MCHAWI NDUGU

  Рет қаралды 362,705

Joti TV

Joti TV

Күн бұрын

Пікірлер: 449
@ezekielmtega8960
@ezekielmtega8960 Жыл бұрын
Kama umeona mgongwa anavomuoneshea doct dole gumba nipeni like zangu japo leo tu
@SanuraFadhili-k3n
@SanuraFadhili-k3n Ай бұрын
Kweli2me on
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Mchawi ni Ndugu yako imethibitishwa na Jot Leo 😂😂😂😂
@Christopher-xj5fz
@Christopher-xj5fz Жыл бұрын
Haya mambo yapo kweny familia nyingi sana ,kama unaamin gonga like hapa👏
@MeriMbeyu
@MeriMbeyu Жыл бұрын
❤❤
@maxwellkongoman781
@maxwellkongoman781 Жыл бұрын
Nipeni likes zangu first fun wa jotti Toka CONGO mashariki🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Tnjosph25PT
@Tnjosph25PT Жыл бұрын
Kweli kabisa mchawi ndugu nimekuelewa zaidi katika ujumbe huu kupitia igizo hili 👏
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
Haswaaa 😊
@Tnjosph25PT
@Tnjosph25PT Жыл бұрын
@@baimarrajahbuayan6237 ndo maana tunakumbushwa tafuta ila usisahau kuishi,ujipende ule vizuri ulale pazuri nk maana binadam tunabadilika mda na wakati wowote
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
@@Tnjosph25PT haswaa nimekubal. Udugu
@tariqhassan1385
@tariqhassan1385 Жыл бұрын
Mtoto: Baba naenda wapi Mzazi: Nenda kajiuze 😂😂😂😂😂😂
@azasamuel2068
@azasamuel2068 Жыл бұрын
Hii imeenda..Dah
@ShabaniKwizera
@ShabaniKwizera 9 ай бұрын
🇧🇮💯nakupa Maua yako Joti wewe ni number one kwa comedy,tunakufatilia tukiwa Burundi💯🇧🇮
@mosesmaiga7408
@mosesmaiga7408 Жыл бұрын
Kuna watu wanaona kama vichekesho lakini hayo mambo yanatia hasira mda mwingine unawaza bora usiowe
@franknangonga9166
@franknangonga9166 Жыл бұрын
Mimi mpaka sasa nipo single naona tabu Mambo ndio kama hivi
@Tunu-p6i
@Tunu-p6i 2 ай бұрын
​@@franknangonga9166usiogope dear ni funzt t
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Joty Kama joty once again big up Sana 💪 woof kwishaaaaaàaaa mchawi ndugu I miguu ya nan kenge ama
@jacquelineludovick5301
@jacquelineludovick5301 Жыл бұрын
😂😂
@episonfelician7670
@episonfelician7670 Жыл бұрын
Twende mbele turudi nyuma jot Ni comedian namba one anajua Sana 💥💥💥
@Babuumuvea
@Babuumuvea Жыл бұрын
Nakukubali joti mapini yko sio yakitoto
@ZainaMuhunzi
@ZainaMuhunzi 4 ай бұрын
Vijicho vya mgonjwa mara paah marehemu kafufuka 😂😂😂😂😂
@ZainaMuhunzi
@ZainaMuhunzi 4 ай бұрын
Chuma kinaondoka tayariiii😂😂😂😂
@mtakabiruyassin
@mtakabiruyassin Жыл бұрын
Joti wataiga wote lkn kwako wanagonga mwamba🔥🔥🔥
@swalehthefinest
@swalehthefinest Жыл бұрын
Napenda hii character ya Babu ije mara nyingi
@azizahmwimbe8548
@azizahmwimbe8548 Жыл бұрын
😂😂😂 dunia ya sasa imani imekwisha yaani hata kufa bado watu washaanza kugombeya mali kweli mchawi ndugu. Hongera sana joti mambo haya yapo
@dennismazanda7226
@dennismazanda7226 Жыл бұрын
Haya mambo yapo sana tu hongera Kwa ujumbe mzuri Joti na team yako
@kararaera8161
@kararaera8161 Жыл бұрын
Joti ishi milele 🇷🇼😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃jamani munisaidie kucheka😃😃😃😃
@salomeblack0
@salomeblack0 Жыл бұрын
Km unaamini joti ni chuma kwa Tz like hapa
@ignatusmponji3609
@ignatusmponji3609 Жыл бұрын
Wale tupo kitandani kabla ya kwenda job tume muangalia babu tuendelee kujuana 😂😂
@championtop2
@championtop2 Жыл бұрын
On behalf of of family, friends, ancestors I approve this video!
