No video

JOL MASTER ALIVYOTAKA 'KUZICHAPA' NA MSHINDI WA CHEKA TU

  Рет қаралды 90,516

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

NI Mwendelezo wa utoaji wa burudani kwenye uchekeshaji ambapo time hii Cheka TU imeandaa mtanange wa mashindano ya uchekeshaji yaani Battle Edition, hafla hiyo itakayowakutanisha Washindi wa CHEKA TU pamoja na Wenyeji akiwemo Joh Master na wengineo, video hii inamuonesha Joh Master alivyotaka kuzichapa na Mshindi wa CHEKA TU yaani kuonesheana ubabe kuelekea kwenye hafla yao itakayofanyika 29 Octoba, 2021.

Пікірлер: 114
@hamedabashir9
@hamedabashir9 2 жыл бұрын
Leonard kama Leonard 🌹🌹🌹❤️❤️❤️💋💋😘😘👌👌👌👌
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 2 жыл бұрын
Ila nasikitika Sana comedian wengi kuliko wanasayansi nchi yetu mbwembwe Zina nafasi kuliko maisha halisi
@geofreylucas9469
@geofreylucas9469 2 жыл бұрын
Umefikiria mbali mkal ni kweli kabisa
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 2 жыл бұрын
@@geofreylucas9469 kwa nini bro umesema hivyo? 🙏🙏
@geofreylucas9469
@geofreylucas9469 2 жыл бұрын
@@edwardpeter8569 yan ulichokisema upo sahih kabisa hata mm huwa natafakari Sana daily na kujiuliza Sana huu msemo wako lakini nakosa majibu na inakuwa haina namna tena so inatubidi tu tuishi nyuma/mbali ya kufikia maono kama yako na kubak na comedians, players, actors n.k wengi bro
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 2 жыл бұрын
@@geofreylucas9469 ni kweli bro ndo vo tena, pamoja Sana mtaalam🙏🤝🤝👏
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Ni kweli lakin je na wewe ni mwanasayansi
@ibrahimdea2659
@ibrahimdea2659 2 жыл бұрын
Bwana Bwana mpe heshima yake Joel master please
@rithamsechu7220
@rithamsechu7220 2 жыл бұрын
Joel ❤️❤️❤️❤️❤️ kamalize
@nexusnexus6539
@nexusnexus6539 2 жыл бұрын
Hlo jamaa ni shoga au
@teachergodfreypeter9052
@teachergodfreypeter9052 2 жыл бұрын
Hiyo ndy fursa iliyobaki sasa kwa wasomi wa chuo kikuu kweli hii nchi ngumu jamani
@gemstoneskingdom1944
@gemstoneskingdom1944 2 жыл бұрын
Hahaha
@mossilamanne3350
@mossilamanne3350 2 жыл бұрын
Attention ni muhimu bhana
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 2 жыл бұрын
Wanawekaa atetion kwa mashabik pale mliman city😂😂😂😂😂😂
@truthnafact9081
@truthnafact9081 2 жыл бұрын
Erick Omond hii Idea aliiwezea sana
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 2 жыл бұрын
Hii sio cheka tu hii ni Ngumi Tu
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 жыл бұрын
Mbona hivi tena
@fizomedia5112
@fizomedia5112 2 жыл бұрын
Bodyguard kapata shida!🙂😁😁!?!? bodyguard anataka kucheka joe master
@beatridawilliam8952
@beatridawilliam8952 2 жыл бұрын
Mkubwa ni mkubwa tu love u Joel master
@joramsamwel6434
@joramsamwel6434 2 жыл бұрын
hii kwel creativity bro...kazi iendelee
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 2 жыл бұрын
Yani masihara tu😁😁😁, humu ndani mnaamini wanapigana
@mgasa_tz5527
@mgasa_tz5527 2 жыл бұрын
Wewe mwenyew umeamini 🥴🥴
@alfaniomary2506
@alfaniomary2506 2 жыл бұрын
Mm sijapenda kupigana
@rjb31
@rjb31 2 жыл бұрын
Talent in Image
@francismsuta7815
@francismsuta7815 2 жыл бұрын
hiiiii itatumika sanaaa
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kabisa mkali wenu atacopy sasaivi
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 2 жыл бұрын
Jol master kauwaaa safi sana dogo hana muonekano wa uchesh
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 жыл бұрын
Jol master🔥🎤
@msodokithesun9350
@msodokithesun9350 2 жыл бұрын
Fundi joel master💥💥💥
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 2 жыл бұрын
Bonge la kiki haaya mkali wenu uko wapi copy&paste iyoo🤣🤣🤣🤣🤣
@travixclay8990
@travixclay8990 2 жыл бұрын
Jol ni jol tu🔥🔥🔥🔥
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
Ubaya wenu kila mahali lazima muwekeee kiki kama ni show safi wacha watu waamuue kiki za nn mwakosea hapo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
So kiki balii ni wame2mia hali ya uhalisia wa battel ... Ndo manaa unaonaa kuna hali ya ucomedy
@isackmhema7392
@isackmhema7392 2 жыл бұрын
Kwann Sasa mbna ivooo
@deniserick6115
@deniserick6115 2 жыл бұрын
Jokes
@ngwelesalu8348
@ngwelesalu8348 2 жыл бұрын
Kiki
@rahimomary7663
@rahimomary7663 2 жыл бұрын
Nilchojifunza kwa haraka leornad atatumika saana mpaka arejeshe faida zoote alizopewa bado hajitambuwi
@evcloudjuma9790
@evcloudjuma9790 2 жыл бұрын
acha bangi huyu kijana kaajiliwa na anamshaara
@rahimomary7663
@rahimomary7663 2 жыл бұрын
@@evcloudjuma9790Any way bangi huwa sivutii na kulikuwa na njia nyingine ya kunielewesha badala ya kutanguliza matusi Ila kwa Sasa hutaeelewa nachokisema ila mifumo yetu Ni migumu saana nakupa miaka kadhaa utanielewa Kaka mkubwa usiyevuta bangi
@mussaloyde7841
@mussaloyde7841 2 жыл бұрын
@@rahimomary7663 & Ev Cloud Juma .. peace and love brothers!.. amani!..
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
@@rahimomary7663 watu 2nafeliii kwa sabab kila k2 kuchukulia negative... Sometime inabid mambo uyaweke postive ..akili ikiwaza kufeli unafeli kwel... Engetokea baada ya ushind kingepita kmy bila kuwasikiaa .. Angekujaa m2 mwengine na kusema toka washinde ndo wameshindwa ataa kuwashika mkono ...
@mwlrobinson
@mwlrobinson 2 жыл бұрын
@@rahimomary7663 uyo leonaldo hajielew analewa sifa,,, jomaster nmkubwa Sana alafu anapendwa
@beniardajuna2580
@beniardajuna2580 2 жыл бұрын
Jol master oyooooooo siikosiiiiiii
@kivuyohalalmeatsupply9215
@kivuyohalalmeatsupply9215 2 жыл бұрын
Jolymaster ni Baba lao
@aliazakumba4826
@aliazakumba4826 2 жыл бұрын
Jamaa wabunifu sana
@joycealex2846
@joycealex2846 2 жыл бұрын
Aah jol fundi bana
@mhifadhi797
@mhifadhi797 2 жыл бұрын
Jol fundi
@hasinarashid5059
@hasinarashid5059 2 жыл бұрын
Joel🔥🔥🔥🔥🔥
@Rosemary_Obadiah
@Rosemary_Obadiah 2 жыл бұрын
Kikubwa both are supposed to be HUMBLE🤕🤕😅haha
@abdalahsambala6667
@abdalahsambala6667 2 жыл бұрын
Like kumi kwa bodigadi waaakeeeeww
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa vijana mkono unataka kumgusaaa
@jacksonyohana248
@jacksonyohana248 2 жыл бұрын
Dope scene
@issa_yusontv9953
@issa_yusontv9953 2 жыл бұрын
Koi fara sana😁😁😁😁😁😁😁
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 2 жыл бұрын
Jmn huo n ubunifu hkn ngumi apo wabongo bnaa
@djmatia2313
@djmatia2313 2 жыл бұрын
Joel hamuwez dogo
@jroissmusic1499
@jroissmusic1499 2 жыл бұрын
Nizile plomo zakujaza ukumbi😆😆😆😆😆
@hamisngalama1857
@hamisngalama1857 Жыл бұрын
Muache kiki
@michaelkapaya5996
@michaelkapaya5996 2 жыл бұрын
Mchekeshaj nae anacheka?🤔🤔 dah
@paacalborn718
@paacalborn718 2 жыл бұрын
Mbona hii kiki hamjaipatia ipo kishamba tafuten style mpya ya kiki
@maesryclassic456
@maesryclassic456 2 жыл бұрын
Hii sio kiki broh ni just wametengeneza ka kisinema flan cha kuchekeshaa kidg
@elymattaga1736
@elymattaga1736 2 жыл бұрын
