Huyo jamaa wa koti la bloo anajua sana kuigiza Akitulia na akapata director na mtunga stori nzuri atakuwa kama kanumba maana uigizaji uko moyon Na kizuri ana joti ambae uigizaji nao anaujua Kudos people, mnaigiza vizuri sana
@beatricekingsley50624 жыл бұрын
Kweli kabesa
@ahmedalshaibany66904 жыл бұрын
umenena kabisa. Huyo ni Kanumba kabisa ata kwenye kicheko ndio kama yeye. Jamaa anakipaji kabisa yaania anaigiza kama Uhalisia
@frediricknandonde16904 жыл бұрын
Anaitwa sopa huyo
@pendondossy21584 жыл бұрын
Sopa yuko vzr
@ismailimkana32794 жыл бұрын
Kweli kabisa jamaa yupo vzr sn
@chrisperlema43774 жыл бұрын
Wanao amini joti ndie mchekeshaji bongo nzima ngonga like
@mariyamgharib9404 жыл бұрын
Hana mpinzani uyu joti saiv
@saidyoriyori96973 жыл бұрын
joti kweri anaweza lakini kundi lamizengwe pia wanaweza
@naseebamri21914 жыл бұрын
Dah😁😁😁ase nimecheka sana hadi machozi joti noma sana hiyo michongo niliwaigi ifanya wauni wakamleta had hom
@marthagreenford83383 жыл бұрын
Joti huna akili kabisa... watu wazima tunacheka hv😂😂😂😂 U talented man
@mussaomary14712 жыл бұрын
Eti chura anakaa yanga tu
@Sincerelykentrell0384 жыл бұрын
Joti mwaka huu ni fire🔥🔥🔥😂😂😂 Nawach nkiwa...Malindi kenya🔥🙏❤🤞😊💫
@picdotstudio47854 жыл бұрын
"Ngoja nikamchomoe..huku hamna njia " daa majamaa Masnitch sana.hahaaaaaaaaaa
@justbmg4 жыл бұрын
Like seriously hehehehe nko sakafuni sasa hivi. Much love from Kenya!
@alladitahnoordin48953 жыл бұрын
😂😂
@coldfayahmistari2543 жыл бұрын
Like siliously
@hudhaifahjuma94402 жыл бұрын
We kum unaxemj
@firdausshamoun32534 жыл бұрын
"Like siliazly"🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fredyndenga4 жыл бұрын
Firdaus Shamoun 😂😂
@cuteme48704 жыл бұрын
😂😂😂uneua
@rahimmarions57124 жыл бұрын
Kila mtu wa kwanza bas mm wa mia saba uko...maana dakk 5 tu kila mtu wa kwanza😂😂
@nuruemmanuel53913 жыл бұрын
Mawaiza sheikh othuman
@samwelimushi55493 жыл бұрын
Sopa unajua Kaka nakubali sn kazi yako
@florachogo55374 жыл бұрын
Joti muigizaji mzuri sana. Barikiwa
@arafatihamza42044 жыл бұрын
Haya maeneo gani aisee hapa dar......? Ila joti namkubali sana
@neemamayco32384 жыл бұрын
Dar kubwa mwana ukiambiwa ndo uamini hv
@hildaelias23594 жыл бұрын
Yaleo iko vzr siyo ile ya wiki iliyopita
@frifrostudios4 жыл бұрын
angalia na hii iko vizur sana kzbin.info/www/bejne/nIHHZaaDd86IZ9E
@donstico32034 жыл бұрын
Umetishaaaaaa
@thuwaybamachea3962 жыл бұрын
Joti kaka hawa watu kama mlikosana Bora msameheane muendelee kufanya kazi pamoja maana mlikua mnafanya vizuri mno na Mashabiki zenu bado tunataka kuwaona mkiwa wote, msameheane basi na Mungu nae ata wasamehe makosa yenu kwa uwezo wake 🙏
@innocentmushi46754 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣.Nyumbani ni Nyumbani Hata kama Kichakani shime shime shime
@margaretmuthoka7544 жыл бұрын
Waee!! sijachekaa😂😂😂😂 hivi 2020 @joti Safi kabisa from 254
@lucychristopher68613 жыл бұрын
Siliusly nimechoka😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣kingereza
@slimpirate60204 жыл бұрын
Hapa 🇰🇪🇰🇪 joti 🔥🔥🔥❤️❤️❤️👏👏
@realityscenes17954 жыл бұрын
Hizo namba huwa za nini na zina maana gani?
@hosianakibona6594 жыл бұрын
Huyu dada toka amejua (Like seriously)
@bertinaafonsorapaz83454 жыл бұрын
😂😂😂😂ndo nilikuwa naitafuta hii coment
@mizzourepresentin86944 жыл бұрын
@@bertinaafonsorapaz8345 🤣🤣🤣🤣🤣
@enjoyemanuel9291 Жыл бұрын
Yuko vzr sana joti
@khalifasultan26774 жыл бұрын
Ongea Kiswahili Weeewe Like Seriously Ninii😁😂😂😂😂
@NeemaKmussa4 жыл бұрын
Ndo kunogesha move
@lageettamim44154 жыл бұрын
Siliasli !
@jacklinerenson17084 жыл бұрын
Wasema siliasli😂😂
@danchibayuu95154 жыл бұрын
Hahahaa
@humphreynduye75733 жыл бұрын
Hhhhhh ,,,kwel imependezaa kwel like seriously ,,,,,
@almasially65094 жыл бұрын
izo "like seriously " khaaahh😂😂😂
@sophyleenpj43124 жыл бұрын
Hahaha like seriously zimekuwa nyingi
@gloriousgal20013 жыл бұрын
@@sophyleenpj4312 🤣🤣🤣🤣
@emmanuelnzaligo62624 жыл бұрын
Nimependa hii
@danlinetz29594 жыл бұрын
Jamani like kwa Joti😂😂🤣
@kelvinebens52394 жыл бұрын
Marafiki masnichi kweli Nishai nae, eti kwa kassim mganga.
@noelmarapachi18084 жыл бұрын
kelvine bens 🤣🤣🤣🤣
@kelvinebens52394 жыл бұрын
@@noelmarapachi1808 😂😂😂
@kelvinebens52394 жыл бұрын
@Tae Love noma sana
@joeljohn30094 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 et kwenye chura wanakaa Yanga "like siliazily" 😂😂😂😂😂
@farajamwanjisi13224 жыл бұрын
Mambo vipi mpenzi? Naomba uangalie Filamu yangu fupi naamini utafurahia Comment yako ni muhimu sana kwangu kzbin.info/www/bejne/g5OliaCmdrODgJI
@isacklaurent89484 жыл бұрын
nmeskia SILIAZLI🤣🤣🤣
@ayoubmngarishaji60314 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 nimeiskia sanaaaaa
@youngtekno4 жыл бұрын
😁😁sana
@hammerQ9544 жыл бұрын
😅😅kwa comedy inakua kama kionjo lakini huyu kakusudia kabisa
@jasmineally14934 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@OfficialKiliPaul4 жыл бұрын
Hata mimi kumamake🤣😂🤣😂
@joseojuang64024 жыл бұрын
Jot Hii Noma sana kaka
@zinjankhan28834 жыл бұрын
haaaaa!!! laiki siliazli 😉😉😉😅 cheche za uswahilini. zikijua zitaonekana youtube yanayofata ndio hayo laiki siliazli😎
@patrickakitanda77094 жыл бұрын
Sopa anaweza sana
@davianjosephjoseph31212 жыл бұрын
Jamanii Sopa na kipande jamn please Sopa rudi Jot i tv
@magneticfootballtz16074 жыл бұрын
Daaah washikaji mmemsnichi mwana
@pastorbonnyphillip89454 жыл бұрын
wekeni iendelee.. iitwe like siliazlii
@Bomayee0074 жыл бұрын
Dawa yake tumepata dawa uyu like seriously 😂😂😂
@mabeekeniya97104 жыл бұрын
Huyo mugonjwa alikuwa hawezi halafu alipo ona demu wake akatoka nduki 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
@salehsp43624 жыл бұрын
Duh hii sehemu hatarishi sana
@WardaShebe Жыл бұрын
Unanikosha sn weeeee jot😂😂😂😂😂😂😂😂
@brightonchedego81004 жыл бұрын
Kwenye chura kuna Yanga,hahahaaaaa 🤣🤣🤣😂😂😂😂
@OmarZaituni Жыл бұрын
hahahahah joto kunyw soda popote ulipo utalipa mwenyewe😂😂😂😂
@ABDISTARFILMS4 жыл бұрын
Mmetisha Sana tukutane kwangu wakubwa tu
@Soccer_Life24 жыл бұрын
Jama ni like kwa awa wa jama
@salumally31284 жыл бұрын
Ila yanga wamekusikia Joti🤣🤣🤣🤣....
@ahmadsaid48784 жыл бұрын
ila joti dah unaitoa wap hii mizgo sio poa yan hilo dada like serious nmelipenda 😂😂😂
@coreenjoseph79054 жыл бұрын
Hahahaaaa siliazli!!?
@augastinogmndolwa41834 жыл бұрын
Safi tembelea you tube ya Kiwasha music tz ujionee mwenyewe
@mduduemmanuel45854 жыл бұрын
Seriously!! Hatari fireee!!!!!!!
@browntonne99274 жыл бұрын
Kali sana piga like hapo
@theresiahenry95544 жыл бұрын
Iko vizuri
@mckipofu60214 жыл бұрын
JOTI na huo mkaptula jaman, uyu demu nae like seriously sijui ndo nin
@meekjoh99404 жыл бұрын
Jamaaaaan leo nmepataa vochaa😂😂😂
@abrahamaugustine86064 жыл бұрын
Ya mtandao upi?