@omaryphua191
@omaryphua191 Жыл бұрын
Eti huyu cyo kenge the best comedian in East Africa love u bro
@agustinemsambila2501
@agustinemsambila2501 4 ай бұрын
Kazi nzuri
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂siku zote mchawi hatoki mbali😂😂😂😂😂😂😂😂hukujua
@lwamseletiyonas5232
@lwamseletiyonas5232 Жыл бұрын
Eti nina shamba la bangi😂😂😂
@totoclass2470
@totoclass2470 Жыл бұрын
Msanii wa kwanza Tanzania kuwa na upendo mwingi wa mashabiki
@yumbujackson869
@yumbujackson869 Жыл бұрын
Ahaa umetishaa 🎅 Sanaa Nishai
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Leo nimewahi eti kimenuka 😂😂😂wapenda mali za watu ndugu wabayaa🤣🤣🤣🤣
@jassonkagaruki964
@jassonkagaruki964 Жыл бұрын
Congratulations Joti King 👑 comedian in Tanzania....huna baya kaka Umepoaaaa🇹🇿🤣🤣🤣🤣
@michaelclement8335
@michaelclement8335 Жыл бұрын
😅😅😅😅bora rafiki mmoja kuliko ndugu mia
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
You never disappoint Mr Joti!!ove from Burundi!!
@grandpatimi
@grandpatimi Жыл бұрын
This man is a legendary since 2014
@TungoZaMswahiliJk
@TungoZaMswahiliJk Жыл бұрын
Be for 2014
@meckitilidatushabe
@meckitilidatushabe Жыл бұрын
​@@TungoZaMswahiliJk exactly 💯
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Nimependa idia Yao,,joti hajawahi kubuni kitu kama icho,,,safi sana joti ,,hongera
@officialmsigwa5069
@officialmsigwa5069 Жыл бұрын
Hata kuua mtu watu siku hizi wanasema Mkubwa Dunia hii tutafika tumechoka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abrahamsuppy6041
@abrahamsuppy6041 Жыл бұрын
Tufike millioni. Shabiki mkuu kutoka kenya🎉🎉🎉
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Mchawi siku zote huwa hatoki mbali ,kazi nzuri Sana joti
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
Hakika kweli mchawi NDUGU😢😂DAH
@mcbartonkesh3664
@mcbartonkesh3664 Жыл бұрын
Wakati nipo Moshi kwenye gereji moja kuna gari moja ilikuja kumwaga oil na ndan ya gari kulikua kuna mzee anaumwa sana na alikua anaulizwa hati za majumba aliyonayo ziko api,niliumia sana😢,napia alikua amalazimishwa asain baazi ya nyaraka
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Kweli nimeamini mchawi ndugu duuh joti noma sana respect kwa ubunifu🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@iddybakery5209
@iddybakery5209 Жыл бұрын
Jot jot umenisababisha nimecheka hadi kamasi limenitoka mbele ya dem wang😁
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@simonandrew1489
@simonandrew1489 Жыл бұрын
Good My Favourite Comedian Big Up Mr Joti
@alikaru6916
@alikaru6916 Жыл бұрын
Joti anajua sana ....Mpaka anakera....wazee wakyuba wanaelewa...😂😂😂
@rich_wasparner9233
@rich_wasparner9233 Жыл бұрын
Hongera Sana ubunifu wa Hali ya juu
@alphamwanamtulekenya5390
@alphamwanamtulekenya5390 Жыл бұрын
Inamafunzo mno love from KENYA 254
@ndutu6564
@ndutu6564 Жыл бұрын
Kwel kabisa muchwawi ni dam yko.. From 🙏🙏🙏
@kassimmubba2736
@kassimmubba2736 Жыл бұрын
Mnamkosea sana mkishindanisha na Kicheche wa Makalio Joti ni level nyingine na Anayofundisha Jamiiiiii.
