SIYO MCHEZO...!!! BILIONEA GINIMBI KUZIKWA NA GUNIA LA HELA KWENYE JUMBA LAKE HILI LA THAMANI

  Рет қаралды 220,465

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 272
@gideonleonceelias5423
@gideonleonceelias5423 3 жыл бұрын
Hapa ndipo naona bora nife ni choka mbaya ila nife na Yesu, hapo tu, hapo tu, Yesu kwanza.
@sleymohamed3825
@sleymohamed3825 3 жыл бұрын
@Machage Machage 😀😀
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Ndo shida ya ulokole unaona fedha dhambi wakati ata yesu alilipa kodi
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 3 жыл бұрын
@@onesmojustice2348 🤣🤣wanajkutaga wasafii na midhambi tele
@allpotentials8420
@allpotentials8420 3 жыл бұрын
@Machage Machage ndo apo sasa yesu mwenyewe hapendi wavivu,,,kama unakumbuka wale Wazee wa talanta.
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 3 жыл бұрын
Amen
@helenamusa432
@helenamusa432 3 жыл бұрын
mmh Subhanallah tumuachie Allah kweli pesa izikwe na mtu
@roseurio503
@roseurio503 3 жыл бұрын
Kufuru bora wanafamilia mngetumia Akili walau mkazipeleka kwa watoto yatima wazee wajane mngebarikiwa sana sana
@alexmihayo5723
@alexmihayo5723 3 жыл бұрын
...Pesa za nguvu za giza haziana baraka ppt mama. Kumbuka Nuru na Giza havichangaman mama. He leave in ze power of darkness..( pipo saying)
@ameyashey3174
@ameyashey3174 3 жыл бұрын
Baba hazitaki hata kusikia hizo mali nyuma ya pamzia
@alexmihayo5723
@alexmihayo5723 3 жыл бұрын
@Machage Machage Tengua kaul yako haraka saana Puumbaav ww!! Uwe na adabu.
@johannahakim8470
@johannahakim8470 3 жыл бұрын
Pesa hizi hawawezi kufanya msada wote ju wanaogo watakufa lazima wazitumiye kimasheta ili Wakipe thamani chama chowo bila ivo watakufa, wote umoya Bada yaungine,ndio mana na wanafata masharti wamepewa na mwenz a kwote awo ni chama kimoja, ya rabbi tupe mwisho mwema, from🇧🇮
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Kila kitu kitaishia hapa duniani basi ni amali zake tu mungu atachukua sawa kubukeni dunia mapito 😢 mungu aiweke mahala pema peponi Amina.
@danielicosmas137
@danielicosmas137 3 жыл бұрын
Anae mtegemea mungu like twenzetu
@selemaninahimani820
@selemaninahimani820 3 жыл бұрын
Wamesahau kumzika na nyumba na magari yake yote 😂😂
@hongeramfugale3239
@hongeramfugale3239 3 жыл бұрын
😂😂😂 wamesahau na clabu yake
@dorkasedmund4962
@dorkasedmund4962 3 жыл бұрын
Umeona eeeeh
@binsultan6981
@binsultan6981 3 жыл бұрын
Uyu ata wakimzika na fly over ya tazara na B.O.T Tayar Kw sasa ni chakula cha wadudu
@mamachris6811
@mamachris6811 3 жыл бұрын
Mungu hapokei rushwa,hata ukizikwa na pesa utahukumiwa kulingana na matendo yako
@robertjunior9916
@robertjunior9916 3 жыл бұрын
Hawa vijana wanajua mikataba wanayoingia na mwisho wao huwa wanajua itakavyokuwa 🚴
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 жыл бұрын
Nalo ni neno
@FourTeen_Kiid
@FourTeen_Kiid 3 жыл бұрын
Asa nia yao nini kumzika na pesa nyingi hivyo, wakati kwa Mungu hakuna rushwa ni haki tu
@shamsahassan2586
@shamsahassan2586 3 жыл бұрын
Waambie wasoelewa kua zawadi kubwa yakwenda NATO ni amal take tu na c pesa
@niwemugenimediatrice5640
@niwemugenimediatrice5640 3 жыл бұрын
Haitawezekana !labda kupiga picha tu lakin atakuja kufufuliwa na kurudisha pesa kwenye mzunguka wake!
@allymacnair5189
@allymacnair5189 3 жыл бұрын
Lengo wapige maskin tu maan hataacha kuenda kulichimba kaburi
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Atazitumia huko anakokwenda ?
@FourTeen_Kiid
@FourTeen_Kiid 3 жыл бұрын
@@fatmaalnabhani3609 haiwezekani
@shemsahemed3577
@shemsahemed3577 3 жыл бұрын
Kuna watu wasojiweza mafukara mayatima wagonjwa hospital pesa wanazichezeya hivi subhanaallah
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 3 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema maan pesa nikitu kizr pia kibaya sana.
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 3 жыл бұрын
Pale Yuko Sasa, Akapewa nafasi ya Kufufuka tena, Atakuja kama Amempokea Bwana Yesu, Pole Mwanadamu😭😭😭😭
@farisytanzania6566
@farisytanzania6566 3 жыл бұрын
Hivi nyie kila kitu Yesu, kwani Yesu ni nani?
@frankmpoto5347
@frankmpoto5347 3 жыл бұрын
Yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa; EE MWANADAMU ITAKUFAIDIA NINI UKIUPATA ULIMWENGU HUU WOTE KISHA ROHO YAKO IKATUPWA JEHANAM? Maisha ya dunia hii si kitu hata ungekuwa tilionea halafu ukafa bila YESU; Hapo ujue moto wa jehanamu ya milele na milele unakusubiri, umaarufu wako wa duniani hautakusaidia kuikwepa ghadhabu na hasira ya Mungu; Kwakuwa ulijifurahisha katika dunia hii kwauovu sasa mshahara wako ni JEHANAM ya milele na kuliwa na funza huku ukilia kilio cha kusaga meno milele na milele; Wakati wakutubu kwa Yesu ni sasahiv unaposoma ujumbe huu; Kifo hakitoi taarifa wala hakichagui tajiri wala maskini; Je wewe ukifa sasa roho yako itakwenda kuishi wapi milele?
@christopherchebii5973
@christopherchebii5973 3 жыл бұрын
Hello guys It is so sad to loose such a person being a son, a brother, a neighbour, a business partner, a boy friend to some lady or some ladies, a father to a son or a daughter, is very painful guys, but when I see Ginius in a Christian way, he made his choice. The bible tells us guys that we will always reap what we sow. Life is a choice guys, Ginimpi is gone, what do we learn from his life? what can one say, I want to be like him? Was he a kind person? But the main issue here guys is, after his death, can he possibly be in heaven or hell? Guys that is not ours to judge, but for us who are alive today, can we be ready ,? Coz any time you may leave this earth, when you go, where will you be? Very important for us today, no matter where you may be reading this post death can meet you there, surrender your life to Jesus Christ so that when your time come, you are ready to go home. Be blessed guys.
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Kama nawew umemjua huyu jamaa alipokufakama mim nipe like
@rayaalaisari4592
@rayaalaisari4592 3 жыл бұрын
Ndio tujuwe kama Mali si chochote hapa Duniani... Una kufa vyote vinabaki.
@erickjohansen3445
@erickjohansen3445 3 жыл бұрын
Vyote vinabaki ila unaowaacha dunian unawaachache. Tufanye kazi kwa bidii
@ramahamis5793
@ramahamis5793 3 жыл бұрын
KBS unaenda kama ulivyokuja duniani
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 3 жыл бұрын
Kwaiyo uctafte Mali kisa unkufa?
@allpotentials8420
@allpotentials8420 3 жыл бұрын
@@erickjohansen3445 kabisa ndugu watu wanapenda kuuabudu umaskini kwa kauli za kizembe fanya kazi utakufa utaacha watoto wako na mke.
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 3 жыл бұрын
Si chochote sawa lakini zipitie kwako
@mcpambe8063
@mcpambe8063 3 жыл бұрын
Leta pia habari za Ginimbi na namna alivyoishi na wazazi wake! Very sad; bilionea aliyeshindwa kabisa kuchangia matibabu ya mama yake mzazi hadi mama alipoaga dunia. Inastaajabisha, maisha anayoishi baba mzazi wa bilionea Ginimbi, huwezi amini kama ndie baba mzazi wa mtu aliyekula bata wasiohesabika na malaya wa kutosha sana. Ayo leteni stories hizo pia, zinafikirisha sana na zina mafunzo makubwa sana!