@daniellouisbeckford82224 жыл бұрын
Wow! I love the subtitles 😍😍 Iko poa sanaaaa ❤❤❤❤
@fatmahalfan81224 жыл бұрын
Joti eti kwa kassim mganga 🤣🤣🤣😂😂😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️mi pia nakufuza mjinga sana
@IlhaamMarshed4 жыл бұрын
Fatma Halfan mapishi ya wali wa sausage kzbin.info/www/bejne/rGTLoIeKeZehmdE naomba subscribe tafadhal
@patricktegea14304 жыл бұрын
Sopa unaweza kaka
@aminmopale2134 жыл бұрын
Sopa anatisha
@saudahamad74814 жыл бұрын
Ongea kiswahili sio like seriausly😁😁😁😁😁😁
@nataliekamaka12984 жыл бұрын
jaman uo mlango au dirisha😂😂
@malicboy79734 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kazi poa sana wanangu. keep the good work bros
Eti huku ni kwa mganga 🙆🙆🙆🙆 nime kuja kutibiwa . 😆😆😆😆
@frifrostudios4 жыл бұрын
kwewli usimwamini rafiki kuthibitisha ivo angalia hii
@jumachanyau44294 жыл бұрын
sema marafiki wakukanyaga mna boa
@mfaumeseif58724 жыл бұрын
Kipande mkuda eti anaishi kwao kwa mama yao .. hahahaha....ila umefanya vizur kumrudisha Mama Dame..
@annkabbz85444 жыл бұрын
Title of this video should be ..."Seliously"😍😂😂
@shabanbuchu21304 жыл бұрын
seriously
@collo__54554 жыл бұрын
I was looking for this comment and here it is😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shabanbuchu21304 жыл бұрын
@@collo__5455 hihihi
@asteriarngweshemi37834 жыл бұрын
Hahahaaaaaah Like seriously
@collo__54554 жыл бұрын
@@shabanbuchu2130 😀😀
@afsamandaly16564 жыл бұрын
Ao ndo wauni wamtaaan Kwangu hahaaaa
@erickevarist87383 жыл бұрын
Marafiki masnitch wakae mbal
@theresiahenry95544 жыл бұрын
Huyo mdada nimempenda hatar kimapenz
@theclasinu96423 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Nishai kimbia leo unafumwa
@djmasaicowboy15344 жыл бұрын
Unajua sana
@missmannydxb4 жыл бұрын
Seems like the only English word she knows is SERIOUSLY 😹😂
@magdalenamangere83064 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@andrewmalekela35772 жыл бұрын
😂😂
@gradiemumba65374 жыл бұрын
Joti wewe ni kiboko naza congolais 🇨🇩🇨🇩
@sam-dully46874 жыл бұрын
Wa kwanza kuwatch give me my like please kama ww ni team fisi
@wilfredkabanga92394 жыл бұрын
hahaaaaa nishai like criasly hahaaaaa
@mustaphambwana79444 жыл бұрын
Joti acha usenge kama umekosa chakuigiza basi kaa utulie kimya yanga sio chula ukome na usiludie tena unajua joti tunakueshim sana lakini kwaili yanga kuita chula umetukosea sana
@mikapmwalimu45554 жыл бұрын
Hahahaha Eti kwanini msinge muacha kulekule magetoni hahaha
@lucychristopher68613 жыл бұрын
Yani seriously inavyotamkwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@juliusjoseph48892 жыл бұрын
Hahahahah ila Hawa masela sio Wana kabsa🤣🤣🤣nishai ni mwambaaaa
@donstico32034 жыл бұрын
Snitch kwel mwanaaaa😂🤣
@NeemaKmussa4 жыл бұрын
Comedy yake hata miaka ijayo itaendelea kudamshi jamani huyo dada kanifurahisha like siliazili🤣🤣
@iddke.27793 жыл бұрын
Kwa kasim mganga🤣🤣🤣
@sharonke74424 жыл бұрын
huyo kaka kamwambia vizuri eti like seriously ongea kiswahili wewee
@ashminaabdulla89462 жыл бұрын
Hivi huu mtaa watoto wanacheza wapi maana sielewi #like cyacli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@agnespeter87404 жыл бұрын
Lijoti lichizi kweli eti kwa mganga hahahaa
@jumanatv4174 жыл бұрын
Hapo kwenye like siliazly ndo tunaumizwaga hapo. 😂😂😂😂😂🤣
@frifrostudios4 жыл бұрын
kweli usimwamini rafiki kuthibitisha ivo angalia hii kzbin.info/www/bejne/nIHHZaaDd86IZ9E
@farajamwanjisi13224 жыл бұрын
Mambo vipi mpenzi? Naomba uangalie Filamu yangu fupi naamini utafurahia Comment yako ni muhimu sana kwangu kzbin.info/www/bejne/g5OliaCmdrODgJI
@zenj19864 жыл бұрын
Ongea kiswahili baba...
@hassansozigwa34754 жыл бұрын
😆😆😆😆😆 noma sana mzee kigogo
@michaelmzava69542 жыл бұрын
Kali sana
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Kwa mganga uwiiii 😃😃😃😃
@karimhamdani7934 жыл бұрын
Mwanangu nishai hawa washikaji zako sio kbs yaan
@mubarakamuba3764 жыл бұрын
Daaa wana wahivi awafaii
@carolbenny3302 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kwenye yanga fala joti, sijasema mganga kasim mganga