@winnawiliamwinnawiliam8859
@winnawiliamwinnawiliam8859 Жыл бұрын
ety wanaume si wanajiuza nenda kajiuze🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@sammushi1512
@sammushi1512 Жыл бұрын
😂😂😂atakama n pesa sio kama ivyo dah binadam wa mungu saiv wabaya San
@samsonilengteng-oc4hp
@samsonilengteng-oc4hp Жыл бұрын
Babu joti umetisha sana 👏👏👏👏👏
@CoachHafidh
@CoachHafidh Жыл бұрын
Hii ndo ile professor jay alisema; "Nashangaa wengi wenu mnafrahi kuniona hivi- Na eti kila mmoja anajiuliza mbna Sifi..." #[Msinitenge] ~Prof.jay 🙌🏾🤣🤣🤣
@numohd
@numohd Жыл бұрын
Nani kweli mchawi ndugu joti asema jamaa waona mali ni kama makalio kila mmoja anayo😂😂😂😂😂😂
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 Жыл бұрын
Babu ukoo mzima na mashemeji wanakuchukia babu utakuwa mkorofi sana
@richlaterjunior384
@richlaterjunior384 Жыл бұрын
Daanh sema huyo sheikh miyeyusho kapanda kofia saba kichwani😃😃
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 Жыл бұрын
Jot akili nyingi ndo tatizo😅😂😅😂😅
@rubsonheritier5940
@rubsonheritier5940 Жыл бұрын
😂😂 shamba la bangi kkkkkkkkkk i send my love from Kinshasa
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc Жыл бұрын
😂😂
@NotgeraChipeta
@NotgeraChipeta Жыл бұрын
Iko vizuri meamba
@Zanzibar0001
@Zanzibar0001 Жыл бұрын
"Ana roho ngumu kama Paka" ....sumu ya panya....sumu ya mamba" Ukiwa na mali Siku zote walee watoto wako katika misingi Mizuri Sana Ili waweze Kunitunza na kuwatunza wao.......
@ramosfally2318
@ramosfally2318 Жыл бұрын
Eti shamba la bangi...hahaha.we police katamaki
@VeroMfambo
@VeroMfambo Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka❤❤❤
@mauasuleysh1404
@mauasuleysh1404 Жыл бұрын
A big lesson walah😢 congratulation joti
@erickmagnus4945
@erickmagnus4945 Жыл бұрын
Sema joti falaa sanaa kwahyo mwanetu ukakata roho chap tu😂
@reiphan9894
@reiphan9894 Жыл бұрын
jotiii 😂😂😂😂 umeupiga mwingi mpaka umemwagika ,, let us enjoy .
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Жыл бұрын
Eti iziraeli kafika😅😅😅...eti roho inatoka.kweli mchawi ndugu😢
@mokiwasaid-sg9gd
@mokiwasaid-sg9gd Жыл бұрын
😂😂😂😂 hapa uliposema wee sii ndio msikiti
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
dr angekua kanyinyi angeua😅😅😅😅😅
@Fatma-to6rq
@Fatma-to6rq 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂joti eti kafa na yuwapiga jicho moja moja
@Mr_destiny
@Mr_destiny Жыл бұрын
Hahhahahahhahaha hhaahhahahaa hahahahahahahahha hii nchi ngumu sana,,,mafundisho mazuri sana
@sebandaki8795
@sebandaki8795 Жыл бұрын
Bonge ya content big up jot am so proud of you
@deodatusmwacha719
@deodatusmwacha719 Жыл бұрын
Yaani asitokee hata mmoja wa kumpenda baba ake haiwezekani
@esterantapa452
@esterantapa452 Жыл бұрын
Serikali 😅😅anaipenda kazi yake😅😅😅
@LuckyProsper-sc4si
@LuckyProsper-sc4si Жыл бұрын
Serikali serikaliiii 😂😂😂😂 my ribs😅😅
@milungaapeshijerome
@milungaapeshijerome Жыл бұрын
Daaah amakweli mchawi pesa
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Chuma inaondoka😂😂😂😂😂
@PeterUrio-yg3ih
@PeterUrio-yg3ih Жыл бұрын
Ww ndiyo comedian wakwel Tz...brother.
@davidlaizer5876
@davidlaizer5876 4 ай бұрын
😅😅😅 hiyo drip imewekwa puani.
@bekamansoor5990
@bekamansoor5990 Жыл бұрын
Eti nenda kajiuze si wanaume hivi sasa wanajiuza.............🤣🤣🤣😂🤣
@mwambiretv165
@mwambiretv165 Жыл бұрын
Yani hata wanaongalia mgonjwa tayari washavaa nguo nyeusi za mazishi .....ubunifu mkubwa sana 🤣🤣
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 Жыл бұрын
😅😅 chuma inaondoka hiyo
@bekamansoor5990
@bekamansoor5990 Жыл бұрын
Ama kweli kikulacho ki nguoni mwako. Big up guys
@kamanyile
@kamanyile Жыл бұрын
Leo wa kwanza like zangu kama zote
@Burner_Acc
@Burner_Acc Жыл бұрын
Unakula likes kenge wewe
@asternjulius890
@asternjulius890 Жыл бұрын
Hahaha joti mpuuzi et hey hey hey ndo anakata moto hivoo
@HansCassian
@HansCassian 5 ай бұрын
Wamevaa na nguo za msibani kabisa duuh
@eventstransportationservic9194
@eventstransportationservic9194 Жыл бұрын
Hahahahhaa piga rungu piga rungu hahaha...Joti hatari sana
@pauldamian5308
@pauldamian5308 Жыл бұрын
Anacho fanya joti hapo Kwenye maisha ya kweli yapo ndugu Wanabadilika sn Mtuu akifariki
@AsmaAsma-gd3mv
@AsmaAsma-gd3mv Жыл бұрын
Bora hiyo naitaka pepo
@winfredykahwili1513
@winfredykahwili1513 Жыл бұрын
😂😂joti ni kisanga
@rashidimrangi1953
@rashidimrangi1953 Жыл бұрын
JoTi akishut kama mzee namkubali sna
@elisantekaiza373
@elisantekaiza373 Жыл бұрын
Hii nzuri hata wakiangalia wataona aibuu
@emanuelmiyonjo4484
@emanuelmiyonjo4484 Жыл бұрын
Nakubari san joti
@rukaiyadickson6234
@rukaiyadickson6234 Жыл бұрын
Aliesikia Kujamba cheche nani😀😀😀
@amanirazalo4338
@amanirazalo4338 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 ndugu kama hao bora ubadilishane na mbizi
@2116-n
@2116-n Жыл бұрын
Serikaliii eeee, sitaki kuwaona hawa😂😂🙌
@francethomas8059
@francethomas8059 Жыл бұрын
Joti mimi shabiki kuliko kawaida ila ni mtu nae cheliwa sana leo nipe ata like kidogo mzee wetu kwenye ubola wako
@eliudmtailuka381
@eliudmtailuka381 Жыл бұрын
Nina shamba la bangi😀😀😀
@lgdnce8309
@lgdnce8309 Жыл бұрын
funzo kubwa kbsa MUNGU angekuwa anawaamusha marehemu wte wakayaona haya kweli binadamu tusingekuwa na chuki
@bigshipsounds
@bigshipsounds Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 9.41😅😅😅😅😅 shamba la bangiiiiiiiii
@jecoog6086
@jecoog6086 Жыл бұрын
😂xhamba la bange mulla unaitania serikalii
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Kula chuma icho 😅❤❤❤
@danielmwakalinga6049
@danielmwakalinga6049 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😂 Nani kamuona mgonjwa aluvyoy mkonyeza doctor?? Kampa 👍
@abdallahmshuza2548
@abdallahmshuza2548 Жыл бұрын
Joti Joti Joti...nakuita mara tatu!
NAMTAKA HUYU
10:37
Joti TV
Рет қаралды 838 М.
SISI MADEREVA
9:09
Joti TV
Рет қаралды 395 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
KALAMBA CHUCHU
11:32
Joti TV
Рет қаралды 471 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 869 М.
DUNIA (Ep 37)
22:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 215 М.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 562 М.
HELA YANGU YA MCHEZO
9:23
Joti TV
Рет қаралды 512 М.