Zitto: Samia Afanya Makosa Kusalimisha Siasa Kwa Vyombo Vya Ulinzi/ Usalama, KIKWETE MKAPA WALIKWEPA

  Рет қаралды 45,190

ACT MEDIA

ACT MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер
@Saidesaideinacio
@Saidesaideinacio Ай бұрын
Ninyi wawoga sana Bado hamjachoka sisi WA Msumbiji tumechoka tunajitowa kafara wenyewe from Mozambique 🇲🇿💪💪
@allychengula3511
@allychengula3511 27 күн бұрын
Endelea kujitowa na bado hamjasema na mtasema et mnajitoa kafara dhahabu unamuachia mzungu pumbavu, mnauana wenyew
@AlbertSabo-hp3ss
@AlbertSabo-hp3ss Ай бұрын
Pole sana Mkuu, hizo ndio "R" nne zikiwa kazini. Sasa nini la kufanya????
@MaguguStore
@MaguguStore Ай бұрын
Zito kabwe ninaye mfaham ndiyo huyuuu
@gasparyephraimmwakatuma9542
@gasparyephraimmwakatuma9542 Ай бұрын
Umesema kwa usahihi sana, na asante sana!
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 Ай бұрын
Zitto nimekuona umechukia kweli kweli
@augustinemukandara9341
@augustinemukandara9341 Ай бұрын
Zamu hii ameonja madhira ya chama dola!!!
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd Ай бұрын
TATIZO KUBWA LA HAPA TANZANIA NI VIOMBO VYA USALAMA KUINGIZWA KTK SIASA KAMA KUNA UWEZEKANO BASI HIVYO VIOMBO VYA DOLA NAVYO VIJIINGEZA KWENYE SIASA KWA NEMBO HIZI TUSIPOANGALIA TUNAWEZA NCHI YETU AMANI IKAISHA
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 Ай бұрын
THAT IS DEEP POLITICAL SCIENCE!
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l Ай бұрын
Wangekuwa wanaakili wangekuelewa Zitto shida ni mahira hahahaha
@AnnaWiliamu
@AnnaWiliamu 28 күн бұрын
Good sentence🎉🎉😅
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Allah akuhifadhi Mhe Zito na akujaalie salama na nyote na hilo Samia aaahhh
@MariamuMapunda-o6z
@MariamuMapunda-o6z Ай бұрын
Uko sahihi sana!
@theophilmakumbuli
@theophilmakumbuli Ай бұрын
Hiyo demcrs imeletwa na wazung ili watugawe warabu hawan hii kit lakini hatuwafikii kimaendeleo
@MussaNyoni-h5m
@MussaNyoni-h5m Ай бұрын
Fact
@HamisiMwinyimsanga-u9p
@HamisiMwinyimsanga-u9p Ай бұрын
That is true some are not aware of it.
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 29 күн бұрын
Mmmmm zito acha kuwadanganya watu, polisi na siasa wapi na wapi au sema wasipige kura basi.
@FranksonMkumbwa-mb3pp
@FranksonMkumbwa-mb3pp 27 күн бұрын
We huja ona pt wakpambania ccm😅😅
@FintanMkeshi
@FintanMkeshi 24 күн бұрын
Alcho ongea zitto ni sahihi kbs
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Wanamuelewa vizuri lakini chama cha Mafia always wanapenda kujitowa fahamu
@PeterSabai-dq1hx
@PeterSabai-dq1hx Ай бұрын
Ndoa yako na CCM imeishia hapo😂😂
@BakariMakame-j5f
@BakariMakame-j5f Ай бұрын
Cijui wanakuelewa ,yani umetia mkwazo sana hapo kwenye vyombo vya dola, Tanzania,huku visiwani balaaa
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Ай бұрын
Nchi imekua dhuruma kwenye uchaguzi tangu maghufuli alipo fanya 2020 wamefata mfumo.
@MaguguStore
@MaguguStore Ай бұрын
Zito siasa ndivyo ilivyoooo
@ValerianaKilumile
@ValerianaKilumile Ай бұрын
Ni kweli ccm itatolewa na dola 2025 manabii wa mungu walisema 2023 Tunasubiri
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela Ай бұрын
Usituletee ukafiri hapa et manabii
@AmosiSisangu
@AmosiSisangu Ай бұрын
Zitto kabwe pole sana,mfumo wa kuindesha nchi yetu sio wa vyama vingi,mtateseka sana,matalalamika sana, nchi hii ni ya chama kimoja tu ccm
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 29 күн бұрын
Ccm kama freemason
@Africa_Yetu
@Africa_Yetu Ай бұрын
🎉🎉
@theophilmakumbuli
@theophilmakumbuli Ай бұрын
Nchi zenye democ ndoo masikini,rakin nchi zinazokandamiza democ zimepiga hatua sana kimaendeleo
@CristinLyanga
@CristinLyanga Ай бұрын
Kaka umeongea mpaka na sikia kuli, hii nchi bwana Mungu indicia kati.
@ngusawales2039
@ngusawales2039 Ай бұрын
Huyu ndo zito kabwe niliyekuwa namjua enzi za akina tundu lisu na siraha
@Yusuphrevocatus-g3v
@Yusuphrevocatus-g3v Ай бұрын
mna wachochea vijana... likija la mchuma janga hula na wakwao
@NestoKipila
@NestoKipila Ай бұрын
Tena hawajui kama wanajichimbia kaburi wenyewe yarivyo kosa aibu. Majizi makubwa ccm
@UwamariyaDusabe
@UwamariyaDusabe Ай бұрын
Fatafskakisegeti😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😂 I love you too 😂😂 😂😂😂😂😂😂😂
@fauzseif7344
@fauzseif7344 Ай бұрын
Zito kazana kupiga kelele umekua kama mbowe hana lake tena
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Ай бұрын
Kweli huyu panya msaliti....
@athumanipigo9295
@athumanipigo9295 Ай бұрын
Shida wana siasa hamuaminiki wanafiki sana pia vyama pinzani hampendani
@propKibali
@propKibali Ай бұрын
UKO SAWA, CCM HAIKUBALIKI, INAHITAJI JESHI LIWABEBE!
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Ай бұрын
Tatizo la Zitto ni udini. Rais mwislamu na Zitto ameshindwa kabisa kuonyesha upinzani kwa Samia wakati JPM alimkosoa sana. Kwa hiyo vumilia maumivu.
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela Ай бұрын
We chizi nini udini umeuona wap
@billgussy6099
@billgussy6099 29 күн бұрын
Zitto hana udini mm ni mkristo nathibitisha Zitto hana udini
@augustinemukandara9341
@augustinemukandara9341 Ай бұрын
CCM ilikufa, ilishakufa haijulikani ilikufa lini?!!! Alisema Mwandishi NANYORO
@ShaibuYahaya-v7k
@ShaibuYahaya-v7k Ай бұрын
polis mtauwa wengi sana lakin mwisho wenu mtakufa na ny8nyi tu rais umekosea sana kupereka siasa kwenye vyombo vya ulinz umekosea sana nakwambia utabeba zambi nyingi sana na nyie polis mtakufa kama wale mbao waua ndo maana polis akistaafu kwanza mungu anampa ugonjwa kupalalais mwishowe kufa akuna kingine nashulitu acha siasa na maisha ya watu acha kuuwa watu rais unajua akuna ubishi
@Marumba-u5y
@Marumba-u5y Ай бұрын
Hii ndo siasa niipendayo
@BellaMtalika
@BellaMtalika Ай бұрын
Zito nakuelewaga hatar wewe kweli mwanadipromasia
@sturmiusbs
@sturmiusbs Ай бұрын
This comred should have seen it before.
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Na aliye na nguvu kuliko wao MMungu atawaweka CCM loo
@JustinMwanzeni
@JustinMwanzeni Ай бұрын
Nyinyi huyu hamjui huyu ni usalama wa taifa
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Ай бұрын
Hizo ndo R5 umlikuwa mnakula wenyewe mnasahsu wananchi.Ngombe anenepeshwi wakati wa mnada
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp Ай бұрын
Tupiganeni na hawa mbwa polis sio jesh,ili waelewe kz zao wakileta tulete kwao wao nani na cc nani
@MtangoMjema
@MtangoMjema Ай бұрын
HAPAKUWA NA UCHAGUZI. CCM SUMU MNAYOPANDA KUNA SIKU ITAWAGHARIMU.
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck Ай бұрын
Tanzania hakuna upinzani. Nyote mnaojifanya wapinzani wanafiki tu acheni kelele.
@StewartUkason
@StewartUkason 28 күн бұрын
Huyu Jamaa anaongea Unabii.
@oltetiangaroya8489
@oltetiangaroya8489 Ай бұрын
Nakubali sanaaaaa zito kabwe Peepoz power ✌️
@MaguguStore
@MaguguStore Ай бұрын
Kumbe siasa ni taaaam
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 Ай бұрын
Watu waliyo jaliwa kuona mbali.Sasa mimi namkubari Zitto. Kusalimidha sisas kwa vyombo vya dora kunahatari. Ipo siku watapenda wawe wakuu wawilaya.mkoa nk Wanapopita.kimg;ora kipige kerere..madaraka matamu jamani
@patricknjako2110
@patricknjako2110 Ай бұрын
Pumbavu kabisa...alokuambia kuja wengi mkutanoni kwako ndio kupigiwa kura nyingi ninani? Kubali mmeshindwa
@SongoloBululu
@SongoloBululu Ай бұрын
Kwel
@LangiMwampamba
@LangiMwampamba Ай бұрын
Zito ulikaa kimya sana tunajua wewe ni mtetezi wawatu
@duniakidogo8516
@duniakidogo8516 Ай бұрын
Usaili wa majeshi yetu unafanywa wakuu wa wilaya ambao ni makada wa ccm. Hii ni hatari sana. Kwa ninayoyaona, mmmmmmh
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie Ай бұрын
Siasa mchezo mchafu sana
@hustlerjailan2287
@hustlerjailan2287 Ай бұрын
Allh amesema ud uniy astajib lakum. Firauni ulisema hakuna kitu kitakachoweza kumsibu kwenye dunia hii, Nabi Musa aliomba DUA tu na unajuwa matokeo yake yalikuwaje
@HamisiHemediWaguga
@HamisiHemediWaguga 25 күн бұрын
Mnafimi ww msaka tonge tu ndio maana umehama chadema ww
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Tutateseka sote na wewe Amos umo au wewe uko jikoni CCM ndio unakejel na wao ccm Chama cha maauwaji na Maharamia kama wanaume kweli wakatae kwa hao mabasha wao waloleta hivyo vyama vyingi
@GasparMfoi
@GasparMfoi Ай бұрын
One day yes
@timboxlee919
@timboxlee919 Ай бұрын
Huyu mwarabu atatumaliza watanganyika RIP JPM
@fauzseif7344
@fauzseif7344 Ай бұрын
Wewe acha upumbavu ubaguzi mshenzi laana
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 Ай бұрын
Alieanzisha hili ni Jpm
@MchaFakih-ij8kh
@MchaFakih-ij8kh Ай бұрын
Matunda ya Magufuli usijitowe fahamu
@Jal210
@Jal210 Ай бұрын
Mbwa wewe mwaarabu inamhusu nini mama samia
@Mkrist
@Mkrist Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MangumbasaShirazi
@MangumbasaShirazi Ай бұрын
Unacho kiongea. Zitto niukweri ila watanzania tuache uoga tuwenaujasiri Mocambique wamejitowa asirimia. Billion zote
@Jal210
@Jal210 Ай бұрын
Mjinga sana wewe na zitto wako shukuru mungu Tanzania kuna amani nzuri na uchumi mzuri leo mkoingia barabarani inafikiri utapona wewe Mjinga wewe
@yassinmuamba2526
@yassinmuamba2526 Ай бұрын
Wewe hujielewi mnafiki wenzako wakidai masilahi wewe utaki yakikukuta unalalamika pambana mwehu wewe
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 Ай бұрын
Tulia ikuingie 2010 ulituhumiwa kumhujum Dr slaa ukiwa na usalama wa taifa lakini ulipohojiwa na gazette la mwananch ulisema kushirikiana nao sio jambo baya Sasa tulia
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 Ай бұрын
Zitto siku zote anaongea maneno mazito sana,lakini yanakwenda kwenye masikio ya uziwi.
@RamaMdoe
@RamaMdoe Ай бұрын
Ulikua wap sikuzote zito
@zakarialuhemeja444
@zakarialuhemeja444 Ай бұрын
😢
@GeorgeWambura-t1i
@GeorgeWambura-t1i Ай бұрын
Worthless to be trusted..that's endless price to be paid..
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja Ай бұрын
Msikubali huyo zito alifurahia kifo cha magufuri akasema alieumia akazikwe nae, zito hafai hata kidogo
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Ай бұрын
Haya mambo yameanzia kwa magu umesahau
@patrickmsekwa4947
@patrickmsekwa4947 Ай бұрын
Hebu mkuu tupatie sera za chama chako.
@charlesmganga-gv2cs
@charlesmganga-gv2cs Ай бұрын
URONGO MTUPU
@francismdoe9965
@francismdoe9965 Ай бұрын
Njaa zinakusumbua ww acha kelele
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Ай бұрын
Acha uchawa wewe.Watu wanaporwa haki zao za demokrasia,kwanini wasiongee.
@ChijaKisenya
@ChijaKisenya Ай бұрын
Katobwe kafiri wewe
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 Ай бұрын
Naomb Mungu akuchukue huna faida na Taifa ili
@fahadabdalla8194
@fahadabdalla8194 Ай бұрын
Mshahara wako kiasi gani nikuengeze kijana
@samuelpatrice6604
@samuelpatrice6604 Ай бұрын
Umeshindwa acha kelele uswapumbaze wenzio
@SimonAmosy
@SimonAmosy Ай бұрын
We kuma 2lia
BALOZI KARUME || WANALETA WAGENI KUIFISIDI ZANZIBAR
4:10
Marhaba TV
Рет қаралды 30 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 845 М.
ZITTO: CCM WANAJIFUNZA 'KUNG-FU' WANATAKA WAMPIGE NANI?
5:31
ACT MEDIA
Рет қаралды 31 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
VIFO VYA WAKUU WA NNE(4)
24:41
huduma ya kristo
Рет қаралды 45 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН