Tunawatakia heri ya mwaka mpya mashabiki zetu wa Joti tv
@mohammedkidody561818 күн бұрын
Na ww pia master mlewa
@gilbertkalanda935418 күн бұрын
Asantee Bora hata wewe unapata muda kwa kuja kusema na mashabiki wenu.Channel nyingi wanafeli hapo. Akipost kamaliza
@therezamajura82718 күн бұрын
Kwenu pia🎉
@HappyChameleon-xm7gs18 күн бұрын
Happy new year too.. The love I've for you people keep them coming kwanza za kiboga leta kwa wingi
@elesianakabuje583218 күн бұрын
Nanyi pia tupeni burudani tucheke tuongeze cku❤❤😂😂
@FeruzHakiba18 күн бұрын
Safi sana leo umeiachia mapema 👌🤣🤣🤣🤣 ila khali sanaaa 🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪
@IvanDaniel-o9m17 күн бұрын
Kutoka moyoni napenda sana kazi za Joti mungu ampe maisha marefu ili tuendelee kufulahi 😂😂😂
@lightpro683213 күн бұрын
kaka unatish 🥰💞
@ShafiiSoud-b3w18 күн бұрын
leo ni 3/01/25 ...Mungu aufanye huu mwaka kwetu uwe ni wa kheri....mazito yote atuwepesishie...amina
@Theafricankidd-25418 күн бұрын
Ameen
@sahraabdallah724218 күн бұрын
Amiin
@marthaigogo1818 күн бұрын
Amen Amen
@dianajohnson726818 күн бұрын
Ameen
@fatumaseif69617 күн бұрын
Amiiin yarrabi
@wilget10918 күн бұрын
Asa joti ukiwa nishai mtombangile ndo unauwa sana ..🙌🙌,tuowaombee ndugu zetu ambao hawajauona mwaka vzr na ambao wameingia mwaka vzr bc tunashukuru mungu Kwa kila hatua gonga like..🙏
@Mrpasakaonline7018 күн бұрын
Tutafakari sote ujumbe huu wa eno la Mungu bila kujali imani zetu zinatuongozaje Luka 13:7 Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, Tazama, miaka mitatu hii naja nikitafuta matunda juu ya mtini huu, nisipate kitu; uukate, mbona hata nchi unaiharibu? Luka 13:8 Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi; Hivyo ndivyo Mungu na malaika walikua wakijadili juu ya maisha yetu ya mwaka jana na mwaka huu. Ndivyo nasi tulivyofanyiwa na Mungu wetu. Tutafakari vema njia zako. Kwani naamini tumeingia mwaka huu ikiwa ni kwa Neema yake tu. Bado tunahitajika kumzalia matunda kwa kazi , talanta na vipawa alivyotupa. Tuendelee kumtumikia Mungu ili azidi kutubariki.
@dominamabebe669118 күн бұрын
Amen, mwaka huu ni wa kuvuna matunda matamu na yenye faida,kwa jina la Yesu aliye hai.
@mathiaszakaria705218 күн бұрын
Amen barikiwa sana
@FatmaKhamis-sq9mx17 күн бұрын
Hahah mambo ni moto uku kwa jot❤❤❤
@isayamwanjoka395816 күн бұрын
Hellow humu ndan,,,, Joti ni simple guy hatumii nguvu kuchekesha anakula kiulainii real & best super comedian Tanzania.
@ramadhaniramji704817 күн бұрын
Mzee wangu unajua sana sana😂😂
@DriimJinamiizy-i8o17 күн бұрын
Happy New Year Sir. Nacheka😆😆😆 nikiwa Watamu,Kenya.....You guys are absolutely the best. Sana kwa Sana Majitaa😂👊🏽👊🏽👊🏽
@atijamartinsaliali649618 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 bora nikafugue kanissa jamani😂😂😂😂😂
@erneusponera535616 күн бұрын
Susa unaamkiwa unasusa kichwa km beseni mzee kashika kichwa😂😂😂😂😂
@puridangote-c9m14 күн бұрын
😂😂😂
@JosephMulumbaDunia17 күн бұрын
Joti wew nakupenda kweli 😂❤
@samsonipaul406818 күн бұрын
Mi nikisikiliza hapo mwisho nacheka Hadi dah aisee anasema kama uchawi wenyewe ndyo huo upo Bora nikafungue kanisa😂😂😂😂❤
@hassansammy107612 күн бұрын
Nakubali ✌️ joti never disamppoint 🔥 🔥 🔥 walio irudisha mara nyingi tujuwane😂😂😂😂😂 nimeipenda sana❤❤❤
@willyobiike550017 күн бұрын
ET UNASUSA SUSAAA MI NAOGOPAGA MTU,, joti kwa kutafuta balaaa😅😅😅😅😅
@Shadia54418 күн бұрын
Jamaniii nimechelewa tena jamaniii 😢 duuh humu ndani kila kitu wakwanza 😂😂Huyo MZEE WA BUSARA😂😂
@geraldndosi208318 күн бұрын
😂😂😂😂😂 hahahaha eti nishai hapo alizikwa siku tatu na amemeza chura😂
@baushjunior409418 күн бұрын
Lkn Joti daaaaah😂😂😂
@mohamedkapera451518 күн бұрын
Hatari sana. Wakwanza😂😂😂
@fathiyahmuzney736718 күн бұрын
Kila mtu wa kwanza wa kwanza utadhan mnalipwa na kwenye maisha mngekua mnapambana hvyo nchi ingekua mbali😂😂😂