@TeamKRX
@TeamKRX 3 жыл бұрын
Zimbabwe kumbe kuna wafrica matajir sikuwa najua 😳ila ya dunia tu haya kuna Sahaba mmoja alieishi miaka mingi kuliko wote alipoulizwa na alisema ameona kama Katoka mlango alipotoke na kupitia mwengine jee sisi viungo vinatusuta huyu jaaa mdogo sana ila ndio hivyo tena
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 3 жыл бұрын
Mtangazaji unaongea kwa uchungu.
@maryamkhatau9445
@maryamkhatau9445 3 жыл бұрын
Bahati mbaya haziwe kumsaidia maana kwa Allah hakuna rushwa ulichokipanda ndo utakacho kivuna jamanini tukitahidi kufanya mema ili iwe hakiba siku pumzi zikirudi kwa mwanyewe Allah jamanini Dunia twapita tujiandae
@jamilaingu7922
@jamilaingu7922 3 жыл бұрын
Nanitumiwe Mimi hapa nmjengee misikit atapata barakah milele ,
@mwawekomiuda5777
@mwawekomiuda5777 3 жыл бұрын
Usijidanganye ww dada uislam haukuja kuchezewa yaani mkiristo umjengee msikiti tena amekwishakufa kafiri . Usichekeshe umma
@binlubawa8387
@binlubawa8387 3 жыл бұрын
Kuna watu hata rakaa 3 za mlo kwa siku zinatusumbua kwa kukosa pesa ya kununulia chakula ambacho ndio muhimu na lazima ili tuishi, wakati huohuo kuna watu wanazo nyingi na hawajui hata matumizi yake wanapanga kuzifukia kaburini daah! Mungu tustiri waja wako wallah.
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 3 жыл бұрын
Kweli
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Quran 20. Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. Mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua. Na akhera kuna adhabu kali na maghfira kutoka kwa Mwenyezi Mungu na radhi. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu.
@salmamgeta1599
@salmamgeta1599 3 жыл бұрын
Ndiyo mwisho Wa maisha yake umefika
@nonniedejosef8083
@nonniedejosef8083 3 жыл бұрын
36yrs only, nothing in the house,,, wasted energy
@nasrafita6909
@nasrafita6909 3 жыл бұрын
Dah ukishangaa ya Mussa utayaona ya filaun wakati wewe unalala na njaa wengine wanafanya pesa kuwa matangiko ya kabulini je? hizo pesa wangewapatia masikini ama kumtolea sadaka kwa mayatima au sadaka tulujalia ingeweza hata kumfaa maiti huyo huko aendako na kesho kiama Ee Mungu wetu tujalie liski za halali na mwisho mwema
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
Stafirulllah hazisadikitu kufuru iyo aaalllah atupe mwisho mema uwislam nine ma aaalllah mdulilah
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 3 жыл бұрын
ᴴᴵᵛᴵ ᴴᴵᶻᴵ ᴴᴱᴸᴬ ᵀᵁᴷᴵᴷᴬᴬ ᵀᵁᴶᴬᴰᴵᴸᴵᴬᴺᴱ ᵀᵁᴷᴬᶻᴵᶠᵁᴷᵁᴱ ᴶᴱ
@hasinarashid2768
@hasinarashid2768 3 жыл бұрын
Twende tukafanye mpango
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 3 жыл бұрын
@@najmaulaya8819 tupange deal sasa 😂😂
@jamilaingu7922
@jamilaingu7922 3 жыл бұрын
Jaman !!🤭 😁wawaza ivyoo karbu waeza faulu
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 3 жыл бұрын
@@hasinarashid2768 ᴹᴵ ᴺᴬ ᴵᴹᴬᴺᴵ ᵀᵁᵀᴬᶠᴬᴺᴵᴷᴵᵂᴬ 😂😂😂
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 жыл бұрын
Life is not fear at all watu tunatafuta pesa wengine wanazikwa nazo
@blackman7532
@blackman7532 3 жыл бұрын
Ndio ujue waafrca bado tunashida vichwani mbona wanafariki mamilionier wadunia wanazika bila chochote hiyo pesa wage pewa watoto yatima. Hivi Dunia ikisikia hayo itashangaa watu weusi.
