Joka La Ginimbi Lajitokeza Msibani Kila Mtu Ajua Ukweli Baada Ya Kifo, Kafala ,Mama Yake Mzazi

  Рет қаралды 162,732

FILAMUZETU APP

FILAMUZETU APP

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
Munasikiya . D. N. A kua hiyo ni kazi kubwa, Every thîng ok hiyo nae ni kufuru wapi tumepata kusikia hayo basi huyo firaun huyo ndo kazikwa n'a Mali zake
@rebeckaitolya7535
@rebeckaitolya7535 3 жыл бұрын
Ila mmemsema mtt wa wtu jmn muachen apumzike mnaumba maneno mungu hpend
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
Hiyo ndo true . D. N. A si ya hamissa aliosema alikwenda kupima n'a akapewa saa hiyo hiyo . Mungu wangu wee
@benjaminwafula
@benjaminwafula 10 ай бұрын
Sijawai sikia tajiri Kaa huyo eti Ginimbi kupitiapitia kwangu hapa KZbin ndo nikaona hii video ya Ginimbi siku zote Mali au utajiri wa mapepo au ushetani au pia freemason Mali hizo hazidumu kamwe pambana kisabuni mungu wetu sio kipofu wala kiwete asikusikie wala kukuona fanya kazi na bidii huku ukimtegemea mungu mwamini mungu ipo siku utafanikiwa kibao chake bony mwaitege
@salamapembe456
@salamapembe456 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani amani ginimbi inshaallah Mungu akusamehe dhambi
@gracenyeho6621
@gracenyeho6621 3 жыл бұрын
Hakuna kusamehewa dhambi ukifa inatakiwa utubu kabla haujafa
@edithntwigah9160
@edithntwigah9160 3 жыл бұрын
Watu watafute pesa....yaani Mungu hawezi bariki mtu na pesa...mtu akitajirika ni shida...binadamu
@daudyminyanyasayi4713
@daudyminyanyasayi4713 3 жыл бұрын
Tunataka tuone huyo nyoka alivyotokeza hapo msiban nyie cyo wakweli achen uzushi wenu wa ajabu
@kicheleibasso5382
@kicheleibasso5382 3 жыл бұрын
Ubinadamu ni kazi
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Hivi nyie vichwa vyenu vibovu namna hiyo mnaamini mtu anaweza kuwa mchawi akawa tajiri au kuna joka linatoa pesa? mbona wachawi bongo ni masikini wa kutupwa kazi yao kuwadanganya tu watu pesa
@shakila3982
@shakila3982 3 жыл бұрын
Wewe hujui unasema nini, kuzaliwa ni bahati kufa lazima
@marymango3182
@marymango3182 3 жыл бұрын
Kwann msiwasaidie maskini
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
sio lazima vieneye sabab mtu akifa na ujauzito kilicho ndani kikafia ndani kinakua hakijazaliwa
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 3 жыл бұрын
Nafurai tu na hiyo sauti yako dada lakini unavoielezea hii story sijakuelewa dada, sawa na wemwenyee pia kua wasema huelewi
@herie16m
@herie16m 3 жыл бұрын
Hovyo Kichwa cha habari ni tofauti na ulichoongea!!
@rosemongi5273
@rosemongi5273 3 жыл бұрын
Mungu Kwanza vingine vyote tutaongezewa maana fedha na zahabu vyote Ni vyake utajiri na heshima vyote vinatoka kwake unitaka vya shetani ni lazima utavigaramikia Tena garama ya ajabu.