Nataman wasinge-washindanisha ili Kila mtu afanye kwa Ubora wake
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 2 жыл бұрын
Mnajua kupiga pesa kwa mbwembwe hizi utadhani kweli ety
@godyroms9136
@godyroms9136 2 жыл бұрын
leo sangap
@fezzyfelex3667
@fezzyfelex3667 2 жыл бұрын
Huyo joly sijui ni boya tu bola hata eliud
@kellybreezytz2491
@kellybreezytz2491 2 жыл бұрын
Maick imeondolewa vijana wasije ivunja 😂😂
@michaelmahona6948
@michaelmahona6948 2 жыл бұрын
Watu wengi wanao mshabikia jol niwale walio kuja mjini juzi hana kipaji chochote
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 2 жыл бұрын
Wewe umekuja mjini sisi tumezaliwa mjini acha kulazimishwa maoni yako yakubalike jol kajulikana kabla ya Leonard
@modecreatives6
@modecreatives6 2 жыл бұрын
Wameamua kututengenezea ka script hahahahahahahhahahahah
@leahfanuel254
@leahfanuel254 2 жыл бұрын
Kushindana na jollymaster ni uongo 😂😂😂😂jolly anajua
@kurashigesir8709
@kurashigesir8709 2 жыл бұрын
Ati hali inakuwa INTENSE? 😂😂
@Rosemary_Obadiah
@Rosemary_Obadiah 2 жыл бұрын
😅😅😅😅nchi ngumu Hii jmn
@abasrajab5063
@abasrajab5063 2 жыл бұрын
😂😂😆😆
@josephjosephat465
@josephjosephat465 2 жыл бұрын
😀😀
@manjaruu679
@manjaruu679 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@cisselamerverille5286
@cisselamerverille5286 2 жыл бұрын
Ndio nini hiki
@rogersmondo8201
@rogersmondo8201 2 жыл бұрын
Yani wabogo na kiki hawakosei😂😂
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 2 жыл бұрын
😁😁
@michaelmahona6948
@michaelmahona6948 2 жыл бұрын
Huyo jol faratu hana lolote nawew unaesema mkali utaluwa ni mbuzi wa shamba umekuja mjini juzi
@priscillamakoko4044
@priscillamakoko4044 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂
@shaleevevo.
@shaleevevo. 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d5TRooimiLCKiM0
@vero57
@vero57 2 жыл бұрын
Khee kwani hii boxing??
@alfaniomary2506
@alfaniomary2506 2 жыл бұрын
Coy unaharibu plat form yako wazungumze waache ugomv wanapigana nn sasa
@complexjackal2782
@complexjackal2782 2 жыл бұрын
Huo ni utani brooo acha kutake vitu serious......koz imekaa kama battle
@bakarimhina8337
@bakarimhina8337 2 жыл бұрын
Usikaze kichwa bana huo ni utan
@gracesteven7078
@gracesteven7078 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 2 жыл бұрын
Wanagombania nn🤣🤣🤣🤣🤣
@maxwellrichardsonmwalubunj8589
@maxwellrichardsonmwalubunj8589 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maticsleokas1785
@maticsleokas1785 2 жыл бұрын
wanatafuta kiki
@mkamariamstaarabu4931
@mkamariamstaarabu4931 2 жыл бұрын
😂😂😂😂🤪
@michaelstephen3743
@michaelstephen3743 2 жыл бұрын
Yaani hizo ni kiki za kijinga Hala wenzenu wanakuaga siriaz nyiee mnacheka Cheka tuu
@lucreff
@lucreff 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
JOL MASTER | AZABOY | NDARO  KWNEYE WEEKLY EDITION 4
19:51
Cheka tu
Рет қаралды 104 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 5 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 30 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 26 МЛН
IBYAGO BIKOMEYE KURI AISHA NA KAKAJWI RIB IBYABO BYAKOMEYE BASUBIRANYEMo
3:56
𝗚𝗘𝗡𝗧𝗟𝗘𝗠𝗔𝗡 𝗘𝗠𝗠𝗔𝗡𝗨𝗘𝗟 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟
Рет қаралды 6 М.
RUSHAMBULU/DALADALA ZA UBUNGO
3:39
ZEGUY Network
Рет қаралды 19 М.
SHOW YA KWANZA YA JOL MASTER CHEKATU
7:14
ZEGUY Network
Рет қаралды 14 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 5 МЛН