@RAUNATION
@RAUNATION 3 жыл бұрын
mbona live wakati huyu ni marehemu 😂😂😂😂😂
@oimermollelzephania139
@oimermollelzephania139 3 жыл бұрын
Haitachukua muda wagumu watazifukua au kufukua hata kama italidwa kwa masaa 24 kila leo
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Waje wamzike apo kinondoni na madola yake , ujinga tu sasa anazikwa na pesa ili iweje? Isaidie nini? Uko ni pepo au ni moto pesa zifanyeje? Wapumbavu wakubwa
@getrudandabita1651
@getrudandabita1651 3 жыл бұрын
Watu wanaoenda peponi,huwa wanambwembwe,,, Mungu anawashangaa tu,wakose kuomba toba,yani duniani watu tunahangaika,mno
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 3 жыл бұрын
Mmmh cjui akili yangu ya kimasikini najiuliza hizo pesa za kuzikwa nazo anaenda kununua nini huko na atamringishia Nani ikiwa duniani huku waitaji kibao c kumzidishia adhabu tu bora wangetoa sadaka kwa ajili yake Jamani Ila masikini ndo tunavyowazaga matajiri wanawaza kuchezea
@katwigayona8041
@katwigayona8041 3 жыл бұрын
Kweli mitandao ya kijamii ni upuuzi mtupu,,kwahiyo mnaamua kudanganya jamii kabisa
@abuuazhar3738
@abuuazhar3738 3 жыл бұрын
Illuminati members huwa siku zote hawanaga mwisho mzuri. Haya vijana kazi kwenu.
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 3 жыл бұрын
Acha wafe tu mim nitakula mihogo yangu nilale hayo mengine Mungu kama hajaruhusu Kuwa na hela bas afadhari uridhike na ulicho nacho
@robertjunior9916
@robertjunior9916 3 жыл бұрын
How can join illuminati 🚴🤦
@ThomasEmmanuel-lm3uh
@ThomasEmmanuel-lm3uh 11 ай бұрын
Dah ety kaz kwetu hahhaha
@ashasalim2826
@ashasalim2826 3 жыл бұрын
Mailuminati mjifunzie hapa muombe msamaha kwa Mola
@fatommmaff705
@fatommmaff705 3 жыл бұрын
Kaburi lake litafunika kwa gundi kuanzia chini au nivipi mana waja awawezi kuvumilia njaa pesa zikakae namarehem atafukuliwa nawajuba
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 3 жыл бұрын
Binadamu walio wengi masikini wanaamini kufa masiki tiketi ya kwenda mbinguni, wakati matajiri wanaamini kufa masikini ni uvivu na chukizo kwa Mungu. Mungu anapenda watu wote tuwe matajiri ndo maana ametuasa tutawale rasili Mali zote na utajiri wote wa dunia!
@bibianayona4348
@bibianayona4348 3 жыл бұрын
On Point I dont Want To die Poor M Milionea..
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 3 жыл бұрын
@@bibianayona4348 Ahsante sana, tafta Mali Mwana wa Mungu utimize agizo la bwana.Nunua kitabu kinaitwa " The secret of psalms" yaani siri ya zaburi by Godfrey Selig upate fomula za kimungu utawale Mali!