@geoginawabululu32
@geoginawabululu32 3 жыл бұрын
So sad kama ni ukweli mama katolewa kafara
@donmlevi
@donmlevi 3 жыл бұрын
Akuna nyoka ina tema pesa iyo ni uongo, pesa ina tengenezwa na machine sio nyoka,
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 3 жыл бұрын
Liko dear ila kwa ushirikina fatilia story za davistar mata mikasa
@victorialucas9094
@victorialucas9094 3 жыл бұрын
lipo ila unaweza ona mtu ana chen kumbe ni joka ww unaona chen usk linakua joka na linatema pesa ishamtokea kibaka kaiba cheni usk likawa joka linatema ela akawa hajui afanyaje alizimia kuzinduka imekua chen vile vile na akailudisha kwa mwenyew
@victorialucas9094
@victorialucas9094 3 жыл бұрын
Muoxha magali
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 3 жыл бұрын
Machine yeyote inayotengeneza pesa basi pesa hiyo inakuwa ni feki na huwezi kutumia pesa nyingi hivyo zikiwa ni feki au niongeze sauti
@kaimuulongo9590
@kaimuulongo9590 3 жыл бұрын
Ww wacha kubisha vitu usivyovijua ww kwan unazijua pesa za majini kama huzijui pesa za majini basi nitafute kwenye namba 0788888800 nikupe muongozo.
@jumanneathumani7015
@jumanneathumani7015 3 жыл бұрын
Kamata huyo nyoka lete hapa tuone
@garydenoh1532
@garydenoh1532 3 жыл бұрын
wah!
@morineakinyi1116
@morineakinyi1116 3 жыл бұрын
Waah
@khazinak9083
@khazinak9083 3 жыл бұрын
Haina haja ya maneno alikuwa na bahati
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 3 жыл бұрын
Uyu dada sijui kwann anawekwa kua mtangazaji anaudhi
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
Story ya joka iko wapi?
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 3 жыл бұрын
Sasa tulimtuma awe mchawi
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Ata aibu amna watangazaji kwan akuna Habari nyingine? Ya ata huruma mume kosa muacheni jamani mumemsema sana khaaa
@fidelisvenance6431
@fidelisvenance6431 3 жыл бұрын
Umbea tuuu hamna joka lililotokea msibani😏😏
@hemedmakunda5985
@hemedmakunda5985 3 жыл бұрын
Achen uboya jokajoka amna lamahana token apa
@zeddyone7553
@zeddyone7553 3 жыл бұрын
Iyo stori ya joka ipo wp Sasa jamani?,
@catherineaseka7781
@catherineaseka7781 3 жыл бұрын
sijaona joka likitokea hapo . dont judge people muachie mungu
@hemedsabuni4511
@hemedsabuni4511 3 жыл бұрын
Hiyo tabia yakueleza kitu tofauti na mada ni mbaya sana
@courtoiskimweli2506
@courtoiskimweli2506 3 жыл бұрын
😂😂😂😂wanatutamanisha
@khairatyabihudy2917
@khairatyabihudy2917 3 жыл бұрын
Usimseme Marehem maana yeye hana kauli yakupinga endapo utamzulia uongo
@khazinak9083
@khazinak9083 3 жыл бұрын
Wapewe maskini hizo pesa
@faridumkwawa8785
@faridumkwawa8785 3 жыл бұрын
Jmn muacheni tyu apumzike kwa amani Cox yatasemekana mengi
@peterkulwa4
@peterkulwa4 3 жыл бұрын
Jamani tuache uroho kwamba Kila tajirini frimasoni tuache uongo jamani
@hamisimbaruku1188
@hamisimbaruku1188 3 жыл бұрын
duuuu baraha hilo siyo masiyara
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Hilo joka mbona hatujaliona
@mkarangachrophas1450
@mkarangachrophas1450 3 жыл бұрын
Hilo uwaga lipo
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 3 жыл бұрын
jmn viumbe hela wapo nazo wanawaacha wagonjwa wanateketea
@neemasaimon6059
@neemasaimon6059 3 жыл бұрын
🐩🐩🐩🐩🐩
@manugwainvestments357
@manugwainvestments357 3 жыл бұрын
Na wewe mtangazaji maneno mengi sana mpaka unachoka hata kufuatilia sasa.
@kaswahilianatoli4173
@kaswahilianatoli4173 3 жыл бұрын
Sauti hiyo kambembeleze mmeo ila sio kutangaza
@susanekuyi2988
@susanekuyi2988 3 жыл бұрын
Hufai kutangaza dada
@ksnjos001
@ksnjos001 3 жыл бұрын
naniliiii... hawa andiki maneno kwenye karatasi hawa
@zalkahadams7339
@zalkahadams7339 3 жыл бұрын
Na vile nilikuwa na syke ya kuskiza ghaaiii
@irenenyambeki3094
@irenenyambeki3094 3 жыл бұрын
Wewe ni ovyo sana mada nitofauti kenye unaeleza nitofauti nyoka iko wapi bweha wewe
@gpp9667
@gpp9667 3 жыл бұрын
Hata hiyo kobe siiamini
@gladyskimamo7400
@gladyskimamo7400 3 жыл бұрын
Wacha niishi maskini
@rosemarymazongela3899
@rosemarymazongela3899 3 жыл бұрын
Wabongo ndivyomlivyo u on go umewatawala sana
@rosemarymazongela3899
@rosemarymazongela3899 3 жыл бұрын
Hiyonikufuru kwann azikwenapesa ? Wazipeleke atakwawatoto yatima
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 3 жыл бұрын
Haina watu wanagiki kama watagazi
@paulmrema802
@paulmrema802 3 жыл бұрын
Poor kabisa
@danielmkama4636
@danielmkama4636 3 жыл бұрын
Duu
@jumamangera8983
@jumamangera8983 3 жыл бұрын
Mwachen kufuatilia maisha ya watu mtu akifa visingizio huwa havikosi
@hemedsabuni4511
@hemedsabuni4511 3 жыл бұрын
Mbona unaeleza tofauti na mada?unamaanisha nini?
@joycepeter6678
@joycepeter6678 3 жыл бұрын
Umeona e
@cirilapalingo7867
@cirilapalingo7867 3 жыл бұрын
Achen kudadavua vtu wabongo tunakuwa wambea mtu kafa nyie mnapata fursa ya kutafutia kipato
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Jmn kifo kipo!!! Msijiwekee hazina hapa duniani bali jiwekeeni hazina mbinguni!!! Sasa bora kufa ukiwa masikini wa pesa kuliko kufa ukiwa tajiri wa mali nyingi. Hakika ni vigumu sana tajiri kuingia katika ufalme wa Mbinguni!!! Sasa mimi na ww tunajifunza nini???
@deusirichard3442
@deusirichard3442 3 жыл бұрын
Nkweli nmekuelewa
@johannahakim8470
@johannahakim8470 3 жыл бұрын
Mpishe bi FATMA anatuongezeya mchoko
@simonjonas6316
@simonjonas6316 3 жыл бұрын
Oisit
@sylviah9666
@sylviah9666 3 жыл бұрын
Sasa we mbuzi hiyo mada yko mbona ni tofauti na yale unayasema....waudhi wewe...
@mwathijoshuajoshua1549
@mwathijoshuajoshua1549 3 жыл бұрын
Ukiwamasini balaa ukitajirika shida yatasemwa mengi ila ajuwaye yote ni mungu.
@khadijamadiwa6067
@khadijamadiwa6067 3 жыл бұрын
Pumuzika kwaaman ginimbi
@joycepeter6678
@joycepeter6678 3 жыл бұрын
Umeona ee
@gboysam4384
@gboysam4384 3 жыл бұрын
Acheni hizo jamani
@gboysam4384
@gboysam4384 3 жыл бұрын
Kama ginimbi kuwa tajili inawauma basi na nyie ni vema muingie free Mason mpewe joka linalotema pesa acheni majungu bana
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 жыл бұрын
Mh
@simonymgaya0811
@simonymgaya0811 3 жыл бұрын
Wenimuongo bwana
@ismaelkirui8035
@ismaelkirui8035 3 жыл бұрын
Wewe hujielewi
@brianshukran2222
@brianshukran2222 3 жыл бұрын
Unaboa wewe
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН
BIG BOSS 6
9:39
FILAMUZETU APP
Рет қаралды 66 М.
KICHECHE LAZIMA UCHEKE......@Kmazagatv9385
1:08
BILARY TZ
Рет қаралды 30 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
Nugaz alivyoiteka harusi ya Haji Manara - 12/12/2020
12:39
Azam TV
Рет қаралды 309 М.
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН