Vijana kuweni maakini na wake za watu kitakuja kuwakuta kitu kibaya ona kilichomkuta nishai...
Пікірлер: 408
@beeykagiri7318Ай бұрын
'Wewe una nyumba Kobe Naye asemeje' was brutal 😂😂😂 I just love this channel from 🇰🇪
@ALNAVSINKINDOLE-tr9qs5 ай бұрын
Wote mnaamini kuwa Joti ni mkongwe anaewakilisha vizuri zaidi Tujuane❤🎉Tupe maua yake jamani kutiana moyo kunaleta Hamasa unafanya kazi nzuri joti.
@glorymanga36505 ай бұрын
Leteee mojaa kama Kibogaa ndo unapendeza zaidi❤❤
@PhilipinaPolycarp5 ай бұрын
Joti wetu🎊☺️❤️ Tuongezew za kiboga pia abeggggg🙌
@BabyCharles-jl3gv5 ай бұрын
😂😂😂❤Nishai leo alipata wakumuonea hhahha ila kaishia vibaya😅😅😅
@MustaphaSwai5 ай бұрын
Nakubali sana,joti mkali wa comedi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de5 ай бұрын
Huo mshat wa jot mkubwa huo kama Dera 😂 nzur kwa kulea mimba " sijui ananunuaga mnada gan😂
@ahz69075 ай бұрын
Labda spesho 😂
@joharially29504 ай бұрын
Hayo yanauzwa ilala buku una pata ma 3😅
@jaymapepefatma59365 ай бұрын
this is love From Mozambique 🇲🇿❤💞
@saveklima44945 ай бұрын
Joti wewe ni noma, eti mimi niko tayari unipe wewe. Dah shida sana...... nakuangalia toka Ujerumani, Hamburg
@fransiscotenda73725 ай бұрын
One of my favourite comedy artist me sio mtu wa kucoment sana koz kazi zako zinaniachaga hoi acha leo niseme ukweli❤
@mpjozzegalvanize49265 ай бұрын
Sema nishai ni mnoma sana kuliko #andunje na #kiboga
@HalfanAbdallah-x4pАй бұрын
😂😂😂😂Izi nyama hazitendewi haki😅😅😅😅😅
@officiacastory47085 ай бұрын
Kumbe nj mfupi kuliko joti ndo mana kamuoneaaa❤❤
@charleskoba2906Ай бұрын
Hilo shati😂 bro unajua sana
@chrismuganwa86345 ай бұрын
Thank you Joti!! You never disappoint me!! Love from Burundi 🇧🇮
@marryofficial91435 ай бұрын
Wa mwishio tukutanee apa ila watuu humu hamlali jmn😂😂
@abdul-rashidally18385 ай бұрын
Mim kama Sindano 😂😂😂Koti nashona, Viroba nashona😅
@laddyfaida5 ай бұрын
😂😂😂😂😅😅
@baloz89743 ай бұрын
😂😂😂😂
@JamesReuben-gt8up5 ай бұрын
Best comedian jotii fundi wa mafundi
@ANDREWMWINJE5 ай бұрын
😅😅😅🎉❤ nakubali. Joti
@Christianfilms15 ай бұрын
Joti yeye ni mtu wa kukutwa kweny majumba za watu 😊😊
@Fofo-z6t5 ай бұрын
😂😂😂Tena leo kwenye friza😂😂
@Michealfarah-n1w5 ай бұрын
Sema ana jisahau sana
@merrynancesimon15624 ай бұрын
😂😂😂😂😂Nacheka huku naogopa 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Shadia5445 ай бұрын
Leo nimekuwa wa 7😂😂😂haya jamaniii huyo KIMUME KIDOGO DOGO 😂😂😂😂ILA KIMUME HAYA TUONE HICHO KIMUME 😂😂😂
@Mrkigoma5 ай бұрын
Joti unajuwa tunachokihtaj kwako asaiv haulaz damu ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@رحيمهموينديموتو5 ай бұрын
Watching from Kenya ❤❤
@NUH235 ай бұрын
Hooolaaa buenos días 🧉🧉,05.47 AM yo viendo joty camino al trabajo 😂😂😂👏👏👏👏🇦🇷🇹🇿❤
@simonandrew14895 ай бұрын
Kazi Nzur Mr Joti
@starlonejadamskp82245 ай бұрын
Never disappoint jotiii 😂😅🎉
@Awoshy5 ай бұрын
Shati la Nishai jamani 😂😂😂😂kumbe ana mitoto mikubwa hivi😂😂😂🙌
@kekiplus1andonly5 ай бұрын
Am sorry,baba samahani 😂😂Kiroba icho hukiwezi 😂😂😂😂 Kumbe kimume😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de5 ай бұрын
Jmn kifupi Cha watu kinatia huruma et nyumba yangu kitanda changu mke wangu jmn 😂😭
@صالحالفرحان-ت9ن5 ай бұрын
Jotii uliniwacha haki ukaowa okay 😂😂😂😂😂❤
@HalimakessyRamadhan2 ай бұрын
HTariii xanaaa jotii
@sabahabdallah57915 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣Acha zambi joti 🤣Nice vidéo 👌
@wardamarungu24785 ай бұрын
Yni nishai nilijua leo mission yko imetick 😅😅😅😅 kumbe same same 😂😂
@Fofo-z6t5 ай бұрын
Huo mshati unakuwaga hivi mrefu kumbe 😂😂anachomekeaga atuoni 😂😂 Ila joti😂
@Julienne-t3g4 ай бұрын
Mimi napenda sana picha zake
@MunirAbedi5 ай бұрын
Mwanangu wakuguna namkubali sana
@jamesndonde5 ай бұрын
Mrishoooooooo big up
@RhodaGelishom5 ай бұрын
Napenda kiboga kuliko nishai mtombangile kitwango 😂😂😂😂😂
@FrankGasper-eq2ui5 ай бұрын
Wa elfu moja nipeni like zangu
@AliAli-rx6wu5 ай бұрын
Wewe Joti hii umenoa!!! Ni kitu gani hichi? hata haichekeshi!
@laddyfaida5 ай бұрын
Nakupa😊
@Madicotheboy5 ай бұрын
😂😂😂😂jot big comedy tz
@mcsam_tz5 ай бұрын
Dah! Kamuoshea sana🤣😂, ila zamu hii ameyakanyaga ase..
@lilybarongo81195 ай бұрын
Mbona Shati la brother K😅😅😅
@VERONICA-o7n5 ай бұрын
😂😂
@halimaabdalla72385 ай бұрын
😂😅
@paschalmiambi3465 ай бұрын
Usilia father kazaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TALLUBOY5 ай бұрын
Jot bwana du! Umemtawala Kinomaaa duh Aisee wakati Watu wakikutiwa wana haha
@peterjanuary4295 ай бұрын
😅😂😅😂 dah brodah lucas😅
@BrackStar5 ай бұрын
Joti number lll 1. 🎉
@Alpha-66665 ай бұрын
Legend mwenyewe 😂 JOTI
@habibuhabibu97285 ай бұрын
Ila joti eti kimume😂😂😂
@tonniebryt1945 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Joti unajua sana😂😂
@Dottogancispamtutumadottomtutu5 ай бұрын
Jot anajua ah Vp wajumbe
@rodgersmwagu2395 ай бұрын
Babaahh mlewa shewele 😅😅
@MeshackMnyenyelwa-j6g5 ай бұрын
Jamani jott umetisha sana😂😂😂😂😂
@lareineminah13535 ай бұрын
Ilo shatiiii ss😂😂😂😂
@fabiandanford35723 ай бұрын
Duh Ilo shati nishai😂😂😂😂
@minahsamwel5 ай бұрын
Nimechekaaa😂😂😂 eti unakula stareh zako kwenye nyumba ya mwanaume mwenzie kweli kisa mdog unajigamba😂😂😂
@davidpaschal7785 ай бұрын
Badil Joti hiiiz zimejiludia sn we kuliwa uloda😅😂
@youngfather51185 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kumbe kimume
@Lovelypeople_6115 ай бұрын
Joti huwa analia kifara saana 😂😂😂😅
@JulianaTitus-zy1tm5 ай бұрын
😂😂😂😂 ilo shati iloo 😂😂😂
@FatumaRashidi-x5t4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ilo shati jmn
@chadrackrunogeza33025 ай бұрын
Toka Drc kalemie wa kwanza naombeni likes zangu ❤❤❤❤Joti mwanangu sana
@MaryamRamadan-r3i2 ай бұрын
Yan jot mke wake watoto wake wote jmnhtr😂😂😂😂
@abbyadams86915 ай бұрын
Usilie father kazi 😂😂😂😂😂😂😂
@tinyobayser37383 ай бұрын
Mimi kama sindano kiroba nashona makoti nashona 😂😂😂
@ZackDaniella-wi5ur5 ай бұрын
😂😂😂nishai mtombangile kitwango huna baya😂😂😂
@baloz89743 ай бұрын
Misuguo minino 😂😂😂😂
@k.o.n.g89255 ай бұрын
Kazi kama kazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shyfettymtunda46195 ай бұрын
Ila Joti 🤣🤣🤣🤣 kwahyo ndo ukafichwa kwenye friji.
@ismailburhan86225 ай бұрын
Joti tushachoka acting za design hii lete acting ya kipemba au kiboga.....au tafuta idea nyengine lakini acting za design hii tushazichoka mana ushaekti sana tu zaidi ya mara 10
@mankijoka12585 ай бұрын
TUMEZICHOKA we nani? Acha kutia wingi kwenye maono yako peke yako
@ZephaPro-ve7rk5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂@@mankijoka1258
@ALNAVSINKINDOLE-tr9qs5 ай бұрын
Mzee sema umezchoka au unajisemea wew na mkeo kaka aaah mzee jiheshimj bhn wew😂
@ALNAVSINKINDOLE-tr9qs5 ай бұрын
@@mankijoka1258mzee huyy mwanao sio mzma eti TUSHAZI_ we na nan mkuu??