MITIMINGI # 579 UKITAKA UPENDWE NA MKE/MUME FANYA HAYA NDOA YAKO ITAKUWA BORA

  Рет қаралды 496,347

MITIMINGI ONLINE TV

MITIMINGI ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 195
@zachariambise4374
@zachariambise4374 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mwalimu, Nimebarikiwa sana na mafundisho yako.
@aderinadickinson1558
@aderinadickinson1558 3 жыл бұрын
Balikiwa mtumishi wa mungu mengi tunapambana nayo juu ya ndoa
@marthaiha8742
@marthaiha8742 2 жыл бұрын
Be blessed pst.am so blessed by ua tchings.
@stephensdaughter6234
@stephensdaughter6234 6 жыл бұрын
Asante doctor mitimingi kwa kweli unamafunzo mazuri.mungu azidi kukuinua na kukubariki kwa kila jambo.ubarikiwe sana mtumishi
@maureenngala493
@maureenngala493 5 жыл бұрын
Murenkangala
@mondayjaphet3759
@mondayjaphet3759 5 жыл бұрын
Nakupenda napenda pia mfundisho yako mungu akulinde
@belinafinias9611
@belinafinias9611 5 жыл бұрын
Hakika we Mch. Mungu amekuumba makusud, nimebadilika kuptia mafundxo yako, ubarikiwe sana
@getrudandabita1651
@getrudandabita1651 6 жыл бұрын
asante Kwa somo zuri, kuanzia Leo nabadilika
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 5 жыл бұрын
Nikweli manoneyako we we unafundisha vitu sahihi kabisaa ambavyo ha ta .siye waislaam yatupasa tuyafate nasema shukran
@neemamahini9524
@neemamahini9524 6 жыл бұрын
Mungu azid kukupa maona ya kutufundisha na kuponya ndoa za wengi.
@lov3216
@lov3216 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 mungu amulaze salama mchugaji
@trophainamagogwa9590
@trophainamagogwa9590 6 жыл бұрын
Kwa kweli umesema ukweli watu wengi wanakuta tofauti kabisa,ila mtumishi unaweza kubadilika lakini itachukua muda mrefu huku mtu ameshaumia,shetani mbaya mno!Asante,Trophy Nchini Canada
@chriss_Cm
@chriss_Cm 6 жыл бұрын
Safiiiii Sana kk
@shushus1105
@shushus1105 6 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi tunazidi kufarijika sana
@florahmichael9339
@florahmichael9339 6 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaaa Mungu azidi kukufunulia maandiko
@paulinedaniels5125
@paulinedaniels5125 4 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako yaliojawa na hekima Mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@irinendubi5813
@irinendubi5813 6 жыл бұрын
Mola akuongezee nguvu this is so nice
@alexkibuko213
@alexkibuko213 2 жыл бұрын
Mahubiri yako yanafundisha Sana nataman kukutana nawewe
@DenisKapinga-v7g
@DenisKapinga-v7g 9 ай бұрын
Amen man of God
@bahationesmo1607
@bahationesmo1607 5 жыл бұрын
God is with you my Pastor. Go ahead.
@neemamrema1705
@neemamrema1705 6 жыл бұрын
Mtumishi nashukuru nimekuelewa Barikiwa sana
@musaligoha5705
@musaligoha5705 5 жыл бұрын
Somo zur barikiwa mtumish
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 6 жыл бұрын
kyala akutule mungu akubaliki sana
@anniefrankie8110
@anniefrankie8110 6 жыл бұрын
kwa kweli nabadilika sasa hv...Asante kwa Somo
@lucialaizer8988
@lucialaizer8988 6 жыл бұрын
Kweli baba mafundisho Yako mazuri
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Mungu amrehemu mchungaji amlaze pema peponi, Amin
@pendokesi3977
@pendokesi3977 6 жыл бұрын
Ameeen.barikiwa mtumishi.
@sostenesswai778
@sostenesswai778 6 жыл бұрын
Namkubali sana huy mchungaj
@joycemabarika584
@joycemabarika584 3 жыл бұрын
Hakika kazi umeifanya Baba, pumzika Kwa amani
@evanskatunzi6729
@evanskatunzi6729 6 жыл бұрын
Baba baba baba baba baba shkamoo aiseee nazidi kulewa sana mafundisho yako
@angelmalisa8828
@angelmalisa8828 6 жыл бұрын
Asante tunabarikiwa
@bonytarimo4827
@bonytarimo4827 6 жыл бұрын
Evans Katunzi hongera xana
@salehejongo2799
@salehejongo2799 4 жыл бұрын
Safi xn Dr.Mitimingi.
@zaharachalamila3057
@zaharachalamila3057 6 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji unatufunza mengi.
@elseyjelimo
@elseyjelimo 5 жыл бұрын
Mafundisho mazuri haya Amina
@ashooraameenoman9750
@ashooraameenoman9750 6 жыл бұрын
Ubarikwe mtumishi kwa neno
@frankbenandi8764
@frankbenandi8764 2 жыл бұрын
usiruhusu maumivu yako kama kiongozi kuonekana safi sana 💪
@lugendondayanse4910
@lugendondayanse4910 6 жыл бұрын
Baba mm nakuelewaga sanaa,, Mungu akubariki sana kwa kuunena ukweli
@nadafaustini8213
@nadafaustini8213 5 жыл бұрын
asante sana Dr Mitimingi somo nzuri kweli
@prettynesspastory3111
@prettynesspastory3111 4 жыл бұрын
Pumzika baba safiri salama msalimie Musa,msalimie moses kulola nasi twaja
@stevenndengu5982
@stevenndengu5982 4 жыл бұрын
Mwalimu mchungaji umegusa moyo wangu sana nikiwa hapa nairobi kenya
@necodeirakoze8911
@necodeirakoze8911 Жыл бұрын
Mungu akubaliki
@gervasmgomela6034
@gervasmgomela6034 2 жыл бұрын
ubarikiwe neno zuri sana
@hermanhenry2720
@hermanhenry2720 5 жыл бұрын
Baba shikamoo, yaan nakufatilia sana , na hii somo lako la kuishi na mpenz duh limeniingia hatari
@mohdzotv2676
@mohdzotv2676 4 жыл бұрын
hivi nikweli Jamani au rip baba wa upendo umeumaliza mwendo salama
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 6 жыл бұрын
nimejifunza kitu dah cm Na mie ndo wikiness yngu kuanzia Leo sirudii tena asante mchugaji
@monikajohn1072
@monikajohn1072 6 жыл бұрын
barikiwa mtumishi
@salimalqartubi3038
@salimalqartubi3038 5 жыл бұрын
Amina mtumishi ubalikiwe sana
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 6 жыл бұрын
Niko Oman nimeisikiliza sana yaani umeyagusa mahusiano yangu na.mwenzi wangu. Nimetoka kumchukia sababu ya simu.
@saidatikwizera6633
@saidatikwizera6633 4 жыл бұрын
Mungu akusamehe
@dannymnyaru7076
@dannymnyaru7076 6 жыл бұрын
ahsante sana mchungaji ,ubarikiwe
@tulivuevethatemba7628
@tulivuevethatemba7628 6 жыл бұрын
is true b4 marriage tunatarajia mambo makubwa na mazur na tunahope kwenye ndoa ndio kwenye kila kitu
@thomaskichogoti7391
@thomaskichogoti7391 6 жыл бұрын
Tulivu Temba
@hamidakassim4
@hamidakassim4 4 жыл бұрын
kipao mbele sana mtumishii👏👏
@sarahkahambu8847
@sarahkahambu8847 5 жыл бұрын
It will be nice if he could do some videos in English, especially when it comes to relationships and marriages because some of our husband's they don't speak Swahili they only speak English and it will be nice if they hear these things. Thank you man of God 🙏🙏
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 5 жыл бұрын
Amen. Blessed Sarah we will try our best. Thanks for feedback
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 5 жыл бұрын
Teach him that is you're duty to teach him Swahili
@isayayohana6165
@isayayohana6165 6 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa mafundisho mazuri
@hermanhenry2720
@hermanhenry2720 5 жыл бұрын
sema changamoto yangu pesa kwenye mahusiano ndo shida make kila akiomba hela nakuwa sina ila bado ananipenda sana mpaka leo ila hofu kwangu
@jescajulius8023
@jescajulius8023 4 жыл бұрын
Duh pole Sana,ata Kama huna pesa onekana kujal
@godiasjohn2915
@godiasjohn2915 4 жыл бұрын
Pengo hili mbona kubwa sanaaa mpaka sielewi rip😭😭😭😭😭
@shillahloice244
@shillahloice244 4 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😥😥😥
@RoseRose-vf5km
@RoseRose-vf5km 6 жыл бұрын
Nashukuru
@dukeduke7458
@dukeduke7458 5 жыл бұрын
Uko vizuri kawa neno baba
@ashasaid5061
@ashasaid5061 4 жыл бұрын
Asante sana nakukubali
@faithminja2682
@faithminja2682 6 жыл бұрын
Ubarikiwe baba..unatuponya
@ngolindamohamedi7225
@ngolindamohamedi7225 6 жыл бұрын
Hakika unatufunza mengi ubarikiwe sana
@mwabengajohn1649
@mwabengajohn1649 4 жыл бұрын
Good
@annastaziakibole5603
@annastaziakibole5603 6 жыл бұрын
napenda sana mafundisho yak
@elizabethkamala832
@elizabethkamala832 6 жыл бұрын
Umekuwa msaada kwa wengi waofatilia vipindi vyako
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 6 жыл бұрын
Kweli kabisa sister
@mwabengajohn1649
@mwabengajohn1649 4 жыл бұрын
Hey mamb
@humphreyulotu3545
@humphreyulotu3545 4 жыл бұрын
Nilikuelewa Sana mafundisho yako pumzika Kwa aman
@guccij3549
@guccij3549 6 жыл бұрын
First comment so like here
@doricemwalongo1584
@doricemwalongo1584 6 жыл бұрын
nakupenda bure mitimingi
@mangapmanga1539
@mangapmanga1539 4 жыл бұрын
Rest easy, may your soul rest in peace pastor.
@mulokoziatenedius6713
@mulokoziatenedius6713 6 жыл бұрын
Good lesson our dearest pastor.Thank you
@coolmusic2783
@coolmusic2783 6 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa mengi unayotufunza, mimi nipo hapa Uganda na nafuatilia sana vipindi vyako hivi. Ubarikiwe zaidi sisi Wanauganda twajifunza mengi
@iradukundaeric2356
@iradukundaeric2356 6 жыл бұрын
Mungu akupe ulefu wa maisha
@emmanuelnsemwa3350
@emmanuelnsemwa3350 Жыл бұрын
Good, ruhusu kupakua videos..
@sostenesswai778
@sostenesswai778 6 жыл бұрын
Hata mm yamenisaidia sana na hata sasa nayafanyia kaz
@hamistembo4339
@hamistembo4339 6 жыл бұрын
Kaka mm ni muisilam lakini nimekukubali sana na ninakufuatilia sana
@iradukundaeric2356
@iradukundaeric2356 6 жыл бұрын
Mambo badirika ikiwa baado inawezekana Islam sio kwetu tulidanganywa ila mmi nimesha toka nimeokoka maisha yakawa maxuri xaidi
@jaliakamote5485
@jaliakamote5485 6 жыл бұрын
Iradukunda kweli akili huna,unamshawishi aingie ukristo kisa mafundisho ya ndoa,hayokote yapo na kingne maisha ya ndoa ni mtu mwenyewe na mapnzi yake kwa mwenzie,kama mapnz hana hata afundishwe mwaka mzima ni 0.
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 6 жыл бұрын
uislam na ukrista tofauti ni kwenye yesu tu uislam unamjua km ni nabii wa mungu na ukristo unamtambua km ni mungu
@paulinasenyagwas8943
@paulinasenyagwas8943 5 жыл бұрын
Ata mimi mume wangu anapenda Sana sim
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 5 жыл бұрын
@@petterelias6976 Yesu amuhitaji ni kama nani?? Kwani Yesu ndie Anaepanga ndoa iwe nzr ndoa ni tabia za mtu
@Paulinajonnh
@Paulinajonnh Жыл бұрын
kweli kabisa baba
@patriciamwenge1821
@patriciamwenge1821 3 жыл бұрын
Jaman umetangulia LAkin Bado ,upo Nas kwa kupitia masomo yako
@jeankanabwisha4085
@jeankanabwisha4085 6 жыл бұрын
Mch Dr Mitimingi mimi ni nashida nyingisana naomba ushauli kwako.
@julytito3891
@julytito3891 5 жыл бұрын
Hahahahah uwii shkamoo peter mitimingi mtumishi wa Jehovah nakukubali sana jmn hiyo ndo hali halisi ilivyo jmn
@tinamchira6187
@tinamchira6187 6 жыл бұрын
nakufurahia kaka Mitimingi
@jescajulius8023
@jescajulius8023 6 жыл бұрын
cjui mapenzi ya kwenye uchumba huwa yanaenda wapi doooooo
@claudinemwendapeke5636
@claudinemwendapeke5636 6 жыл бұрын
kwakweli Mungu akubariki sana nimebarikiwa
@godiasjohn2915
@godiasjohn2915 4 жыл бұрын
RIP nimeumiaaaaaaa sanaaaaaaaaaa
@rosesubi3842
@rosesubi3842 6 жыл бұрын
amina mtumishi
@ramadhanialifa4348
@ramadhanialifa4348 5 жыл бұрын
Grand merci
@drfocus7303
@drfocus7303 5 жыл бұрын
```Kila nikisoma biblia nazidi mchukia shetani kwamaana alikuwa akimshauri yesu abadilishe mawe kuwa mikate 🍞 sasa tungejenga nyumba zetu🏚 kwa mikate ukiwa unadaiwa alfu umeshindwa kulipa deni mtu anakuja na kikombe cha chai na kula nyumba yote ....🤕🤕 by FOCUS```
@joharjonas6037
@joharjonas6037 6 жыл бұрын
napenda sana mahubili yako Hakika Unanifunguwa kitu Fulan ktk maisha yangu
@neemamlay3739
@neemamlay3739 4 жыл бұрын
Duh pumzika kwa Aman😭😔
@sabrinakenya2353
@sabrinakenya2353 6 жыл бұрын
Ukweli mtumishi ubarikiwe.
@shideashidea5570
@shideashidea5570 6 жыл бұрын
Mchungaji nami nafuatia vizuri nikiwa Omani
@Mariam-ez4qw
@Mariam-ez4qw 6 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu😂😂😂
@gsmartgisengo3710
@gsmartgisengo3710 6 жыл бұрын
unanibariki sana baba
@magnifiqueamahoro9816
@magnifiqueamahoro9816 6 жыл бұрын
Barikiwa sana
@kapepesedekia6089
@kapepesedekia6089 4 жыл бұрын
Umebarkiwa
@jospinaalex4182
@jospinaalex4182 6 жыл бұрын
yaaan nakukubali sana
@jayomaxytakajay413
@jayomaxytakajay413 4 жыл бұрын
Rest In Peace sorry family of mitimingi peter we miss your preyers.
@happybarack1780
@happybarack1780 3 жыл бұрын
R.I.P baba sitachoka kusikiliza maono yako
@angelasteven1637
@angelasteven1637 4 жыл бұрын
Msiba Wa mitiming
@focustz4408
@focustz4408 6 жыл бұрын
good
@safisanagkfkfk6039
@safisanagkfkfk6039 6 жыл бұрын
Ameen
@jenambarikiwa4554
@jenambarikiwa4554 6 жыл бұрын
Amen
@cosmasfrancisco3662
@cosmasfrancisco3662 6 жыл бұрын
nipo natal kwa Zulu nakupata sana...kupitia KZbin asante sana
@lynelee5846
@lynelee5846 4 жыл бұрын
Pumpzika kwa amani jmn injili yako iliponya ndoa nyingii..+254
@ashasaid5061
@ashasaid5061 4 жыл бұрын
Nimejifunza mengi
@geoffreychurchkayora1230
@geoffreychurchkayora1230 6 жыл бұрын
Biblia inasema wanaume tuwapende wanawake/wake kama vile kristo alivyolipenda kanisa ,hii inatokana na wanawake wameumbwa na vichocheo vidogo vya kuridhika kupendwa kwahyo akili zao zinataka kutamani kupendwa Mara mbili zaidi ya mwanaume anavyopendwa, hivyo vichocheo vikijaa kwa wingi na wao huridhika ,ndiomana wanawake huanza polepole kupenda,hata kwenye tendo la ndoa huanza na chaji polepole mpaka kuridhika ni tofauti na wanaume harafu kumbuka akili za wanawake zinafanya kazi tofauti na akili za wanaume, kwahyo wanawake wanahitaji kupendwa na kuliko mwanaume anavyohitaji kupendwa
@jacqulinemushi5849
@jacqulinemushi5849 6 жыл бұрын
Umenena Geoffrey mwanamke anahitaji kupendwa ndo kikubwa but wanaume wngi wanasahau wanadhan pesa na mali ndo kila kitu
@jacqulinemushi5849
@jacqulinemushi5849 6 жыл бұрын
Ukimpa mwanamke pesa na mali ukamnyima upendo atautafuta pengine
@irenemacha7457
@irenemacha7457 5 жыл бұрын
godfrey nahis wewe ni mwanaume watofaut unaeujua kitu mwanamke anachopenda nikwel kabisa mwanamke anapenda kubembelezwa
@hadijamasini6013
@hadijamasini6013 5 жыл бұрын
@@jacqulinemushi5849 jaman ni kwanini et?? Ndo Mimi kabsaaa
@jescajulius8023
@jescajulius8023 6 жыл бұрын
duh kwel kabsa mchungaji hukoseagi
@eustina0
@eustina0 Жыл бұрын
Eeeeh ndio hivyo sijui chida iko wapi
@misskwileka1956
@misskwileka1956 6 жыл бұрын
Yaani unaeleza mulemule kwa kweli mchungaji...
@joycemahina4160
@joycemahina4160 6 жыл бұрын
amen
@mwafrikalydia6948
@mwafrikalydia6948 6 жыл бұрын
Ah haya mafundisho God bless you pr
@brigithamallya4898
@brigithamallya4898 5 жыл бұрын
Amen father
@canisiamahay7265
@canisiamahay7265 5 жыл бұрын
Baba tukumbuke na watu wasiokuwepo Dar es salaam especially wanavyuo
@thmamuusato6975
@thmamuusato6975 5 жыл бұрын
Amini
@sekelahassan8490
@sekelahassan8490 6 жыл бұрын
natamani hata nije hud dar jaman mafundisho yako maziri kweli yanatuponya kweli
@farijikaspriani3079
@farijikaspriani3079 4 жыл бұрын
kizuri hakidumu
@mbombombokasangala7525
@mbombombokasangala7525 5 жыл бұрын
So good
MITIMINGI # 885 UKITAKA MKE WAKO AKUPENDE WEWE TU ZINGATIA HAYA
20:51
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 130 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 9 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 135 МЛН
Do you love Blackpink?🖤🩷
00:23
Karina
Рет қаралды 23 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
Makosa kumi (10) wanawake ufanya katika ndoa
13:33
Chris Mauki
Рет қаралды 254 М.
Ustaz Abdullah Khairi l Waktu Sakit Semua Kawan Kita Mula Nampak!!!
14:07
KWANINI WANAWAKE WENGI HAWAFIKI KILELENI
25:44
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 195 М.
MITIMINGI # 129 SUMU YA KUMMALIZA MWANAUME AKUPENDE MAISHA YAKO YOTE
16:11
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 212 М.
MITIMINGI # 554 VITA YA MAWAZO
30:20
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 99 М.
HALIMA MDEE AZUA MAPYA MSIBANI kwa NDUGULILE "TUACHE UNAFIKI"
5:11
J FIVE TV ONLINE
Рет қаралды 13 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 9 МЛН