@bibianayona4348
@bibianayona4348 3 жыл бұрын
Shukran
@nonniedejosef8083
@nonniedejosef8083 3 жыл бұрын
Hakuna wageni hutebea kwa Hawa watu fikila zao hewa tu. Maono hewa wanaoishi kusubiri wageni, Familia nyumba zipo pesa zipo basi upweke kwao
@henryemanuel7072
@henryemanuel7072 3 жыл бұрын
Serikali haiwez ruhusu huo upuuzi
@filberthabashi3366
@filberthabashi3366 3 жыл бұрын
Shida ni kwamba, wamiliki wa madola na viongozi wa iyo serikali wamo humo humo kwenye maisha ya ginimbi, wachache wataelewa
@issakamangila9113
@issakamangila9113 3 жыл бұрын
Onyo watu wasijifanye kimbelembele kufukua kaburi lake kisa izo minoti atakazo zikwa nazo maana iyo nyumba nina mashaka isije kuwa magic house 🏠
@mariamukajiru2302
@mariamukajiru2302 3 жыл бұрын
Hata akizikwa na hela viboko vipo pale pale sana sana atawaongezea hasira na kuadhibiwa na mkia wa taa
@zulfaathumanmashanllahmaya6082
@zulfaathumanmashanllahmaya6082 3 жыл бұрын
Noma 🙆‍♀️
@johnmike2678
@johnmike2678 3 жыл бұрын
Pesa una imiliki tu ila sio yako pesa ni ya serikali uwez izika chini labda rais wa nchi iyo awe bogas chiz asiejielewa
@rashidhamis6779
@rashidhamis6779 3 жыл бұрын
Freemason ndo zao kuzikana na madola wala serikali haina tatzo nahs watakuwa wanajua hlo manake huyu jamaa ni Mason wala hakuna mjadala pesa ya halali huwez iharibu hv maisha ya anasa sana unaambiwa kila ck anaenda club na ananunua. Mapombe makal ya garama
@happymacha9053
@happymacha9053 3 жыл бұрын
Dah zimbabwe kunawatu wangapi wenye uhitaji maalumu??afadhari hizo hela zitolewe kwa watu hao kama sadaka kuliko kufukiwa chini jamaniii..
@cloudmlowe8140
@cloudmlowe8140 3 жыл бұрын
mungu awe pamoja naye
@latipheralmasy1669
@latipheralmasy1669 3 жыл бұрын
Innalilah wainna ilah rajiun... uhimidie allah kwa kuweka usawa huu,
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 3 жыл бұрын
Nakwel usawa wamauti nihatar vinginevyo wangekufa masikini pekeao
@latipheralmasy1669
@latipheralmasy1669 3 жыл бұрын
@@gallantman604 nigee yako nikutafute
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Kamzikeni bwana na hilo zigo lake za pesa ata pigwa na hill zigo kwanza marafiki zake wanamsubiri huko mukari wa nakiri haita mfaa kitu maliyake hiyo
@dorisnyamwihura4685
@dorisnyamwihura4685 3 жыл бұрын
Yaani kwanza kabisa mnazikaje mtu na pesa wakati zinatafutwa acheni kufuru nyie,and then mmesahau mgemzika na majumba,magari na vingine vyake vyote.He z dead z gone already ni mavumbini tuu ata uwe tajiri kiaje sote ni kwenye udongo tuu.
@user-un3df1sl2h
@user-un3df1sl2h 3 жыл бұрын
Niliiyona iyo nyumba kwa mbali kwani,nilikaa siku 2 harare
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 3 жыл бұрын
Haya mambo yakuzikwa napesa naona kama yanapatikana Africa tuu🙊🙊🙊
@zubedamagambo9600
@zubedamagambo9600 3 жыл бұрын
Halafu ni ujinga tu, si wangezipeleka hata kwny kituo cha kulelea watoto yatima zingesaidia.
@ayoubgasper1077
@ayoubgasper1077 3 жыл бұрын
Marehem ameacha watoto wangapi
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 3 жыл бұрын
bora azikwe nazo man hazin Saman yyte man so za halali huo ni moto 2
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 3 жыл бұрын
Umeona
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 3 жыл бұрын
kabisa yn
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
This guy was running a whole petroleum company like total , shell , kenol . how comes you expected him to still remain poor
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 3 жыл бұрын
Ingekuwa bongo wajumbe tungezifukuwa
@umnooralriyami9552
@umnooralriyami9552 3 жыл бұрын
😂😂Wajumbe watu hatari
@umnooralriyami9552
@umnooralriyami9552 3 жыл бұрын
😂😂Wajumbe watu hatari
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
hao ndugu zake ni wapumbavu
@winfredykabonge1366
@winfredykabonge1366 3 жыл бұрын
Kabonge mwenzangu kaniangusha
@juliacheptum1863
@juliacheptum1863 3 жыл бұрын
Maajabu...all is vanity...
@iyangasungwa2627
@iyangasungwa2627 3 жыл бұрын
Mwezi huu tutakoma kila ukifungua mitandao no be ginimbi kafa zari kaja Tz ni mtihani
@phiniaskishenyi297
@phiniaskishenyi297 3 жыл бұрын
Ngoja afe unakufuru wakat umekufa makin wengi istoshe ela si yako ni ya serikali
@exoduspaul3382
@exoduspaul3382 3 жыл бұрын
Mungu ni Mungu tu!
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
😁😁 hawa kili wambiye wanipye mimi hizo hela.maana hazina faida kaburini sawa plz nilteee mm hizo😊
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Unaota sana
@ghanimaali4507
@ghanimaali4507 3 жыл бұрын
kama alivyo kuja ndio alivyorudi hata kazikwa na nn ni yy na amali zake tu
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 3 жыл бұрын
wao wamzike nazo tu watazifukua hzo ni mali za serikali
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 3 жыл бұрын
Wajomba tujipange tukazifukue Wala hatutakuwa wezi twendeni tukaulithi utajiri huo wanafamilia jawautaki
@victoriastephano4075
@victoriastephano4075 3 жыл бұрын
Hahahahahah
@mgenitsuma8141
@mgenitsuma8141 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣na zitaenda fukuliwa
@judithmartin2835
@judithmartin2835 3 жыл бұрын
Nenda tu ukabadilike nyau🤣🤣🤣
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 жыл бұрын
Huko sheria haipo?fedha ni nyaraka ya serikali,tujifunze kit u,duniani tunapita,na haya yote ni kujichosha,na kujilisha upepo,tuweke hazina. mbinguni,huko hakuna kuliwa nondo na kutu
@hasinarashid2768
@hasinarashid2768 3 жыл бұрын
Hiv mtu unaanzaje kuzikwaa na hela?na uchumi wa duniaa ulivyoyumba??wangap tunashidaa hapa dunian?leo zikaozee chin mhhh
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 жыл бұрын
hasa hiyo nchi ya zimbabwe, ni hatari sana, ila ni pesa kishetani usishangae.
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 3 жыл бұрын
Tens Nchi yenyewe ni Zimbabwe ambayobuchumibwao ni mgumu sana hizo Dora serikali inazitafuta kwa udu na uvumba
@ibrahimbyaese9148
@ibrahimbyaese9148 3 жыл бұрын
Sasaizoela njozitamlipia kuiona pepo ama 😂😂😂
@mwajumamissanga2616
@mwajumamissanga2616 3 жыл бұрын
Kaburi litachimbuliwa hilo😁
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Fedha c Mali yake ni ya serikali wanaruhusuje kufukia ardhini? Ponda Mali kufa kwaja
@thesonofficial1897
@thesonofficial1897 3 жыл бұрын
Kama ipo we ponda tu Kama hauna hauna Ata usipoponda kifo akiepukiki
@judithkatabaro3294
@judithkatabaro3294 3 жыл бұрын
Sio eshima bali zile pesa ninyoka litakuwa lina mla mpaka pale atakapo itwa namungu rasmi
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Huu utajiri unawalakini Sio bure kwani nchini kwao hakuna masikini hadi ufukie pesa chini
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 жыл бұрын
Milard ayo hauna habari siku hizi wasafi watakupoteza kwenye Ramani
@mbecheterombeche3375
@mbecheterombeche3375 3 жыл бұрын
Huu ndy ungese umekula bata na uliwazarau watu wa kawaida leo wanakizika duuuu
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 3 жыл бұрын
Ninge kua karibu ninge zifukua lakini shida niilo joka kumbwa utaweza fatwa usiku
@nabillalli1661
@nabillalli1661 3 жыл бұрын
Kama ulikuwa hujui hili ndio jumba diamond aloshutia utanipendaga....na ndinga zote zile
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Ss kumzika na pesa IIi iweje jmn si muwape masikini uko
@joeweke2827
@joeweke2827 3 жыл бұрын
RIP Ginimbi
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 3 жыл бұрын
Kwa hiyo akizikwa na fedha zake imsaidie nini ,Mungu atuhurumie tu
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 3 жыл бұрын
Je,roho yake ipo wp pamoja na mali zake zote akizokuwa nazo,yaani roho kwanza mali ni majaliwa
@jameszephaniajames7299
@jameszephaniajames7299 3 жыл бұрын
Kwa sheria ipi ya kumzika na PESA? Mbona mganda alizikwa na pesa ila wakazifukua ije iwe yeye
@allystideforever6594
@allystideforever6594 3 жыл бұрын
wakipgwa doro watamfukua kwenye kaburi lake ingekuw kheli endapo pesa ambazo atazkwa nazo waztoe sadaka kwa Mungu,wapewe ata masikn ili apunguziw adhab ya kaburi kuriko kuzikwa na pesa ambazo watu tunatafuta usiku na mchana maandko yanasema ukitaka kumfata Mungu uuze ulivyo uwape masikini kisha ndio umfuate apo mgefanya ivo marafiki mliobaki nasio kumzka na pesa. pesa Niya kaisali, mwili ni waudongo na pumzi ni ya Mungu ambapo Mungu kamyang'anya pumzi, udongo utachukua mwili pesa nyumba na magari vinabak duniani. nmeeleza mpaka mate yamekauka @millardy nipe ata buku nipate maji ya bard😂😂(Rest in peace billionaire😫)
@mosesmoses1429
@mosesmoses1429 3 жыл бұрын
Hahahaha kweri Bora kifa masikini kuliko kufa tajiri
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Huo no upumbavu pesa wape familia yeye kasha kufa bwana laaaaaaana na upuuzi tuuu😪
@kalbymax7262
@kalbymax7262 3 жыл бұрын
Hoy Hoy hoy wauni heeeeee heeeeee twenzetuni tukasikia
@johntarmo5394
@johntarmo5394 3 жыл бұрын
Mmmh! watu hawanaga akili kabisa wala Hawamjuwi mungu tangu lini mtu akazikwa na pesa
@iyangasungwa2627
@iyangasungwa2627 3 жыл бұрын
Hizo pesa atazitumia kwa matumizi gani huko kaburini
@selemanisalimu7398
@selemanisalimu7398 3 жыл бұрын
Aisee kama mungu akitaka
@allanothuman2941
@allanothuman2941 3 жыл бұрын
Mungu spend sana hizi dharau apend San Kwann hizi ela usiwape watu wenye shidh why why why usiwape hiz ela pelek bhac Hata hospital watu wanashid nyie mnamzik mtu na ela aiseee utaulizwaa sana ww ulie mzik na hiz ela utaulizwaa sana nyie
@maryamm7765
@maryamm7765 3 жыл бұрын
Dah mtihan bora ukawape watu wasiojiweza
@mukaipeter2186
@mukaipeter2186 3 жыл бұрын
Uuuuiiii nileteni izo hela jamani
@mollywoodtelevision1219
@mollywoodtelevision1219 3 жыл бұрын
RIp
@nestorykaloto5055
@nestorykaloto5055 3 жыл бұрын
Nihatar bola kidogo cha bila taabu
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Pengine akatowe rushwa kwa malaika wenye kutowa azabu
@hongeramfugale3239
@hongeramfugale3239 3 жыл бұрын
Wamesshau kuzika na nyumba na clabu yake
@munabweniz4084
@munabweniz4084 3 жыл бұрын
Kufuru hio mtu atazikwaje na pesa wakati mayatima wamejazana na maskini tele? Hio pesa wangepelekea maskini ili ajipunguzie mzigo uko anakoenda
@carenalphonce5013
@carenalphonce5013 3 жыл бұрын
Ni kwel muna yaani awawezi kuona ata masikin wanavolia
@munabweniz4084
@munabweniz4084 3 жыл бұрын
@@carenalphonce5013 kuna watu wanamkosea mungu wallah 😭😭sasa hio pesa akizikwa nayo atakwenda nunua nini huko kaburini
@carenalphonce5013
@carenalphonce5013 3 жыл бұрын
@@munabweniz4084 yaani ni dhambi sanaaa
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 kuoza ni kulekule tu
@ibrahimmohammed5630
@ibrahimmohammed5630 3 жыл бұрын
Nonsense hakuna watu wa hekima huko Wakazuia usifanyike ujinga huo ?
@ramadhanseif4564
@ramadhanseif4564 3 жыл бұрын
Naenda kufukua kaburi lae
Meet Genius Ginimbi Kadungure (Cars 2020)
3:38
Zim Reality Eye tv
Рет қаралды 308 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,1 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 6 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН