..... God give them comfort.......
@hanifaali9526
@hanifaali9526 5 жыл бұрын
Thank you governor joho you have a kind heart, May Allah reward you. Ameen.
@aligedi2869
@aligedi2869 5 жыл бұрын
Wacha ujinga serikali kuu inakupa pesa, Hata kununua cheni munashindwa? Na wewe ni gavernor, kisha unakikifua kuongea, shame on you, wewe Ndio unapenda kuongea Sanaa kazi zerooo
@franciscahkiema3908
@franciscahkiema3908 5 жыл бұрын
marriam&Amanda. rip..may.lord.dwel.with.de.family.......
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 5 жыл бұрын
Subhaannah Allaah tuaminii Allaah Alikuwaa Ashamuandikiyaaa kifoo chake kitokanee kufaa baharini.nasisi hatujijuuwi marehemu yeye na mwanaweee Amesitirikaa na siyee hatujijuuwi.tuombee husnuh khatimaah na shahadaa.na kwa woteee.Alhamdulillaah ameshapatikana na watu wakee kuwaonaa.kulaa Alofanyaaa bidii na kusaidiyaaaa na kuwatowaa .wanaa funguu lao kwa mwenyezimngu mwenyezimngu ..mitihani hupewa wajaaa.na siyee sotee in sha Allaah tutakuwaa minaal faiziennnnn.
@mohamedalharthy3373
@mohamedalharthy3373 5 жыл бұрын
Cha msingi muwape vijana waliokuwa na ujuzi zaidi wakupiga mbizi walio kaa hawana makazi,so they can support kama mmoja wapo Musa mwenye ujuuzi mkubwa na wakutaabirika,
@THISIS4REALTHO
@THISIS4REALTHO 5 жыл бұрын
My friend's dad died in an incident like this in the eighties. Aggrey Ilongo 'ma-beat’ remember you man!
@sirwejah
@sirwejah 5 жыл бұрын
My condolences to the family and may God be with you on this hard times....... my frustration goes out to you governor,, you had to pay 2million to a private company to help us out while stupid lazy Kenya navy are right there sleep.. matumbo tuu
@vgeegodseed1720
@vgeegodseed1720 5 жыл бұрын
God bless all of them .spoke man you are strong .congrats...
@mercyndanu9045
@mercyndanu9045 5 жыл бұрын
Getting to that water so kitu rasihi
@mercyndanu9045
@mercyndanu9045 5 жыл бұрын
Am I diver my self but past 20 meters siwezi enda ...temperatures change .... See habitats are all over ...there are current s ... Darkness comes in....I sulute all
@samiramohamed3994
@samiramohamed3994 5 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH ALLAH AWAJALIYE KHERI NDUGU ZETU WALOFAYA ZOEZI HILO NA KUJITOLEA TUNAWAPA POLE NA MITIHANI HIYO
@milkanduku2227
@milkanduku2227 5 жыл бұрын
Joo amekuawapy hizo siku zote na nn yy gova wamombasa.
@agnesmwikali539
@agnesmwikali539 5 жыл бұрын
Unaongea ukweli joho watu poroporo tu,this is ocean
@josephinenyaega7919
@josephinenyaega7919 5 жыл бұрын
God is wonderful and His time is the best time condolences to the family
@joycesanta1931
@joycesanta1931 5 жыл бұрын
Amen amen may all be blessed
@fanuelahmutali254
@fanuelahmutali254 5 жыл бұрын
God bless all divers participated
@b.s.6073
@b.s.6073 5 жыл бұрын
Nani kama mungu!!
@celestineosore7979
@celestineosore7979 5 жыл бұрын
hakuna dadangu,His time is the best.
@rosesande4468
@rosesande4468 5 жыл бұрын
Thanx to God
@kibaopipa3474
@kibaopipa3474 5 жыл бұрын
WE WACHA JOHO KUNA VIJANA WENGI SANA PWANI WANAWEZA FANYA KAZI HIYO KWA MUDA MFUPI SANA I HOPE MUME LEARN A LESSON
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 5 жыл бұрын
kabisa wamejifunza kitu hapa wapatieni vijana ajira musa na group yake mbona joho hili uliongelei
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 жыл бұрын
Tushukur kwa yote🙏ila kazi ya kweny maji so kaz ndogo kama tu navyojua.
@omaratik2778
@omaratik2778 5 жыл бұрын
Serikali inapaswa kuweka usalama wakutosha hapo ferry kuhakikisha hatua za kisasa zinachukuliwa kuhakikisha usalama wa wananchi sio watu kidogo 300000 thousands per day wanatumia hiko kivuko NAVY wawe wakipiga doria 24/7
@donnievangie4913
@donnievangie4913 5 жыл бұрын
So what is the way forward mr. to prevent any other tragedy...put some measures please
@marylynkenya3121
@marylynkenya3121 5 жыл бұрын
Glory be to God, I salute the divers for good job
@minookaun837
@minookaun837 5 жыл бұрын
Shame on you there is No safety No justice stop excusing yourselves
@salimjumas2839
@salimjumas2839 5 жыл бұрын
Fact
@jennefergikonyo9766
@jennefergikonyo9766 5 жыл бұрын
That's very true Joho, some were finding it easy but,only God knows
@mwalauzimchonga7266
@mwalauzimchonga7266 5 жыл бұрын
Back home
@mohruga9297
@mohruga9297 5 жыл бұрын
Mungu awabariki sana wapiga mbizi
@ndzmah47ali6
@ndzmah47ali6 5 жыл бұрын
Kisha museme joho hafai uwa mwapenda kupiga midomo tu kwa kazi musizo zijua Allah azidi kukuongoza In shaAllah
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 5 жыл бұрын
Hafai ndio
@ndzmah47ali6
@ndzmah47ali6 5 жыл бұрын
@@abdulrahmanmussa4479 kwako wewe basi
@ndzmah47ali6
@ndzmah47ali6 5 жыл бұрын
@@rachaelwangui5915 hahahaha tano tenaaaaa upendi meza wembeee
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 5 жыл бұрын
Rachael Wangui Hata Wewe hufai mavi ya paka kikuyu Manyoko zako
@ndzmah47ali6
@ndzmah47ali6 5 жыл бұрын
@@hassanovajunior6972 santhaaa mwambie kumbe nyani haoni kunduleeee 😏😏😏😏
@fauzawadh8979
@fauzawadh8979 5 жыл бұрын
Let's prevent this kind of scenario NOT to happen again. Kenya Ferry services together with the government. Please take the matter ASAP.
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 5 жыл бұрын
hongera kwenu wote mulio fanikisha s hugul ya kuokoa mariam na Amanda kwa maombi anakula kitu mungu ametuwezesha
@cathrineshikoo6941
@cathrineshikoo6941 5 жыл бұрын
Well said , joho
@mufamozmufash166
@mufamozmufash166 5 жыл бұрын
👏👏👏🤝to solgers be humble and blessed champ 💪 forever.
@eunicelovey
@eunicelovey 5 жыл бұрын
Mungu awabariki nawalinde divas haikua easy
@leonardoketch9622
@leonardoketch9622 5 жыл бұрын
May God bless all the divers who took in retrieving the bodies from the ocean. Retrieving a vehicle that had plunged into the ocean 13 days ago is not an easy task.
@nasranassor2333
@nasranassor2333 5 жыл бұрын
Binadam wasiposema ndip ajabu manake kusema ndio maumbile yao bora wamepatikanal alhamdulillah mjombangu alizama na meli miaka 30 iliopita hata ukucha haukuonekana familia walilia kisha wakashkuru mungu
@nathanbosire6161
@nathanbosire6161 5 жыл бұрын
Well said Joho. May they rest well
@julietL2510
@julietL2510 5 жыл бұрын
BUT WHY THE KENYAN NAVY FORCE DIDN'T TAKE ANY ACTION WHEN THE CAR WAS DROWNING ??
@johnsonsontika7927
@johnsonsontika7927 5 жыл бұрын
Glory to God...
@beautybeauty7220
@beautybeauty7220 5 жыл бұрын
Great country indeed..
@maggynjuguna7892
@maggynjuguna7892 5 жыл бұрын
Mungu abariki hao wote wamejitolea baka hio mili ikapatikana juu hawakuchoka pia walifuga masikio kuhusu yale yote yamenenwa
@aggieian4985
@aggieian4985 5 жыл бұрын
Thank Jesus
@daughterofzion.9624
@daughterofzion.9624 5 жыл бұрын
May God protect those divers
@christinekache7157
@christinekache7157 5 жыл бұрын
Well said
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 жыл бұрын
Jamani mbona Uhuru na Ruto sijawasikia wakiongelea hili janga?au haliwahusu? Maana huu ni mkasa ambao umetendeka kwenye kivutio namba one cha Kenya mbona hawaongei?hau mimi tu ndio sijaona?
@stellaloves9879
@stellaloves9879 5 жыл бұрын
Agelikuwa magufuli agelikuwa ashafika kitambo
@janewashe7276
@janewashe7276 5 жыл бұрын
@@stellaloves9879 tena bila kuchelewa, shida yetu ss wakenya tuko na ubinafsi sana na kujifanya kusoma kwingi
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 жыл бұрын
@@janewashe7276 ,ni ukabila nakutojitambua
@janewashe7276
@janewashe7276 5 жыл бұрын
@@fatumamwalimu5765 kabisa dada, ni mbaya lkn ndio kila siku ni mvurugano tu aki
@irenesteve3329
@irenesteve3329 5 жыл бұрын
Hata wasipoongea bora mungu wa mayatima ametenda,,,let we appreciate to God
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 5 жыл бұрын
U shud b talking of hw wil ths b prevented bfre or after occuring.usijif tuuuu na kenya kips on borrwing help outsde countries.wat a shame.
@penanahome3299
@penanahome3299 5 жыл бұрын
Yes thaxs alot
@جنيتكينيا
@جنيتكينيا 5 жыл бұрын
MashaAllah Joho ukweli unaongea wakenya nimidomo tu nahajaliani.
@ikurosarah6453
@ikurosarah6453 5 жыл бұрын
Wee joho wacha panganga, if its sonko angetolewa within a minute coz he is irresponsibles man ,Even he can borrow tools from usa
@mildredjael1338
@mildredjael1338 5 жыл бұрын
Tunawashukuru ndio wanamaji na marine ,,lakini mama na mwanawe walikaa juu ya maji masaa ishirini,,,wapiga mbizi hawakuwa karibu,,, anyway hizo feri ni kuukuu,,leteni mpya muajiri vijana hapo Kama wapiga mbizi,,
@nadirisalaad3207
@nadirisalaad3207 5 жыл бұрын
Isay thank God and kdf soldiers who put their lives in danger to retrieve bodies of Amanda and her baby especial thanks to the divers who took part in rescue mission
@mohamednoorhassan2163
@mohamednoorhassan2163 5 жыл бұрын
Quran17:70: (Assuredly,we have honoured the children of Adam(with many distinctions)we have sustained their travelling on the land and the sea,and provided for them(their sustainance)out of pure,wholesome things,and preffered them above many of those whom we have created with particular preferment)
@bafaello2619
@bafaello2619 5 жыл бұрын
Amen
@lynetodieny3137
@lynetodieny3137 5 жыл бұрын
God is good again
@mosham1451
@mosham1451 5 жыл бұрын
Glory to God
@evanceodera6928
@evanceodera6928 5 жыл бұрын
We've made it but let it not happen next time....
@jaihind4601
@jaihind4601 5 жыл бұрын
Crafty sad acting...anataka urais sasa...Mombasa ishakuwa ya kina heisenberg
@rukialulosman3712
@rukialulosman3712 5 жыл бұрын
Alhamdulillah it was really a very hard task. Congrats to tha divers Let's not forget Musa sila he has done alot for our Mombasa and saved many people without pay
@alexkadigi7407
@alexkadigi7407 5 жыл бұрын
R.I.p
@abdigg1846
@abdigg1846 5 жыл бұрын
Nothing to smile about what is the work of coast guard bwana gov explain to Kenyans
@aurapanorama1634
@aurapanorama1634 5 жыл бұрын
Please government stop employing cabbage farmers as kenya navy.
@aligedi2869
@aligedi2869 5 жыл бұрын
Hio kazi sio kubwa kuliko zile munazopora kwa mgongo wa wananchi, so unatuambia Nini wewe bure kabisa, kuongea my friend ni lazima tutasema
@westfannek7654
@westfannek7654 5 жыл бұрын
I like joho speech it's very true people are critizing our naval heroes for nothing tell them hon.governor and thkz for special speech and be blessed
@Vycek
@Vycek 5 жыл бұрын
What if it ain't an accident?
@felixmuiamulinge1128
@felixmuiamulinge1128 5 жыл бұрын
What are professionals for
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 5 жыл бұрын
Sasa kuanzia Sasa mumejifunza kitu andikeni watu ambao wanajuwa Tena muandike wainje sio hao wamwanzo hawana lolote kula pesa zsbure
@twinzmulambes4914
@twinzmulambes4914 5 жыл бұрын
Plesdent Kingston..ndio kuaamka🤔
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
Scammers PANIC After I Hack Their Live CCTV Cameras!
23:20
NanoBaiter
Рет қаралды 25 МЛН
Mo Farah vs Eliud Kipchoge at Two Mile UK Indoor 2012
13:06
Runners Awesome
Рет қаралды 13 МЛН
3 Hours Of WW2 Facts To Fall Asleep To
3:22:17
Timeline - World History Documentaries
Рет қаралды 3 МЛН
UFC 311: Пресс-конференция
25:45
UFC Eurasia
Рет қаралды 959 М.
Inside the V3 Nazi Super Gun
19:52
Blue Paw Print
Рет қаралды 2,3 МЛН
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН